Jaman old is gold..mimi naomba wasanii warudi kuimba bongo flavour ya zaman so saiv
@NyondoNkosi-cv2clАй бұрын
I miss this version of Platinum Diamond 🙏
@nicoledamaris63476 жыл бұрын
Sauti yako Diamond yanimaliza.
@Abbasbarsella10 ай бұрын
Uwezo always
@AbbasbarsellaАй бұрын
Nitampa habari
@Kibotz1210 ай бұрын
Kitambo Sana du so poah
@Abbasbarsella10 ай бұрын
Kabisa 😂
@musaahmed68104 ай бұрын
❤❤❤all old song diamond still.hiting.2024
@zainabuselemanmsalama4 ай бұрын
Bad bad two❤
@KipagileAliko2 ай бұрын
Ni 🔥
@mathiaszakaria70523 ай бұрын
Hii nyimbo haijawah kutolewa video sababu ilivuja Mond akaipotezea...Beat OG za Sharobaro records
@AbbasbarsellaАй бұрын
Nili tengeza video wakati najifunza editing miaka mingi imepita
@mathiaszakaria70525 күн бұрын
Umejitahid Sana hongera kwa hilo@@Abbasbarsella
@AdrofinaKilibuche3 ай бұрын
Mwamba anajua pia ana sauti
@oswardsimukoko92513 ай бұрын
Diamond was bad news from word goal ,he reminds me kanumba
@AbbasbarsellaАй бұрын
😂😂😂😂😂😂really
@MariaBikyeombe2 ай бұрын
Diamod❤❤❤❤🎉🎉🎉🔥🔥🔥🔥🔥
@Mumewangu5 ай бұрын
Yalinifika haya. Nilichanganyikiwa nikiongea peke yangu mpaka trein zaidi ya mara moja ilitaka kunigonga. Honi yote trein sikuweza kuisikia. Usiombe mapenzi yakupige teke. Yasikie tu kwa jirani
@Abbasbarsella5 ай бұрын
Mapenzi bwana sio mchezo
@AbbasbarsellaАй бұрын
Pole sana bro
@oswardsimukoko92513 ай бұрын
Old is Gold
@AbbasbarsellaАй бұрын
Kabisa
@ShaibuChiwaya Жыл бұрын
Saf sana!!!!!###!
@Abbasbarsella10 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@MariaBikyeombe2 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥
@Ilungabanza-w7wАй бұрын
bonsoir à tous les garder le chanson de diamond❤❤❤
@AbbasbarsellaАй бұрын
Bonjour
@NiyonkuruRamadhani11 ай бұрын
❤❤❤
@Markkiprono-o5s3 ай бұрын
❤❤❤❤❤
@abdullahkazungu40253 ай бұрын
APA alikua anaimba kweli Ila sasaivi hamna mashairi ya maana tena ana unga unga tu
@rogertuga0073 ай бұрын
Akiimba hivi huko kimataifa angefika lini? Sikuhizi anapiga kimataifa sana (za kuchezeka) halafu mara moja moja ndio anapiga local kama hivi alivyorudia mapozi.
@hamzakomba92523 ай бұрын
kwan zaman nan alikuwa anamuandikia
@kachabisnea88152 ай бұрын
Washauri wa domo ebu wa mshauri hii ngoma wafanye video aisee
@AbbasbarsellaАй бұрын
Very soon
@wellingtonokilla55792 ай бұрын
❤
@ShaibuChiwaya Жыл бұрын
Ni balaaaa@%%^£&£%%%££££^
@FaustaP270Ай бұрын
Hiii nyimbo aijawaii kua na video mpk leo
@AbbasbarsellaАй бұрын
Ndo video hio unayo angalia
@dsg78847 жыл бұрын
How did you get the clips from nashindwa by chande ft diamond