No video

Dogo Mfaume - Kazi Ya Dukani (Official Video)

  Рет қаралды 502,322

bongorep

bongorep

15 жыл бұрын

East African Music

Пікірлер: 379
@gwasadisimasi6422
@gwasadisimasi6422 6 ай бұрын
Wanao cheki huu wimbo mwaka huu 2024 gonga like twende sawa
@MWENETRICKS
@MWENETRICKS 15 күн бұрын
apooo
@Francmtweve
@Francmtweve 3 күн бұрын
Tupo.hapa 15/8/2024
@MichaelDeus-kh3rq
@MichaelDeus-kh3rq 22 сағат бұрын
Niko apa 17/08/24
@lvanyDaniel_pw7kk
@lvanyDaniel_pw7kk Ай бұрын
Ambao tuna tazama huu wimbo 2024 tujuane 🙏😪😪😪
@emanueldanstan8904
@emanueldanstan8904 5 ай бұрын
Any one still vibing in 2024 with this track gather here😊
@muddyabdallah1313
@muddyabdallah1313 3 ай бұрын
❤😂tuko
@swaleheyusuph1991
@swaleheyusuph1991 5 ай бұрын
2024 still listening to this classic, huwez amini hii ngoma nliimudu kiasi kwamba ikawa kitega uchumi mtaani kama vile m ndo dogo mfaume😂😂😂rest in peace mfaume😢😢😢
@jemjay1011
@jemjay1011 Жыл бұрын
Nimefika hapa 2023 kwa sasa natizama nikiwa usa 🇺🇸 ngonga like mwaka 2023 : to 2024.. R.I.P… Huu wimbo huwa una nikumbusha mbali sana ..
@mtumwajuma3906
@mtumwajuma3906 Жыл бұрын
Hi
@mtumwajuma3906
@mtumwajuma3906 Жыл бұрын
Wapi uko
@PizzoBeatz
@PizzoBeatz 5 ай бұрын
@jemjay1011 wapi uko kkm? Duka Mkulima na wanawe?
@kaulimbiu181
@kaulimbiu181 4 жыл бұрын
Kama unaskiza 2020 weka like twende sawa. RIP Dogo Mfaume
@adamshoo8232
@adamshoo8232 4 жыл бұрын
RIP Dogo mfaume
@fatumaally3444
@fatumaally3444 4 жыл бұрын
R.I.P
@saviomgaya5381
@saviomgaya5381 3 жыл бұрын
Dah kwlei kizr hazidumu jaman😭😭😭😭
@daisyonbtd7892
@daisyonbtd7892 3 жыл бұрын
Noma
3 жыл бұрын
Sure 2020 Namtambua Sana Kaka Mfaume Rest in Peace
@drraizkidume867
@drraizkidume867 4 жыл бұрын
From Mozambique.... Leo ni tareh 07.09.2020.... R.I.P my BrO Mfaume... Kama umeuzunika na kifo cha kipenz chetu like apa..
@kiplarono8515
@kiplarono8515 9 ай бұрын
Kule Mozambique kuna watu uzungumza Swahili language?
