2025 ni mwaka wangu wa kuinuliwa,ni mwaka wangu wa kufika viwango ambavyo Mungu amepanga kwa ajili yangu,ni mwaka wa kumuona Mungu katika vitu vingi hasa uchumi wangu ulioshikwa na shetani,ndoa yangu itarejea na mume wangu atarejea tulee watoto pamoja
@MariamMajala14 күн бұрын
Nimepokea fursa zangu ktk jina la YESU.AMEN
@EmileMpasi14 күн бұрын
Napokea fursa kwa jina la YESU aliye hai.
@angelakikaho977814 күн бұрын
I can't wait to come back into this message by the time December ikifika in Jesus Name maana ntakua si kama nilivo sasa🎉👏👏🙏... ntakuja na ushuhuda apaa!! And I can't waitt Glory to Lord👏🔥🙏
@neemaswai33007 күн бұрын
Ni mwaka wangu WA kuinuliwa Nyanja za kiuchumi na nyingine katika jina la Yesu
@stellahkessy167114 күн бұрын
Ameeen. This 2025 I possess my Possession kama Tai ninapanda juu Sana Kwa Agano la Multiplication in JESUS NAME. Ameen🔥🔥
@EmileMpasi14 күн бұрын
Napokea kwa jina la YESU.
@NeemaShedrack-y4v14 күн бұрын
Nazipokea fursa zangu zote 2025:ktk Jina la Yesu
@agneskilemwa867114 күн бұрын
Amina
@peterlambileki4869 күн бұрын
Ameni, nafarijika sana na nainuliwa na maombi haya kwa jina la yesu
@elizabethmisigaro285514 күн бұрын
Ameen tutavuka kwa imani kama Mungu uishivyo Yoel 2:25
@NeemaShedrack-y4v14 күн бұрын
Narejeshewa vyote vilivyocheleweshwa ktk Jina la Yesu
@vivientemu143814 күн бұрын
Napokea fursa zangu zooote kwa Jina la Yesu na kwa damu ya Yesu 2025 ni mwaka wangu wa kuexpand kwa Jina la Yesu
@InnoMiho-ux2nn14 күн бұрын
Nonaziona Fursa na nitaziona TU Msimu huuu na hazitazuiliwa na shetani kwa jina la Yesu
@InnoMiho-ux2nn14 күн бұрын
Ameniii
@marymarco123014 күн бұрын
Naamini Kila kitu changu kilichoharibiwa , msimu huu wa mwaka 2025 vyote vitarejeshwa Kwa jina la Yesu
@gloriamkopi40814 күн бұрын
Kila fursa yangu iliyoshikiliwa irejeshwe kwa jina la Yesu.
@violetmaro14 күн бұрын
Kwa Jina la YESU fursa zangu sitazikosa nimepokea Kwa imani
@EmileMpasi14 күн бұрын
Katika mwaka huu 2025 naomba uwe mwaka wa kubarikiwa na kuinuliwa kwa Damu ya Yesu na jina la YESU.
@RehemaMnogi-fg4bo14 күн бұрын
Amen
@fyoselema760814 күн бұрын
Amen napokea urejesho kwa jina la Yesu
@EmileMpasi14 күн бұрын
Nazipokea fursa zangu katika mwaka 2025 kwa jina la YESU.