Dibozi Manuva | PRETTY BOY

  Рет қаралды 45,145

Dibozi Manuva

Dibozi Manuva

Күн бұрын

Пікірлер: 142
@kulyaboyforex4
@kulyaboyforex4 Ай бұрын
Afu Cha mwisho ni mtunzi wa hii story katisha maana ake huo ni ugonjwa ulio Kwa vijana wengi mpaka kesho kutongoza tongoza ovyo kwaiyo kama ujumbe umefika ipasavyo kwenye jamii❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sanaa.
@SubiraMussa-f3y
@SubiraMussa-f3y Ай бұрын
Duhhh bozi umenivunja mbavu mmm loooo❤❤❤hhhhh mauwa yko🎉🎉🎉
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sana Subira.
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 Ай бұрын
Kwa kwel you make my day 😂😂watch Nd reign
@KidokoBrian
@KidokoBrian Ай бұрын
Dibozi umeacha wapi maaajabu😂😂much love ❣️❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga Ай бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team dibo
@CollisBill-mu3zp
@CollisBill-mu3zp Ай бұрын
Lengo na nia nimuone binti wa CHA UNAFIKII🎉🎉🎉SAUT YAKE INANIKOSHA SANA❤attention sana Dibozii
@روززنجبار
@روززنجبار Ай бұрын
Kimbia😂😂😂😂😂 mtoto kautaka nawewe umemletea😂😂😂
@MasoziGang
@MasoziGang Ай бұрын
Nelly unajuwa sana Kaka sikujuwi sikufahamu na sijawahi kukuona kwenye hii industry ya bongo movie sijuwi ulikuwa wapi mpaka kufikia umri huo. Ila haujachelewa naamini ndo umekomaa Sasa tumepata kuona kalama yako... Wewe ni bonge la star wa baadae.. unajuwa kufix karakta yako. Hongera sana Kaka mungu akutunze na ufike mbali uzidi kutupa burudani. Nategemea kukuona kwenye kazi nyingine ukifanya vizuri.
@sarahkaniki1732
@sarahkaniki1732 Ай бұрын
Hongera diboz manuva digara🎉🎉 tunakupenda mm na familia yang yote
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Wow ahsante sana nawapenda piaa wape salamu zangu. ❤
@issaLamadhan
@issaLamadhan Ай бұрын
Kwenye story umetisha sana maua ako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Thanks sana.
@issaLamadhan
@issaLamadhan Ай бұрын
@@Dibozi_manuva mapoj San mungu akutangulie
@KIOMBOYTZ
@KIOMBOYTZ Ай бұрын
🌹🌹🌹🌹🌹yako brother bonge la kazi
@Amina-d1v
@Amina-d1v Ай бұрын
Nakupenda sanaa dibozi manuva digalaa😂😂😂😂
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Nakupenda pia Jane
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- Ай бұрын
Nakubali Diboz manuva mkulu wa kukaya chawa usie kuwa na haya digala😂🎉🎉🎉🎉🎉
@princessvai6
@princessvai6 Ай бұрын
Dibozi manuva umetisha mzee alf mbona km wa kumusi wewe jamani kusini home❤
@Hadijawashuma
@Hadijawashuma Ай бұрын
Diboz mzee likoma Yuko wapi muvi zako zina kuwa nzur sana ukiwa na likoma😊😊😊😊😊😊
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Usijali mtatuona sana pamoja wakati utakapofika
@Hadijawashuma
@Hadijawashuma Ай бұрын
@@Dibozi_manuva pia hongera kwa Kaz nzur upewe mauwa yakooo🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹🌹
@kulyaboyforex4
@kulyaboyforex4 Ай бұрын
Hugo dada safi alipo Tisha ni kwenye kutambua ancho paswa kufamya kafanya kwel
@PetroJohn-k2c
@PetroJohn-k2c Ай бұрын
Nakukubali sana dibozi manuva endelea kutupa burudani mashabiki zako.
