Nani anaisikiliza hii ngoma 2024 anipe like mapema sana
@GululiNyamako10 ай бұрын
naukubari sana huu wimbo
@bongovs399210 ай бұрын
Me bro
@JossyDan-fg5oi8 ай бұрын
Me after causing me pain .....nika heal mwaka mzima then he cames back and say sorry as if nothing happened
@jeshiezekiel5882 ай бұрын
Chinga mwaminifu,niaje mwamba
@jazeerajuma501410 күн бұрын
Mimi nipo nasikiliza sahii hapa
@creativemind1708 ай бұрын
its april 14 2024 but this song still hits the same . releaves my soul each time i listen to it.Much love simba
@salmatwalib1453 жыл бұрын
Eti nikuombee mema na baraka uzidi kufanikiwa siwezi kamwe.. ni sawa na kuiforce sinema kuitazama na haijanivutia😁 daimond fundi bwana anajua anajua na anajua tena👍
@azizayussuf16832 жыл бұрын
Kweli kabisa
@haluasembwana9742 жыл бұрын
Wimbo wangu pendwa jamn🔥🔥🥰
@DizoBoy-mj3or Жыл бұрын
❤❤
@warrensantana15703 жыл бұрын
Hii ngoma ilinipa Riziki nilipokuwa chuo nikaiperform Talent Show na nikawa mshindi nikatuzwa Hela,I was the best performer and singer that day,na Hela ikanisaidia kumaliza semester vizuri kabisa,,#Role Model@Diamond Platnumz
@Swahili142 жыл бұрын
OMG 😭 I'm happy for you my brother ❤️
@mstarmasai10 ай бұрын
Nani anasikiza hii wimbo 2024 anipee like apa
@gamerstech56899 ай бұрын
Nime rudi pia😂😂😂
@NaseebMustafa7 ай бұрын
Mimi hapa from Zambia 🇿🇲🇿🇲 na kwajili yamapenzi 😢😢
@AmaniItcha2 ай бұрын
Diamond platnumz 🎉
@pilijuma-n4y19 күн бұрын
Nimekumbuka zaman
@derrickstuart72282 күн бұрын
Mimi haha Merry Christmas 🎉
@ekidorlopuadynos68838 ай бұрын
❤❤❤❤ imajn ndo mim hpa nackizia Kwa hao 2024
@samarayzaCatun Жыл бұрын
Nani anaisikiliza hii ngoma 2023-2024 anipe like zangu😂😂
@awesomevirals8611 Жыл бұрын
Mondi kama mondii🫡🔥🔥sjui nmekumbuka nn leo BUT THIS IS A MASTERPIECEEE🔥🔥
@babuuclassic7 жыл бұрын
Wimbo mzuri mpaka nahisi unaisha haraka. Duuh noma sana we jamaa.
@iryndee11443 жыл бұрын
🙏🙏
@godfreyotieno82683 жыл бұрын
Niache nasema niache moyo wangu una hasira nasema niache 🙏🙏
@gerhard19623 жыл бұрын
This man is blessed with a golden voice that touches our hearts even when we don't understand. . His music consoles the heart and gives inner peace. .. love diamond from Namibia ❤
@tuuphilbert81583 жыл бұрын
Sure he got the nice voice, he is my favorite singer
@Clone163 жыл бұрын
Am also an Ovambo and I love him
@paulamoka99233 жыл бұрын
He is blessed
@selenelson5603 жыл бұрын
@@tuuphilbert8158 pp
@henrylongurasia4572 жыл бұрын
together
@HassanGigii11 ай бұрын
nani anasikiliza nami mwaka huu 2024
@geosimon3637 жыл бұрын
From south Korea' I don't know speak Swahili' but #Diamond_Platnumz unajua bro' sina cha kusema najitaidi kukuelewa ila mwenyezi mungu akujalie' maisha marefu
@mustafapetekwa81237 жыл бұрын
duh we mkaleeeeee
@vynahkwamboka64517 жыл бұрын
wajua kuandika lakini ujui
@KemuntoBear7 жыл бұрын
oh my Diamond is back big up this reminds me the first time Dee started singing before he was this famous why i loved his first song ..welcome back ..mambo ya hawa baby mamas weka kadoo na uendelee kutoa nyimbo mpya kila siku ....naependa sana hii wimbo....