@mwaminirwanda6120
@mwaminirwanda6120 2 жыл бұрын
Ee mungu mpe pumzi ya milele mwondolee adhabu ya kabur kipenz chetu "Amina"
@MADAMMACKTV
@MADAMMACKTV 6 ай бұрын
Amiin
@kiplarono8515
@kiplarono8515 2 жыл бұрын
Sikuwahilijua kama huyu kaka aliaga dunia ,Rip Dogo
@wemamtotochanelyusuphomari8262
@wemamtotochanelyusuphomari8262 7 жыл бұрын
R.I.P. Mungu akulaze mahali pema peponi amen wewe umetangulia sisi tupo nyuma yako
@chandeyusufu9570
@chandeyusufu9570 Ай бұрын
Wimbo hauchuji Mpaka sasa 2024 bado upo ok
@lighnessmrisho1525
@lighnessmrisho1525 4 жыл бұрын
kazi yangu ya Dukani ina niweka matatani 2020. RIP DG MFAUME maneno mazuri sana ktk huu mwimbo umetuachiaaa
@princemadramaz-254
@princemadramaz-254 Жыл бұрын
All the way from MOI UNIVERSITY main campus Kenya,,,,,huu wimbo ulinibamba nkiwa mtoi,,,, kumbe kaka aliaga 😭 imagine ndo najua Leo 21/10/2022 RIP😭
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw 23 сағат бұрын
R I P MY BROO!!! ULALE MAHALI MEMA NILIKUWA BADO NIPO PREIMAR NILIKALILI MISITALI YOTE YA HUU WIMBO SO NILIUMIA SANA KUSIKIA ALIFALIKI LEO 2024 BADO TUNA FRAIA KAZIYAKO
@mohamediramadhani3790
@mohamediramadhani3790 4 жыл бұрын
Wanaoangalia TWENTY TWENTY TUJUANE
@patrickmassawe8184
@patrickmassawe8184 Жыл бұрын
21/08/2023 Monday, the song is very classic and still the best. Rest In Peace dogo mfaume 🙏🏽
@diakissd8353
@diakissd8353 3 ай бұрын
Nakumbuka kweli utoto yangu Niko mu Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩lakini napenda Sana wa tanzania
@khamisishabani3155
@khamisishabani3155 4 жыл бұрын
2020 am still listening these delicious message from dogo mfaume...........rest easy brooh
@ShijaHumbi
@ShijaHumbi 28 күн бұрын
Pumzika Kwa Amani Dogo mfaume.Hakika ulikuwa unajua
@mbasabillz7715
@mbasabillz7715 3 ай бұрын
2024 I am still listening to kazi ya Dukani
@agneskandoro6629
@agneskandoro6629 3 жыл бұрын
Mungu akupe kauli thabiti dogo mfaume R l p 😭😭😍😍
@jennifernduka720
@jennifernduka720 4 жыл бұрын
Hii nyimbo kwangu haitakuja kuchuja 🙉🙉 R.I.P 😢
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Kwel jenifa haichuji tuliipendaga alikuwaga jiran yetu maskin da inasikitisha mfaume alale Pema pepon kipind icho ndo alikuwa Anaimba imba na brother yangu sema yeye ndo akawa hajatoka bado kama yangu alikuwa anavuma kitaa walikuwa wanamwitaga sana kwenye makepu sema yeye kaka yangu alikuwa Anaimba na kulapu
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Nasikia msiba wake alipataga watu wengi lazima si alishakuwa star. Kwenye video yake kwanza mwenyew alitakaga tuwepo mimi na mtoto wa mama yangu mkubwa alimtumaga kaka mmoja aje kutuambiaga
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Nyimbo zake zote nzur hivi hii si ndo walikuwa wanaiwekaga kwenye kipind cha zembwela ndo ilizidi vuma kwenye kipind cha oswazi
@hatamimnimempendabulejaman1596
@hatamimnimempendabulejaman1596 3 жыл бұрын
Enzi izo alikuwaga mzur sana alikuwaga Ana mwil kabla hajaanza imba
@komboali8203
@komboali8203 8 күн бұрын
Darasa la Saba 2008, Leo 2024 mwez wa 8
@janneferisaya83
@janneferisaya83 2 ай бұрын
Kama ww ni mhenga kama mm ndo tunaielewa hii ngoma 2024
@user-hx4wi6xt8j
@user-hx4wi6xt8j 10 ай бұрын
15/10/2023 kama na ww unasikiliza nipe like zangu
@JoyceGasper-zv5ld
@JoyceGasper-zv5ld 2 ай бұрын
Hizi ndo nyimbo za mafunzo sio mijimbo yetu ya mapenzi.rip mfaume
@fatumaali2493
@fatumaali2493 3 ай бұрын
Am planning to open ashop soon ,thiz will be my song evrymorning
@BTVBATTAWY
@BTVBATTAWY 11 ай бұрын
nyimbo hii ilikuwa ikipigwa katiak redio au TV nyumba nzima wananiita sababu nilikuwa ninaipenda sana yote sababu tulikuwa tuna duka ja Jirani yetu alikuwa anazinguwa sana kwa kukopa
@rayshark1653
@rayshark1653 9 ай бұрын
😂 aisee
@mohamedkakuze8255
@mohamedkakuze8255 Ай бұрын
Song la maana sana ❤ 2024
@faudhiarashidi3657
@faudhiarashidi3657 3 жыл бұрын
R i p dogo mfaume😭😭 Tunaongalia ngoma hii 2020 gonga like apa
@standardtv3494
@standardtv3494 Жыл бұрын
moja ya nyimbo zilisumbua sana hisia ya mapenzi kwenye misha yangu ya kupenda huu wimbo kuna watu walidhani nimemuimbia huyo Regina duuh
@shakombomwangauri633
@shakombomwangauri633 2 жыл бұрын
It's 2022 but the message I still loud and clear. R.I.P Mfaume
@erickmloge1052
@erickmloge1052 6 жыл бұрын
Maumivu ya moyo hayapoi kwa ganzi..Rest in Peace Brthr!
