Dj Mushizo Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - Wivu ( Official Audio )

  Рет қаралды 408,351

DJ MUSHIZO UTAWAUWA

DJ MUSHIZO UTAWAUWA

Күн бұрын

Dj Mushizo Ft Jay Combat, Baddest 47 - Wivu

Пікірлер: 342
@Jabali_Media
@Jabali_Media 4 ай бұрын
We DJ mushizo utawaua ... Nipeni like 100 nivimbe kama jipu au man wiiiiivu 😅😂😂😂
@HassanNyamunga
@HassanNyamunga 5 ай бұрын
Jay combat ndo wakati wako sasa mwanang moro umeibeba mgongoni tulikuamini toka 2016
@Omarykiing
@Omarykiing 5 ай бұрын
Kama unamkubali jaycombat na unaikubali sauti yake 🚀na unaamini singeli inakuja kuipiku bongofleva 👑🔥.GONGA LIKE HAPA👉👉👉
@yassadabrown
@yassadabrown 4 ай бұрын
Yani singeli ije kuipiku bongo fleva jaman ww unaona ni sawa alafu akuna msanii wa singeli aliefanikiwa wote wa kawaida
@fauwilly
@fauwilly 4 ай бұрын
Diamond amekufa hapo au?
@abdallasongoro3222
@abdallasongoro3222 3 ай бұрын
Tatizio singeli njimbo za kifurahisha watu tu sio kwa ajili ya mafanikio
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 3 ай бұрын
Unaota ndoto za mchana hao waimba singeli wanao changanya L na R ?? Mtu alitikisa ni msaga sumu nae akapotea km mosh wa fegi
@zuberimohamed43
@zuberimohamed43 3 ай бұрын
Eti siluki na wowotee😅😂😂
@ChidyKenny-dc1ue
@ChidyKenny-dc1ue 4 ай бұрын
Jey ngoma Kali aichoshi kuskiliza muda woteee🔥🔥🔥
@beinggil1048
@beinggil1048 5 ай бұрын
From TikTok mpaka hapa, tujuane😅✌
@innocentjohn2142
@innocentjohn2142 5 ай бұрын
dah bonge la ngoma sasa ilo bit linavyo piga ni 🔥🔥🔥 mwamba kaua ile mbaya
@YouTuuuuuuube
@YouTuuuuuuube 3 ай бұрын
Hii nyimbo imetembea aisee manina 😂❤
@yusuphelphace4795
@yusuphelphace4795 5 ай бұрын
Nimepata wimbo wa kusikiliza wakati wa Jogging asubuh 🏃🏽‍♂️🏃🏃‍♀️
@ErnestJosephat
@ErnestJosephat 5 ай бұрын
Kumbe na ww unatumiaga za mushizo!!uko kama mimi mwanangu!!AFYA NJEMA😂😂
@FattyDapetty-tj9vr
@FattyDapetty-tj9vr 5 ай бұрын
Inaenda kwel sema mchaw memory yangu imejaa kweny bits stoweza ipata
@HadijaHuseni-q3z
@HadijaHuseni-q3z 4 ай бұрын
😂😂
@greysonchogo2306
@greysonchogo2306 3 ай бұрын
Hapa km 21 unazichapa chaap ukiskiliza hii ngoma
@jamalsamma560
@jamalsamma560 2 ай бұрын
Wivu
@KimondoStopper
@KimondoStopper 4 ай бұрын
Hili ni jiwe bro utawauaaaaaaaaah
@zackcoux5165
@zackcoux5165 3 ай бұрын
Oyaaaaa!! Mi ndo nataka Ngoma kma hizi sio hawa wasenge wanaacha mziki mkali wanaenda kulamba lips wasafi. Oya twenzetu mambele humhum. Jay kombati tulikumiss mzee wa mikono juuuu🙌🙌🙌
@OmarRamadhan-c6k
@OmarRamadhan-c6k 2 ай бұрын
Kamanimetoroka milembeee😅😅😅😅😂🔥🔥🔥🔥
@RobertMwamlima-ek9pd
@RobertMwamlima-ek9pd 5 ай бұрын
weeee muuuuushizzzzoooo, utawauwaaa!!!!... #kafa paka kazikwa nyau🎉
@hajmohamed1356
@hajmohamed1356 5 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉nyimbo kali kwa anaeujua mzik
@geohmakerseven
