Hello jay,Dave Ako sawa nimeota mara mbili amepatikana.Amen!
@Mbangani-yk9fj4 күн бұрын
Director Jay, you're a true friend, may the lord protect and continue to bless you abundantly, l cover you with the blood of Jesus, l speak victory into your life ❤❤🙏🙏
@hellenjerop5664 күн бұрын
Jay uko na roho safi aki tunawaombea sana Anita ni mchinga ata hajashughulika ata kuenda studio ya dave wameet na Dci fred
@purityjames36684 күн бұрын
Hi nimekupitia nipitie tugrow pamoja
@repheranyonyi6864 күн бұрын
May God bless you Jay
@RoselineAtieno-b2f3 күн бұрын
Atakuja kujuta si Ku moja hii ni dunia tenda wema nenda zako aliyekukosea msamehe ata usipokuwa karibu naye@@hellenjerop566
@EstherKoki-n3i5 күн бұрын
True K kama uliendeanga mtoto wa linda mombasa tafuta Deve maali ako tunakuaminia bor
@SaidinaSaidi-v5q4 күн бұрын
Amepoteza mtoto
@Linet-v5s4 күн бұрын
@@SaidinaSaidi-v5qMtoto mgan
@miriamndua81273 күн бұрын
How is Linda mum derrick ad baby Jayden
@annnjane16974 күн бұрын
Jay dont be depressed, trust in God, remember Job lost everything including children.. Mungu kumbuka wale watu senior Dave ameokoa
@JanyfferNyambura4 күн бұрын
bytheway guys true k wakiwa na senior wanayapitia siku hizi but all in all God is good I know penye senior Ako Mungu amemulinda. all things will be okay in Jesus name🙏🙏
@KELVINBRANDK5 күн бұрын
Waaaa😢😢😢😢😢😢May God protect you all 100peoples mnipitie niwapitie right now unasema uko number ngapí
@EstherMogire-u9i4 күн бұрын
Done nipatie pia ❤❤🎉
@KELVINBRANDK4 күн бұрын
@EstherMogire-u9i Done
@zippyjamesmwangi65514 күн бұрын
Jay tunakuaminia wewe ni true friend as SD naumukataze live show za usiku nasi tafhdhali,, Mungu awatangulie tunawapenda ❤❤
@Happy-n5i5x4 күн бұрын
kipind amechukuliwa hakuwa live alienda na champee kula saa mbili usiku
@purityjames36684 күн бұрын
Hi mum nimekupitia nipitie tugrow pamoja
@MaryVick2105 күн бұрын
Teda wema neda zako usingojee usifiwe na watu true k may God protect u and team remember this is spiritual war msiede hivi hivi tuu
@Sarah-iw6cg4 күн бұрын
Thankyu jay ,,and true k family you are more than mature ❤️❤️..i wish ungeongea na hao staff wa dave waache kuongea vibaya Kwa mafans na kuongelesha kina riaga vibaya
@mercyshany64004 күн бұрын
True k despite the challenges you are going through bt you are a good friend indeed may God bless you 🙏
@KalekyeElizabeth4 күн бұрын
Mgeenda Na pastor Nancy
@carolinemwenze88314 күн бұрын
B blessed jay and ur wife...we love u...dave God is with u
@josephinemogere86184 күн бұрын
Wacha Mungu awafuke na Damu ya Yesu na wacha nguvu sa gisa sikue bure kabisa kwa Jina la Yesu Amina.
