SubhanaAllah,,mwaharibu uzuri wa hallal, ni kudhalilisha uislamu kwa kweli,,,wanacheza matusi hivyo na wanaume wapo,,plus imewekwa mitandaoni,,c sifa dada zangu ila ni hasaraa,,ni dhambi za kuendelea hata mtu akifa
@asmaafamau83077 ай бұрын
MASHAA Allah
@SalmSalmasaid7 ай бұрын
Dola kama dola kila la kheri sweetheart
@aishaomar96212 ай бұрын
Iwe kheri kwako mpenzi❤❤❤❤
@numohd7 ай бұрын
Bi harusi Ma shaa Allah ila baadhi ya wanawake wame kuwa kucheza kwa kistarabu hawajuwi kucheza gani kwa Kuji dhalilisha 😮
@huss6687 ай бұрын
Wenyewe wanaona ni sifa
@saumuabdallaathman99377 ай бұрын
Gwaride lafata nini holini😢
@rashmcchiluz69167 ай бұрын
❤
@aminasaid41747 ай бұрын
Kucheza gani huko sasa😏Mkinyiwa ruhusa na waume zenu munune wakati kucheza ni huko 🙆♀️🤦♀️
@samiinali13597 ай бұрын
Kwa kweli waume wana haki kweli ya kutotoa ruhusa za kwenda maharusinii,,,wallah wanakosesha baraqa hiyo ndoa