Leo na mimi nimekuwa wa kwanza nipeni like zangu😅❤❤
@FatumaAdinani-o1gКүн бұрын
😂😂😂hupati hata moja
@dhahabudeche926Күн бұрын
Ila umechemsha bana ungepiga picha hao wapenzi 😂😂😂😂
@SalamaTauraКүн бұрын
🎉🎉
@jamesmaro7665Күн бұрын
Hongera kaka😊😊
@HarrietrehemaHarrietrehemaКүн бұрын
😂😂😂😂 wakwanza kuona lisa akimdanganya jerufu
@ShadiaIdrissa-r2fКүн бұрын
Nami Leo nimewahi nipeni likes
@JacklinebosiboriMomanyiКүн бұрын
Aaaah😢Kevin unaniboo..ungejukua simu uchukue video ya Liza na babake jarufu😢mm nisikia kukuzaba kofi😂😂😂😂😂mnipitie guys
@StevenYohana-h9pКүн бұрын
Kwel kwel
@MalkaNinikКүн бұрын
Yuwa nitiauchungu
@MwanalimaMwalimu-c4mКүн бұрын
Kweli 😂😂😂
@olicej7837Күн бұрын
Lbda ni vile ni movie tuwe wavumilivu wa kudanganywa😂😂😂😂
@JacklinebosiboriMomanyiКүн бұрын
@@olicej7837 😂😂
@MesamabroukКүн бұрын
Wee Amina huna imani basi niiyo kuigiza kwengine uwe vzur jaman una roho mbaya mbna
@dhahabudeche926Күн бұрын
Sasa hapa tumefikia inabidi julius ukiwaona lissa na babake jarufu uchukue picha bila hivyo suzi atakubadilishia kibao na jarufu hata kuamiani 😂😂😂
@CollinsKamoneКүн бұрын
Kazi nzuri Kelvin,,,,,,nakuomba siku nyengine ufanye na brown nampeza Sana,,,,,love you from Kenya 🇰🇪 and the
@SophiaPaulo-w4iКүн бұрын
Mungu ni mwema tumeiona Tena siku nyingine mungu tupe mahitaji tunayo hitaj
@SalmaIddy-t3h17 сағат бұрын
Ishaallah
@TomsonMwabara-i9b8 сағат бұрын
Mm ni wenu kwala movie ila Kwa hii mtanisamee,, ❤❤❤❤❤
@Faithkerubo-v4rКүн бұрын
Lisa Lisa Lisa nimekuita mara gapi chungana n hiyo moto unayo wakisha❤ Wacha n mr D n jerufu maana n baba n mtoto Anza maisha Yako mapya
@CentrineMusivaleКүн бұрын
Wa kwanza leoo likes nne tuuu
@jamilashabani8580Күн бұрын
Amina Kama Ndio Tabia yako Mama hutodumu katika ndoa una ushauri mbaya snaa mwenzio kaambiwa abaki hap jioni aende huko anakofny kaz ss ww kutaka kumkokota Mchana ili iwejee lissa jiongeze sio lazm kuwa na Rafiki Mnafiki
@OmanJalan-xc8nxКүн бұрын
Jarufu amtambulishe huyo Lisa kwa babake😂😂😂 jmn
@olicej7837Күн бұрын
Kabsaa tumechoka kungoja sisi😂😂😂
@OmanJalan-xc8nxКүн бұрын
@olicej7837 🤣🤣 watu tunakiu 🤣
@RizikiZikiКүн бұрын
Aceni move iendeleye tuone walivyo panga wenyewe jamani ebuaceni haraha😂
@OmanJalan-xc8nx23 сағат бұрын
@@RizikiZiki cc tunashabikia tu wala hatutaki kingne
@PillyEliasa18 сағат бұрын
Yani naisubir iyo siku kwa hamu sana😅😅
@BintiM-di1wmКүн бұрын
Mmenipitisha tena sijaona lisa akifumsniwa na Jarufu 😂😂😂😂yani mnanicheleweshea kimbwanga❤❤❤😂
@naomikisaba5785Күн бұрын
Muwe mnatoa kila siku nilikuwa sifatilii lkn nimeanza juzi Jana nmemaliza❤🎉🎉
@AplA-x9bКүн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@marthesifa-580316 сағат бұрын