@KyaloSusan3 күн бұрын
Wee hii kazi n ngumu kweli mungu awalinde n damu ya yesu kristo iwafunike ,,kama family y alfoga walipatikana wakiwa hai pia dave ako safe
@aminahassanali11904 күн бұрын
Mungu asimame na nyinyi na inshaallh dave apatikane akiwa hai😢kwa uwezo wake mungu
@fridahmalusi19914 күн бұрын
U a just an amazing person and a true friend of senior dave mungu hawasaidie haki mmpate mnakuanga hardworking sana🙏🙏🙏
@mercyngombe474 күн бұрын
Dir jay ure true friend acha mungu akulinde na familia yako na kazi yako izingire na blood o blood of Jesus show ur friend how he means alot you hio safari iwe ya heri na mungu awatangulie
@Mary-c7x4 күн бұрын
Mngeenda na pastor nancy
@nginarose-w5d4 күн бұрын
God bless you jay
@dorothyosoko46614 күн бұрын
Thanks our brother Jay ,God be with you through this missions. We trust in God .our brother Dave is our hero and we must find him in Jesus name amen and amen
@JanetNzilani-m5x4 күн бұрын
Mungu akutie nguvu na muwe na umoja mungu anaenda kutenda Dave anaenda kupatikana masaa inakuja kama unaamini sema amen
@sweetheart68134 күн бұрын
Aki roho yangu inaumia juu ya senior dave aki wale watu wanasaidia bona wanapitia mangumu,jay be blessed with your family we love you soo much kwa kazi mzuri
@isabelakerubo37534 күн бұрын
Aki na Bibi ana stress
@MillicentFuraha5 күн бұрын
Mungu akulinde umpate senior Dave wetu ako sawa
@stacymutua74014 күн бұрын
Pole sana Jay. God will come through for you. You are true friend to not only Dave but also to many. Baraka tele as you look for your friend
@everlineeverlinewamalwa2434 күн бұрын
Jay aki mkona job ngumu may God protect you guys 🙏🙏
@MwangalaEverlyneNelima4 күн бұрын
Mungu akulinde jay please in Jesus name
@PhilesOngono4 күн бұрын
Am. Happy vijana wetu mumejitokeza kutafuta mwenzenu even three angels walisema mwenye hatampata wa kwanza hatakuwa blessed so waja mungu hawaprotect na safari hikuwe succeful
@wilkode4 күн бұрын
Following from Kampala Uganda. Jay keep going God is with you.
@millickemunto86464 күн бұрын
Mungu awe nawe director j may Almighty God protect you from all evil I know has good plans for you he will never lie nor forsaken you he will make a away for you . Psalms 23:1...... Bwana ni mchungaji wako hautapungukiwa na kitu hâta utakapopita kwenye bonde la uvuli wa mauti hataumia kwa maana fimbo yake na gongo yake itakufaliji milele .
@marybae75654 күн бұрын
Director jay mungu awalide pamoja na s Dave ua mnafanya kazi mzuri sana the good God protect you in Jesus name 🙏
@theresiawangui13154 күн бұрын
You are covered by the blood of Jesus Christ.
@wilkstermunyao82844 күн бұрын
May God bless you all.Bella mnapendwa sana ❤
@vincentwambua79074 күн бұрын
Good job Jay... your job is awesome together with the heavenly angels you will bring Dave back safely
@beatricebrownie4 күн бұрын
a true friend will stand by you in difficult times thanks to Jay for being a true brother to Dave . Thanks for being wise you didn't go live. God bless you
@truektvfamily4 күн бұрын
I appreciate that
@beatricebrownie4 күн бұрын
@@truektvfamily 🙏🙏🙏
@IreneWayua-tu6yp4 күн бұрын
Real friends jay kip it up.lazima dave apatikane na Bella aogee na annitah coz she hasn't shown up kutafuta dave.
@Akorikinwilliams4 күн бұрын
Riaga and group are coming for his rescue the angels have shown them where Dave is so Jay please pray
@arieyajacqueline99804 күн бұрын
Lakini watu wengine wa sd wanawavunja moyo wakisema akina riaga wanataka pesa 😢😢
@rakaieva54724 күн бұрын
Mr Jay God is with you don't lose hope may God protect you and your family members in Jesus is name Amen.
@charity49084 күн бұрын
Good to see you Dir. Jay. Jikazeni no.matter the situation because in life you can not give up. As long as you have life in you, don't give up.
@JoanChumba-e4w4 күн бұрын
Dave atapatikana just pray ,he is not in good place but kina riaga have gone for him and already they have the key where they put him
@doriskanini1224 күн бұрын
Jay Mungu akubariki,na akutetee.Dave atapatikana ,i believe
@ElizabethMutuku-k2n4 күн бұрын
Really you're true friend
@NuruNdegwa-yg2bm4 күн бұрын
True k na Dave ni zaidi ya friends adi dave anafeel ako na brother may God bless you abundantly Jay's family 😢🙏
@JoyceMimanyara4 күн бұрын
may God bless you Jay you are a caring Man tuta simama na nyinyi Mungu ako Mbele
@serahnjoroge4194 күн бұрын
I like this jay despite the his condition he has good heart to his friend may God bless you
@IsaacKieti4 күн бұрын
Bro,I know you very well, you are very strong in faith and prayers.pray
@pritonosebe4 күн бұрын
Director nilikukataza kuvaa hiyo nguo ya Dior husikii,😢😢😢mungu akusaidie
@Zuuh1074 күн бұрын
Inamaana gani maana huona tu
@blessed_one64 күн бұрын
Dior Iko na shida gani?