@montcateringandrefrigerati5887 жыл бұрын
Kemunto Bear translate please
@zuberisanze23636 жыл бұрын
Mondisafi
@festusmutegi26665 жыл бұрын
Noma
@hawahassan5993 жыл бұрын
I've missed this kind of songs from diamond, we've danced alot from his current songs like waah, jeje...like come on who doesn't miss those times of african beauty...hoping for his album to cover this kind of songs too and not only base on dance songs.
@josephgiggs93927 жыл бұрын
EBANA EEEH NGOJA TUKUACHE NAONA UMECHAFUKWA... NICE SONG BRO..gonga like kama una support mziki mzur WASAFIIIIIII....
@hasantechtvshow7 жыл бұрын
Joseph Giggs upuuzi huo mipashwo una muogopa mwambie kwa mdomo kama wewe simba kweli feeeeeuuuuuuuuu
@GeorgeKenga-xk6pd11 ай бұрын
Nani anaisikiliza hii Ngoma 2024 anipee like hapa
@hidjadejong004 Жыл бұрын
Daaah miaka mingi imepita lakin hadi leo mwaka 2023 ngomba bado ni nzuri sana❤️inagusa hisia sana💔
@kvkenzo7 жыл бұрын
Diamond ndo msaniii pekee east Africa kwa kaz nzuri. NGONGA LIKE. KAMA UNAKUBALI
@TopTenKaliTV7 жыл бұрын
flexin bonyeza picha hii
@hasantechtvshow7 жыл бұрын
Flexin info ya ZARI BOSS hiyo yako vibwanga
@kalvinabdul14387 жыл бұрын
ndio maanaake
@ahmedkhatibu53877 жыл бұрын
mbona unaongea ukweli tu
@juliusisack35357 жыл бұрын
duuu
@official_juju0110 ай бұрын
Kama bado unasikiliza hii ngoma mpaka leo 2024 tuondoke wote kwa like❤
@SleepyGriffon-vd8xq5 ай бұрын
🎉
@richardkennedy75162 жыл бұрын
Nani anaisikiliza ii ngoma 2023 anipe like mapema mwaka unavoanza
@NyambuKaren Жыл бұрын
Listen while crying😭😭😭 heart broken
@LajomasEduardo Жыл бұрын
mm
@auntiemylee3157 Жыл бұрын
Nov😊
@mosesmugo92942 жыл бұрын
This guy is a god of bongo music,he did it all by himself right from the start, against all the odds he is one and only KING OF BONGO there will ever be
@mckatokisha77783 жыл бұрын
I WONDER WHY DIAMOND DIDN'T GIVE MUCH AIRTIME AND PROMOTION TO THIS SONG AND OPTED TO GIVE AIRTIME AND PROMO "SIKOMI", they were released on same day!! This song deserves awards!!!
@michaelomondi79123 жыл бұрын
How many are here 2021 saying they miss diamond pltanumz in songs like this .......the album should be more of this ...it stills touch me
@acrestv33776 жыл бұрын
Naomba nikupe siri kaka yangu .... Ww ni mtu mkubwa sana katika Afrika hii.... Fanya hili utakuja kuelewa nnacho kwambia: ongeza kiwango chako cha maadili na unyenyekevu.... Weka siri mahusiano yako na asijue mtu kuhusiana na mahusiano yako ..... Tafadhali jamii inahitaji zaidi kujifunza kupitia kazi zako tu, kuhusu mahusiano weka siri tafadhali na ukiyafuata haya utakubalika na kila mtu hata serikali itakuwa inakuita kwenye masuala mengine ya nchi na hii ndo heshima ya kweli.... Nakuombea Mwenyezi Mungu kaka akuongoze katika hayo yote na uendelee kufanikiwa ... Asante kwa yote kaka
@mariabahati12645 жыл бұрын
amba hezron sawa kabisa
@monicalewisky49254 жыл бұрын
That's something he has no control over, it's the media that's after him
@mariamkabisa52293 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@ezzeadam37237 жыл бұрын
Chibu we sio king wa tz bali n wa Africa na dunia kama unakubal like
@emmanuelbrownofficialke.-n79422 жыл бұрын
It's now 2022 and hii ngoma Bado ni 🔥🔥🔥. Nivyema aniacha kabisa!! Hiyo love ya upuzi ndo Mimi sipendi na sitaki walae!!! Still more love 💕💕 from Kenya 🇰🇪
@minniekinyanjui91412 жыл бұрын
Kenyan too♡♡
@emmanuelbrownofficialke.-n79422 жыл бұрын
@@minniekinyanjui9141 more likes to this song
@achokiimelda Жыл бұрын
Si uku inje mapenzi inawafanyia mambo 😂😂😂
@priscahmukade4965 Жыл бұрын
And here we are again in 2023🔥🔥🔥
@emmanuelbrownofficialke.-n7942 Жыл бұрын
@@priscahmukade4965 oh yeah! It's still on fire 🔥🔥
@hassanovajunior69727 жыл бұрын
Kazi Kazi Baba Tee Tupe Vitu mashabiki Zako Kiu Haiishi Kwako Asante Sana Mr President SIMBA #NIACHE👌👌👊👊👏👏
@rehemaqueen66855 жыл бұрын
😍😍😍😍
@nashapparatus54983 жыл бұрын
I wish i understand this noble language... Diamond is indeed, a blessing to the Tanzanians. I wanna see him sing this song in a clip....
