Ombi/ushauri: muwe mnarecruit na kuinspire wanafunzi mashuleni wapo ambao wanavipaji lakini wanasukumwa na upepo kwamba mafanikio ni biology na physics tuh, in the end hawa vijana wanapoteza vipaji vyao na mwisho hata hayo masomo wanayochagua au kuchaguliwa wanayashindwa na I’m sure wengi hawajui kama tasuba inamambo mazuri to offer them and that they might succeed if they try. So please piteni mashuleni hata kama kwa kuhost mashindano.
@mmmmpychal74862 жыл бұрын
Naitaji kusomea music garama nishingap
@iddimzambia58825 жыл бұрын
Mungu akijalia nitakuja kujiendeleza. kipaji changu cha uchoraji inshaallah
@tredansboytz75653 жыл бұрын
Amen je kuna uhakika wakupata kazi
@mmmmpychal74862 жыл бұрын
nduo cozi miezi 2 producer
@anyandwilemwakimi5425 Жыл бұрын
Nahitaji mawasiliano yenu
@timotheomollel5703 Жыл бұрын
Mimi naitwa timotheo nipo dar nahitaji mawasiliano yenu
@nereimhindi54294 жыл бұрын
Je kuna any privileges kwa wanaomaliza na kupata stashaada tasuba? Kwa mfano connections za kazi etc na chuo je kina shirikiana vipi na wasanii wakubwa wa Tanzania au Africa kwa ujumla katika ukuaji wa Sanaa na utamaduni wa africa au tanzania?
@nereimhindi54294 жыл бұрын
Je chuo kina solution gani kwa ambaa wanavipaji na wanataka kuendeleza vipaji vyao lakini hawajafikisha viwango?
@luckysadick80975 жыл бұрын
Ntapataje mawacliano na nyie
@hatamimnimempendabulejaman15964 жыл бұрын
Jaman idi na mimi nakumbuka nilikuwa ninacho kipaj cha kuchora nilivyokuwa shule nilikuwa mchoraj mzur paka watu walikuwa wanapenda sana na mziki pia napenda kuimba