Diamond in mwimbaji maarufu...kama unaniunga mkono plz likes kumi zikam through.
@kizamulenda88947 жыл бұрын
Mbona mimi sipatagi like za ma fans wa diamond? But I hope this #Halleluhah itanipea likes zakutokea UGANDA,KENYA,TANZANIA... wapi likes za #HALLELUJAH?? N 1 million views before 24hrs
@leonardmavele1837 жыл бұрын
we noma snaaa
@athumanimashango32047 жыл бұрын
hahaha
@elifarijisallu22227 жыл бұрын
Kiza Mulenda babaa umezipata
@kizamulenda88947 жыл бұрын
Elifariji sallu ndio nawashukuru
@kizamulenda88947 жыл бұрын
Himdat Dumila yeah
@allysalum58977 жыл бұрын
Hyo ngoma ruksa ipigwe hata pale muhimbili hospital inaponya asee#hallelujah🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@esterkimath12144 жыл бұрын
Nani kaja hapa kwa ajiri ya movie ya coming to America more life Diamond we love you 😘
@TheMyasa7 жыл бұрын
kuna siku nilishasema huyu ndo the next MJ in this world...hit like tuvunje rekodi ya masaa 15 na 1 Mil viewers
@pci__tanzania7 жыл бұрын
Safi sana SIMBA... Wakati wa kwenda kuchukua BET na GRAMMY sasa umewadia. Kama unaamini hilo gonga like hapa twende sawa.
@solomonitv78087 жыл бұрын
Mungu azidi kukuinua zaidi ya apo ulipo sasa...Milango yako ya mafanikio iwe wazi mcha na usiku...Ayseee Noma sanaaaaaaa...Chezea Simba wa Tandale Alleluya
@malkavoice25702 жыл бұрын
Jamaa walishaonekana kabisa hapa wakaidharau hii kazi mmakonde na Mwenzie richard. Mbona kazi hii ni kubwa tu aisee
@allykassim14557 жыл бұрын
diamond atakapokufa ndo tutakapo jua umuhimu wake.tujifunzeni kwa kanumba.kwa nn basi tusiungane na kumsapoti? matokeo yake wapo baadhi wanachukia sana kwa juhudi anazofanya mond.tubadilikeni watanzania.tumuunge mkono kijana.anafanya juhudi binafsi za kutafuta mkate na kulitangaza taifa lake.na haohao wanaomponda na kumvunja moyo wananufaika kupitia yeye kwa namna moja au nyengine..na wanasiasa baadhi yao wanafiki.big up chibu endelea kuwakilisha.thx
@benjaminngua85837 жыл бұрын
Simba... Ni faraja la moyo wangu.... Ni kimbilio la wanyonge... Gonna like hapa kama unamkubar diamond platnumz
@chidboyhondeclassic20787 жыл бұрын
Benjamin Ngua we choko adi ukuuu upooo eeeh 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@fedrickbahebe11037 жыл бұрын
Chidboy Hondeclassic anatisha simba
@princessfrancis28187 жыл бұрын
Benjamin Ngua no yesu ndio kimbilio l maisha yangu mungu ndio mponyaji wangu
@robertmacdonaldTZA7 жыл бұрын
Mondy na Hallelujah ni Dawa ya Ukimwi, nguvu za kiume, na Kukataliwa na Watoto wazuri! Sikiliza utapona sasa. Diamond Umeua kwa wimbo huu tu Mke wangu kanisamehe nilipomsikilizisha.