@josephmateru88922 жыл бұрын
Diamond unajua cna mzee baba hakuna wakufikia kbsa 💪🏻💪🏻💪🏻👐👐👐
@Barrydauda7 жыл бұрын
1:04 kuanzia hapa...mimi ndio nafsi yangu inapo vurugika kwa hisia kali..huyu jamaa anajua sana....big up mzee...naendelea kujifunza vitu kutoka kwako.
@innocentofficial55955 жыл бұрын
I really love this song who else still with me 2019💧🤟❤️🔥🔥
@raelwere15605 жыл бұрын
Mm bado naisikiza hata SAA hii ni nzuri kutumia x wako
@feysalahmed60605 жыл бұрын
Lit Boy meeeeeeee
@husseinkasazi16895 жыл бұрын
me
@lebrondjawadi77684 жыл бұрын
Me
@sammychone1313 Жыл бұрын
Simba dangote....much love frm 🇰🇪 u r everyyoung man inspiration mungu akuzidishie
@classicstars27694 жыл бұрын
I can't believe I used to compare this guys to Alikiba. I guess I was in denial 'cause I grew up listening to songs like Cinderella. But this guys from Tandale is good, na ubarikiwe, sana sana juu ya huu wimbo.
@Swahili142 жыл бұрын
He embodies his lyrics that's why he got more soul than all his rivals
@Lulvercameleonkemba8 ай бұрын
Ambae aliona tu huu wimbo unafanna na uhalisia wa mahusiano yake na akaamuwa kuusikia tena likes apa😂😂😂
@kennedymutugi37403 жыл бұрын
this song deserved a video .....simbaaa ...anyone listening to this song on september 2021 like
@joyceishaguah17183 жыл бұрын
December
@baikamara78076 жыл бұрын
I don't understand swahilli but this sounds soothing. He's a talented artist. Certainly, my favorite African artist. Much love all the way from the USA by the way of Sierra Leone.
@yaskidesaid50944 жыл бұрын
Y0u have t0 learn swhali ...
@onlythebrave46554 жыл бұрын
yes but it's hella savage.
@annieann39464 жыл бұрын
Wow
@Queen-vx5it3 жыл бұрын
this is definately not soothing...its about what he wants to do to a former lover who has betrayed him...he is struggling to move on and singing that if he were a car he would hit her...lol...its a dedication to exes
@johnmalombo41742 жыл бұрын
The lyrics are savage the song is about being heartbroken
@yohan_2547 жыл бұрын
the audio is touching, the lyrics out of this world.piano apo mwishokali kabisa,,,,,naskia otile brown piano kwa mbali..goood job..umetisha
@el-bariklucian51603 жыл бұрын
Ntajie mwandishi Bora zaidi ya mondi Platnumz! I'll wait!
@lyngee63553 жыл бұрын
Teacher konde
@ashamohamed14612 жыл бұрын
Ayupo
@abdallahkwezi66277 жыл бұрын
Diamond platnumz we ndio roho ya bongo fleva hatariii,bongo fleva kwenye dunia
@sandisoM857 жыл бұрын
Don't know what the dude is saying, but i'm just bumping my head to the beat. Guess it's true what they say "Music is a universal language" Salute all the way from South Africa, good stuff.
