Wenye tunaendelea kuji injoy mpaka 2024 gengeni like zenu hapa
@Malima29_1010 ай бұрын
2024 na bado wimbo unaishi....😀🔥🔥🔥
@theblack_6754 Жыл бұрын
Mwingine anaeangalia 2024 chusha likes zenu hapa😊
@NellyMbugi9 ай бұрын
🎉🎉🎉
@happymayage67605 ай бұрын
Nipo hapa hii nyimbo 😢❤
@EdgerMoshi5 ай бұрын
Leo leo niko nayoo hiiii😅
@bfox35495 ай бұрын
Kama upo hapa 2024 Mungu akupe wepesi katika mapambano yako
@patrickkakai67824 ай бұрын
👊👊👊
@ismailseleman92884 ай бұрын
Amiin
@festojoelkichele93824 ай бұрын
😊
@scaniatanzanialtd59664 ай бұрын
Amen
@tumainijuma76593 ай бұрын
Aaaamiin InshaAllah
@salhinanjemu91335 жыл бұрын
Kwa mafanikio yake hadi hapa alipofikia kwa sasa,Watz tunampitisha Simba kuwa mwanamuziki bora kwa miaka 100 tangu uhuru Wetu 1961 Big up@DiamondPlatnum🤳🏿🤳🏿👍🏿
@pendooswad6733 жыл бұрын
Kweli
@tuwajafar56875 жыл бұрын
Am proud kuwa Mtanzania nawe mtanzania mwenzangu. Nakumbuka shida ulizozipitia ndio nilizozipitia . Ukapambana ukafanikiwa na nikapambana nikafanikiwa pia. Love you broo .mungu akupe maisha marefu
@tillahmboyaa18834 жыл бұрын
Mwingine anaeangalia 2021 jomon haishiwi hamu Kama me😘😘
@shabanilaiti8983 жыл бұрын
2021 tugonge like apa
@nicoleadelaide69013 жыл бұрын
Je l'ai découverte cette chanson rivalise avec les plus grands morceaux internationaux!!!
@mathiaskadodi60872 жыл бұрын
🔥🔥🔥❣️❣️❣️❣️
@gold-qv5lj10 ай бұрын
2024 and still whatch it😮✌️
@victoriahappens73779 ай бұрын
Me too😂
@Jastin-rodin2 жыл бұрын
Six years now.. after the song was released.. still there.. with the same heat.. This is 2023💥 Masterpiece collections💥💥💥
@chicharitoronaldo59506 жыл бұрын
One Only Diamond Platnumz...Tanzania hatawahi Tokea tenaa..Iko siku mutamkumbuka huyu Kijana!!!
@mutalemwagabriel22775 жыл бұрын
😢😢😢😢😢
@georgekafuku9995 жыл бұрын
😂😂😂😂😂🙋🙋🙋
@allykassim98265 жыл бұрын
Kila siku naongea kitu kama icho.huyu jamaa ni wa ajabu sana...watu watamkumbuka na watalia hata wasiompenda.kabisa nasema.special talented
@joshuayohana50544 жыл бұрын
Iz true
@timothmwakakusyu45633 жыл бұрын
Kweli
@cobesodar52653 жыл бұрын
Tuliorudi kwa mara nyingine tena 2021 mwaga like hapa
@zahrakhamis70613 жыл бұрын
saw
@novartkashamba48243 жыл бұрын
Tupo bado hatumchoki simba
@africanboychris22153 жыл бұрын
Tupo
@habbydaimu53133 жыл бұрын
Mond kimziki aachwee tuu tusimuingilie jmn idara zote yupoo daah kweli aliyepewa kapewa
@filexgallas35623 жыл бұрын
it was crazy
@ittyswilla58194 жыл бұрын
Alierud 2021,baada ya kuona session studio like hapanaa🔥🔥🔥
@neemamikoma89563 жыл бұрын
Tupooo
@ittyswilla58193 жыл бұрын
@@neemamikoma8956 karibuuu mdada neema
@neemamikoma89563 жыл бұрын
@@ittyswilla5819 tante
@dijah_poh3 жыл бұрын
😂 Tuko wengi 👏👏👏
@ittyswilla58193 жыл бұрын
@@dijah_poh noumaaa sanaaaa🤣🤣🔥🔥🔥🔥🤝
@michaeloyaro2 жыл бұрын
I wonder why this song has never received the recognition it deserves! The look at Diamond's face as he sings is just something else!