@jut11617 жыл бұрын
Roberts McDonald inatibu marazi yote sugu
@SuleimanMasumbuko-ol1yp9 ай бұрын
Kama Bado unaskiliza hi song 2024 like gonga za kutosha hp
@mudrikramadhani324 ай бұрын
Hii nyimbo jamaa alukunjua sana msuli
@MwombeKevin2 ай бұрын
Nipo Bado naisikiza
@johnsonkilingo65157 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaaaaaa, simba wa AFRICA sema tena simba wa AFRICA Kama hutaki pita Kule. Team mond gonga like kibao
@Filmz6397 жыл бұрын
Hii ngoma itafika kesho asubui imeshafikisha 2 million . love from Burundi +257
@cedricnitunga4687 жыл бұрын
Justin Ntiruvakure +257 tupo
@Filmz6397 жыл бұрын
Ebu ivi hii nyimbo uko kwetu Burundi imesha aza kucezewa kwenye radio? Sababu najuwa warundi tunampenda sana Diamond ila mimi ni team Kiba wa damu siwezi msaliti ila hii ngoma inazidi seduce me msema ukweli mpezi wa Mungu +257 love from Burundi
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Justin Ntiruvakure true
@cedricnitunga4687 жыл бұрын
Justin Ntiruvakure kumbe uko team kiba?? duuuh umetisha kabisa umekua mkweli na hiyo ni freshhh mi team Mondi since day one
@Filmz6397 жыл бұрын
Bro mimi ni Kiba ila Mondi nilikuwa naona hana sauti yakuimba kama ya Kiba ila kwahi nyimbo amejitaidi kabisa. sauti niya hali ya juu
@shodristvtv61217 жыл бұрын
Mapaaaap niilivoona milioni M1 nimeruka kama rinaldo akifunga bahooo nikaanza kulia nafuraa maraaa pap nika sikia salut kwanyuma ikisema mi silagi vipusaaaa ... nikasikiliza tena kunikompare na sindelela sio frieshiiiii daaaa kuja kuangalia kumbe ni alelujaaajah
@jotamhamis86257 жыл бұрын
umetisha
@musamoe26047 жыл бұрын
#hahahahalleluya
@anirwothagathapeace338811 ай бұрын
Watching this after hearing of the sudden passing of Peeta Morgan. RIP Champ❤
@irenejoppo118611 ай бұрын
Same 😢
@luizerscrotchetdesigns800211 ай бұрын
Rest easy peter Morgan 😢
@jacklineochuka882111 ай бұрын
This used to be me favourite song,so sad 😔
@NasibSam11 ай бұрын
❤❤❤
@ednawanjiku426911 ай бұрын
This was the first song I thought of😔🕊
@frankyboniphace53687 жыл бұрын
Daaah kwa kas hii kama 4g tumetisha sanaaaa WCB oyeeee like hapa kama we ni member wa wcb
@athumanimashango32047 жыл бұрын
oyeeee
@paskazialusala86077 жыл бұрын
Mimi usiku kucha sichoki sijui na Mimi nimenunuliwa bila kujijua eeeh
@hamiskumuku71187 жыл бұрын
Da!!! Kweli mziki ni kaz za watu,jamaa anatoa ngoma kaliiii...SIMBA~ no one like you SIMBA.....
@RamaHa-uk1fq7 жыл бұрын
Mond hii ngma sio ya nchi hii kbsa na bdo watka 2we saresare 2
@ms.upendojohn92707 жыл бұрын
duuuh watu mnakesha humu nini haya nipeni likes izo wcb 4 lifeeeeeeeeeeee
@rosekasambale25214 жыл бұрын
Kama umerudi kuangalia hili song baada ya kusikia utakuwepo kwa move ya COMING TO AMERICA gonga like tuende sawaa💪
@JoshuaJerryS7 жыл бұрын
She makes me say...Hallelujah!!!!!!!! Wasafi umekubalika duniani kote!!! From +254!
@andrewtange11607 жыл бұрын
very nice vedio nimeipenda sana mond ni simba hakuna kama yeye watu wanaojifanya Fanya kumchukia watalala hivyo hivyo mwishoni watamwelewa tuuhhh
@abdullyulledy55367 жыл бұрын
sijawahi kuwa shabiki wa huyu jamaa lakin this time no way out !!
