DK SLAA KAPATIWA DHAMANA? - WAKILI PETER MADELEKA AIOMBA MAHAKAMA KUTENDA HAKI...

  Рет қаралды 31,289

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Пікірлер: 77
@globaltv_online
@globaltv_online 14 күн бұрын
JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV NA UTUTUMIE HABARI ZA MTAANI KWAKO chat.whatsapp.com/FeLe2DcIFAg...
@LouisKalokora
@LouisKalokora 14 күн бұрын
I admire you Advocate Madeleka! Very smart& brave advocate!
@luciasteven3314
@luciasteven3314 13 күн бұрын
Kaka angu mwambukusi usinune hivyo jmn 😅 kuwa tu kawaida mdomo ulivyouweka 😂 nakupenda sn Rais wangu mwambukus❤❤❤❤❤❤
@hybridaccounts
@hybridaccounts 11 күн бұрын
Bro Madeleka una akili na pia unafuata professional ethics. Safi sana.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 10 күн бұрын
Sasa kama upelelezi hauja kamilika kwanini amekamatwa?😅😅😅😅
@rabwarab574
@rabwarab574 12 күн бұрын
Ilo jopo madeleka, mwabukus, matata, hekima kusimama nao kizimbani🔥
@OmariChanja
@OmariChanja 14 күн бұрын
Lissu kashasems mahakama za Tanzania ni za kupigiwa simu/ mahakama za kusubiri maelekezo kutoka juu mkamuona muongo matokeo yake ndo hayo sasa
@JonaymbelwaKakulu
@JonaymbelwaKakulu 13 күн бұрын
Nimefatilia comments naona kama kuna udini vile mm mwenye jicho la tatu tizamen utajua ni kipi kinaendelea❤❤tz
@mwaamwetahussain9947
@mwaamwetahussain9947 14 күн бұрын
Free Free DK Slaa
@ramahkesh9360
@ramahkesh9360 14 күн бұрын
Nyoko Nyoko Nyokoko😂😂😂
@Habarimpyamedia
@Habarimpyamedia 14 күн бұрын
Matusi ya nn​@@ramahkesh9360
@bahatielias6443
@bahatielias6443 14 күн бұрын
​@@ramahkesh9360Sasa unatukana kama jinga jinga hivi
@kaimukasimu7164
@kaimukasimu7164 14 күн бұрын
Pyoko pyoko pyoko pyoko iwe silaha iwe nn wamuweke Mpka mwez wa 2 wamtoe
@beathapontian2187
@beathapontian2187 13 күн бұрын
Mlisomea shelia nisikukomoa watu hiyo nimeipenda najivunia wanashelia km hawa🎉🎉
@khadijathani9064
@khadijathani9064 14 күн бұрын
Eheeee jamani mungu nilinde mpzka siku ya umauti yangu
@alinasor8553
@alinasor8553 14 күн бұрын
Jamaa anajua
@RichardBituro-x9g
@RichardBituro-x9g 14 күн бұрын
Yaani huwa sielewi kumbe TLS ndio. Watetezi wetu siyo serikali?
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 14 күн бұрын
ni kama MAWAKILI........ukiwapa kazi wanafanya
@yohanakananika3586
@yohanakananika3586 12 күн бұрын
Sasa si ndo mawakili ndugu yangu
@abassjuma6248
@abassjuma6248 12 күн бұрын
Hao mawakili wanakiburi unafikiri wao tu nchi hii ndio wanajua sheria
@ValeriJummane
@ValeriJummane 14 күн бұрын
Free Dk Slaa
@JosefuSwai
@JosefuSwai 14 күн бұрын
Poleni na kazi mawakili wasomi rutafika
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 14 күн бұрын
Free, free Dr Slaa...✌️
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 14 күн бұрын
Mahakama za dar zinamsikiliza Mahendra murilooh.