atakaeirudia hii nyimbo 2022 Tena Gonga like twendee sawa
@paullubida80583 жыл бұрын
Mwakani tu Apo nitarudi
@joycejames35113 жыл бұрын
God bless
@patrickmgata95743 жыл бұрын
daah umetisha
@mackenzie80372 жыл бұрын
Tupo hapa
@junaithammahad38442 жыл бұрын
Yani sichoki kuiangalia japo niyamda
@jonelhart37496 жыл бұрын
This is the song that made me start to listen to diamond's songs....amazing....ingekua possible kulike more than once
@shadrackdamiani13634 жыл бұрын
hii nyimbo nina ipenda hadi naisi kufaa jamani like bs twende saw
@shadrackdamiani60694 жыл бұрын
awoteeeeeee
@pandabooming7 жыл бұрын
Coke Studio Zote Haijitokea Ngoma Tamu Kama Hii 🙌
@nassoronyoka82854 жыл бұрын
Mm mwenyew nailewa sana
@mohammedmhina39733 жыл бұрын
Katika alikiba ft patoray
@khanlaizerdeking2 жыл бұрын
Ambao bado tuiludiaga hii ngoma gonga like hapa kuwaaminisha kwamba hii mgoma ni kaliiii🇹🇿🔥🔥🔥🔥
@ericnzaro91383 жыл бұрын
Who is still watching 2021...we all agree it's a big song🔥🔥
@paulphinias57093 жыл бұрын
We out here enjoying good music
@Madeiit3 жыл бұрын
true bro
@cyprianmsuka35723 жыл бұрын
Am here my br
@allyramadhani69043 жыл бұрын
Good music never boring
@fralex_12763 жыл бұрын
Still watchig bro ❤
@fadhilimgomela47096 жыл бұрын
Kuanzia cku hii popote nilipockia watu wanasema hujui kuimba live band huwa nawapuuza then jibu lingine hao wasanii wao ndio hawajui kuimba live band...!! Haijawah tokea ngoma kali since ever coke studio being started...!! Nasseeb u killed it bro
@idrixxaviour85675 жыл бұрын
Hhhhhh u are right broh
@moreamos46745 жыл бұрын
Fadhili Mgomela kabixaa haijawahi tokea goma KAMA HII ,SO AMAZING SONG ,THIS IS SIMBAAA ,SIMBAAAA !!!!WCB FOR FUTURE yaaan ndan ya WCB full RAHAAA 🔥🔥🔥🔥
@mgenihassain74145 жыл бұрын
Kingkiba ndio mwenye viewers weng kwa wasanii wa bongo coke studio.na ndio mwenye uwezo mkubwa wa kuimba nenda ukaone.kingkiba vs patoranking
@thomasponera60185 жыл бұрын
@@mgenihassain7414 we kweli pimbi
@johnmalongo57388 жыл бұрын
Huyu mond aliletwa hapa duniani ili kuwasaulisha watu shida zao kwa wimbo huu hata kama una stress sugu lazima zitoke.
