LIVE RECORDED SERVICE

  Рет қаралды 2,330

Evangelist Ezekiel Music Channel

Evangelist Ezekiel Music Channel

Күн бұрын

Пікірлер: 27
@linah-l9o
@linah-l9o 9 күн бұрын
Watoto wangu Amina wapokee masomo ya afia kwa mwili zao barikiwa pastor kwa mdaa huu umetenda kwa ajili ya sisi watoto wako Amina
@damariskemuntho6909
@damariskemuntho6909 9 күн бұрын
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
Mwenye amenioa..,ako na rohoo ya usherati. Kwa majina anaitwa Nelson muombee rohoo ya umalaya imtoke katika jina la yesu
@Mauriceochieng1
@Mauriceochieng1 9 күн бұрын
Amen 🙏
@ZaanZeen-j6d
@ZaanZeen-j6d 9 күн бұрын
Ameen Asate.mungu..mungu.tenda.kwa.mutumishi.wako.yesu
@Kerry_4d
@Kerry_4d 9 күн бұрын
Watoto wa hildah lavender ivy blessings my brother Stephen and sister moraa wapokee nyota ya masomo shule zikifunguliwa wawe above only
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
Nashukuru mungu kwa hii madhabau ya newlife sababu kwa imani tu bila kulipia chochote ..,nilirudi kwa ndoa yangu na mpango wa kando aliyekuwa kwa nyumba yangu alitoka mwenyewe
@LucyMbodze-t2z
@LucyMbodze-t2z 3 күн бұрын
Mungu naomba ukumbuzi katika familia yangu .na uniondolee roho ya wasiwasi .mungu wangu mwanao nakuhitji
@StellamarisMumo
@StellamarisMumo 9 күн бұрын
Baba wangu naomba unifungulishie njia za mapato nipate pesa nifungue kazi yangu nifungulishie macastomas kwa ii kazi ya mzae kwa jina la yesu klisto
@MaggyKeter
@MaggyKeter 9 күн бұрын
Naitaji maombi sana pasta watoto wangu mume wangu tufanikiwe wote
@nancynangena4135
@nancynangena4135 9 күн бұрын
Amen daddy
@JosphineMwende-qi7re
@JosphineMwende-qi7re 9 күн бұрын
Mungu naomba unisaidie ni xhinde jackpot
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
Please pray for me.amani hamna kwa ndoa yangu.niko kwenye shida.kila wakati visirani.mipango za kando kwa mume. Wangu wako wengi sana
@LucyMbodze-t2z
@LucyMbodze-t2z 3 күн бұрын
Kila jarbu katika maisha yangu nitashinda kwa nguvu zako bwana .naimni yangu ipo pmja na ww
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
Mungu nishike mkono
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
God to give you more and more years ndio tukutane na wewe pastor.nitakutafuta .kwa sai sina kazi sina fare ya kunifikisha mombasa.lakini siku moja nitakuja
@linah-l9o
@linah-l9o 9 күн бұрын
Ameeeen
@Ogulmama777
@Ogulmama777 9 күн бұрын
Nipokea hayo mafundizo bora. Practical demonstration. Filling wachungaji with anointing power.
@GiftNamonje-kp5qv
@GiftNamonje-kp5qv 9 күн бұрын
🇿🇲🇿🇲🇿🇲🙏🙏🙏
@drewitsenagi6865
@drewitsenagi6865 8 күн бұрын
My prayer request pastor nisaidie kuulzà Mungu anorld Visaho arudi tuishi .Nipate nyota ya Ajira nifanye kazi kama wengne.nijengee wazazi wangu wafuraie maisha
@drewitsenagi6865
@drewitsenagi6865 8 күн бұрын
Mungu niwezeshe kua mshindi wa Kila jaribio n wewe pekee nategemea .rudisha mume wangu tuishi kwa amani.kazi yangu kupitia hii service niitiwe kazi
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
Pastor niombee nipate nyota ya kazi,ndoa,
@VioletNmay
@VioletNmay 9 күн бұрын
Thank soo much 🙏🙏🙏🙏 pastor
@JoanJepkemei-p2b
@JoanJepkemei-p2b 9 күн бұрын
Watoto wangu tasmin moraa and Ryan onyancha naomba mungu unayemuomba pastor awape nyota iliyongaa. Maana madhabau ya both homes is very bad indeed
@SofiaMramba
@SofiaMramba 9 күн бұрын
Pastor nirudishia nyota yangu niepushe na shd zote pamoja na familie yetu utuondolee umasikini
@margaretlugaye5691
@margaretlugaye5691 9 күн бұрын
My prayer request is we are four sisters none has married mpaka na watoto wetu, Kuna mmoja ambeye doa yake inayumbayumba bwana yake Hadi anafika mahari anachapa wife yake pamoja na msichana wa 15 yrs. I need your prayer
LIVE RECORDED SERVICE
3:47:28
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 20 М.
God-breathed Anointed Songs by Prophet Samuel Kakande
1:12:56
Diana Hackett
Рет қаралды 201 М.
人是不能做到吗?#火影忍者 #家人  #佐助
00:20
火影忍者一家
Рет қаралды 20 МЛН
Cheerleader Transformation That Left Everyone Speechless! #shorts
00:27
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 16 МЛН
10 AM Worship Service
57:52
Granger Missionary Church
Рет қаралды 54
SPECIAL SERVICE - 29.12.2024.
4:37:28
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 4,6 М.
LIVE RECORDED SERVICE
Evangelist Ezekiel Music Channel
Рет қаралды 51
DR ZAKIR NIAK LECTURE KENYA SPEECH ENGLISH
1:34:38
AL YAQIIN MEDIA
Рет қаралды 73 М.