@celestineoloo58257 жыл бұрын
hamna namnaa
@stevenlyando18017 жыл бұрын
hahahahahaaaaa umenichekeshaaaa
@stevensilungwe41 Жыл бұрын
Melodies that stick in your head and makes your heart smile . 🇿🇲🇹🇿
@angelshirima73477 жыл бұрын
Wapiiiii cheche za kuchomelea griliii ni mwendo wa haleluyaaaaaaaaaaa in gospel voice..naomba likes hapa kabla ya wachina kuja kucoment ....+255
@emjay10167 жыл бұрын
Angel nation hahaaa looooooool wachina nn....
@angelshirima73477 жыл бұрын
world of good 255 huhu
@man-zh6ug7 жыл бұрын
+Angel nation +255.. fire
@oscarmtalis77477 жыл бұрын
kumpenda huyu jamaa raha Sana Kama unakubali #simba gonga 👍👍👍like hapa #halellujah
@ibraton40717 жыл бұрын
this IS next level ......DANCE HALL la hatari haijawahi tokea AFRICA NZIMA
@Lyrical-G_22611 ай бұрын
RIP MORGAN 😢 he was a pure talent
@wemaruth606811 ай бұрын
Sorry it's peter heritage brother to Morgan heritage who's dead 😢
@masiihiddajjaal7 жыл бұрын
Nipo zangu getini kwa kipusa nakula zangu diamond karanga! Sina tatizo na mtu #hallelujah
@agneswanjiru38417 жыл бұрын
Mm kama team kiba but kwa hii i salute u.i keep on singing hallelujah 🎤🎤🎤🎤
@luomusicchannelfromtanzani56507 жыл бұрын
Hii ni zaidi ya hatari, na wale team kiba chukueni tahadharii huyu simba atawameza mwaka huu....
@julietkiende89417 жыл бұрын
george udom1948 hahaha wacha tuone
@franciskapufi88452 жыл бұрын
sijui nini umekosa bro,hongera mno..pia endelea kufanya kama hizi zina leta nidhamu sana kwa Taifa.
@rosyeejusto4267 жыл бұрын
hii ngoma imenifanya nivunje kibubu niongezee bando..Diamond Mungu anakuona ujue
@novatusswai50167 жыл бұрын
Rosyee Just
@davboimkali28577 жыл бұрын
Rosyee Justo 😀😀😀😀😀
@saintbk9147 жыл бұрын
its amazing
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
WCB4LIFE. hii ndio ngoma ya jupiter. Sasa cheche za watu wa kupumuliwaa tupa kuleeeeee😂😂😂😂😂. Mi namuona diamond platnumzs kwenye billboard.
@johnnyempire88367 жыл бұрын
Riso king crazing anajua mpaka kero
@stevenlyando18017 жыл бұрын
hatariiii hatariiii halelujaaaaaah
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
Kali kinomaaa
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
Hahaaa 1m bfore 1day.duh
@abdallahchande79977 жыл бұрын
Dah! Wallah Hii Ngoma Mpya Ya DIAMOND "HALELLUYAH" Ikipigwa Pale Muhimbili Leo Hafi Mtu !!😀😀JAMAA YUPO VIZURI😀😀
@abbyabbas2137 жыл бұрын
hahaaaa jmn uwiiii
@MaQajare Жыл бұрын
The most Underrated Song from Platinumz. This was an international banger, cant fathom what happened.