@brothermo93435 жыл бұрын
John Malongo umetisha kinoma
@chrisb42185 жыл бұрын
Unasemakweli kaka
@moreamos46745 жыл бұрын
kabxaaa hujakosea huyu ndio kila kitu Yaan !!!,ukimwelewa aman na RAHAAA TELE MZEE BABA ,THIS IS SIMBAA CMBAAA ,WCB 4 future !!!,mambo n 🔥🔥🔥🔥🔥
@munirissa39975 жыл бұрын
Umejuwaje chaliiiii
@dinapraygod31734 жыл бұрын
Nimecheka Sana eti sugu kwisha
@rammybowy22087 жыл бұрын
diamond ni real simba ...anaimba kiswahili,English and Zulu language from south Africa ...u understand the Zulu language Casper nyovest ndio hutokea south Africa.... hongera guys ..respect
@michaelusengezakaria21867 жыл бұрын
Ebana ninoma kaka unaweza hadi nimeria namupenzi wangu
@Iconifcmusic2 жыл бұрын
Diamond this is fire 🔥 Nyovest killed it. Diamond's vocals 🙌
@fatumaabdallah72679 ай бұрын
Sheeeeshh🔥❤️ still hits hard🔥
@samuelasiimwe53206 жыл бұрын
The song is hitting here in Chicago USA Diamond platnums ur the best bro, please give my comment a like
@annapeter5747 жыл бұрын
Yan hii nyimbo ni🔥🔥🔥🔥 alfu naona kma wameichukulia poa 😢😢😢
@kaecygonzalez4607 жыл бұрын
Anna Peter Stűpid
@dullahbarca32795 жыл бұрын
🔥🔥🔥
@blackvirus87404 жыл бұрын
Simba ni mmoja tu AFRICA🎤🎵🎧mziki wake unausikilizia rohoni wangapi OCTOBER 2020 TUNAISHI NAYO DROP YOUR LIKE twende sawa🙌🙌🙌🔥🔥
@batistamocy6618 Жыл бұрын
I agree
@qwibbern Жыл бұрын
Leaving my comment here so whenever someone like this i'll come back here.
@prosperjacob435713 күн бұрын
Come back here😊
@wekesapeter93614 ай бұрын
Wimbo mtamu sana umefanya nikakumbuka mengi sana yalio pita diamond Kaka yangu .kipenzi Cha Dunia nakupenda sana baba Kutoka nchini Burundi nafwatilia muziki wako baba unani bamba sana kaka yang👍👍👍👍👍👍👍👍💪💪💪💪💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@hawawezidianakukushusha7568 жыл бұрын
Simbaaaaaaaaaaaaaa najivujia kutoka nchi moja na wewe yani unanipa raha na huwa huniangushagi God bless you bro
@angelamashoke11387 жыл бұрын
umeona ee
@loiaminiel94687 жыл бұрын
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا sana
@alfamajengo89306 жыл бұрын
Huyu Mond ni shida africa
@greysonmlazi40926 жыл бұрын
زهراhawawezi Diana kukushusha زهرا simbaaaaaaa
@mwanahelidaudi23884 жыл бұрын
😀❤️❤️
@barakamohammed57237 жыл бұрын
i dont understand swahili but huyu guy (diamond platnumz) anajua he is a desgner
@stephanomandia15964 жыл бұрын
One of the best song ever happen in Coke studio 🔥🔥🔥
@dijah_poh3 жыл бұрын
Actually the best 🔥
@edsonsamwel94743 жыл бұрын
Gffgggggg he he he ghyc go hgggguhhhhhhggghggggggghy the g get gtttgggggggytygyyhgg6 go gggggygghhhgygggyg6y6gg g 65g the get gggggg the ggggg gggggg g hg ghhggyhgy6 g to gghh go to you gggggg h good tgg5y to y hg ghhhhy hg yhggggg
@Its_jozeeeh3 жыл бұрын
@@edsonsamwel9474 what is dis
@edsonsamwel94743 жыл бұрын
Mistakes
@unclepwechnov13813 жыл бұрын
@@dijah_poh Yeah💯✔️
@leoncoetzer3 жыл бұрын
Hi Folks, I'm Leon the director of Coke Studio South Africa, (afronaut) I created this version of coke studio for Southern Africa and directed our only two seasons, how unfortunate we lost the show because we were doing so well. I really enjoyed our collabs and the new songs they created. Thanks for watching.
@saidabdulkadirmjahid8255 Жыл бұрын
What happened to this jam
@letionnews3103 жыл бұрын
Napenda kuiangalia hii kila day 2021🇹🇿🇹🇿💪💪💪wcb4life
@fikirijames57655 жыл бұрын
Aliye rudi hapa October 2019 hii thumb 👇👇
@pastorbightrobert5 жыл бұрын
This diamond is Tanzania asset but i think Tanzanians are blind
@godfreyorago75015 жыл бұрын
Namm nko nawe
@oscarmwambonja4 жыл бұрын
@@pastorbightrobert how?.
