🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kenya tunamtambua simba mmoja Simba la Masimba😂😂
@irenewileАй бұрын
Karibu nyumbani kumenoga ndugu,,Karibu tz
@aolango16 күн бұрын
Simba!
@NaomiEnock-z4gКүн бұрын
Hi
@Jk_rules_Ай бұрын
Ngoma Hatari sana🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 Wakenya wenzangu tupo!!!! Najua mpo,,,show love❤
@nelsonmandela415Ай бұрын
😒😒😒😒😒😒
@praizworshipАй бұрын
@@nelsonmandela415 😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔😔
@muduboy726Ай бұрын
Acha kushoboka na bendera ya inchi nugu hii
@AnneNjoki-k8lАй бұрын
Tupo. My favorite 🔥🔥
@louisisd1090Ай бұрын
Tupoooo
@dogogazadogogaza111Ай бұрын
Hii imeuwa sana hatari diamond to the world 🇰🇪 umeteka nani asikuambia mtu piga twende
@awadhhemed3421Ай бұрын
Wa kwanza kufika hapa much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 salute Simba ❤❤
@TygaAlanАй бұрын
Wa kwanz kufika kutoka 🇧🇮
@JamRock_Jr.Ай бұрын
I don't understand one bit but all I can say is Diamond Platinum is awesome.. liking the vibes. Been following for about 3 years already now. Diamond is an awesome person.
@TrendingTiktok-n1bАй бұрын
Mnao view hii comment Mungu awabariki .....tuvuke mwaka salama
@SasiMusso-zo4ebАй бұрын
Amen
@mk-ed5py29 күн бұрын
Amin
@lumulyimage482617 күн бұрын
Amen
@NaomiEnock-z4gКүн бұрын
Amin
@danielmacharia9603Ай бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 diamond platinum is so good to be ignored karibu Kenya ❤
@clara591926 күн бұрын
Wewe hata si mkikuyu,uhana kamatimu weee,ndui mwana. Elewa hio nikutambue😂😂
@Eric_kioko411Ай бұрын
Mih ni mkenya na Diamond platnumz got my attention since Primary school days...he has done great job from the days of sacrifices to now....then someone wants to spoil something that he never contributed...Mondi has nutured someone like Konde, Chui, Zuchu, lavalava,mbosso and many more...in our country artists are very selfish, hawana roho ya kusaidia small talents.. that's they also never grow, kuangalia matokea ya wengine.....Mondi We mind Zako ,tupe Ngoma,hit 🎯
@MultiBarberryАй бұрын
Mtoto wa juzi hujui mziki wewe
@sammondke.5434Ай бұрын
From kenya big love lion 🦁 🎉♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gracaakinyi115617 күн бұрын
Wakenya tuko huku wengi....of course Wakenya wengi wako nyuma yako ni vile hawaezi sema in public..mimi siwezi simama na Poze though i respect him..i stand with real people like Diamond. Mkitaka mnitusi lakini sitareply🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 DIAMOND ALL THE WAY SPEAKING ON BEHALF OF 1MILLION KENYANS😂🎉
@AnordJoseph-e2e20 күн бұрын
Binafsi sijawai kuona msanii kama DIAMOND Hapa Duniani kiufupi nimsanii wakipekee
@OsangshuapescoАй бұрын
Baba wa taifa...uekewe siku yako katika calendar ya nchi...
