Nakubali sana kazi zako gozi hujawahi kutuangusha❤🎉
@MoyomashineeАй бұрын
Mungu bariki kazi ya mikono yetu enderea kutusimamia kazi yetu wewe ndo kimbilio letu hakuna mwingine zaidi yako kama unampenda kazii hii like❤❤❤
@NemaAli-zh6hrАй бұрын
Asante kwa full movie❤
@GetrudaMbilinyiАй бұрын
We gozi iman ww mda wote ufungi mlango,muuni umepinda sana
@jeanwitandaye2148Ай бұрын
Asante Sana Mr Gozi kwa kuleta full movie ya penzi la mama Kwa Sababu nilingojeya Sana kwa hamu
@maniragabarubasha901427 минут бұрын
Gozi ❤ pia napenda kazi yako 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mngu akutie nguvu akuwezeshe.uje ufanikiwe mpenz ❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉😢😢
@Rusudu-u7v5 күн бұрын
Nakubali sana braza gozi
@alexkibona382729 күн бұрын
goz 😂😂😂😂🙌🙌🙌
@HoraceIshmael26 күн бұрын
Ee,hii Kali!.
@Rose-rz3uy12 күн бұрын
Tulizo furahi kumuona bairam tujuane kwa like.
@BekaBekaChai10 күн бұрын
Ok poa
@alidzenze716Ай бұрын
From +254 🇰🇪 🇰🇪 mombasa tunakubali kazi brother
@batulisaleh-zb4yw13 күн бұрын
Kaz kaz mapumziko kifo kaka uko vizur ❤❤❤❤🎉🎉
@pogo94627 күн бұрын
Gozi unajua sema mtafute mtu mmoja wakuuza cover zako kama #chado alivyo mtumia #baga kuna kina #kitale tuondoke cover isijae watu wengi sura ngeni sio kweli hapo #kauye pale nyota mmoja utauza cover kabla mahudhui
@rehemamutua4429 күн бұрын
Bi Tausi mnyama kma unamkubali gonga like hapa❤❤🎉
@Mrpasakaonline7029 күн бұрын
Tamu sana hiiii❤❤❤
@Bles-x1vАй бұрын
dah! ngoma ishaingia mjengon
@GodfreyKoranzi16 күн бұрын
Nice movie 🎉🎉🎉 Goody from Nairobi Kenya
@HoraceIshmael26 күн бұрын
Poa!❤🎉
@kharimjohneric5499Ай бұрын
Mr. Gozi, I am sure that God will continue to give you strength and success to move forward🎉🎉🎉❤❤
@raymondimboywa9698Ай бұрын
Gozi apo sasa unafanya kazi ukiswma saa nane n saa nane ❤🎉
@SalmaSalma-e8g4k28 күн бұрын
Movie nzuri from Oman 🎉🎉🎉
@ChazymavoiceTzАй бұрын
Mungu akubariki kazi nzr
@homeboy25418 күн бұрын
🎉🎉🎉
@gershomchallo15 күн бұрын
Ila Gozi anajielewa sana kwenye mahusiano ila hiyo bangi tuu ndio kuacha na kwenda Kanisani ili amshinde shetani anayemuandama
@joslayabumba596728 күн бұрын
Ila mwajuma ni mzuri lakini
@ogotsilvesterАй бұрын
Tanzania mzima nyinyi ni wakali.
@faridaomari1317Ай бұрын
❤❤🎉
@OscarKiptoo-k4lАй бұрын
Gozi atari apo vinoma kaka
@HabibaBb-d3sАй бұрын
❤❤❤🥰❤
@FranckFrancknsenga3 күн бұрын
Salut
@pogo94629 күн бұрын
Mpe hizo code zako sasa bi kauye😂😂
@EdimundiHusantiАй бұрын
❤❤❤❤
@Fatumajuma-k1kАй бұрын
🎉❤
@SwabrinaJuma-m2o27 күн бұрын
𝘪𝘮𝘦𝘸𝘦𝘻𝘢
@iddiramadhanАй бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@kipatonmediaАй бұрын
❤❤🎉🎉🎉🎉
@gettygetty5817Ай бұрын
❤
@NaomiChacha-i1nАй бұрын
Bi mkubwa unaleta pigo gan sasa sijapenda kabisa 😢😂😂😂❤❤❤❤❤much love from kenya