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sanaa
@OmmyFamily
@OmmyFamily Ай бұрын
Dibozi honger kz mzuri bili kusahau mauwa yako 🎉🌹💐♥️🌺💕❤️🥰 yapokee
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Nashukuru sanaa
@SheikaYussuf
@SheikaYussuf Ай бұрын
DIBOOOOZ MANUVA DIGARAAA😂HUNA KAZI MBOVU POKEA MAUWA YAKO🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahaha ahsante sana Sheika
@SheikaYussuf
@SheikaYussuf Ай бұрын
@@Dibozi_manuva ok
@jameskalugo4583
@jameskalugo4583 Ай бұрын
😂😂 waah umetisha manuva
@kelvinmacha813
@kelvinmacha813 Ай бұрын
Nelly umeuwaa😂😂
@Philohmutua-bc4jk
@Philohmutua-bc4jk Ай бұрын
Mbona nikazubaa hivo manuva😂😂😂😂
@amanifreddy-m2o
@amanifreddy-m2o Ай бұрын
Kama unamupenda diboss niachiye like ❤
@clevermwazembe
@clevermwazembe Ай бұрын
@MarwaMwita-w7g
@MarwaMwita-w7g Ай бұрын
M
@CathrineMlialia
@CathrineMlialia Ай бұрын
Kazi nzuri sana Dibozi ila ungeacha iendeleeee
@PcNice
@PcNice Ай бұрын
Mguu Kwa mguu Kila hatua tupo pamoja
@IshimweKevin-no3vy
@IshimweKevin-no3vy Ай бұрын
tunawapenda kutoka burundi🎉.
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g Ай бұрын
Duuu, dibozi manuva mbonaa umetoka sana nakupenda sanna 💛❤
@clémchoux
@clémchoux Ай бұрын
Nakukubali sana manuva ume tu maque sana ku plan b
@philohmutua2968
@philohmutua2968 Ай бұрын
Dibos ❤❤❤kazi zuri sana
@Family-i2d
@Family-i2d Ай бұрын
Kazi nzuri dibozi❤❤😂😂😂 basi wenzangu tusalimeane
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Muone 😂😂
@VERENICEMICHAELY
@VERENICEMICHAELY Ай бұрын
Hapo kwenye worch and raning sasa sijui wanaamanisha ile kukimbia au ya mvua maan hata kutamka sijui wanatamkj😂😂😂😂 nimecheka kama chizii
@mwinyimvuaamani7-h3g
@mwinyimvuaamani7-h3g Ай бұрын
watch and learn 😂😂 tazama na ujifunze
@IsayaMollel-fn2tb
@IsayaMollel-fn2tb Ай бұрын
Tunaelewa kazi zako mkubwa
@Neverallon
@Neverallon Ай бұрын
😂😂😂😂wanaume somo lenu hili liwaingie
@raajtz8073
@raajtz8073 Ай бұрын
Kwahio tisitongoze😢
@UmmyChilumba
@UmmyChilumba Ай бұрын
Mtongoze mkipata mtulie ila huu ni huaribifu🤣🤣​@@raajtz8073
@MamanEstherEsther
@MamanEstherEsther Ай бұрын
Diboz manuva kazi zako nzuri 🤝🤝🎉🎉🎉🎉 ongera
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sanaa
@JulienneChritine
@JulienneChritine Ай бұрын
Kazi nzuri sana dibozi manuva
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sana.
@Amina-d1v
@Amina-d1v Ай бұрын
Hizo ni kuku ama jinsi 😂😂😂❤
@kulyaboyforex4
@kulyaboyforex4 Ай бұрын
Hao wengine wawili wametisha sehem niliyopenda ni walipomtoa bandani sukule na kumsomea
@mwinyimvuaamani7-h3g
@mwinyimvuaamani7-h3g Ай бұрын
😂😂😂😂
@TightnotChome-fn2jy
@TightnotChome-fn2jy Ай бұрын
Diboz ndio amefanya nitazame hii movi haki😂
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sana 😅
@AsmaRamadhani-ok6iv
@AsmaRamadhani-ok6iv Ай бұрын
Dibos anapenda kuingiza mov za kichawi mmmmmh😊
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
😅😅
@vevevechou-yu5gk
@vevevechou-yu5gk Ай бұрын
ao mchawiii kl😂
@BerthaSimon-bn7oc
@BerthaSimon-bn7oc Ай бұрын
Hata mm nawaza cjui kwann
@kura.the.boy-
@kura.the.boy- Ай бұрын
Kazi nzuri Diboz manuva huna baya 🎉🎉🎉🎉
@husseinbakromar5865
@husseinbakromar5865 Ай бұрын
Msukule Yuko ndani ya Banda viatu viko nje ha ha
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 Ай бұрын
Kazi nzuri sana
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sana.