@HalimaMichael-x6xАй бұрын
Asante kwa song tamu la kufungia mwaka kaka mond Mungu akulinde na husda za waja nakupenda sana unaeshimisha mziki wa east africa wanaokukataa ni wao sie watanzania tuko pamoja na wewe ❤❤❤❤🎉🎉🎉
@vinny.moralesАй бұрын
Kenyan gang we here🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@KhadiroAhmАй бұрын
Kenya my blood but now I am in America 🎉😢😢😢😢
@SaidaMohamed-jc5zk15 күн бұрын
Hello@@KhadiroAhm
@josephambele8874Ай бұрын
we ni next level my brodaaaa afu ume relax wavimba macho wanapiga kelele WCB for life HOLIDAY DAY
@Willypauldiamondplatnumz7 күн бұрын
Good work, holiday ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@NicksonMiseАй бұрын
Mm ni WA kwanza
@JosephDavid-r8yАй бұрын
Welcome in kenya again na umusamehe mwenye akili za kitoto wilipau
💥💥💥💥 Ngoma ya mwaka hiii Close year with Holiday ✌️✌️✌️✌️✌️🙌🙌🙌
@Dj_Spline5 күн бұрын
Simba uishi sana🎉🎉🎉.. Wewe ndo umebeba mziki Afrika nzima😢.. Nyimbo Ina Mshiko flani mamae😩😩... Tunakukubali sana🙌.. Kutoka kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪Na hakuna wa kukulinganisha.. Wewe ndo Yuda na uzidi kunguruma 🔥🔥🔥
@sautikaliitz934Ай бұрын
Nimekuwa wa 1 kwasababu ni namba Moja Kwa Simba kama unaamini hyu jamaa ni noma tia kopa❤❤❤❤
@cliffdinhoАй бұрын
Wakenya tunakupenda siku zote🇰🇪🇰🇪❤️💯
@Shiro254wanjiАй бұрын
Wewe na nani ngo'mbe hii
@cliffdinhoАй бұрын
Ng'ombe Ile hudinya mamako@@Shiro254wanji
@fredricksisso3574Ай бұрын
Number one 😅 naomba likes zangu
@DicksonChunguriАй бұрын
Diamond platnumz siku zote rudi kenya tutajaza i sae ❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 SIMBA LA MASIMBA DANGOTE
@RichardPlatnumzАй бұрын
Bira Diamond Platnumz hakuna mziki duniani kabisa i love you simba🦁❤
@OliShemeza5 күн бұрын
Yani nikikuona najihisi furaha❤❤❤
@mudibojaffar9269Ай бұрын
Wakenya Karibuni Tanzania 🇹🇿 we Celebrate This Holiday Season 🎉🎉....Much love from Tanzania 🇹🇿...NI SIMBA LA MASIMBA DANGOTE🦁
@saidbabaali9082Ай бұрын
Huko kwa kina bibi ya P Didy hatuji buana Naseeb wa misalaba Bi P Didy
@mudibojaffar9269Ай бұрын
@saidbabaali9082 Wacha Chuki zakitoto,,,Unaongea vibaya na Usiku Walala Njaa...Karibu Tanzania 🇹🇿 tukulishe
Mwananguuu Chibuuuuu , Simba la Masimba Nooma sana tufunge nayo mwaka hii holiday mzee
@AyoubMtengera22 күн бұрын
Daa!!huyoo mtu anaitwa zombii hataree sana bonge moja la bit mamaeeee
@johnpeterucb6731Күн бұрын
Sambamba na raïs wa africa nzima
@kindulijumanne7632Ай бұрын
Gud job Sasa Ndio umewaziiliishia kuwa wewe ni Noma
@UltraLegend-p7oАй бұрын
#kila nikipiga mahesabu sijui nani atayeweza kuvaa viatu vya Diamond platinumz naona sioni.... jamaa anajua mpaka basi🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
@mohamediddi4425Ай бұрын
Bado sana kwa bongo wa ku mrithi huyo mnyamaa simba
@UltraLegend-p7oАй бұрын
Yani kweli📌📌📌📌
@christopheronjiri781Ай бұрын
Simba la masimba bado ni NO 1 in Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@TonnyTonnykingАй бұрын
Kenya's tumependa sana simba utafanya hii holiday tuenjoy sana 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 hadi zakayo anasikiza huko state-owned.......
