Me leo hpa director Felix Kenya watching you plaza
@pozzevevo14 күн бұрын
Kalii 🇰🇪🇰🇪
@Smart7-b5e14 күн бұрын
Wow good job bro gozi❤
@KimbatuAmbusaki14 күн бұрын
Tamuu tena sana❤🎉🎉
@aishaomar228714 күн бұрын
17:33 mitungi😂😂😂 mpigie uthibitishe usiamini msg
@YugoAlly14 күн бұрын
Mpo vizur
@SimoniFeresian14 күн бұрын
Achana na mama ako Vai fata maisha yako
@finegatwiri259713 күн бұрын
iii imenonga Atari Walai gozi nakukubalia sana 😊😊😊😊😊pambania penzi lako kabisa utafanikiwa
@BIGLOVEWAKIBAA-i4j14 күн бұрын
Wa kwanza leo toka congo
@Illinoistv.991914 күн бұрын
Leo mimi ndo wa mwisho nipeni basi like 5 tu. 💪💪💪
@raymondimboywa969814 күн бұрын
Gozi salute huchelewi kutupa uhondo🎉🇰🇪🙏
@saidmohd293114 күн бұрын
Komando kipens mapenz yashaanza kumtesa big up team gozi 😂😂
@BrightonMussa-p4g14 күн бұрын
NAKUBARI SANA BROTHER GOZI RESPECT
@tztrending502114 күн бұрын
Gozi upo vzr strory zako unazipanga vzr yani mtu akiona anaelewa kwa urahisi big up bro
@SubiraHamad-m6q14 күн бұрын
We mwajuma ww uwo ujanja wako kua makini ipo siku utanasa
@JuliusJembelayexu-dh5mm11 күн бұрын
Movi tamu xan Nimeipenda na hyo xong nzuri xana nani kaimba
@PetroThomas-gn7xb14 күн бұрын
Watu mpo faster mnoo
@montezsharma14 күн бұрын
🥰🥰🥰🥰🇰🇪🇰🇪
@flashbreezytz747214 күн бұрын
Gozi on the stage
@HamadiShabani-j7n14 күн бұрын
Chandim
@HalimaKazungu-b4g14 күн бұрын
Ila nyie😂😂😂
@MrsMariam-x2s14 күн бұрын
Daa huyu mama hatari kweli ana mapenzi shikamo ila.hamna Siri duniyani gozi nazani ata wagunduwa tu
@RamadhanRashid-p8k13 күн бұрын
😅😅😅
@onesmusfondo767914 күн бұрын
Chandimu kwa gozi jamani...
@FatumaBahatihassan14 күн бұрын
Dunia simama nishuke Mama Mukwe tabiya yakochafu ebumwachie mwanaao akaeshi na Mume wake wekatafute lizemba renzako
@JosephineMomanyi-jp8tv14 күн бұрын
Gozi pambana upate fay wako
@MichaelChengoKazungu14 күн бұрын
Aya Gozi,wanambiaje G,siwaona kabisa nimeichukua namba Moja?nitendee haki G wangu..Toka Kenya #001 county 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥
@MichaelChengoKazungu14 күн бұрын
Minami naomba support Gozi kama Gozilla pale KZbin,nagoma Kali sana pale G wangu,naliita NIMEDATA,unyama nimeufanyamwingi sana G wangu,niruhusu nibandike link basi kwakundiletu jamaa wakodoe pale kiongozi,ilasiezi Fanya ivyo bila ridhaa yako mkuu,wanambiaje?NAJITA DOUBLE C PALE KZbin,jina la wimbo ni NIMEDATA...oya weee,schekesh G🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@SabinajoseJose14 күн бұрын
Noma sana❤❤❤❤🎉😊
@ISAACWAFULA-sn5pf14 күн бұрын
I love this movie 😂
@OmarmMaulid14 күн бұрын
21Weka Gozi baba asifuruge watu ndonya
@saunanzige332914 күн бұрын
uko vizuri sana kaka
@bianzajanfarali999814 күн бұрын
Muito força meu irmão continua gozi
@ripwele_hemed14 күн бұрын
Nimechelewa
@KhassaniKimosa14 күн бұрын
Kaka gozi umetisha
@Fatema-n8x14 күн бұрын
😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂❤😂🎉🎉
@JAY_P_BOY14 күн бұрын
Hi mov nikali sana dah Kam una mkubl goz gonga like apo 🎉🎉🎉
@Esther-q7r6m14 күн бұрын
Mama mkwe unaudhi Sana,, Bona waonea binti yako wivu jameni, sikupendi kqbisa mm 😢😢😢😢
@EstherIha-ti7nj12 күн бұрын
@@Esther-q7r6m waonaje ya mkwe alionja🤣🤣
@Esther-q7r6m12 күн бұрын
@EstherIha-ti7nj hapo alikosea kabisa 😂😂😂 nikipindi ndio,, lakini in real sense Kuna wazazi wako hivo,, bintiye akileta kijana nyumbani,, mama anapita naye,,, kijana akileta msichana Kwa babake,, baba anqpita naye,, so Haya mambo Sio mageni jijini 😂😂😂😂
@RashidiHoseni-m9b14 күн бұрын
muhahahahah
@mariegoretteshondingarugam371414 күн бұрын
Gozi wewe nabari 1 mchezo iendeleye huyu mama mukwe balaa nawafuata kutoka Ubelgiji
@SalamaMambo14 күн бұрын
Nakukubali sana gozi wangu unaweza mpaka unaweza zaidi mungu abaliki kazi zako
Kwan huyu gozi na vai hawana sim mbna mama mkwe anautoto
@SalhaMussa-s1o14 күн бұрын
tunasubili muvi
@imanimulumbilwa605614 күн бұрын
Ongereni,very nice movie
@rosemaryrobert223014 күн бұрын
Nilisubili Kwa hamu zote❤❤❤
@RamadhanRashid-p8k13 күн бұрын
Hahaha Ushapata Utamu
@BolvineStorryOficiel14 күн бұрын
Félicitations 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@HumphreyAman-y1k14 күн бұрын
Gozi on trending🔥🔥
@AzizaalfaneManuel14 күн бұрын
Bom tarbalho gozi
@AbdulHajji-f9e14 күн бұрын
Kazi nzuri kaka
@IssaBengine-w5v13 күн бұрын
🤜🤛 Sixnka zimeisha kua hewan nakubali Gozi uyo kaka mtuu. Banduwe meno 3 yye Ndio mnoko kashiriki game na mamkwe. Piga Sawa Sawa waendeshe ubishi ukaidi. Itafika wakati Vai Ata jipa sum Sasa mana nawewe kicha kiko tayar
@samjabri261114 күн бұрын
Muvi mzuli
@HoseaMabelwa14 күн бұрын
Mmmmhhh😢
@ZeinabMohammad-t2z12 күн бұрын
Kazi nzur sn❤❤❤
@MonaaOm14 күн бұрын
Kazi nzuri sana.Chandimu nimekumiss sana
@athmansafari470012 күн бұрын
Vipi Gozi mbona leo hamja achia kazi,tunasuiria tu sana
@aishahamis880614 күн бұрын
🥰🥰
@FarajiJackson14 күн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@AliMunga-c8n11 күн бұрын
Kazi nzuri bro gozi Big up sana
@user-db9kf6of6oEngina14 күн бұрын
Nikisema taaaaaa nyie malizia muuuuu😂😂😂haya twende sasa taaa,,,,,,,,,,tamuuuuu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