@hakimyaa32567 жыл бұрын
Kama umeona Harmonize n Rich mavoko kwa video gonga like..#WCB 4Life
@nitoaugustochavenechavene30248 ай бұрын
Wimbo wangu pendwa wangapi tumerudi tena apa 2024 like apa🔥🔥🔥🔥🔥
@SOUTHERN_BUSES7 жыл бұрын
Dah hapa king wa swizzbeat kauwa,king fake wa bongo atoe tu ile ya patrolnk atupoze Tz kidg... #team mond like nyingi hapa na comment
@zeoneshiru33194 жыл бұрын
Huyu jamaa ni mlima huwezi kushindana nae kirahisi Coming to America 2 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥2021
@andulilemwakihabha20484 жыл бұрын
Kabisa
@fntv40093 жыл бұрын
Kabisaaa huyu ni simbaaa mwenyewe
@fredrickchukwu93227 жыл бұрын
anybody from Nigeria loves this song like I do? so much love from West Africa @diamond. u are doing so well
@ibrahimmikidady92617 жыл бұрын
Nimeirudia sana hii nyimbo mpka nimehisi labda na mimi ni miongoni mwa viewers walionunuliwa... this is what we call good music..
@jadenmsafi7 жыл бұрын
Ibrahim Mikidady no
@neemaarcard78547 жыл бұрын
Ibrahim Mikidady hahahahahaha
@Mmnanka7 жыл бұрын
Ibrahim Mikidady hata mi nahisi nimenunuliwa bila malipo
@iddihashimu72617 жыл бұрын
Ibrahim Mikidady 😂😂😂😂na mimi ameninunua maana leo nimeiangalia mara 872
@filamupictures93497 жыл бұрын
Jamani niko karibu na walokole vile wanajuaga mi shekhe wanashangaa kutwa nzima naimba hallelujah, wanafikiri nimeingia kundini hapa nakwambia wameanza kusifu na kuabudu Hawajui kumbe hii yote ni utamu ya wcb, jmni kweli hallelujah
@harry-rr1vq7 жыл бұрын
Nasri Mgambo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
@thadeusmassoy78917 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iKiZop5-ft6kbM0 chorus
@monicacharles32767 жыл бұрын
umeniuwa we kakaaaa
@wardalward36937 жыл бұрын
Hahahah
@dianacharles32837 жыл бұрын
Nasri Mgambo hahhahahha
@bronzekaylow24413 жыл бұрын
I don't understand why diamond stopped producing quality videos like this
@meshackvitalis77717 жыл бұрын
KUDADEKI LEO NIMEHAMA TEAM VIPUSA RASMI XAXA NI WCB FOR LIFE MAANA KULE NJAA TU HUKU NI KULA NA KUSHIBA MIDUNDO NILIKUWA NIMEPOTEA KUMBE!!!!!
I don't know why this banger didn't go bigger than it is even for today hili ni bonge la jiwe ila cielew kwann liko so underrated yan huu mdundo wa pekee sana🎉
@marcelinombowe924610 ай бұрын
One of the best creation he ever made 🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@geoffreycalvin228810 ай бұрын
@@marcelinombowe9246 of coz but the truth is if he didn't win any award with this song outside there then I can understand that many awards are bribery
@JohnmenaClassic7 жыл бұрын
kama unaamini hii ngoma itaingia kwenye Top 100 ya billboard hot single chat gonga like hapa na sema hallelujah😂😂😂😂
@athumanimashango32047 жыл бұрын
wala ujakosea
@98droyt817 жыл бұрын
Ndoton labda 😂😂😂😂😂😂
@muushiwena89294 жыл бұрын
Who is here listening to this nice song in 2020
@isabellefelicite22114 жыл бұрын
Me!🔥
@syliviakobugabe92174 жыл бұрын
Am here too I love this song
@вышелприколыпогонять4 жыл бұрын
Same
@syliviakobugabe92174 жыл бұрын
Wow nice song am still in love with it
@dan-konjembe59134 жыл бұрын
Muu shiwena still 🔥 song
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
Hahaaa tuko 530k. Hii hiatamaliza 1day itakuwa tayar 1m. Kama waamini hio gonga hapa 👍👍👍 tule diamondkaranga getini kwa kibakuli chao
@didamugya60397 жыл бұрын
Riso king ile rekodi feki ya Pimbikiba inazimwa leo
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
Hahaaa nitacheka kwa zaraaaau. Wimbo mbaya huuuu WCB4LIFE.