@neemamkunte31274 жыл бұрын
💞💓
@aiyasageo25726 жыл бұрын
Diamond is in his own level . I wonder why such good music isnt well produced and made public. Simba may God bless you
@MerryHighway-ow2dz9 ай бұрын
Ady m ujiuliza ivyo
@bornashae777 Жыл бұрын
Hii ni noma sana 2023 but still booming 💜👏
@yasirwabosi74813 жыл бұрын
for all people who watch Diamond platnumz in 2050 this man is a monster artist
@danielhipoliti4595 Жыл бұрын
I like this, still counting, now 2023, God is good
@soundmale11 ай бұрын
😂😂 you thinking like i love him.
@olivermwangombe23377 жыл бұрын
.........kwenye giza ye ni taa...........nani ashawahi kufikiria umuhimu wa mwanga kwenye kiza aise uko juu mondi.....nipeni likes team mondi......kiba bado ndogo men
@henrymalekela10935 жыл бұрын
Kibamia
@henrymalekela10935 жыл бұрын
Kiba Toto lao
@cholozagaro13255 жыл бұрын
Wcb 4life
@evansotieno7084 жыл бұрын
kingi kiba ni ngory boss ucionge mbaya
@jumamofu95734 жыл бұрын
Bonge la show 2020 mko wapi like zenu
@jonesdegrandson92615 жыл бұрын
Who is still watching this 2019 coz I know I am not alone😋
@elardmadeez33825 жыл бұрын
am here 2019
@mitchellmichell96545 жыл бұрын
Me
@jacklinemuthoni65215 жыл бұрын
I watch it everyday
@hellobonnie17875 жыл бұрын
I love this song especially when diamond platinumz sings in his home language😍😍😍😍😍😍😍
@irishuraperes78465 жыл бұрын
together with me sweet love from Burundi
@DanielwabahambaBarondashabani9 ай бұрын
Depuis la RD Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@kichwachagoogle51383 жыл бұрын
kwa wale watakao ona video hii 2050 ningependa kuwajulisha ya kwamba uyu jama ndo alikua msanii wa kwanza Africa nzima
@fidecharles52108 жыл бұрын
sijui aliumbwa mda gani ila nimzuri mashallah 😍😍😍😍😍
@jarednyakundi82957 жыл бұрын
😍
@sullehtz93274 жыл бұрын
Duhh verse hataree hiiiiiiiii jaman💪🔥💪🔥💪
@nalingacomedian32515 жыл бұрын
kama ulianza kumuelewa tangu NENDA KAMWAMBIE GONGA LIKE NZITO TUJUANE KIDOGO
@patrickakitanda77095 жыл бұрын
Nalinga Comedian dope
@stanleymhagama15205 жыл бұрын
Mkn
@daimually48654 жыл бұрын
Jamani mond huyu
@habbydaimu53133 жыл бұрын
Huyu mtu htr tokea anaanza mzikii
@dancingclips82074 жыл бұрын
Mwingine anayeangalia 2020 najua sipo peke yangu likes zangu plz🤗
@kelvinmathias83354 жыл бұрын
Amini mZee
@sezarialfred62404 жыл бұрын
Diamond uliiimba kwa hisia sana
@sautitz65764 жыл бұрын
Nipo apa kaka
@azizayassin36234 жыл бұрын
Yap
@okaladizeafroman33322 жыл бұрын
If diamond dies today ooh my God hata wasiompenda mtalia kwa uchungu huyu atakumbukwa milele
@Ishieb12292 жыл бұрын
Ikitokeya Diamond kanaimba live kama iyi kwenye concert Zaidi ya 2 Ulaya, basi Grammy zote za Africa zitakua zake bila shaka
@alfamajengo89306 жыл бұрын
Ndo msanii anayeweza imba mziki wowote bongo, yani yuko talented
@bigmasasiisack44188 жыл бұрын
Diomond uko vizuri na hawa wanao pinga juu ya kuimba Swahili and English hawajui chochote chakufanya piga kazi Bob langu Fanya kuikumbuka nchi yetu KWA kuitamuka hata badhi ya verse pamoja xana aise
@jerrymaike26538 жыл бұрын
abashweeeeee Africa united I like this for real moyo wangu naenda, nakupenda baby yangu I'm j-Gasty all the way from south Africa
@ZaitunMohamed-w2o2 күн бұрын
Tunao funga mwaka na vibe song 2024
@Swahili14 Жыл бұрын
Diamond PLATNUMZ SANG hell out of this song 🙌 Noone can touch Diamond in his prime He got pure power and soul This song and CHACUN POUR SOI prove Why he's The GREATEST SINGER OF ALL TIME in SWAHILI WORLD 👑
@dullytrick89985 жыл бұрын
Alieludi hapa 2020 gonga like
@erastotoshz46724 жыл бұрын
Mimi hapa
@saedissah21974 жыл бұрын
Mim 2020 \21\07
@mwambafamily4 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/rHioan54g7uJh7M
@balakajulias7463 жыл бұрын
BIG fresh
@kijanaWaMamaBhajia4 жыл бұрын
Diamond's vocals control is on fire......salute
@clementmonametsi74734 жыл бұрын
Not sure why this song never really blew up like I deserves...