Kelvin sisi mashabiki zako tunaombatu tuendeleye naiyi speed yakutuleteya movie yetu kwaharaka 🤩🤩 siyo siri umenifraisha chukuwa mauwa yako baba 🥀🌺🌹🌻🌼🌸💐🌷
@BrigitteMellyКүн бұрын
Wakwanza Leo from DRCongo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 tujuwane apo kwenye like jamani nimekuwa wakwaza
@نورة-ذ3غ2ث17 сағат бұрын
Julius bana hy hio chkua yangu pia heti ww pia unaomba like chkua na maua pia ❤❤❤🎉🎉🎉nawapenda sana my God bless you
@aishalovesesibe18 сағат бұрын
Jarufuu amezama kwenye penz ra Ryssa 😂😂 🤣🇸🇦🇧🇮
@winniemwaka3202Күн бұрын
We lisa😮nakuchukia😮😮kwenye hii move huna heshima hujieshimu kabisa mwenzio anakupenda we wamdanganya😮😮😮
@JennyRenald6 сағат бұрын
Baba na mtoto wanashare bila kujua 😂😂😂 sijui j akijua itakuaje😢
@RabiaAlly-r1wКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉 ila kelvni uko n movie nzri xn n kpji kikubwa mngu akujalie ufnkshe ndot zko
@NajmahnyangasiКүн бұрын
Kazi nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@Salama123-iw7hjКүн бұрын
Mm pia kutokea Kenya lakin kwa saa hii siko Saudi nawapenda Sana ❤❤❤
@MOISECHRISTIAN-pt3npКүн бұрын
Mashabiki wa Mr D tukusanyike apa kwa lick jamani👍❤
@NeemaBandika-i3uКүн бұрын
Wa kwanza from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@zainabkutwaa3327Күн бұрын
Nami leo nimewai nipe izo like 🎉🎉🎉🎉
@Merciful-62819 сағат бұрын
Lkn Kelvin we n mwmbaji fulan ivi ju wueh,,,si Kwa Io sauti madze🎉👏✨chukua maua yako banae🌹🌹🌹🌹much love ,,na mtembee Kenya tunawamiss sana
@PriscaKagendo-w7qКүн бұрын
Leo nko no 5 from Kenya, 🎉🎉🎉 kwangu
@SiwemaJohn-o5d22 сағат бұрын
Alafu huu wimbo ameimba kelvin mwenyewe jamani
@Belinda-d4u21 сағат бұрын
Mimipia naskia kaa sauti yake kabisa
@AlbertinaFuraha-fp6ndКүн бұрын
Wakwanza kutoka🇺🇸🇺🇸like 10 t maua 🎉wana Donta 🎉🎉❤❤
@RafhaelMuthaКүн бұрын
Kutoka Kenya 🇰🇪 😍 mm hapa
@aminandurya15 сағат бұрын
Siez pta bila kuacha comment maana mbali tumetoka hongeraa sana Donta tv 🎉🎉🎉❤❤
@SoziSozi2020Күн бұрын
kelvin ako zile za 😳 baba na mtoto wanakula kwa sahani moja ooono 😂😂😂😂
@HabibaKhamisi-xo8tz2 сағат бұрын
Donta Tv Pamoja Na Kelvin Mtanifanyaa Mwenzenu Nipigwee Kila Siku Na Mume Wangu Kwa Ajili Ya Movie Zenu Hizi Maan Namalizaaa Helaa Mwenzenuuuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@RizikiZiki23 сағат бұрын
😂😂😂😂Juli kaisha canganyikiwa na miste ji 😂😂😂 Amina sio powa ivo unajifanya rafiki wa Lisa lakini we ni munafiki sana Juli kizazi ca nyoka nibala😂😂
Mimi naona kabisa Jarufu atkufa na pressure penye anaenda ❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉 kelvin wewe ungemwambia tu ukweli Jarufu
@RizikiZikiКүн бұрын
Mmesahau kama Jarufu sio muelewa
@MwanalimaMwalimu-c4m22 сағат бұрын