@djgthehotstepper7 жыл бұрын
Tukaze kabisaaa record yao ya mabua ilikuwa 1m 30hrs. Sasa naona yetu itakuwa 1m 20hrs. #WCB4LIFE. Tuko 820k+ haleluyaaa
@hazaelassa21497 жыл бұрын
Riso king Its 930K now
@selinelynn86067 жыл бұрын
+Hazael Assa ni one Million now WBC for rever
@mohamedjumbe93093 жыл бұрын
Kumshusha huyu jamaa ni ngumu Sana
@manfee15647 жыл бұрын
Mi ni team Kiba ila Simba platinum ananikera yaani hatoagi nyimbo mbaya """Salute Mnyama saiv tukawachokoze wamarekani na wakorea waimbe Halleluyaaaa,,,,
@josephvinings61737 жыл бұрын
nyimbo ya wamarekani hii. Kina Morgan Heritage my friend. Amka..
@athumanimashango32047 жыл бұрын
+Joseph Vinings hahahaa
@wizchiachacha4897 жыл бұрын
Pa1 xn
@philipocondradi93857 жыл бұрын
inatishaaa
@lulumbwilo37787 жыл бұрын
Weee sio team kiba
@Filmz6397 жыл бұрын
Iyi ndirimbo irasara nguma ndayumviriza burumwanya. Hii nyimbo ni kali kama unatoka Burundi na uko unatizama bonge hii ya nyimbo ya Mond basi bonyeza apa
je indi kgoma Tanzania iyi ndirimbo n nsazi alasarisha gosee..
@hoseanobocka45337 жыл бұрын
Justin Ntiruvakure tulashashe i Tanzania Diamond avuga ukuli mm natoka kigoma karbuni Tanzania tumshabkie Diamond
@ShottaKenya7 жыл бұрын
this dude droppin hits with neyo, morgan heritage, patoranking, mafikizolo and still droppin that swahili on em. big up diamond the pan africanist
@blizzokassim64954 жыл бұрын
Coming 2 America Wayyyy🔥🔥🔥🔥🔥.... Mashabiki wa Wcb tunaomba ulinzi tafadhalini serikali
@leonardmavele1837 жыл бұрын
Nyimbo kama level hii huwa nazickia kutoka mbele kama USA ila uyu jamaa kumbe nae anawez fanya duuu😂😂🙌🙌
@mtanzaniahalisi68617 жыл бұрын
Leonard Mavele sio anaweza fanya yaani ndo kesha fanya ila yupo vizuri kijana wetu saiv siangalii akina chris brown tena 😂😂😂😂😂
@josebrownbongo97777 жыл бұрын
platnumz diamond dangote is totally talented since tukicheza mbagala..u believe so??like hpa team WCB
@starboyprince97987 жыл бұрын
Chibuuuuu.......... hiyo kingereza utafikir wa colombia iviiiii.... ahahahaha hata malaika wanaimba hallelujah uwiiiiiii.... nlikua naumwa kichwa hapa nmeambiwa nimeze hallelujah mara 60 kwa saa#hallelujah Gonga like team.muziki muzuri bameno batatutoka
@man-zh6ug7 жыл бұрын
⌐╦╦═─😂😂😂😂😂😂😂
@sushillatyvird18227 жыл бұрын
hahaahahahh😁😁😁 #hallelujah dawa ya magonjwa yoteeee huhuhuhhh yan ngoma tamu sana mashaallah #hallelujah tibaa ya magonjwa cuguuu hehehehhh 👌👌👌
@franciskapufi88452 жыл бұрын
🤣🤣🤣bro anajua mnooo
@rajabnzota98713 жыл бұрын
"Anayekutusi,kubeza,achana, waambie wafuatilie historia,itawapa majibu simba,chapa kazi Tiffa aende chooni" ngoma kali highly creativity.
@neekahgreen53657 жыл бұрын
Love Diamond Platnumz and of course being Jamaican love love Morgan Heritage!! Great Collab!!!