@pamelamatagaro4 күн бұрын
True k, thank you so much, mungu amurinde sd, twamuitaji sana aendelea kuzaidia watu wa mungu
@ClaraChenjema4 күн бұрын
Barikiwa true k, kwa ushirikiano kutafuta dave
@Beth-t6w4 күн бұрын
Jay you are a true friend despite the challenges you are facing may God bless you
@Beth-t6w4 күн бұрын
Updates ya Leo plz
@Sanyu1484 күн бұрын
Mungu awatangulia na awatia nguvu 🙏🙏🙏🙏
@JulietImujaro4 күн бұрын
True k,acha mungu awampe kibali,neema,na nguvu ya kusaka Dave
@josephineamujaro52834 күн бұрын
A good friend,true friend...Azuka alisimama na Alfoga,na huyu chizi mkeo Dave anajua kutojua kupika,,limama gaucho hakuna akili..
@lydiarugut82324 күн бұрын
Thanks Jay your a good friend to senior Dave
@rebeccamwende50394 күн бұрын
Jay true friend akh God protect you
@janegatitu-p9l5 күн бұрын
Amen. The God of Jacob lsaac and the God of Shadrack Meshack and Abednego fight this war. Si kwa Majeshi wala silaha ni kwa roho mtakatifu. Nguvu za giza zimeshindwa kwa jina la BWANA YESU.
@gladysmawia4 күн бұрын
God bless you 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@EuniceChepkemoi-cy5ny4 күн бұрын
May God bless you jay and protect your and your family
@linetobuba4 күн бұрын
More blessings 🙌 to you director jay and Bella
@ElizabethWanjiru-mg9sj4 күн бұрын
Atapatikana Mungu ako na nyinyi
@FridahMash5 күн бұрын
Aki jay woye mungu akulinde popote utembeapo😢
@PamelaMaghuwa4 күн бұрын
Mm nakaa t nikifikiria dave alipotea machozi yananitoka tu waaah 😢😢😢😢
@MuthamaMacelina4 күн бұрын
Jameni. Kwa RAF wamekwama, Jay amekwama. Ee Mungu jidhihirishe
@LeahWanyonyi-tf8sz4 күн бұрын
Jay may God strengthen you at this journey
@gakyjaklin4504 күн бұрын
Ww n mtu wa karibu sana kwa SD aki mungu akubariki bro jay,bibi yake n kma anaaja na yy but mungu atafungua njia
@GladyKalekye4 күн бұрын
Jay and senior Dave ile kazi mnafanyanga ni hard sana but we know God is with you nothing will defeat you ndo maana mapepo zinaingilia kazi yenu coz ni mnahelp and dark spirits has no friendship with holy spirit....you will win in Jesus mighty name
@LucyNjoro-e1v4 күн бұрын
It better to hv 2 friend a friend who will be always there for U thn hvn 100friend n they are all fake friend 😢😭hii ndio friendship XX n true friend 🙌🙏
@WilliamOngwenyi4 күн бұрын
True k family my our God protect you in anything you will not like any more
@lucymaina35084 күн бұрын
Mungu ni mwema Kila wakati atabanya makubwa my brother
@mumbisandtmann89314 күн бұрын
You heard DCI Fred was also on search called you for car assistance why wouldn't all join together
@rosemuia4 күн бұрын
My GOD help yuo all yuo gus YESU ako ndani yenu juu ya upendo my GOD bless all
@vitalisbilaro72712 сағат бұрын
God is the protector bro
@QuinNaututu4 күн бұрын
May God protect Director J
@frashiamuthonimwangi70204 күн бұрын
Jay ungeenda na pastor Nancy
@abdullahalanazi27144 күн бұрын
Mungu akulinde watch Riaga show utaona chenye inaendelea kuhusu Dave
@mumbisandtmann89314 күн бұрын
Do they know which forest exactly@abdullahalanazi2714
@queenyakinangop40965 күн бұрын
Team senior Dave Team Jay Tem ndangulo Team Salim Team beaka Team bonveee Team chisaka Team alfoga MUNGU apigane vita zenyu May the Lord's answer you when u are in distressed,; may the name of the God of Jakob protect u.may he sends you help from the sanctuary and grant sapport from Zion .may he give you the desires of your heart and make all your plans sacceed Psalm 20:1
@NuruNdegwa-yg2bm4 күн бұрын
Amen 🙏,, and team raff
@CathelineKarumbi4 күн бұрын
Amen
@ceciliambinya97344 күн бұрын
Riaga na raff
@kimbubblez55974 күн бұрын
Wah i miss you so much bro well come back
@SaidinaSaidi-v5q4 күн бұрын
Jei angalia asikate brek.