@@RizikiZiki hapo umesema
@FreddyKasongo-c2hКүн бұрын
Kali🎉❤🦅🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩sana
@MDMehndiHassan-ve9zy18 сағат бұрын
Iposikumujatu fumanizi ipotayali tunangoja Lisa kumbuka😂😂😂😂😂
@UnrulyHope-e9j16 сағат бұрын
Hii filamu n moto naikubali sana 🎉🎉🎉🎉mm nangoja sana Lisa afumaniwe 😂
@MaA-kn9ty16 сағат бұрын
Kelvin nn umefanya sasa mm nasubiri kufumaniwa kwa lissa na Mr D 😢😢 lissa wacha njia 2 zitakushinda kumbuka mtaka yote hukosa vyote ww chunga bana
@RashidKhanOmarКүн бұрын
Nimechelewa kidogo nipeeni likes hata 10🎉🎉😂😂😂
@PascalMashauri18 сағат бұрын
Kazi nzuri kk
@SalamaTauraКүн бұрын
Kazi nzuri 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@CatherineKirugumiCathy19 сағат бұрын
Wapi likes za donta tv kazi nzuri kaka kelvin na team yako hongera
@billclintonotieno918319 сағат бұрын
Kazi safi💪
@MasauShida17 сағат бұрын
Kazi nzuri🇹🇿
@SleepyBeachCoast-ku4gk19 сағат бұрын
Lisa tulikuwa vizuri ila kwa wahaya kupenda sifa sijapenda😮😮
@amoswafula4095Күн бұрын
Kevin unashituka nini😂😂😂😂😂😂
@LeilaAbdi-p4i23 сағат бұрын
Kizazi cha nyoka kweli kabsa noma sana❤❤❤❤
@JoanMpondaКүн бұрын
Duuu wa kumi na tàno like kwa donta tv
@Amina-u8lКүн бұрын
Ila kelvin Ako na Siri nyingi za Lissa na hamwambii mwenzake 😂
@KahindiNyevu13 сағат бұрын
Alaaa Amina hauko vizuri kabisa ww n mbaya sana
@HalimaAdam-r5e19 сағат бұрын
Nataman mtambulisha jaman jarufu kwa baba ako😂😂tuona bomu venye litalipuka
@SamouOman18 сағат бұрын
Kazi nzur jomoni
@عائشة-ذ9م16 сағат бұрын
Courage ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@LizyBeth-s8s20 минут бұрын
Nimejichanganya nini hiki jamani😂😂😂 Julius kajua kuwaumbua wanna nyie
@HarrietrehemaHarrietrehemaКүн бұрын
😂😂 kizazi cha nyoka tena uchunguzi ni mwingi❤❤❤
@shaniabdallah99934 сағат бұрын
Hii tam sanan msicheleweshe mtuwahishie hivyo hivyo asanten nawapenda washiriki wote
@Wamwakera25416 сағат бұрын
Mimi kawaida kuchelewa lakin nimefika 🤣🤣🤣🤣 ety kaamua kuchanganya baba na mtoto kaka komaa ivo ivo kuhimili mapenzi kunaua 😂😂😂🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@AliDemashk-g2cКүн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉kazi nzuri
@اريناارينا-ق3ط20 сағат бұрын
Nice one ❤❤❤
@kennedymusonda-r4uКүн бұрын
Mime kuya kufata tena Nime upenda sana ❤
@Penuelmusa22 сағат бұрын
Ila amina anajua sanaa , uhusika wake ni mgumu sana🥰
@everlinekenga437Күн бұрын
Amazing ❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@aishalovesesibe18 сағат бұрын
Suzi bwana unamambo wwe😂😂🥰🇸🇦🇧🇮👊👌❤️
@NassirKhamis-d6l19 сағат бұрын
Mmhh huyu Amina hatari nyoka mweusi
@TesocomedianКүн бұрын
Good job bro 🎉🎉🎉❤ Kevin
@Alphonsine-zc8cpКүн бұрын