@gabrielsamwel95823 жыл бұрын
Ci
@clementmonametsi74733 жыл бұрын
Ci?
@TIMOTHYMZUNGU9 ай бұрын
She so beautiful ❤🎉
@kelvinmwakalikamo8511 Жыл бұрын
sijuii aliumbwa muda ganii ila ni mzulii mashallah ... muda wote natamanii niwe naye Kila saa ili ajuee jinsii ganii kwenye Giza yeye ni Taa :nyimbo kalii ya kupigia swaga
@paulahmumia78067 жыл бұрын
She say she wanna go down, nikamwambia msuburi mara moja , hakusita akangoja nikampatia shoti mbili na soda............................ cant get enough of this song
@twahaally30558 жыл бұрын
nice song mpaka waimbaji wanafuraha kwa jinsi gani nyimbo ilivyotamu god bless to you my lion of
@aley56926 жыл бұрын
Twaha
@zerobrain33735 жыл бұрын
Diamond he nailed it 🎵 That was lit. Big up to Cassper as well ... he made it clean
@kondwanimwangobora64412 жыл бұрын
It's 2022 and I still can't get enough of this song 🔥🔥🔥🔥🙌🙌👌
It's 2022 and still moyo wangu unaenda parapararaaah rararaah...🤗
@ronoemmanuel2645 Жыл бұрын
It's now 2023 and I'm still here🐐 it's been my most streamed song on Spotify
@esbonndungu461510 ай бұрын
What a hit 🔥🔥
@jonnizomswahili16978 жыл бұрын
nikisema nasikiliza muziki nasikiliza classic diamond platinumz music eyoo ndio muziki ambao mimi km jon teezy aka straika boy aka jonnizo mswahili napenda kuusikia mi naamin unaweza kufanya vizuri zaidi ya hapo ulipo sasa ila nahisi km unatubania sisi wapenz wa muziki mzuri lakini leo nimeanza ona kile kitu ambacho kilikua kimejificha mi namwambiaga mdogo wangu diamond hapo bado hajaanza ata kuimba naona ameshika mic tu na watu washapagawa I mean your talent is so amazing bro give us some more
@georgeihoyelo22876 жыл бұрын
Unajua broo
@rebeccasarange27298 жыл бұрын
oh my!!.I can't help Chibu u killing this song,,,"macho na tabasamu cjui kwani ni." moyo wangu nalia
@mariammuhando25755 жыл бұрын
nice song diamondedye
@mariammuhando25755 жыл бұрын
nice song diamondedye
@johndeus5774 жыл бұрын
Swahili language so romantic. Nimekumbuka hii colabo kizazi sana. WCB for life
@chiconinde8135 Жыл бұрын
Nimeirudia tena bana😀😀
@frankkyando55392 жыл бұрын
2022 and still thinking this song needed more attention than it was given.