@joelmakinga42207 жыл бұрын
Who thinks 💎 Diamond P should win an award for this track🎹🎻🎷🎶🎶🎤.....???? Because for me the song is🔥🔥🔥🔥🔥
@kid__tz7 жыл бұрын
me
@ronaldtuhirwe74917 жыл бұрын
Morgan Heritage verse was spot on ... Diamond has impressed.
@kelvinveri37984 жыл бұрын
Coming To America!!🔥🙌🏽🦁🦁
@azizaooo63097 жыл бұрын
nipo hapa na bibi angu yy anavosikia hallelujah anasema emen kila ikiisha anasema we motto rudisha maombi yani toka asubuh ni nyimbo hii tu leo
@davboimkali28577 жыл бұрын
Aziza Ooo 😁😁😁😁😁😁
@azizaooo63097 жыл бұрын
+Dav Boi mkali mama yangu yaniii Leo ntakoma bibi hataki nitoke y tube
@maisalajohn64127 жыл бұрын
Aziza Ooo 😂😂😂
@hamzakomba95237 жыл бұрын
Aziza Ooo hhhhhhhhhhhh
@laylathbadi66497 жыл бұрын
Aziza Ooo 😂😂😂😂
@CjTiMb7 жыл бұрын
That's great my brother @diamondplatnumz👍👍👏👏👏👏👏👐👐👐👐👐👏👏👏👏👏👏👏
@lisalizzi86907 жыл бұрын
Cj Ti Mb 👏👏👏🎧simba mwenyewe
@CjTiMb7 жыл бұрын
Elizabeth Mukula Thx
@wittx12344 жыл бұрын
Very nice music. Im probably the only person from Thailand who listen or heard of this song. 🇹🇭
@stephenemganga36044 жыл бұрын
Your watsap no please
@collectamuzamba1173 жыл бұрын
This song will remain rocking, am a proud African, Africans music take u to paradise. Zimbabwe approves t 🔥✔️
@barikiarastus87707 жыл бұрын
Bado naendelea ku view hapa Kama nawewe bado unafanya hivyo Basi gonga like twende sawa🔥🔥
@ernestjoachim13057 жыл бұрын
Hongera sana Diamond platinum kwa kuitangaza Tz, let's all say Haleluyaaaa
@sebastinfredrick15957 жыл бұрын
acha kumudhihaki Mungu kwa kutaj hareluya
@ernestjoachim13057 жыл бұрын
Sebastin Fredrick si kumdhihaki bali kumsifu kwakila jambo
@EddazariaMsulwa7 жыл бұрын
Ni dhambi kubwa kumfananisha Diamond na Alikiba, Diamond ni namba nyingine jamani. HALELUYAAAAAAAAA
@nashontechnician25117 жыл бұрын
we ndo unaleta ujinga unalinganishaje chupi na suruali kiba mpinzani wake asslay
Mamae! kweli wewe ni nyoko. Haya vipusa muna jipyaaaaaaaa?👌👌👌👌👌👌👌👌
@seifzongo11777 жыл бұрын
acha ushabiki sidiria sindano ya kiroba
@stephenondieki2200 Жыл бұрын
Twende nalo Simba wa Afrika Mashariki. Moto kama pasi.