@ReginaMchana19 күн бұрын
Mxssssssu
@WafulaKingАй бұрын
Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 tumeanguka nahii moto,,,hatari sana
@MaicoMnazareti24 күн бұрын
Atarii sana❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@stevenhassan26922 күн бұрын
DAAA aisee daimond mungu akupe maisha marefu sana tuendelee kupata vitu vizuri
@freedomamosАй бұрын
Mashabiki hawatakosa kuweka likes za SIMBA. who trusts DIAMOND
@MosesModogaАй бұрын
Na simba la masimba dangotee tunakukubali sana kenya🇰🇪🇰🇪
@kathywambui2694Ай бұрын
Simba kwako lakini kwetu ni paka
@MosesModogaАй бұрын
@kathywambui2694 kwako si kwetu
@cannally70Ай бұрын
Makopa kwa King ❤❤❤❤❤
@martinmomanyi6803Ай бұрын
mimi ni mkenya napenda ngoma yako latest sana
@SucessoMozАй бұрын
Wa kwanza leo naombeni like lutoka Mozambique 🇲🇿
@ArnoPita-co7jkАй бұрын
2:32 tudo bem
@ArnoPita-co7jkАй бұрын
Nakubali kaka chibu we zombi
@SucessoMozАй бұрын
@@ArnoPita-co7jkpia Mimi bro
@PetroNicodemus-g3pАй бұрын
This is what we call Tanzania top music east africa kazi kazi tu atuachii kiki tuna achia hit songs usiulize hii nyimbo club uku hii ngoma inapigwa balaaa tunaishi nayo balaa na ina week moja tu is holiday Tanzania on top ❤❤❤❤
@MugenziMozartАй бұрын
From Burundi I love this legend🎉🎉🎉
@officialrichmondchibu2212Ай бұрын
From🇰🇪 nko hapaaa
@Rahima-kv6mnАй бұрын
Ukielekea Wapi😂😂😂😂
@muhindojohn730Ай бұрын
Ngoma kali sana.... Holiday m'y favorite song
@BabiryeRachealMarianАй бұрын
Upendo mwingi kutoka Afrika Mashariki Uganda haswa
@mudibojaffar926922 күн бұрын
Walio muona Diamond Platnumz Harusini ,Tujuane🎉
@TovexAgroАй бұрын
It's song 🇹🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿 Ámen Mungu awe nawe na akwongoze kwenye mambo yako weeee zoooby haujuiiiiiiii
@Bamusiimeslyvanus6 күн бұрын
Nnno yaa
@Blir-boyАй бұрын
Love from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 Ngoma kali sna🔥🔥🔥🔥
@YoungmasterMasterАй бұрын
Much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@MgayaStevenАй бұрын
Ni yeye bwanaa from diamond 💎 tishaaaaa sanaaaa🎉
@bestmalya325Ай бұрын
Noma sanaa🔥🚀🦁
@Razeboy-j7qАй бұрын
If you're the best your best will come Kenya my bro 🎉 waiting you achana na sisi ukuwa hvyo Kenya is the home for everyone....ama niaje...
@jenifferassenga361Ай бұрын
Wa kwanza🎉
@raphaelgodfrey328414 күн бұрын
Tuliona mwaka 2025 gonga like.
@TawasiruHatibuАй бұрын
Huyu brother ni noma sana🎉
@AndrewOdionyiАй бұрын
Biggest artist in the world 🌍🌍 big up from 254.
@mohammedkidody5618Ай бұрын
Wa kwanza simba🔥🦁
@MariamKazinza-v6q6 күн бұрын
Mungu akubarik dada zuchu ufike mbali
@Mtendesharkan-c9xАй бұрын
Simba anaimb kwa kwl we ni fire from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SmithAfandeАй бұрын
Na simba la masimba dangote 🎉 wasafi🎉 🇨🇩🇨🇩
@Dcreature-b4mАй бұрын
Kipchoge wetu unakimbiza ❤❤❤
@irevsuv21 күн бұрын
Commented three times already. Ngoma wazimu hii. Usikule bata zaidi hii holiday, East Africa inakutegemea. Nani mwingine kweli? Much love from Kenya 🇰🇪 🇰🇪 ❤
@MashazaEmpireАй бұрын
Lyrics video kali utasema ndio official video, 🥰👌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🦁🦁🦁🦁🦁🦁Unyama mwingi sana 🦁🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪#pwani #001 #mashazaempire69 Representative