Wa kwanza leo🎉🎉🎉🎉🎉
@AnnEton-f2bКүн бұрын
Good work much love 💖💖
@joycemuenimutua450620 сағат бұрын
Jamani mnatueka ad lini Lisa mrembo wangu baba na mwanae do unapikianga ama😂😂😂😂 ❤ Kenya
@ManugwaThehero2 сағат бұрын
Nakukubali sana mwamba unaweza ningependa nam niombe nafx
@ManiMazeeКүн бұрын
Hi kazi ya lisa hi haya akitoboa niiteni mbwa
@LoiceKatana-ci1tx21 сағат бұрын
Hii kali Jarufu atajua tuu ata bila kelvin kumwambia iyo siku ya kuenda kutambulishwa hiyo😂😂😂
@SheilaCherono-j1k21 сағат бұрын
Sasa❤❤
@mirajinabaswa249219 сағат бұрын
Daaaaah, Kevin nawe usiwe rafiki mnafiki, kuwa msiri kwa jarufu
@BrigitteMellyКүн бұрын
Wapige picha Kelvin kuwa chapu 📷📷📷📷📷
@JoyceSalvatory22 сағат бұрын
Dah!Bora ningezaliwa kizazi Cha Mussa kulikoni hiki cha nyoka lakini nashukuru kwa kila jamb.
@viviankemunto443522 сағат бұрын
Ndio maana kuna kusali kila wakati na toba
@JoyceSalvatory21 сағат бұрын
@viviankemunto4435 Kwakweli.
@FurahaChristine-g8wКүн бұрын
Loveness endelea n'a hiyo biashara ya maman achana n'a huyo mpuuzi suzy kesho uta kuja kuliya uta kosa yote
@KudraEliasaКүн бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉🎉nic san kevin iko poa
@WssWss-w3pКүн бұрын
Wow good job guys 🎉🎉🎉
@AtanasiaVicent-nu3il20 сағат бұрын
Ila Kev umenifurahixh sn ww et nimejichangany nn jmn jey kamtambulishe bn
@mitambaebobo6128Күн бұрын
Nikweli achatukupe 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@JoeriaAbdallah21 сағат бұрын
Loveness ulitafuta rafiki mgani mwenye hakupei moral
@RamadhaniJuliasКүн бұрын
Nimehamia huku bro smith congrats 👏👏
@ZulfaMohd-pt3gj22 сағат бұрын
Jmn Amina lafiki mnafiki
@SonahIssahКүн бұрын
Ningekuw n rafik kam amina tungekuw tunapigan kil sik 😅😅😅😅
@BestnakayaКүн бұрын
Gonna like apa 🎉😂😂
@fatoooma12322 сағат бұрын
Ila juli unachokochoko😅😅😅😅,,, napenda kaumbea kako
@musamusa-xh2bg23 сағат бұрын
Sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@ZainabMxaluКүн бұрын
Watu mnawahi Sana dah!!
@HalimaAdam-r5e21 сағат бұрын
Suzy acha wivu mwanamke wewe ndomaan huna nyote hata yakutamkiwa na mwanaume kuwa anatak kukuoa lisaa mwenzako ananyota shida yake lisa uongooo kauweka mbele sanà
@ThierryNduwayesuКүн бұрын
Wa tatu leo🤚🏽🤚🏽
@RebeckAuntКүн бұрын
Suzi rafiki mubaya .ulishampenda Mista D juu ya pesa.
@AnnickyHatungimanaКүн бұрын
Tambulisha mke pata haya Jarufu wetu jamani unachangia mke n'a baba pole
@NduwimanavovobiVovobi23 сағат бұрын
Kila mwenye anamlaa suzi harudi anamkosi 😅😅 ndio maana kutwa kumdanganya mwenzie😂😂😂
@mejubagu682517 сағат бұрын
Kizazi cha nyoka
@SalibokoFeruziКүн бұрын
Napenda tu jarufu bafumaniane na baba yake 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