@mozejcs9160
@mozejcs9160 14 күн бұрын
Ile kesi ya yule mama katili aliyetuma wale vijana wakabake imefikia wapi mkuu! Mbona km imefukiwa
@barryrioba3934
@barryrioba3934 14 күн бұрын
Free Slaa Free Slaa Free Slaa
@ShekiyaoHussein-ki4ty
@ShekiyaoHussein-ki4ty 14 күн бұрын
Pita Madeleka MUNGU akusimamie mimi ninakuelewa sana wewe mwamba
@makusaro2289
@makusaro2289 13 күн бұрын
Mtu anasomewaje mashtaka wakati upelelezi kukamilika? Hayo makosa yanakuwa yametoka wapi? Inaruhusiwa kubuni makosa kwanza ndipo uchunguzi kufuata? Mimi ni mvhumi, watu wenye elimu kubwa, yaana mawakili wasomi tujuzeni. 😮
@EmmanuelKazimili-ky1ss
@EmmanuelKazimili-ky1ss 14 күн бұрын
Ongela tls ongela madeleka
@ShekiyaoHussein-ki4ty
@ShekiyaoHussein-ki4ty 14 күн бұрын
Kazi tunayo watanzania
@mkondomkondo4721
@mkondomkondo4721 14 күн бұрын
Dawa ni u-gen z
@MzeeBabu-s6y
@MzeeBabu-s6y 14 күн бұрын
Kama slaa ivo sisi wengine daa kazi tunayo bongo
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 14 күн бұрын
Makonda anavowipiga spana mnasema hafati Sheria anavunja haki za binadam mara ooo Magufuli alikua anakurupuka badala yakuweka mifumo ifanye Kaz Aya sasa malalamiko ya nn wakat mifumo ya mahakama hio apo tatzo n watu sio mifumo ndio maana Magufuli na Makonda wamekua wakidil na watu direct
@ramadhan122
@ramadhan122 14 күн бұрын
Wewe mwanasheria ndio unamuaribia Dr Silaa kwa kukashifu mahakama hadharani. Kwanini usifanye Dialog wakati wa kipindi kama hiki, wakati unajua kabisa approach ulio tumia itamgandamiza mteja wako. Mwenzako kashika mpini na upande wa Dr una makali ni nani atakae umia? Ebu kafikiri tena njia bora za kumnusuru mteja wako
@optatusduqangw1071
@optatusduqangw1071 14 күн бұрын
Mbowe must go
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 14 күн бұрын
jeshi la polisi limafanya kazi kwa kufuata sheria,mahakama nayo inafuata sheria,acheni kuvitisha vyomba vya ulinzi wa nchi yetu!!
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 14 күн бұрын
unakuta huna ulijualo
@hamisombali8545
@hamisombali8545 14 күн бұрын
wewe nae unakulupuka tuu sijuihata unaakili kweli
@bahatielias6443
@bahatielias6443 14 күн бұрын
Unajua kazi ya polisi ? Au unalopoka lopoka tu, mahakama pekee ndio yakumtia hatua mtuhumiwa
@richardnganya2311
@richardnganya2311 14 күн бұрын
Fanya utafiti utapata kujua kinachoendelea. Nenda hata magereza uongee na mahabusu ai wafungwa kama ilivyokuwa kwa JPM utapata kitu.
@AwardHakimu
@AwardHakimu 13 күн бұрын
​@@jeremiaaugustino7187sio unakuta ndivyo ilivyo
@mussamabawa2973
@mussamabawa2973 14 күн бұрын
Kwamba slaa amekufa, afe kabisa
@Nite-zd8il
@Nite-zd8il 14 күн бұрын
Utakufa kabla yake
@OscarKasalile
@OscarKasalile 14 күн бұрын
Mjinga Sana wewe utakufa wewe slaa at abaki
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 14 күн бұрын
weka ndani hako kazee kana mdomo sana etii oooh anameza dswa kwani alipokuwa unaongea pumba alikuwa hajuwi anamezaga dawa hichi kizee kinafanya uchwiro tuu au kichawi haka kazee?
@ramadhanchenga4606
@ramadhanchenga4606 14 күн бұрын
Je wa wanao iba hela za nchi wapo nje
@MeshackMlack
@MeshackMlack 13 күн бұрын
Wewe una elimu kiasi gani mpka unasema ivi nenda shule ujitambui
@ChristerKok
@ChristerKok 14 күн бұрын
Ndugu wakili,ni saidie kama utaratibu haki na sheria hazifuatwi,wanaovunja sheria wanachukuliwa hatua na nani?