@shiraburue49206 жыл бұрын
Noma San mung aendelee kukup aidia kal kam huu wimb mzul San oyoooooooooooooooooooooooooo CMB kanuk vijich nzi mjipange
@destinpalukutayiswika84135 жыл бұрын
like festival diamond of best
@ngethedavid1425 жыл бұрын
Hii ngoma yanasa
@NicholasMunge2 жыл бұрын
Niache means leave me alone
@KassimBakari-mw8ey10 ай бұрын
Thank you for this ngoma , my diamond , from kassim Bakari Bindo , dar kigamboni
@andyjk59747 жыл бұрын
huyu Dogo kuimba hajabahatisha. ni kipaji, respect
@mototv15997 жыл бұрын
*sasa niipende ipi sasa jomoni kati ya niache na sikomi😭😭😭😭😘😘*
@barakamontkisokajrboy65835 жыл бұрын
Penda niachee
@ibrahabdulaziz15414 жыл бұрын
@@barakamontkisokajrboy6583 zote ziko poa
@issahatibu88654 жыл бұрын
Sikomi
@joanmwawaza9204 жыл бұрын
Zote
@mwinshehenassib48533 жыл бұрын
Kumbe mapenzi hisabati , wakati nnayazidisha mwenzangu nje unayato. We cement mi mchanga, nkasema penzi tujenge lisije loa. Najitia mkandarasi naezeka mabati we chini kenchi unabomoa. Niaacheeeeehh. #RESPECT. #DOMONDII.
@nyakwarombako7 жыл бұрын
Niache - Leave me alone. Diamond seems focused on talking about his relationship issues in poetic masterpieces. Slow songs with rich lyrics for the East African market, mostly the TZ home market. Great composition here. Awesome creativity.
@davidnuvunga91787 жыл бұрын
I don't understand Swahili but i love his songs, there's something special in it. Diamond is currently the best in Africa.
@asimwerobert24486 жыл бұрын
Fred Ombako
@asimwerobert24486 жыл бұрын
hello
@aadilqurashi59606 жыл бұрын
True girl .. Nakupenda Mr D + na song zako mashallah ziko poa sana BT pliz mrudie zari plizzz ju madem wanakudanganya wa nakupenda ili uwafanyie maendeleo den wanakudamp BT zari alikupenda na moyo wake wote so rudisha love kwa zari plizzzzz kama utanickiza zingatia zari
@bekadavid59425 жыл бұрын
Fred Ombako
@melvinngeno81082 жыл бұрын
No one make good music like Diamond, he has to be the Drake of Africa with his diversity.
@Swahili142 жыл бұрын
Drake ain't no diverse tho 😂
@enockosuma36622 жыл бұрын
Lilwayne 🔥
@msaniimarto7155 Жыл бұрын
What about harmonize
@melvinngeno8108 Жыл бұрын
@@msaniimarto7155 Diamond fathered him and hence he is forever his son no matter how big he gets.
@juniormark6716 Жыл бұрын
Living song Simba ngoma hii bado inaishi❤️😊 2023 anaesikiliza hii ngoma 💕🎶
@imagineme26387 жыл бұрын
Hapo kaka, hapo umeweza, nyimbo kama hizi ndo zafanyaga nikuheshimu sana. Big up
@michaelomondi79123 жыл бұрын
Somebody tell diamond platnumz we need a video for this ....sure 🔥🔥🔥
@cliffdinho Жыл бұрын
Yani nko hapa Kila mwaka kwa upendo wangu kwa hu mziki❤💞💯
@purity37765 жыл бұрын
This is my favorite song of you Diamond, its real ,you sang with passion and the pain is felt on your voice, your audience can relate with you.
@paulomaganga43164 жыл бұрын
Poa sana.
@valentiniayamashio18307 жыл бұрын
This boy is soo awesome. I can't stop tapping the repeat button for this one. Big Tune Diamond 😚😚😚😍
@esthernguro15525 жыл бұрын
classic
@ravijaystar Жыл бұрын
My mentor always Simba ... thanks for making east Africa music to the world am upcoming artists from Kenya bt Simba beng my role model #ravijay star cheetah
@tzclevistv33857 жыл бұрын
Jamani Mobetto amechafuaa sharubu za SiMBA 😂😂 ilii blaza tulikumisi sana huku...... 🙌🙌
@danielsamwel44324 жыл бұрын
Who is still listening to june 2024? #diamondplatinumz we need a video for this song
@zainabsharon3 жыл бұрын
2021
@edwinkwemoi96628 ай бұрын
Whenever I miss Diamond I listen to this song, it's 2024 and I love it. Always the best DIAMOND 💎
@veronicakomba27917 жыл бұрын
It's true they say.. musician usual write gud songs wakiwa hurt or in love..This song is so gud kiac kwanza I can't figure out ulikua na hisia hipi wen u wrote this..👏👏👏👏👏👏
@abdulatifismail47477 жыл бұрын
Aminiya boy from tandale hatukuachi sababu huna mbaya broo🇹🇿👊 gonga like kama unaamini huyu mzee baba hatumuachi🙌
@BigZhumbe7 жыл бұрын
abdul llatif 😂😂😂😂😂
@fatumakimaro48497 жыл бұрын
Ujumbe umefika
@debillionearmasha49387 жыл бұрын
abdul llatif 😂😂😂😂😂😂😂
@victorzoa50812 жыл бұрын
Those niggas who promise hollow promises then Dem gyyals left ...may you be successful in life
@lovelynewanjiku21607 жыл бұрын
Nimekuheshimu kaka recieve some luv from +254 👌👌👌.....Kenyans mark the register
@vankenny88263 жыл бұрын
I listen this Song daily, morning and evening, for three years mfululizo , this shiet really gat me 😥♥️💯
@ZaiZainabu10 ай бұрын
nani ana sikiliza hii ngoma 2024 nipe like nikuone.☺☺☺
@kamalaedso7 жыл бұрын
The Really Vocal of CHIBUUUUUU...... I Missed a lot......!!!!!!! Nice work Dude...... Press like if yo appreciate.
@charlesngusa27495 жыл бұрын
🙉🙈
@gauchomgogo10185 жыл бұрын
Edson Kamala iko powa sana
@abdulbakari41227 жыл бұрын
Fund anafanya anachojua na kwel anajua,big up Mond.
@salmatwalib1453 жыл бұрын
Kumbe mapenzi hisabati(mathematics) wakati nayazidisha(×) mwenzangu nje unayatoa(-). Hii kiswahili si ni tamu
@LilianTarimo-l5y9 күн бұрын
Jamni😂😂😂😢
@officialgladys56982 жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭 huu wimbo unanikumbusha jinsi nilivyouumiza
@priscahmukade49652 жыл бұрын
Ata mm nakuambia,,,it's actually sad 😭😭
@georgeprince75977 жыл бұрын
Mungurumo wa Simba, unatapika Moto like Dragon, memories of 2011 to 2014 welcome back to heart break songs again Dragon
@jut11617 жыл бұрын
George Prince 💔💔💟💔💔
@yulestevo Жыл бұрын
My best song I never got the video,imagine diamond dramatizing this one..ooh boy
@simbagyre75233 жыл бұрын
If u ever doubt how great Diamond is listen to this, amazing lyrics,incredible arrangement, glorious vocals
@duncanbronte86533 жыл бұрын
Ameizing
@coral271 Жыл бұрын
TBH I only love the melody but the lyrics naahh
@halimanjenge18294 жыл бұрын
Nani anasikiliza 2020.Gonga like twende sawa
@maryannmwangi803717 күн бұрын
After drama na willy imebidii nirudie izi nikumbushwe mbona I loved diamond ❤,from Kenya 2024 ,wote ni wakali lakini simba ndo simba
@Esaumvinza3 жыл бұрын
Tunao sikiliza 2021 gonga like twende sawa
@tatendamusemwa89547 жыл бұрын
All the way from Zimbabwe and saying big up Wasafi King #niache
@patrozewamuyu97653 жыл бұрын
Can't get enough of this song maaan..@Diamond platnums kweli wewe simba
@annamaina82187 жыл бұрын
It’s almost 4 o’clock in the morning jamanii, and can’t get enough of this song#niache ❤️❤️❤️simba never disappoint❣️❣️❣️❣️
@engelstan07 жыл бұрын
This is how you wrap up your Year... East Africa's Finest at his Very Best. Sikomi & Niache Audios killing it....Much love from +254,Kisumu. From Dangote to the rest of the World.