@levisofficial
@levisofficial Ай бұрын
Dibozi ndoo ukahamia huku ukaacha plan b
@MillicentMoraashMongeri-s8p
@MillicentMoraashMongeri-s8p Ай бұрын
I like it 👍👍👌👍😊👍👌❤❤
@amnehomar
@amnehomar 21 күн бұрын
Diboozii😂...... ,
@MaisaraMasoud
@MaisaraMasoud Ай бұрын
Mzee dibozi manuva safi sana
@IreneKibanga
@IreneKibanga Ай бұрын
Likes za Kenya hapaa
@Mariamthoya-ff6jd
@Mariamthoya-ff6jd Ай бұрын
Saf San diboss
@MarygorettiWafula
@MarygorettiWafula Ай бұрын
kazi nzuri dibozi
@ndayiragijejeanclaude-rh1zl
@ndayiragijejeanclaude-rh1zl Ай бұрын
Wakwanza kutoka Burundi 🇧🇮
@MancaGilbert-os9kx
@MancaGilbert-os9kx Ай бұрын
Kaz nzuri diboz manuva👏👏🔥
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Shukran saanaa
@SamwelishukuruShukurusamweli
@SamwelishukuruShukurusamweli Ай бұрын
Hongera sana. Divozi
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsante sanaa
@jeankabongo718
@jeankabongo718 Ай бұрын
Tunataka kumiona na mzee likoma please
@kulyaboyforex4
@kulyaboyforex4 Ай бұрын
Nelly Tisha sana saut muonekano ualisia body reaction sura inaongea Nelly Tisha sana mwamba
@AgnesMasoud
@AgnesMasoud Ай бұрын
Kabisa yaani nimependa sana❤❤
@mwinyimvuaamani7-h3g
@mwinyimvuaamani7-h3g Ай бұрын
asante san kaka kwa niaba yake nelly familia yangu na mzee dibozi
@LeonardFabian-i5z
@LeonardFabian-i5z 16 күн бұрын
Safiiii mno
@glorynovathmoshi
@glorynovathmoshi Ай бұрын
Harudii huyu na ataanza masomo ya upadre🤣
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
😂😂
@kiwajaulokiwajaulo
@kiwajaulokiwajaulo Ай бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@CarolineKweyu-l4z
@CarolineKweyu-l4z 11 күн бұрын
Ila gadisa daaah
@SophiaNdayishimiye
@SophiaNdayishimiye Ай бұрын
Mimi napenda cheko la dibozi hua linanikosha 😄🥰
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
❤❤
@FaridaMwasenga
@FaridaMwasenga Ай бұрын
Hata mm
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
​@@FaridaMwasenganyie mtafanya nilizidishee 😂
@JosephineMomanyi-jp8tv
@JosephineMomanyi-jp8tv Ай бұрын
Nely kautaka kindume pole sana ulitaka mwenyewe
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
😂😂😂
@kiwajaulokiwajaulo
@kiwajaulokiwajaulo Ай бұрын
😆😆😆😆😆
@hometv6363
@hometv6363 Ай бұрын
Ni memuona papa yake na zebu kwenye wamangushi dibozi mbona huoneka sana kwenye plan B na mister money
@LatifaJuma-jx6ix
@LatifaJuma-jx6ix Ай бұрын
Ukosawa kabisa
@JibranMursali
@JibranMursali Ай бұрын
Mnachelewa bana saana
@khalfanmohd2934
@khalfanmohd2934 Ай бұрын
Tazam na ujifunze
@kiplimo411
@kiplimo411 Ай бұрын
Dibozi mkali wa haya mambo
@ShamilaAbdul-n8b
@ShamilaAbdul-n8b Ай бұрын
Diboziii 🎉❤
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Shamilaaa
@DavidOdongo-t7p
@DavidOdongo-t7p 12 күн бұрын
Aky mnanyima mwenzenu matumaini
@ChristinaAdroph
@ChristinaAdroph Ай бұрын
Tunakupenda
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Ahsanteni nawapenda piaa Tinaa
@JibranMursali
@JibranMursali Ай бұрын
Msituchelewesheee
@sharifmwanga3150
@sharifmwanga3150 Ай бұрын
Look and learning 😂
@mwinyimvuaamani7-h3g
@mwinyimvuaamani7-h3g Ай бұрын
watch and learing 😂😂😂
@azizahmohamed3495
@azizahmohamed3495 Ай бұрын
Hahahaha eti watch and learn
@MariamSaidi-s7n
@MariamSaidi-s7n Ай бұрын
Lean and watch😂
@zeinabuAchiengOkara
@zeinabuAchiengOkara Ай бұрын
Nice
@ValDavy-i2n
@ValDavy-i2n Ай бұрын
❤❤❤
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Hivi huyu Amanda sijui Amanda ni mtoto wa mzee deboze mbona kama wamefanana
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Hapana, kwenye maisha halisi Ayanda si binti yangu maana kiuhalisia umri wangu hauniruhusu kuwa na mtoto aliyebalehe au kuvunja ungo. 😅
@Ayanda_actress
@Ayanda_actress Ай бұрын
Hahahaaa 😂​@@Dibozi_manuva
@روززنجبار
@روززنجبار Ай бұрын
​@@Dibozi_manuvahaaaaa Kwan we mdgo Sasa sema TU ulichelewa kumpata mapema😂😂😂😂😂
@mwinyimvuaamani7-h3g
@mwinyimvuaamani7-h3g Ай бұрын
🙌🔥🔥🔥🔥
@zuwenasuleiman2115
@zuwenasuleiman2115 Ай бұрын
Funzo😢
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Hivi deboze ametengana na KP au maana hatunuoni kwenye PLAN B na kwenye kazi zake hakuna mtu hata mmoja wa KP GROUP ambae ameshiriki
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Hapana hatujatengana ni mgawanyo wa majukumu tu, lengo letu ni kuteka soko la sanaa nchini,. Kutokuonekana Kwa watu mlowazoea kwenye kazi zangu ni chachu ya kuleta ladha mpya na kuvipa nafasi vipaji vipya.