@clairetaks15456 жыл бұрын
Most beautiful collaboration have ever heard from coke studio
@batistamocy6618 Жыл бұрын
Very much true 🙏
@fatidifamily42974 жыл бұрын
kam una angalia mwez wa pili 2020 gong like tujuane
@raphaelndolofa91214 жыл бұрын
Uko sawa
@daimually48654 жыл бұрын
Mi mond anaharibu akili yangu kbs
@jameskazimil38704 жыл бұрын
@@raphaelndolofa9121 gfhgdye
@esther.s4904 жыл бұрын
Cassper Nyovest is such a vibe 😻😻😻😭😭😭
@joancherono34693 жыл бұрын
Years down can't get enough of this ❤❤😘
@dj_davietz2 ай бұрын
Turuke na hii 2024
@frankie_nickvevo84208 жыл бұрын
OMG cassper woooow!!Chibuuuu take over the world mhn number moja inapatikana ndani ya wcb only..wasafiiii
@worldwidemusicgroupza59214 жыл бұрын
After years of this song! I still find this live video brand new everytime. It's crazy.
@humbelanimdau68064 жыл бұрын
Coke Studio will expose you if you can't sing heyyy. They killed it 👏👏👏 well done boyz
@SamirBSam2 жыл бұрын
Icho kipindi ulikua unaimba muziki bro, Cassper nyovest the real nigga
i love this song so much...wow i cant get enough of listening to it..thanks guys..amazing tunes, voices, talents, wow..Iceland loves you guys...Diamond wow vizuri sana...xxxx
@kedyjohn18487 жыл бұрын
This is awephuckingsome... this Diamond guy gels in comfortably. Now see how Cassper engineered the stuff... OMG, this is music! Simbaaaa
@godknowssangweni36267 жыл бұрын
MOYO WANGU .....MY HEART BIG UP DIAMOND PLATNUMZ
@wemakingdaily14623 жыл бұрын
My Favorite Song Sijui Kwanini Hukuifanyia Video Ila Bonge La Combination💥💥💥
So amazing. What a perfect combination. They are really great. Diamond has such a unique voice
@batistamocy6618 Жыл бұрын
Uyu jamaa ni mnoma
@leonardmavele1837 жыл бұрын
Nimetazama show nyingi za cokestudio ila sijaona collabo kareee kama hii🙌🙌
@yaoboyrb81617 жыл бұрын
Leonard Mavele exactly
@goodluckhernanez34776 жыл бұрын
upo kama mm....mwanangu
@alfamajengo89306 жыл бұрын
Ni kwel
@fadhilimgomela47096 жыл бұрын
Absolutely
@jafariomary755 жыл бұрын
Halaf inafata kolabo ya vanesa mdee na 2face idibia
@kondwanimwangobora76962 жыл бұрын
can't get enough of this song, simply a masterpiece 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌
@BigZhumbe Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Simba la Masimba Dangote
@ChamMusic5 жыл бұрын
im watching this song everyday, at work ...its june 2019
@richteezy80094 жыл бұрын
I will say it again ...no where in the world has melodies and harmony than Africa 🇬🇭❤️
@teejay95315 жыл бұрын
Nigerian here...Boy platinum is dope is fuck👍.Hats off👏
@franciskapufi8845 Жыл бұрын
kila nikiangalia hii show daah nakosa cha kuandika ila acha niseme...Band inajielewa mno na imechangia kumpa Diamond vibe kubwa ikamvuruga kabisa baba Tee mpaka akaamua kuua kwa mistari mitamu ilisindikizwa na voice yenye energy Mithili ya mkuu wa jungle...naomba Band zijivunze hapa ...maana show kama hii huwezi kukosa
@kenammy27503 жыл бұрын
Flaming hot over the years...still my favorite coke studio jam💎💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@kizziebinzelemed64084 жыл бұрын
Kama bado unaichek 2020 gonga like
@paddyvusami48076 жыл бұрын
2019 who still watching this song kalike basi Kenya yamtabua simba
@alikhamis82548 жыл бұрын
Yaaani hapa dimond umeua sana naipebda sana hii nyimbo my heart
@mthobisilungelo12002 жыл бұрын
CASSPER singing from heart💗❤ what a combination 💗💗2022 still love this song
@issajohn57663 жыл бұрын
Oyaaa Simba 🦁🦁 Kama Simba dadeki tunao angalia 2021 weka ma like yako hapo
@milongojumanne5757 жыл бұрын
bonge la pumbu ,halina mfano ,kabisa ,ni kama kukutana na treni uso kwa uso ,nice song ,