Yani muvizenu nziri sana yani Hasa nikimuona Kulya Boy yani ndio nakuwa naamani sana Yani Oyaaaa Kulyaaaaaa
@orestusmtemele466917 сағат бұрын
Eti huwo mguu nimbovu kwelia au Unaigiza kurya
@StevenMakanjaКүн бұрын
Hii mishangazi Mingine Ni hatari sana haifai❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@faridaomari1317Күн бұрын
😂😂 mwajuma kama mwajuma hatar kazi nzuri gozi
@Zebuu-kpКүн бұрын
Mama kala embe dodo kafa kaoza kama unamkubali mwamba weka alam ya upendo na sapoti zenu muimu sna 🎉🎉🎉🎉
@GastonKailanyaКүн бұрын
Zebu vp nijibu wa kwanza leo
@Zebuu-kpКүн бұрын
Poa kwema @@GastonKailanya
@UwajenezaJazira-cv7etКүн бұрын
Kazi nzuri ndugu zetu kutoka East Rwanda 🇷🇼 Tunawapenda sana ndugu zetu
@Naema-x7p21 сағат бұрын
Goziiiiiiiii pelekea moto mamamkwe uyo ila mm napenda move na mwenye move I love you gozi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Mikes-y7wКүн бұрын
Gozi nakukubali sana kazi zako zapendeza. Tuko pamoja watching you from Kenya 🇰🇪
@orestusmtemele466917 сағат бұрын
Daaaaah mimi ningekuwa Goziii ninge kula kuku namayai yakee mana daaaaa mama mwenyewe kautaka chizi kabisa yanii kama hana akili vilee
@doreenchemutai4778Күн бұрын
Kutoka kenya 🇰🇪 wapi likes
@HassanHassan-si2rtКүн бұрын
From Tanzani, naomba namba zako nitakucheki
@AbdulHajji-f9e17 сағат бұрын
Kaz nzuri sana brother
@Medicalstevo95thКүн бұрын
Kazi nzuri
@GloriaMtanaКүн бұрын
Dah kazi safi sana❤❤
@BuluhanBakariКүн бұрын
Very nice kaka
@KapendFistonКүн бұрын
Wewe mama mkwe unataka nyumba mbovu limu angukie gozi haaaaaa acha kumuloga mkweo ila gozi kazi nzuri sana ongereni Sana wewe pamoja na timu Yote mzima 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tuko pamoja kaka
@oluodokabaka5293Күн бұрын
Hilo vanga sasa.. Kudadeki… 😀😀
@Popo-p3bКүн бұрын
Mwanajuma mkomavu hio ni hulka yako au vipi dadangu😂😂😂😊
@SKYWALKER_THE_DON-o9pКүн бұрын
Daah directed yuk vzr xaana anajua 👍👍👍👍
@TrifonMegician17 сағат бұрын
Mwajuma mkaka mavu💪💪💪💪🔥
@benjaminmuhati438722 сағат бұрын
Mama mkwe unyama huoo
@DanielChaulaКүн бұрын
Good thing
@kingmaxmusic040Күн бұрын
One love from kenya 🇰🇪 😍
@MsodokiThomas-d1p18 сағат бұрын
Mkisikia ela ata sauti znabadilika
@slokidog8 сағат бұрын
unyama unyama❤
@MrsMariam-x2s9 сағат бұрын
Huyu mama daa.mh gozi eti misumari
@montezsharmaКүн бұрын
Kazi nzuri gozi ❤❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@belysenibitanga2786Күн бұрын
Kaz nzur
@yuui1878Күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🇧🇮🇸🇦
@KelvinNyika-o3m16 сағат бұрын
Gozi unatal sana kaka
@finegatwiri25973 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂 good job ngozi wetu tunakupenda sana from kenya 💯
@Aisha-f2gКүн бұрын
Ila mwajuma ❤
@MsodokiThomas-d1p18 сағат бұрын
Mama mkwe tena mpaka chumbani
@hasnakidКүн бұрын
Huyo mama mkwe sasa hana hata haya duh🤣🤣🤣
@salmamzee175412 сағат бұрын
Jmn Mwajuma mdomo wote huo unaogopa kupigwaaa😅😅😅😅😅
@jescakabonge472Күн бұрын
Gozi kamsimamia kucha ma mkwee 😂😂😂😂
@AshaNzaraКүн бұрын
Ila mama mkwe bana utamu wa mwanao unaufaidi ww ss 😂😂😂😂❤
@omarbakarmalumbomalumbo320Күн бұрын
Wazi nipenda sana hii
@mariamumdoe1466Күн бұрын
❤❤🎉🎉
@cheiknamouna2058Күн бұрын
Mfungulie huyu mama kesi ya ubakaji kabla hajakuwahi huko tuendako atakugeuka😂😂
@alifatema6827 сағат бұрын
😅😅😅gozi umepiga mwingi ety unamzoom makwe wako
@UmmyJumaaКүн бұрын
Ila mama mkwe noma😂
@SALUSAGUDAКүн бұрын
Muwe mnawahisha
@Scolayusuph558Күн бұрын
We goz nije kuchukua ulicho mpa mama ako mkwe 😂😂
@abdulnoor6221Күн бұрын
😂😂Gozi mshangazi unae huyo Mpe haki yake
@aziziabeid6052Күн бұрын
Nimemuona mwanangu
@NasraFahmy-j9yКүн бұрын
Ila mam mkwee 😂😂😂😂 kanogewa
@KingNtiharirizwaКүн бұрын
Unyama tuu harafu mwachie hio sauti ya singeli😂😂
@MaryamKhamisi-d7fКүн бұрын
Mwezenu hii mov ikichelew sina raha😅 walahi naipendraaa
@VeronicaNanyangweКүн бұрын
Unyamaaaaaaaaaaaa goziiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@RizikiZikiКүн бұрын
😂😂😂😂Gozi umepatikana mm mkwe umemupa utamu sasa utajuta nakwambiya😂😂
@boboog-e2nКүн бұрын
everything good good 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@faridaomari1317Күн бұрын
🎉🎉🎉
@mwanamisi1808Күн бұрын
Gozii kazi unayo kwa mama mkwe wako babu umeona
@Zari_ogКүн бұрын
Kazi nzuri wasanii hongereniih metisha sana mungu awabarikih🎉🎉
@LilianJuma-q6yКүн бұрын
Daah mama mkwe ana sura ngumu ka ya mganga,
@chadrackrunogeza3302Күн бұрын
Kutoka Drc kalemie wa kwanza naombeni likes zangu bwana Gozi 🎉🎉🎉❤❤❤❤