@geohmakerseven 5 ай бұрын
Kama wewe ni Mwaisaaa gonga like kyela icon
@FelixBrown-yp2lm
@FelixBrown-yp2lm 4 ай бұрын
Kyela town kipind iko nkua nakaa bonden💯
@djhdscratchmaster4110
@djhdscratchmaster4110 3 ай бұрын
Kwa mwanetu Dj Pizzo touch 😂
@SaidiRashidi-ly3ee
@SaidiRashidi-ly3ee 5 ай бұрын
Bila kuchoka moro town wabishi 👊👊👊👊👊👊
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 3 ай бұрын
Sicheki na wowote naulinda wangu moyo oyaa wee😅😅
@issahmjanjaog
@issahmjanjaog 5 ай бұрын
Dj wangu mkubwaaaa
@Mnyakyuboy
@Mnyakyuboy 4 ай бұрын
sichek na wowote 🔥🔥🔥umeuwa saaan brother
@JesseKatunzi-v4k
@JesseKatunzi-v4k 3 ай бұрын
Mmearibu beat yake!! Ile beat ileyotreand ndo yenyewe, hii inaswing sana!! Sjapenda
@SfSf-k1y
@SfSf-k1y 2 ай бұрын
Nakubl xn dj mushiz kaf pak kazikw nyau
@Ebby_Astron
@Ebby_Astron 4 ай бұрын
Hii nyimbo kali,ila ingepigwa na muundo wa lile beat lililo trend tiktok ingekuwa unyama sana
@deusdeodavid5360
@deusdeodavid5360 3 ай бұрын
Beat gn hio
@LilyNashela
@LilyNashela 3 ай бұрын
Ngoma nzuri sn ❤❤❤❤
@digosmart4179
@digosmart4179 4 ай бұрын
Nomah Sana blood🎉🎉🎉
@Georgevasco-ld8be
@Georgevasco-ld8be 4 ай бұрын
Moro home jay kombat 🔥🔥🔥
@ZilaboAmbonisye
@ZilaboAmbonisye 5 ай бұрын
Baddest 47 x Jay combat noma sana🔥🔥🔥🙌
@mathiasmwanisaka
@mathiasmwanisaka 3 ай бұрын
wamekuwa wawili bwana we daah
@shanatatrigger6537
@shanatatrigger6537 5 ай бұрын
Wimbo mkal kinyama hasa kwa sisi wazee wa mazoez💯💥💥💥🙏🎧
@TinahFrank
@TinahFrank 4 ай бұрын
Ayo marejesho Sasa duuuuu kausha damu😂😂😂😂❤
@abdiaziz2978
@abdiaziz2978 5 ай бұрын
Kwenye biti hujwahi kuniangusha mwanetu mushizo....big up sana
@aliabdulrahman1202
@aliabdulrahman1202 Ай бұрын
Semaji wa Dunia Ahmed Ali kasema wivuuu haya kaka tufunge mwaka remix la simba club
@WapoHao
@WapoHao 3 ай бұрын
Oya we nawakubali Sana wanangu
@sharifahamisi6580
@sharifahamisi6580 3 ай бұрын
Fire ili dude
@ziadabdul4718
@ziadabdul4718 5 ай бұрын
mwanangu wa chamwino j. combat nimemjua baada ya kuja kusoma chuo SUA huyo kila siku getoni ni play list yang na wahuni wa vibandaniii
@queen_zashi
@queen_zashi 5 ай бұрын
J akai chamwinooo umekosea anakaa fo way
@allidehunter3223
@allidehunter3223 3 ай бұрын
Combat ni 🔥🔥🔥🙌- kuna mda uwezo unajieleza kuliko promo
@jumaakazikazi2243
@jumaakazikazi2243 4 ай бұрын
Hii ngoma imenikaa sana, naisikiliza kila saa
@neemajulius2809
@neemajulius2809 3 ай бұрын
Ngoma kaliii 🔥🔥🔥🔥
@chrisbayona411
@chrisbayona411 2 ай бұрын
Pilika pilika za mtu mweusi✊🏾✊🏾
@ObedMaturo-bd2zr
@ObedMaturo-bd2zr 4 ай бұрын
Ngom yakufungia mwak hii💥💥💥💥💥
@officialkevoe
@officialkevoe 4 ай бұрын
It's a good work Moro kwanza
@jeromytz6267
@jeromytz6267 5 ай бұрын
Noma🔥
@neckaphotostudio728
@neckaphotostudio728 5 ай бұрын
Ukisikia opportunity ndo baddest kapita nayo.. Kaaangalia what's trending alafu kafanya swaaaah Umetisha kaka