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 14 күн бұрын
Hakuna cha kuwafanya ni kuomba Mungu tu waache😮
@jamesbayo1910
@jamesbayo1910 14 күн бұрын
UKIUKAJI WA HAKI NI KUDHULUMU HAKI. UKIUKAJI WA HAKI POPOTE DUNIANI HUSABA BISHA UVUNJIVU WA AMANI NA KUSABA BISHA MACHAFUKO AU VITA.
@hamisidd8124
@hamisidd8124 13 күн бұрын
Munamtetea nini aliye mtuma ninani kuleta uchochezi alaumu limdomo lake na nyie mnao tetea watu wajinga kama slaa mntakiwa kuwekwa ndani
@SaidiMohamedi-n2u
@SaidiMohamedi-n2u 12 күн бұрын
Tatizo huwerewa ww ni mdogo
@JosefuSwai
@JosefuSwai 14 күн бұрын
Madeleka tutakua wote peponi
@LensonMwaigombe
@LensonMwaigombe 14 күн бұрын
Madeleka fungua chuo chako Cha shria na maadili ,wewe ni mkombozi
@AbdallahMohammed-u2v
@AbdallahMohammed-u2v 14 күн бұрын
Hawa viwakili njaa tupu vinajifanya vinajua sheria hawana lolote wapinzani waserikali wakubwa thamani yenu inapungua kila siku
@FrankMashauri-t4t
@FrankMashauri-t4t 14 күн бұрын
Hujielewe we nilinyumbu tu unafata upepo jielewe acha uzuz
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 14 күн бұрын
Kweli sasa hivi watu wengi tunawaona hivyo
@fatmafatu1128
@fatmafatu1128 14 күн бұрын
​@@JacksonMartin-pb2vqwewe nanani labda na mkeo
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 14 күн бұрын
Alafu nyie mko kwa sababu ya watanzania wote au chadema mbona kila jambo la chadema ndio tunawaona
@mack_vita_onyango8409
@mack_vita_onyango8409 14 күн бұрын
Kama una kesi zako watafute ninpesa tuu
@Joe-tr2vk
@Joe-tr2vk 14 күн бұрын
Si ndiyo wanaokamatwa na kuonewa?
@csato9415
@csato9415 14 күн бұрын
Kwani hawa 🥦🥦 na wengineo wanadai haki? Wanaodaki haki ndio wanakamatwa ili kuwadhoofisha na kuwatisha.
@JacksonMartin-pb2vq
@JacksonMartin-pb2vq 14 күн бұрын
Anaongea sana ongeza kisomi acheni panic
@JosefuSwai
@JosefuSwai 14 күн бұрын
Choko paniki Iko wapi mwehu
@ShabaniWabiga
@ShabaniWabiga 14 күн бұрын
Kale kazee kana udini sna akae tu ukouko anajifanya karud chadema wakat wa magu mapewa sukar kaa kmya ss kabwaga kilele kbao
@JosefuSwai
@JosefuSwai 14 күн бұрын
Wewe ndio mdini mwehu
@ShabaniWabiga
@ShabaniWabiga 14 күн бұрын
@JosefuSwai km mm mweu ww pumbavu mama 5 tena cjaona wakumtoa mama kw hao wahuni
@GadafSalum
@GadafSalum 14 күн бұрын
Tena wangemuweka ata mwaka hana adabu uyo mze
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed 14 күн бұрын
Nawe tushakuchoka bwana Huna jipya umechemshq kwa afande
@jeremiaaugustino7187
@jeremiaaugustino7187 14 күн бұрын
wewe na nani?
@edsonkilatu5211
@edsonkilatu5211 14 күн бұрын
Siku yakikukuta akili itakaa sawa
@ValeriJummane
@ValeriJummane 14 күн бұрын
Kichwa Ka bundi free DK slaa
@BoayHotay
@BoayHotay 14 күн бұрын
Free Dr Slaa
@AnaniaIsaya-z9g
@AnaniaIsaya-z9g 13 күн бұрын
Hijielewi kama umemchoka nenda kalale acha kumfuatilia
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
We Attempted The Impossible 😱
00:54
Topper Guild
Рет қаралды 56 МЛН
Сестра обхитрила!
00:17
Victoria Portfolio
Рет қаралды 958 М.
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН