Relationships ZA kijana wa Kike na kiume ni haramu. MCHENI ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA.
@Khadija_mkwale6 ай бұрын
KUDOZ farthush❤❤... Much love from Nairobi
@farthushfafa6 ай бұрын
Thank you❤️🫶🏽
@mwanashaali11092 ай бұрын
Kila mtuu na Maamuzi yake,ata wanaume mukawajaza dunia nzima,kuna mwengine aangalia Rangi,vijana Wa Kiisalm Wamefeli Ata sifa walizoshauriwa Na Mtume. hakuna, innah Lillahi wainnah Rajuun,yani waoa wewe au waolea Watu,ety watu waone takoo au Suraa badala mustiri iwe kipumbazo chako
@saumubuku1088 ай бұрын
Beka Ruga husahau pesa duuuh ila umesema apo kwasura nyie visura wenzangu gonga likes apa atuna tako ila tunaenda jala😂😂😂😂
@theezefsfamily8 ай бұрын
Pitia kwetu pia
@farthushfafa8 ай бұрын
Screen saver muimuu😂
@HgJ-d2t5 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@yusufmwangichannel66928 ай бұрын
Uyo mwenye kukubali kuchapiwa dem wake au mke wake ni mvivu, chizi na ana akili za ki beach boy
@theezefsfamily8 ай бұрын
Tupitie tukupitie please
@FASSALEHALIB5 ай бұрын
HIZI MAZUNGUMZO ZINA UZANI GANI katika akhera yetu? Kwani duniani ni pahali pa kuchuma. Haya ni katika imani. Mitandao ya kijamii ni mitihani. ALLAH SUBHANAHU WA TA'ALA ANASEMA "WA DHAKKIR" و ذكر. ئ KUMBUSHA
Utaungaje mkono kwenye tako na ulienaye ni kisamaki cha miba beka ruga alafu wachefua uongei bila matusi
@beckermbagala88 ай бұрын
KEEP GOING SIZ❤❤
@farthushfafa8 ай бұрын
🔥🔥🔥kbsa my G
@jumamohamed42528 ай бұрын
Interview matusi mengi sana
@theezefsfamily8 ай бұрын
Pitia kwetu pia
@A2tab8 ай бұрын
Beka ruga kiswahili kigumuu 😂😂😂😂chidigo kwenda mbele
@ZaitunZaitunsaid6 ай бұрын
Tilalila mwanimaliza na maneno😂😂😂😂
@RutbaChikukula8 ай бұрын
Vigodoro vipo bana msututatize😂
@theezefsfamily8 ай бұрын
Fika kwetu pia
@salwagold7 ай бұрын
Fafa nahao watuwako mwaniuwa kicheko jaman 😂😂😂😂
@farthushfafa6 ай бұрын
😅😅😅
@washingtoneonyango34578 ай бұрын
This is not interview, we are not learning anything from the content. Kindly try to come up with not just an interview ,but let it be an exclusive one.
@farthushfafa8 ай бұрын
This was something like a Conversation people saying their opinion.. it wasn’t a interview.. Check up my latest video nmepost Exlusive dea❤
@washingtoneonyango34578 ай бұрын
Then @@farthushfafanext time , the conversation should have some decorum and aligned presentation. I have no problem with it, but one more thing, many people are looking up to this channel so adjust where necessary.
@MwatimeRatili6 ай бұрын
Aki nyny wachekesha🤣🤗
@hamadmohamed30568 ай бұрын
Muadhin anaadhin mnashindwa kwenda Kuswal Mko hapo mnaulizana maswal ya Kimbwiga
@theezefsfamily8 ай бұрын
Pitia kwetu pia tafadhali
@farthushfafa8 ай бұрын
Dont judge a book…
@mwanashaali11092 ай бұрын
@@farthushfafahajawajidge ukweli ni usemwee,kullu Hakii LAUKANA Muraaaa,tuseme Ukweli japo Kuwa ni uchungu,fafa umetuzibia Miguu na Mikono na kifua twaiona ,miguu umetuzibia wa utube kina bekear hapo wanaona,Allah Atuongozee
@KevinOkeyo-sz7lf6 ай бұрын
Kweli beka mnamke ni sura zigo baadae
@ZaitunZaitunsaid6 ай бұрын
Nyooo beka mbona hutaji tako 😂😂😂😂😂
@saumubuku1088 ай бұрын
Ila nyie wawili mmepotea mm nipo kwa tilalila na beka unaezaje kula kitu unajua inatumiwa na mwenzako huwez ata kutembea nae alafu mwanamke ntakubeba ufala amba huwez muacha kisa pesa
@farthushfafa8 ай бұрын
Yh kwel kbsaa.. cheating n mbaya
@reyceraziz46528 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂Mwanamke suraa jamny😂❤
@farthushfafa8 ай бұрын
Screen saver muimuu😆🙃🙃
@Nasra2158 ай бұрын
My favourite people ❤
@rizikmwarindano90598 ай бұрын
Viswahili vya kidgo capital letters😅😅😅 i dont want peace😂
@farthushfafa8 ай бұрын
🔥🔥
@Amyomy-od5ry6 ай бұрын
Sex can't keep a man nothing either can keep a man
@farthushfafa5 ай бұрын
Sad true 😅
@anuloso8 ай бұрын
Whats with the blur?
@MariamMariam-h8h8 ай бұрын
Sura iwe mbovu lkn hawe n hela..kama kibz sura Hana lkn pesa anazo😂
@RutbaChikukula8 ай бұрын
Sio poa 😢
@MariamMariam-h8h8 ай бұрын
@@RutbaChikukula sio poa umetukanwa nawe🤣mbona unkuja Rafi kama umetiwa vitole