@bensoudapersie13612 жыл бұрын
Can't stop to listening this song much love for 💎 all the way from 🇰🇪
@janet1481 Жыл бұрын
My favourite artist in East Africa... Chibu mwenyewe his songs hit diffrent
@raju_de_hunter99237 жыл бұрын
Daaaah we jamaa n zaid ya simba aisee, big up bro keep give us these smart vibe ✊✊✊👏👏
@nellyesendi91607 жыл бұрын
Iko juu babaaaaah... Never disappointing... I love the message in the song powerful.... Like if you agree
@bigmtaaram61083 жыл бұрын
ilove you dada
@009biafra82 жыл бұрын
This dude is something else.May God bless you SIMBA 💎🦁
@Husseinaamantu7 жыл бұрын
duuuh umetisha sana mnyama #simbaaa dondosha like yako kama unasapoti mziki mzuri
@nasriherrera94697 жыл бұрын
Team Mombasa mko wapi????Diamond top👌
@prestigeglobal5504 жыл бұрын
Beyond control 😭😭I remembered him hell
@salimmdzomba19286 ай бұрын
Kama hii song Bado unasilikiza 2024 nipe likes za Mond💣🔥
@abdilahhussein11897 жыл бұрын
kama kuna mtu ana mkubali simba kama mimi eb gonga like yako hapo kisha sema simbaaaaaaaaaaaaa nakubali sana yn bro
@Zanmoree6 жыл бұрын
OH MY GOSH I LOVE THIS GUY💁 HE'S AN AMAZING ARTIST! BIG UP TO DIAMOND PLATNUMZ..TOO BAD DON'T UNDERSTAND SWAHILI!
@gidikocha3 жыл бұрын
Am here from Gidi kocha Empire, this song is dope.... My best artist in bongo.
@officialtriplestz Жыл бұрын
2023 Like Apa😭
@nambolesant43857 жыл бұрын
duh #niache 🔥 🔥 ni kama pipi inaisha na utamu wake alafu bro nikushauri kitu cku nyingine ukitoaga ngoma kali kama izi uwe unaimba masaa hata matatu ivi maana dakika 4 hazitoshi kwa utamu huu
@raelwere15605 жыл бұрын
Kweli
@tumainiwafula94583 ай бұрын
My kind of petty "Eti nikuombee mema Na baraka uzidi fanikiwa Siwezi kamwe wala" Someone should break his heart again coz this and Sikomi are masterpieces
@kinggoldie45116 жыл бұрын
My brother keep going am in hospital pray for me I’m your biggest fan Ahmed Abdullah Mohamed Minneapolis USA
@mariamnjeri89354 жыл бұрын
Hope ulipona
@73chengosaro44 жыл бұрын
how are you doing bro !!
@leodragon94834 жыл бұрын
Hope you fine now mahn
@leonardyoungmucky18357 жыл бұрын
Shikamoo Diamond.... sema hilo sonyoo duh hatari...!!!! WCB like twende sawa.... Simba kashaunguruma.
@warrensantana15704 жыл бұрын
Miki hupend ile sauti ya hisia na kufoka ambayo Diamond humalizia nayo ngoma zake anaifanya inakuwa na ladha fulani unique ya mwisho#Role Model @Diamond Platnumz Simbaaa🦁🦁🦁
@janethmwema59287 жыл бұрын
niaaache simba simba simba simba twnde sawa MTU wangu daaah kwa wimbo huu hata mm ambaye cjawah kupata like ntapata
@ambwenemwanyombole37995 жыл бұрын
Umebolonga
@godpheygodphey88704 жыл бұрын
Mmb
@enosarid7534 жыл бұрын
Simba
@dan-konjembe59137 жыл бұрын
Wasafi Nice bro Lion You make you me feel Happy my Diamond platnumz
@kamandab79767 жыл бұрын
Dan-kon Jembe really???
@fardinaabdulmajid653 жыл бұрын
Hapo chacha usemayo ni kweli
@aishaamy79547 жыл бұрын
I love ❤️ it Nasibu ukoju man mashahiri yakopoa kabisaa 🔥🔥👏👏👏