😂😂😂😂😂kelvin unacheza vizuri sana unachunguza kiundani bila Jarufu kujua aty wataka number ya suzy😂😂😂
@Mwanaima-w9kКүн бұрын
Yaan kelvin kweny hii movie umekuwa na ushauri pia ni umekuwa mbeya hatari daaaaa😅😅😅😅😅😅😅😅
@SOLOMONASIMWE14 күн бұрын
Mimi wa pili toka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@tigejuma986513 күн бұрын
Mr d una honga sana baba.... punguza kuhonga ...😅😅😅
@HalimaAdam-r5e14 күн бұрын
Halafu kelvin duh wewe ninoma sanaa unamfwatilia sanaa suzy upate ukweli mr d anadit na suzy ama lisaa patam hapa halafu humuambii kitu chochot jarufu 😅😅😅 kelvin kiboko sanaaa
😂😂😂😂😂😂Kelvin kweli watosha maua yako haya 💐💐💐💐💐💐🤗hongera
@Phoebenafula14 күн бұрын
Wa mwisho kutoka Kenya 🇰🇪🇰🇪
@SadockManirakiza14 күн бұрын
kelvin mwanaume shujaa namkubari sana jarufu nampa pole
@ZAHARA-s2m13 күн бұрын
Kazi nzuri sana nawapenda sana wana donta
@AmisiKagos13 күн бұрын
Wa kutoka congo tujuwane 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@RehemaRashid-h2q12 күн бұрын
Mm nilijua2 km suzy atakuw ana tamaaaa2🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ZaytoonMohammed14 күн бұрын
Huyu mama mzuri mashallah ❤️
@SoziSozi202014 күн бұрын
hawa wasichana wame changanyikiwa na maisha pesa yahalaka mutakufa bure😂😂😂😂
@JaelOkoth11 күн бұрын
Loveness umechezwaa ila yotee sawaa.....tunasubiria episode 12
@JabirShekihiyo12 күн бұрын
Ila Mr d amezidi kuhonga jaman ndoman anamtia tamaa lisa 😊😊😊
@jamilashabani858013 күн бұрын
😂😂 Et umenikumbusha Mm Ndio Times keeper ❤🎉🎉🎉🎉🎉
@BucumiZuhura10 күн бұрын
Sauti ya nyimbo ni kelvin kabisaaa
@HaimaSadiki-q3u12 күн бұрын
ila kevi jaman nimecheka sana eti mi mwenyw nahis ashaalala saiz ata usimsumbue😅😅
@joycemuenimutua450614 күн бұрын
Kazi Iko sawa kabisa 🎉 Kenya
@jacquelinekivamba854114 күн бұрын
Mahali salama hapa😂🎉🎉
@HalimaAdam-r5e14 күн бұрын
Sijapenda kelvin hapo veny umeongea na shemej yako lisaa natak kujua mmeongea nini ama ulikuwa unamtongoz
@KeruboFelister-w9m13 күн бұрын
Wimbo ni mtamu sana❤❤❤🎉
@jamilashabani858013 күн бұрын
Mnafnya Kwel au Michezo 😮😮😮😮
@TabuBaya-mr4lx12 күн бұрын
Kevin etingoja nihakikishe ❤❤❤❤❤
@GladysKarembo13 күн бұрын
Congratulations team Kelvin khan🎉❤🇰🇪
@GelasBalox14 күн бұрын
bon travail frère Kelvin tuna kufata tangu DRC bro
@ZainaFerreira-u9p14 күн бұрын
Nimewai Léo WA kwaza🎉🎉🎉
@DianaNelima-i5i14 күн бұрын
Ila Julie unanichekesha eti sai amelala wacha tu tusimuamshe na umepatana naye😄😄
@عامرعفير9 күн бұрын
Kazi safi sana ❤❤❤
@FurahaMbilinyi-f7v13 күн бұрын
Jaman mnaoombaga like Huwa mnazipelekaga wapi mniambie na Mimi nizipeleke
@BeatriceMalumbo13 күн бұрын
Yani Kevin ananchekesha sana kaamua kuchunguza😂😂😂😂
@TumuRashid14 күн бұрын
Ivi uyu Julius mwamuelewa kweli mm nlichogundua anawivu na Lisa wake 🎉🎉 kma mwaamin ilo nipen likes atak na mke wake😂😂😂
@SwahibaAmry14 күн бұрын
Kelvin we hujui mapenzi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 jaruf 🙌🙌🙌
@RizikiZiki14 күн бұрын
ILa Kelvin na Jarufu mnamambo😂😂😂😂😂
@winniemwaka320213 күн бұрын
Lisa umekosa rafiki hata ni amina😅😅kitakuramba🎉🎉🎉🎉
@NASRASALUM-t4m14 күн бұрын
Asant nime fulai sana ❤❤❤🎉🎉
@HalimaAdam-r5e14 күн бұрын
Suzy anamanen mabay sana sijui akoje mr d unampa pesa yanin huy malaya alie na roho mbayaaa yaan limew3ka pesa mbele sana halafu hana ushaur mzuri hata kidogo
@BucumiZuhura10 күн бұрын
Ilo sauti la Lisa anavoongea na jarufu kama wapo nyumba moja 😂
@webnet565214 күн бұрын
Kelvin nimshari san kwa kumchokoza jarufu😅😅😂
@rachelKizumbe13 күн бұрын
Afu kweli hilo wigi halijakupendeza 😅😅😅
@KhadijaNassor-f6m14 күн бұрын
Wow Leo nmewahi😊
@Emilymama2boys9 күн бұрын
Jarufu yatakutoka na puani soon 😅😂
@BahatiJoseph-n7w14 күн бұрын
Nimekuwa wakwanza leo kama unamkubali Lisa gonga like hapaa
@SophiaPaulo-w4i13 күн бұрын
Kaz nzur sana inafundisha
@GhaniaNasser-d9p3 күн бұрын
Ila kevi umenipa raha eti bichwa linavimba akiitwa mumewangu 😂😂😂😂
@JerolinaLuwagila14 күн бұрын
Mko vizuriiii ila nyimbo zinaimba mda mrefu jamaniii 😂😂😂
Jaman mamaake love mwenye alitoka ndo alikuwa anabamba kwel
@jamilashabani858013 күн бұрын
Wimbo❤❤❤❤❤❤❤ Kelvin ❤❤❤❤❤
@Divinah-kem14 күн бұрын
Kevin na umbea😂😂😂😂😂
@TonnyEyes-g2q10 күн бұрын
Kazi nzuri
@boazigisogi347914 күн бұрын
Uyu mama hawezi uharisia
@msguilaine182812 күн бұрын
Kelvin naye mbaya jamani😅😅😅😅😅
@hussnein5769 күн бұрын
Hpo kwa j kuongea na lisa kwa simu mumetuzengua sna unasikia kbsa sauti inatoka hpo alipo j
@IrakozeAicha14 күн бұрын
Lisa Siku utakuja kukamatwa mamako akajua vyashala Yako atakuchukia WE mtoto nakwambia 😢😢😢hahahah eti Mmewangu 😂😂😂😂😂😂😂 kwani WE risa umeoana na jarufu au? 😂😂😂😂😂