@ullamaclassictv6838
@ullamaclassictv6838 5 ай бұрын
Noma sana goma la moto...🔥🔥🔥
@EsauNyimba
@EsauNyimba 3 ай бұрын
Umetisha mwamba
@hemedmgomi4450
@hemedmgomi4450 4 ай бұрын
Moto firee 💥💥💥
@wolf_kazikazi1
@wolf_kazikazi1 29 күн бұрын
unyama ni mwingi
@AbdulrahmanSharifu
@AbdulrahmanSharifu 4 ай бұрын
Wao uko vizuri kaka
@AbdulrahmanSharifu
@AbdulrahmanSharifu 4 ай бұрын
❤❤❤
@Mrtwiga
@Mrtwiga 5 ай бұрын
Kali hiyoo weeee muuuu Sema Tena Weeeemuuu 😂😂😂
@SalumWasiwasi
@SalumWasiwasi 5 ай бұрын
Bab pokea salam kwa mwanaeo wivu ndio watu wengi wanafeli kwenye mapez
@Edger-p9r
@Edger-p9r 5 ай бұрын
Nakubali wazee❤
@SamsonMango
@SamsonMango 3 ай бұрын
Kitu Kali🔥🔥
@issasauga1456
@issasauga1456 3 ай бұрын
nakubaliiiiiii
@AbdulyMajaliwa-v4r
@AbdulyMajaliwa-v4r 4 ай бұрын
Mjukuu wangu. Babu yako na hii niliipitisha
@BornToShine-w2u
@BornToShine-w2u 5 ай бұрын
Hilo beat hapo mwisho Soo pouuwa na hivyo vinanda nyum ya verce ya baddest so 🔥🔥🔥🔥 Kam uget like to vibe
@AlbushriTvTanz
@AlbushriTvTanz 5 ай бұрын
Ndiyo ivoo duwa
@LiberatusLaurent-r4v
@LiberatusLaurent-r4v 5 ай бұрын
Tishaaaa sanaaa🎉🎉🎉🎉
@bashirihassan2939
@bashirihassan2939 3 ай бұрын
Nimeuwelewa wimbo
@francisenock878
@francisenock878 4 ай бұрын
Babu ngoma mumeiharibu
@BornToShine-w2u
@BornToShine-w2u 5 ай бұрын
Pull up pull up pull up 🙌🏽 pull up pull 🔥🔥💪
@allymbegu964
@allymbegu964 4 ай бұрын
Mushizo c kala kifungo cha maisha huyu yup
@mtahogarashid8488
@mtahogarashid8488 4 ай бұрын
Hii nyimbo ni balaa nairudia rudia tu
@magrethnatai8846
@magrethnatai8846 3 ай бұрын
Ma hyper wa kitambaa sinza wanatupaga vibe na huu wimbo. Nlikuwa sipendi singeli ila huu imebidi niusearch
@majidayubu8221
@majidayubu8221 4 ай бұрын
Ngoma Kali
@NoelaAkyoo
@NoelaAkyoo 4 ай бұрын
Jaycombat umeuwa brooo
@OfficialDancer-go7lp
@OfficialDancer-go7lp 5 ай бұрын
Ngoma kali sana hii mushizo utawauwaaaa
@OfficialDancer-go7lp
@OfficialDancer-go7lp 5 ай бұрын
Kali
@OfficialDancer-go7lp
@OfficialDancer-go7lp 5 ай бұрын
Kazi
@OfficialDancer-go7lp
@OfficialDancer-go7lp 5 ай бұрын
Nona
@OfficialDancer-go7lp
@OfficialDancer-go7lp 5 ай бұрын
Noma
@OfficialDancer-go7lp
@OfficialDancer-go7lp 5 ай бұрын
Kali
@MkuyuMasanjo-ib6pn
@MkuyuMasanjo-ib6pn 5 ай бұрын
Bonge la dudeeee
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 3 ай бұрын
We mushizo umewauwa😂🎉😢😮😅
@EvarKhamisi
@EvarKhamisi 3 ай бұрын
Wimbo mkali sana
@hossamnawema
@hossamnawema 3 ай бұрын
oyaaaaa 😂😂🔥🔥🔥🔥
@JeffFerdinand
@JeffFerdinand 4 ай бұрын
Morogoro mpaka darasa wa salam
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s 5 ай бұрын
Pumbu ni nomaaa😂😂😂😂
@youngbillionaire1309
@youngbillionaire1309 4 ай бұрын
Noma
@Khamisi-kipngu
@Khamisi-kipngu 4 ай бұрын
Unyama mwng
@JumaYusuph-dv3ot