@loseeal34404 күн бұрын
Yaaani Anita' haezi wajoin😢😢😢 hata kama chuki iko vipi😢😢
@EdinahMogire-d4w4 күн бұрын
Ajana na hle malaya inajifanya
@JESCAMUHANJI4 күн бұрын
Aki Mungu awalinde dunia imeharibika
@irinemosati55574 күн бұрын
Hii maisha ya shida ta nairobi mara wakora na waganfa Mungu saidia hawa vijana.
@luckiestmeckson22224 күн бұрын
Bro poleni juu mnapitia mengi sana but ninaombi moja tu au wazo likikupendeza It's okay kama nitakua nimekukera unisamehee tu nihivi unaonaje ukiwa una tembea usiku uwe unaizima taa ya ndani kwa Gari juu sahii hakupo poa binafsi naona ukiwasha hiyo taa ndani nikama unamlahishia adui kukutambua kwaulahisi kumbuka ulikua ni usiku sana Aki nihivo tu samahani kama nakuingilia kwenye majukumu yako bro
@CathelineKarumbi4 күн бұрын
Jay unafanya vizuri ,lakini vyenye kina ndangulo walielekezwa na mutume huwezi enda huko peke yako junikwamsitu
@Berry-v4p4 күн бұрын
Jay mshikane na Riaga, Jeff alionyeshwa mahali Dave ako, akiteswe, ijapokuwa wamepewa mission ya kumwokoa ijapokuwa hawajataja mahali ako
@margaretadhiambo66854 күн бұрын
Wajataja for security reasons cz wanaweza muhamisha place ako na apelekwe kwengine
@Happy-n5i5x4 күн бұрын
unajua kama dave anatafutwa na watu wengi so wakitaja place inakuwa hawampati
@margaretadhiambo66854 күн бұрын
@@Happy-n5i5x so many things are happening behind him,for security measures most of the things they will not show us like the case of Alex,who knew he is reformed,they just showed us part of but the rest of the things,they didn't show,they only gave an update on how he doing
@Happy-n5i5x4 күн бұрын
@@margaretadhiambo6685 tusubir tuone wakina riaga wamshafika huko
@margaretadhiambo66854 күн бұрын
@@Happy-n5i5x sawa sawa, patient pays
@ميريكينيا-ي9س4 күн бұрын
Haki mungu awalide haki mungu awe naye
@JohnGithiiga3 күн бұрын
God is with you guys
@LilianMbatha-n5z4 күн бұрын
Jay pls ambieni anita ajitokeze asaidie kutafuta baba mtoto wake
@NanzieKerry4 күн бұрын
Tunakuaminia true k aki saidia dave
@MwangalaEverlyneNelima4 күн бұрын
Pray Guys God is with you
@LilianAchieng-bo9xo4 күн бұрын
All the best team jay
@floranjeru47044 күн бұрын
GOD be with you
@justofavour91095 күн бұрын
Wacha niulize initoke,...mbona huwa mnatafta mtu usiku na ni Kwa Forest na si mchana, ⁉️⁉️❓
@marymutavi4 күн бұрын
Alikua anatoka ushagu gsri ikaharibikq.
@florencekarwitha42934 күн бұрын
Pia Mimi hushidwa...wote wanatafutanga watu usiku kwa msitu..pia pasta show
@JoanChumba-e4w4 күн бұрын
Mgn the riagas group have council that mission becoz of your group talking to them badly and yet Dave angepatikana haraka mngeshikana mikono wote ,u have to apologize you people to riagas team 😢😢