@l3thokuhl3617 жыл бұрын
they play this video like everyday here in South Africa. literally everyday, Monday-Sunday S/O to diamond platnumz
@kelvinmsambili99597 жыл бұрын
Kumamake mondi ur past 3 songs to me were lyk pambio dis is it mamae can't stop watching it.......kesho naenda kwa boss kudai mshahara na kuacha kazi😂😂😂😂😂
@man-zh6ug7 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 total I'm dead
@ahmadafrica55827 жыл бұрын
Kelvin Msambili 😂😂😂😂😂😂
@juliusmkwiji2837 жыл бұрын
Kelvin Msambili 😁😁😁
@shelltrox99767 жыл бұрын
Thanks for enjoying yourselves on OPM. I'm glad u are all happy cuz guess I'm out of the pic. You bring my dog back now
@luckydiva67457 жыл бұрын
Kelvin Msambili lol
@innoschao4084 жыл бұрын
Jamani ata likes moja kwa kila mshabiki wa dimond sijapata like
@dutchsafari75623 жыл бұрын
Coming to America 2 brought me here.. hands up 🙌 for Simba🦁 of zamunda #Diamondplatnumz🇹🇿🇰🇪🇺🇬🇧🇮🇷🇼🇸🇴🇸🇸
@dianadaniel60827 жыл бұрын
team mond gonga like hapa maana co kwa ngoma ilivyo kali mpaka vipusa wamekubali
@kelvinmsambili99597 жыл бұрын
Hii nyimbo ni tiba mbadala .....chunusi,fangasi,ugumba,presha,kuosha nyota,stress, kutokuolewa,kutokuoa,
@egonkasiano78227 жыл бұрын
Kelvin Msambili hahahahaaaaaaaa
@swagosamatta60387 жыл бұрын
Kelvin Msambili 😂😂😂😂😂😂😂 mungu anakuona ujue
@man-zh6ug7 жыл бұрын
+Swago samatta ahahahahha best comment ever
@rosemarynyalusy75727 жыл бұрын
Kelvin Msambili umetisha
@janethmwakingili43287 жыл бұрын
hahaaaa.....hii comment yako ad rahaa
@yahboybenna11127 жыл бұрын
Watu wa +254 Wekeni like hapa before tufike 1M views
@razackhasani84167 жыл бұрын
Kal
@mlewamutua65497 жыл бұрын
wakenya sio mafala wao mabuk kwenda mbele
@vokezoh98317 жыл бұрын
if u only u could support ua own
@magnificententertainment93284 жыл бұрын
Who z here after it's has been official in Coming to America 2.... rhythms from zamunda
@jovinestunner4 жыл бұрын
You guyz mko very alert
@slimmuhabesh24003 жыл бұрын
Me
@waitegyal3 жыл бұрын
Yes
@bigdad18167 жыл бұрын
Wool I was in one club here in central London Leicester square tonight and I'm in shock big shock the DJ played this song wool I could not believe my eyes the floor was packed and the DJ announced wait this is another big Star from mother land watch out and the response was unbelievable Big up Diamond big up Morgan heritage .
@ericbajeme7 жыл бұрын
Big Dad Really?
@bigdad18167 жыл бұрын
Yes man
@saidimwenda36047 жыл бұрын
All the way up
@saidimwenda36047 жыл бұрын
Our boy is doing good despite some of motherf**** tryn to pull him down
@daudimasawa17812 жыл бұрын
Nice
@kvkenzo7 жыл бұрын
Kama umemuona rich mavoko akibambia dem gonga like hapa habar zimfikie
@nasoros.mgungo55027 жыл бұрын
.
@nasoros.mgungo55027 жыл бұрын
kv kenzo .