@JumaYusuph-dv3ot 5 ай бұрын
Jay Combat.... Badoo 2 Zali za mentali
@mariamhemedi1479
@mariamhemedi1479 5 ай бұрын
Beat liko poa ❤
@jeffumedia01
@jeffumedia01 5 ай бұрын
Wivuu🔥🔥🔥🔥
@Deus-j6t
@Deus-j6t 4 ай бұрын
Wimbo poa sana
@AmaniIlomo-n9c
@AmaniIlomo-n9c 3 ай бұрын
Asii ikopowa bit Hadi ujumbe ninoma
@mbagarakizuiani
@mbagarakizuiani 5 ай бұрын
jay combat ap naooongeah 👍👍👍👍👍
@ZuberiSaidi-e3x
@ZuberiSaidi-e3x 4 ай бұрын
Izo biti kazigonga kinoma
@Sokota831
@Sokota831 5 ай бұрын
Kaliiii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@emmanuelmwakyembe5582
@emmanuelmwakyembe5582 3 ай бұрын
Irene upo soft😂😂😂
@TheopistaMakarius
@TheopistaMakarius 5 ай бұрын
Sana dj Mushizo
@GabrielKamgisha
@GabrielKamgisha 5 ай бұрын
Noma sana wivu
@sethseverine1629
@sethseverine1629 4 ай бұрын
weeed for life😂😂
@Wildlifestory20
@Wildlifestory20 5 ай бұрын
Bangi hizi
@fundiseif1096
@fundiseif1096 5 ай бұрын
Wivu 🔥🔥🔥🙌
@josephkadudu5408
@josephkadudu5408 4 ай бұрын
Hii nyimbo ni ya Dj Mushizo au ni ya Jay Kombat kwa anae jua naomba kufahamu!
@elinamilyatuu7337
@elinamilyatuu7337 3 ай бұрын
Soma cover,wimbo ni wa mushizo hao vijana wamepasuka tu
@MsakaNote
@MsakaNote 5 ай бұрын
Ww nishida San kk wivu bonge lagoma
@barakachas3728
@barakachas3728 2 ай бұрын
mwakan Mariano chini n mwendo wa singeli
@salminseif4526
@salminseif4526 5 ай бұрын
Moro finest🔥🔥
@AbdalahGondo
@AbdalahGondo 2 ай бұрын
Mh hii nikali wanangu sio mchezo
@danieljosephAxwesso
@danieljosephAxwesso 4 ай бұрын
This song is fire 🔥
@Kelvin-s2b
@Kelvin-s2b 4 ай бұрын
Jay nakupend❤❤❤❤
@Gopale-e4g
@Gopale-e4g 4 ай бұрын
Namkubal mshizo
@AlbushriTvTanz
@AlbushriTvTanz 5 ай бұрын
Mume uwa sana
@HabakukiOn
@HabakukiOn 4 ай бұрын
Unyama sana.. .
@Bizzylove_Official
@Bizzylove_Official 5 ай бұрын
Ime👍👍👍👍 sana
@AisharAishar-c7g
@AisharAishar-c7g Ай бұрын
Mia mia hahaha mbna 😂
@ZenaHassani-c4i
@ZenaHassani-c4i 4 ай бұрын
Nice song👌
@SalumWasiwasi
@SalumWasiwasi 5 ай бұрын
Saluti kk Kam unakubali hey upe 🌹💐🌺🌷🌺🥀 yake
@otmarypeter1290
@otmarypeter1290 2 ай бұрын
Tunaotamani Misso Misondo atie mkono kwenye hii ngoma, tukutane (like) hapa.
Dj Mushizo x Ibraah Ft Jay Combat Ft Baddest 47 - WIVU Remix ( Official Video )
3:49
요즘유행 찍는법
0:34
오마이비키 OMV
Рет қаралды 12 МЛН
Хаги Ваги говорит разными голосами
0:22
Фани Хани
Рет қаралды 2,2 МЛН
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
Say Mo ft. Akha - Buenas noches (Official Music Video)
2:20
Милана Хаметова & Milana Star - ЛП ( Премьера клипа 2022 )
2:19
Милана Хаметова
Рет қаралды 11 МЛН
Арман (Сені күнде көру)
2:51
IL'HAN - Topic
Рет қаралды 1,6 МЛН
Sivchik feat. Badabum - Бадаладушки (КЛИП 2022)
2:25
FLAGMANMUSIC ® | MUSIC COMPANY
Рет қаралды 5 МЛН
Әбдіжаппар Әлқожа - Табайын жолын қалай (cover)
3:01
Әбдіжаппар Әлқожа
Рет қаралды 125 М.