@fatumayenzela6878
@fatumayenzela6878 10 ай бұрын
Za kitambo zinabamba sana
@kambiyusufu7709
@kambiyusufu7709 2 жыл бұрын
R I P dogo mfaume unanikumbusha mbali sana
@erickhaule8680
@erickhaule8680 7 жыл бұрын
Nani anacheki hii song 2017 Bonge la nyimbo
@usianakamanda134
@usianakamanda134 4 жыл бұрын
MejA kunta pipi
@Cambarada
@Cambarada 4 жыл бұрын
2020 sasa
@bensonamuli3796
@bensonamuli3796 3 күн бұрын
Just remembered this song l used to listen to 9 years ago😂😂🎉🎉
@athumangodson8462
@athumangodson8462 3 жыл бұрын
Haipingwi kitambo xanaaa nakubalii R.I.P
@emilianmnyongo2408
@emilianmnyongo2408 Жыл бұрын
Punzika kwa amani br wimbo huu utaendelea kua darasa kwetu
@kidumumungia1475
@kidumumungia1475 Жыл бұрын
Asante Dogo mfaume, ulitutendea haki hapa.
@tonnypaul3802
@tonnypaul3802 3 жыл бұрын
Nipo apa 2020, hii nyimbo itaishi milele, lala salama dogo mfaume🙏
@komboali8203
@komboali8203 2 жыл бұрын
Nakumbuka nipo darasa la Saba, saiz nimeajiriwa, nackiliza tena June 2022
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 3 жыл бұрын
Duuh siamini km umetutoka dogo .....pumzika kwa amani.....
@keydeemasinga6986
@keydeemasinga6986 Жыл бұрын
R.I.P. broo,nimeona nisijizuie nije hapa baada yakukumis mnooooo,😭😭😭2023
@munaahmed8499
@munaahmed8499 2 жыл бұрын
Nani asikiza 22/10/2021 kam mm gonga like twende sawa daaah Allah akurehem kaka umetuachia maneno mazur Kazi yangu ya dukan ina niweka matatani dahh
@haronbakora7156
@haronbakora7156 Жыл бұрын
Hii wimbo inanikumbuza mbali sana nikija mjini and I was struggling, inafanya natoa machozi
@elizachota6361
@elizachota6361 5 жыл бұрын
omar, dogo mfaume,pancho latino mungu awakutanishe 😭😭😭😭😭😭💔💔💔💔
@alexkelvin2427
@alexkelvin2427 2 жыл бұрын
2020 mpo tunaokubal ngoma hii mikonojuu
@UziVert_SA
@UziVert_SA 6 ай бұрын
2024 February, rip dogo mfaume😢
@hannansdeliciousfood4261
@hannansdeliciousfood4261 3 жыл бұрын
Nyimbo ina ujumbe mzuuri hasa kwa vjana....wawe makini na life
@mosesosodhi8135
@mosesosodhi8135 2 жыл бұрын
What a song,what a song this is.Waaaaat!🙏🙏🙏👊👊
@lusakejackson1515
@lusakejackson1515 22 күн бұрын
Any one in july 28 2024?