@vuva_vuvaofficial62097 жыл бұрын
ata harmonize,lalava..they help each other in their videos
@tonelaiser75897 жыл бұрын
kv kenzo nomaaa xna namuona mesi wa bongo freva
@zulphamaganga36697 жыл бұрын
masila Boniface kaliiiiiii
@abdallahmajid45967 жыл бұрын
MAMAMAEEE Nyimbo flani hivi ya kinyamwezi
@EMMANUELKIPARA-v9l2 ай бұрын
Diamond is the best musician in Africa
@henrykweka21387 жыл бұрын
Ikifika 20:00 EAT hii ngoma haijafikisha 1M. Tunataka You Tube ifungwe au twende Mahakamani 🔥🔥🔥🔥🔥
@allyramadan46587 жыл бұрын
henry kweka hahahahha ila kweli jaman mond wamuache
@henrykweka21387 жыл бұрын
Ally Ramadan hii nyimbo naskia ndio itakuwa katiba mpya 😂😂😂
@henrykweka21387 жыл бұрын
svg gamer 😂😂😂 hatufungui kesi tena
@sydneyvicent44627 жыл бұрын
henry kweka imefka b4
@yassinimkame32787 жыл бұрын
henry kweka 3m bhana acha kudharau bhana
@johnjojo3277 жыл бұрын
hii nyimbo katokea siku ya birthday yangu,, i say ebu nipate likes wenzangu nyimbo nzuri kweli
@athumanimashango32047 жыл бұрын
ongera kwako
@danstunmdoe31527 жыл бұрын
Amazing African artist,,,,,,congrate mond platinumz
@akim_tz Жыл бұрын
Diamond 💎 Platnumz 💥
@nellybrown56777 жыл бұрын
Anyobody from Burundi here ngoga like apa 257🇧🇮 go diamond platnumz 👌👌
@jayzablon72817 жыл бұрын
priya raya 257 here
@khalidabuu22417 жыл бұрын
tisha sana team mond forever
@dansondannytv81117 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/iHiulmuDpq2hncU
@tmoe_tz24327 жыл бұрын
kuanzia leo mimi nimehama Team jamani niungeni kwenye magroup ya WCB kule Basi
@zannurangilla67717 жыл бұрын
Tmore Flavor njo kwanza utiwe janja
@harlly20737 жыл бұрын
Diamondplatnumz outstanding collaboration with Morgan. Omg you got a fan in me forever. Ever since I've discovered your infectious voice😍😍😍🤗 every new songs you drop give life👏🏾.Your #1 Haitian-american fan from Orlando, Florida☝️😎
@younggapc11 ай бұрын
RIP Peetah Morgan😢... Legends never die
@lebronjones66107 жыл бұрын
Wangapi wanakesha kama Mimi kuview halleluja kuipeleka kwenye record nyingne hebu pita hapa like nikuone km tunakesha wote
@BLackPEsa7777 жыл бұрын
Lebron Jones you need a job. Pata kazi lisha family yako stop with the idleness
@lovenesjohn62557 жыл бұрын
nic
@lebronjones66107 жыл бұрын
Norco 7/325 unajuaje kama sina kazi ndugu yangu eenh haahahah alaf sijaajiliwa yaan nimejiajili na nalisha familia Mzee wangu na sister so kama unaona nakosea basi na we umekosea kuja kusoma comment yangu na kutoa maoni yako so na we nikuambie utafate kazi ya kufanya!? my broo maana hii ya kusoma comment za humu haina faida kwako zipo 9k damn utaweza zote kuzijibu kaka....maisha ya kwenye social networks sio tunayoyaishi so km unatumia tumia unavyojua wewe uzimkwaze au kumjaji mwingine ikiwa humjui hata kwa sura sorry km ntakuwa nimekukwaza au nimekosea kuongea
@ramlamohamed7227 жыл бұрын
Lebron Jones me
@ivybrown9587 жыл бұрын
Team free Wi-Fi mko wapy . wcb for life
@dawsonopanga79927 жыл бұрын
Noma sana
@rickrosswabongo41167 жыл бұрын
Jamani hivi ni mimi tu au au kila siku huu mwimbo ukiusikiliza unazidi kua mzuri....Hallelujah!
@sammabula73597 жыл бұрын
Rick Ross wa bongo nimependa jina namwonekano wako #Hallelujah
@rickrosswabongo41167 жыл бұрын
Sam Mabula Hahahaa....ahsante kaka...pamoja
@nassorsubah31007 жыл бұрын
RICK ROSS WA BONGO Nyimbo wasi wasi ujinga mtupu
@mariamkizango84277 жыл бұрын
RICK ROSS WA BONGO sio wewe tu kwakweli
@lipsyncing95947 жыл бұрын
RICK ROSS WA BONGO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂aty rick Ross wa bongo