@centawick22 күн бұрын
Kali sana🔥🔥
@TrendingTiktok-n1bАй бұрын
Mamaeeee unabalaa wee mtoto
@NyereremusiqАй бұрын
Simba la masimba Dangote. Diamond platnumz to the world. Na mwenye anabisha njoo DM. Wasanii wa Kenya 🇰🇪 tupunguze kasheshe. Mafans wanataka mziki siyo Kiki. Naomba Tena wasanii wawe Karibu Na Diamond platnumz ili wajifunze Ni jinsi Gani ana win kimziki. Badala ya kujenga chuki zi sizo stahili. Much love from Kenya 🇰🇪❣️✅💯 Diamond platnumz. @Diamond platnumz. @Nyerere Musiq
@Young-ValentinАй бұрын
Kama una amini platnumz ni m'maniema toka Congo🇨🇩 like zetu niapa wamanyema
@ZellaJosephАй бұрын
Kutoka kumamoto Japan ❤️❤️🦁🙌🙌🙌inatosha baba tumekoma 😅😅
@erickomwocha596Ай бұрын
Simba la masimba dangote🇰🇪❤️🔥
@ChegeChigunda-w8k9 күн бұрын
oya kama unamkubali simba dondosha like apo alafu ina kuwa poa zaidi
@salioufaye4042Ай бұрын
Love from sénégal🇸🇳🇸🇳⚜️⚜️🥰🥰⚜️
@ZellaJosephАй бұрын
Karibu Bongo kipenzi
@RemasMutethia-y7m13 күн бұрын
Kwanza bwana yesu asifiwe🙏🙏halleluyah
@jembelakijijiАй бұрын
I'm Kenya iwill listen to diamond song Hadi nitosheke good music with my bundles with my time don't force me to listen to someone idont like kijana sukuma we go we go
@yannicknicah1337 күн бұрын
Hit song 🎵♥👌🎶❤🔥🔥🔥🔥
@OfficialwizzosunАй бұрын
Namimi fatilieni ngoma zangu ni kali sana🔥🔥🔥
@erickouma63108 күн бұрын
Wasi brother tupo🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
@goldenbluezАй бұрын
Ni Golden kutoka kenya. Wewe ni 👑
@ElvisNgome-i2r29 күн бұрын
Nakubal mwamba
@hamzamussa4898Ай бұрын
Simba lamasimbaaaahh
@rancfraholdlimited3532 күн бұрын
Salute from Kenya
@FilbertKakikoАй бұрын
Sifieni kila mtu ila huyu PAPILON. 🙌🙌🙌
@geeoutfitdesgnerАй бұрын
simba wa mbuga ya TANDALE,,,,tajiri wetu tunakupenda💚💚
@gaspercollins5519Ай бұрын
Afu utackia wakenya wanadanganyana ooh sijui willy poze huyu jamaa ni maji ucpo kunywa basi utayaoga 😂😂🙌🏾
@cathbetsolomon3151Ай бұрын
😂😂😂
@shinipapaya846Ай бұрын
@@cathbetsolomon3151wakati huku cc watz Simba wetu tunamuoga, tunamfuria na kubimbilika nae hadi kwenye MATOPE chezea watoto wa MAGUFULI hapa KAZI TU 🤣🤣🤣😊😊😊
@amirmbonde69216 күн бұрын
Mama samia amenikumbusha nyimbo ya kina kikeke 😂😂😂
@davidolal4108Ай бұрын
STILL A KING IN 254 🦁
@mzeebaba419916 күн бұрын
Kwanza Ahsante Airtel. Pili huyu diamondi ameshindikana hapa tz kwakweli🙌
@KamazimaAusoniАй бұрын
weeeeee simbaa🎉🎉🎉
@sesiliadaudi-m5h28 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉umetishaaaa hawakuweziiiii
@JohnMunga-n7jАй бұрын
Achia vitu Baba Zombie..achana na hao wa date 14valentine...tupe video Baba 💥💥💣💣💣💫
@IbraahTyzerАй бұрын
Simba la Masimba Dangote ww ndo Goat 🐐 wa Mziki East Africa more love 🇰🇪
@hilarymayendeАй бұрын
This guy sings just like asake almost everything
@AsmaniMatiro7 күн бұрын
Simba naipenda sana ❤❤ song ya 2025 🎉
@emmanueljohn5162Ай бұрын
All closing year Bangers
@LucinaFrancis-y4n27 күн бұрын
kakaa uwiii🙌💥 ni kamzozo aiseee nimekubaliii😎🦁
@LucinaFrancis-y4n27 күн бұрын
Wana. from kaskazini tuna subir. kolabo. yak. na central cee Fanya kwel. kakaa❣️💥💥💥😎🦁🦁🦁
@Ragazzo_254Ай бұрын
Kenyaaaa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@Mussatz-g2b26 күн бұрын
Jamani hii ngoma haichoshi kusikiliza dah anajua sanaaaaaa ✨✨✨✨✨✨✨✨✨