@rnbtalburnke3078
@rnbtalburnke3078 Жыл бұрын
2023 Kazi yangu ya Dukani🔥🔥🔥
@idisoncavan7800
@idisoncavan7800 5 жыл бұрын
2019 napenda sana
@abdullmajengo260
@abdullmajengo260 7 жыл бұрын
pumzika kwa amani dogo mfaume mbele yako nyuma yetu R. I. P
@TifaaIdda-le8ou
@TifaaIdda-le8ou 10 ай бұрын
Rest in peace broo nausikiliza mwaka 2023 mwezi WA 10
@evelynodhiambo2818
@evelynodhiambo2818 7 жыл бұрын
I loved this song and still loving it
@thumamohamed7946
@thumamohamed7946 7 жыл бұрын
Allah akueke mahal pema pepon...mbele yako nyuma yetu
@kabintmpase1544
@kabintmpase1544 3 жыл бұрын
Jaman nyimbo zili kuwa zaman dah saiz matus tu😥😥
@mctallc-key2843
@mctallc-key2843 Жыл бұрын
R.I.P bro 2023 Bado tunakukumbuka
@minzamabula8552
@minzamabula8552 7 жыл бұрын
masikini kaka yangu pumuzika kwa amani tulikupenda lakini mungu kakupenda zaidi
@elizabethdaniel6427
@elizabethdaniel6427 5 ай бұрын
2024 still here 🥹🙌🏾🙌🏾🔥🔥🔥❤❤
@SuleiyahIbrahim-gc4lw
@SuleiyahIbrahim-gc4lw 2 ай бұрын
EATV walitakiwa kumlipa huyu jamaa walitumia sana beat yake
@HamiduKimbega
@HamiduKimbega Жыл бұрын
Nilikuwa mdogo xan
@saphiawazir8001
@saphiawazir8001 4 жыл бұрын
innalillah waina ilaih rajiuna, mbele yako nyuma yetu
@recardoroman2192
@recardoroman2192 2 жыл бұрын
2021 who still listen this one like me Rest easy dogo mafume
@leahngweta8219
@leahngweta8219 5 жыл бұрын
R.I.P Kaka Ila Nyimbo zako bado zinatufunza 2019
@hawaamkubwa2020
@hawaamkubwa2020 5 жыл бұрын
Allah akupunguzie adhabu ya kabir dogo mfaume
@abdullihsomani8956
@abdullihsomani8956 4 жыл бұрын
We unajua anaadhibiwa?? Usimhukumu mtu, sema Allaah akurehemu siyo ampunguzie adhabu
@shabanmanyama1694
@shabanmanyama1694 4 жыл бұрын
Haitakuja kuchuja hata kwa bahati mbaya kakaangu mwenyezi mungu akupe wepesi huko uriko nass niwaja wakesho
@miladayu
@miladayu 2 жыл бұрын
2022 still listening to this
@ismahanymahamoud9721
@ismahanymahamoud9721 Жыл бұрын
R I P bro nice song
@Chris-cb2dj
@Chris-cb2dj 7 жыл бұрын
rip dogo mfaume sisi wote ni wa maulana na kwake tutarejea
@salomesafi1226
@salomesafi1226 4 жыл бұрын
February 15/2020/8:59 RIP bro hii wimbo kwangu haito kuja ku chuja😭😭😭
@saidynamkanda746
@saidynamkanda746 Жыл бұрын
2022 bad naikumbuk na kuiangalia vp wapo Kama mm R.I.P dog mfaume
@stanleyraphael714
@stanleyraphael714 2 ай бұрын
Rest easy brother... Ur memory still alive
@mejasonpeter1677
@mejasonpeter1677 Жыл бұрын
Ukiendekeza chupi utavuna ngoma
@rahmaissa9914
@rahmaissa9914 6 жыл бұрын
Allah akupunguzie adhabu ya kaburi kaka mfaume
@abdullihsomani8956
@abdullihsomani8956 4 жыл бұрын
Usiseme Allaah akupunguzie adhabu za kaburini, ina mana we unajua yupo anaadhibiwa?
@seinamador5474
@seinamador5474 2 жыл бұрын
2022 March Mwisho wetu daima ni ulele Jela, taasis au kifo. RIP bro
@emmanuelkafuu9220
@emmanuelkafuu9220 5 жыл бұрын
Love from Nairobi Kenya..13/8/2019
@hasanseleman9641
@hasanseleman9641 3 жыл бұрын
Inyimbo haiwezi potea nev
@AllyIssya-cy9yg
@AllyIssya-cy9yg 4 ай бұрын
kazi bora sana ya dogo mfaume
@rajabumlau5911
@rajabumlau5911 6 жыл бұрын
jaman mtu akishikwana unga anyongwe jaman rip dogo mfaume
@papafikiri
@papafikiri 7 жыл бұрын
pumzika kwa amani dogo Mfaume
@fanuelmulumba9976
@fanuelmulumba9976 7 жыл бұрын
Napenda Dogo mfaume
@kazkaz1943
@kazkaz1943 11 ай бұрын
2023Yaan wateja leo wamenivuruga imebid nijilete mwenyewee humu yaan hawatak kunilipa majiran ndo kabisaaa ndugu nao wanataka vitu bure
@leoncebizimana9867
@leoncebizimana9867 7 жыл бұрын
mbele yetu nyuma yako!