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
@@Dibozi_manuva ahsante mr deboze nakukubali sana mkuu upo vizuri sana
@MlongoChai
@MlongoChai Ай бұрын
Kweny plan b diboz ni bba norah na zebuu na ndie mgonjwa yuko hospital nan anakubaliana na mm
@alhimnamussasaid3619
@alhimnamussasaid3619 Ай бұрын
Deboze si alikua chizi mwanzo kabisa wa plan b
@KelvinTz-nx7ry
@KelvinTz-nx7ry 17 күн бұрын
Niachie like kama umekubali hii film
@mohammedhassan1836
@mohammedhassan1836 Ай бұрын
Hii scene ya nelly na huyu dada inakosa credibility
@ELIJAHMUTHURIKARAMBURIEli-mwit
@ELIJAHMUTHURIKARAMBURIEli-mwit Ай бұрын
@حليمهالبلوشي-ز5ث
@حليمهالبلوشي-ز5ث Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤
@kpnazebuu.recaps
@kpnazebuu.recaps Ай бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️
@Bibi-he6vt
@Bibi-he6vt Ай бұрын
Umeshiba ama kitambi
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Vyote 😂😂
@Bibi-he6vt
@Bibi-he6vt Ай бұрын
@@Dibozi_manuva 😂😂😂
@JibranMursali
@JibranMursali 2 күн бұрын
Hiiii mbona haiendeleeiiii
@ThierryNduwayesu
@ThierryNduwayesu Ай бұрын
❤❤❤
@ChristopherMadeni
@ChristopherMadeni Ай бұрын
Nice 😅😅😅😅
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Thanks 😅
@purityneema-gh6jc
@purityneema-gh6jc Ай бұрын
😂😂😂
@kulyaboyforex4
@kulyaboyforex4 Ай бұрын
@princessvai6
@princessvai6 Ай бұрын
Dibozi manuva umetisha mzee alf mbona km wa kumusi wewe jamani kusini home❤
@Dibozi_manuva
@Dibozi_manuva Ай бұрын
Hapana mimi wa ukanda huu huu wa pwani ya mashariki ila tupo pamoja 😊😅
@princessvai6
@princessvai6 Ай бұрын
@@Dibozi_manuva okay
@JibranMursali
@JibranMursali Ай бұрын
Mnachelewa saana bana
Dibozi Manuva | CHA UNAFIKI.
27:41
Dibozi Manuva
Рет қаралды 51 М.
MTU MBADI EPISODE 7 | DIBOZI MANUVA.
20:14
Dibozi Manuva
Рет қаралды 7 М.
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 44 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 2,7 МЛН
AMEYABANANGA | Kp Na Zebuu.
18:23
Dibozi Manuva
Рет қаралды 255 М.
kobe la mchana full movie @MWAKATOBE
57:58
MWAKATOBE
Рет қаралды 70 М.
MUUZA KANDORO- OFFICIAL FILM EP 09
31:43
JIKUBALI FILM
Рет қаралды 881
NEVER GIVE UP 💪 Full movie
1:37:31
BabaJoan
Рет қаралды 593 М.
HOUSE GIRL PAMBE FULL MOVIE  #bhailam #mpira
2:37:07
MPENDA FILMS
Рет қаралды 78 М.
MR MACHALE FULL MOVIE
53:38
Ndaro Tz
Рет қаралды 1 МЛН
Dibozi Manuva | MTU MBADI EPISODE 01
20:30
Dibozi Manuva
Рет қаралды 29 М.
MAMA WA KAMBO FULL MOVIE
2:04:05
Kumbau tv
Рет қаралды 238 М.
KIMEMRAMBA | Kp Na Zebuu.
13:15
Dibozi Manuva
Рет қаралды 124 М.
Dibozi Manuva | RIMOTI YA KICHAWI.
40:01
Dibozi Manuva
Рет қаралды 98 М.