@hassanabdul1260
@hassanabdul1260 6 жыл бұрын
daa,kifo bn km utani,Pumzikaa xalama nasi tuko nyuma ykooo
@user-cd1yh8kn3n
@user-cd1yh8kn3n 3 ай бұрын
Pumuzika kwa amani😭😭😭
@kaizerjunior5506
@kaizerjunior5506 Жыл бұрын
Rest in peace Mfaume..........🙌🏾
@ChristianRafael-xf5uf
@ChristianRafael-xf5uf Ай бұрын
Apumzike kwaaman
@zahraothman6760
@zahraothman6760 7 жыл бұрын
Innalillah waina illah rajiun.... pumzika Kwa amani
@magixengaa
@magixengaa 4 жыл бұрын
Hyo sio usilamu
@edwinerutayuga237
@edwinerutayuga237 7 жыл бұрын
uliniachia somo dogo mfalme
@VairethPonela
@VairethPonela 5 ай бұрын
Au nifuge nguruweeee?!!🙏🙏🙏
@modesteshayo9812
@modesteshayo9812 7 жыл бұрын
amefariki so nimependa kumuona enzi za uhai wake
@franktiba1506
@franktiba1506 2 жыл бұрын
2022 still enjoying the music 🎶 😌 🕺🕺🕺🕺
@azizi-ud3sj
@azizi-ud3sj Жыл бұрын
Moja ya kazi bola mika yote 2023
@justineemanuel127
@justineemanuel127 8 ай бұрын
Watakaokuja kusoma ujumbe huu tarehe 30/11/2099.
@JumaAbu-yv3kv
@JumaAbu-yv3kv 15 күн бұрын
Jimson msunza from dodoma pamoja sana2024
@nyukuriokuna9166
@nyukuriokuna9166 Жыл бұрын
Who's here 2022 gibe me likes,,,,
@kiloposimba2012
@kiloposimba2012 Жыл бұрын
RIP DOGO MFAUME spt24,2022 I am still listen
@naimasaid7763
@naimasaid7763 3 жыл бұрын
Mungu akuweke mahali pema peponi
Omary omary kupata ni majaliwa
10:17
moresweet official
Рет қаралды 83 М.
Mama ntilie.mp4
4:56
Adam Juma
Рет қаралды 424 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН
Harley Quinn's plan for revenge!!!#Harley Quinn #joker
00:49
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 30 МЛН
Harley Quinn's desire to win!!!#Harley Quinn #joker
00:24
Harley Quinn with the Joker
Рет қаралды 9 МЛН
20 Percent  -YA NINI MALUMBANO
5:43
MuzikiNet
Рет қаралды 210 М.
Easy man Kasoro wewe 1)
4:45
jackson david
Рет қаралды 188 М.
YAMOTO BAND VIDEO MIX TZ-Dj Kips Dan
32:55
Duncan Kips Dan
Рет қаралды 2 МЛН
Suma Lee-Hakunaga HQ
4:25
fahmi salum
Рет қаралды 244 М.
Tundaman Featuring Spark & Madee  -   Nipe Repoti (Official video)
5:01
MC Babu Ayubu Chaja Ya Kobe Official Video
11:15
Africha Entertainment
Рет қаралды 558 М.
Spack & Tundaman - Nipe Repoti
5:01
reggaealmi1
Рет қаралды 4,9 МЛН
Kamanda (feat. Daz Nunda)
6:10
Dominick DM7 - Topic
Рет қаралды 101 М.
20% - Tamaa Mbaya
5:33
EastAfricaTube
Рет қаралды 1,7 МЛН
Omary - Majaliwa
10:17
jphamber
Рет қаралды 248 М.
SCHOOLBOY. Последняя часть🤓
00:15
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 11 МЛН