PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 53 | Love Story

  Рет қаралды 173,425

DONTA TV

DONTA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 2 000
@Dontatv255
@Dontatv255 10 сағат бұрын
Vipi jamani tuendelee na speed hii hii au??😊❤️
@AminaRuliho-k1x
@AminaRuliho-k1x 10 сағат бұрын
Kazinzuli mwamb
@Phoebenafula
@Phoebenafula 10 сағат бұрын
Twendelea hivyo kaka 🎉🎉🎉❤❤❤🇰🇪🇰🇪
@JoyceRatemo
@JoyceRatemo 10 сағат бұрын
Endelea hivo hivo tu
@EliaElia-b1p
@EliaElia-b1p 10 сағат бұрын
Yaaan kwa hii stahili mtateka wengi mambo ni🔥🔥🔥
@azizamgota
@azizamgota 10 сағат бұрын
Ndio Mana upo chap
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 10 сағат бұрын
Wow nimekuwa wa kwanza wanaomkubali kelvin na loveness tujuane❤🎉
@MakameJini
@MakameJini 5 сағат бұрын
❤❤❤
@SyombuaMuvengei
@SyombuaMuvengei 10 сағат бұрын
Jamani kila nipo comment hua amnipi like zenu jamani hata kama ni umbangunzi umenzidi kwakweli basi agalau leo nipeni na mtambarikiwa🙏🙏.. I'm watching from Kenya 🇰🇪 ❤❤❤
@MwanalimaMwalimu-c4m
@MwanalimaMwalimu-c4m 7 сағат бұрын
Hongera sana ❤❤🎉
@AyshaAlmoutwa
@AyshaAlmoutwa 6 сағат бұрын
​@@MwanalimaMwalimu-c4m😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
@PancrasMunga
@PancrasMunga 5 сағат бұрын
Congratulations from 🇰🇪 🎉
@ChristophaMagete
@ChristophaMagete 4 сағат бұрын
Ndiyo Kev twende ivivi
@Christine-ho5us
@Christine-ho5us Сағат бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@FabriceFabriceAllyhandrew
@FabriceFabriceAllyhandrew 9 сағат бұрын
Kwakweli sahii mupo safi kabisa endeleya hivo kabisa tuawapenda kutoka burundi 🇧🇮 ♥️
@BrigitteMelly
@BrigitteMelly 10 сағат бұрын
Kelvin usipo kuwa makini ao wakina Denis watakuingiza pabaya tena tungonge like apo ❤❤❤❤
@HoHo-l1r
@HoHo-l1r 9 сағат бұрын
Kutoka Iraq hapa nipo pamoja nanyi bega kwa bega mpaka kijulikane pia nawapa pole sana familia ya kina Kevin kwa changamoto mnazozipitia ila iko cku Mungu atawajalia na mtasahau shida zote 🙏🙏🙏
@Mindset_99-m
@Mindset_99-m 7 сағат бұрын
Unapata muda wa kutizama movie uko hakun vita kweli uko
@nyamogafamily9549
@nyamogafamily9549 4 сағат бұрын
Naomba connection ya job,,pasport ninayo....
@TamimukassimuTamimukassimu
@TamimukassimuTamimukassimu 10 сағат бұрын
Ndiyo kwasasa mnaongoza kwa speed ya kuachia kipande kingine sisi mashabiki wenu tunasema congratulations kwa kuthamin kazi yenu nasisi tunajivunia Sana uwepo kwenye filamu
@mankinishee
@mankinishee 10 сағат бұрын
Tina utavuna ulichokipanda wangapi wanamkubali Kelvin amuoe loveless dondosha comment hapo chini tukisonga
@AlafatOmaryNdabigaile
@AlafatOmaryNdabigaile Сағат бұрын
Tena tina anazd kua Un beautiful tok aache na kelv alikua anamtunza vzr sas sura yake inaonekan niyamashak mashak mda wote
@mankinishee
@mankinishee Сағат бұрын
@AlafatOmaryNdabigaile nabado mpaka awe na magaga
@JohnBosco1
@JohnBosco1 9 сағат бұрын
Siku mpya ukiaanza Mungu analeta balaka zake❤ Team Loveness gongeni likes 🎉
@DionisBwire
@DionisBwire 8 сағат бұрын
Nawakubali Sanaa
@TonyCristy-j6e
@TonyCristy-j6e 10 сағат бұрын
Leo mimi wakwanza kutoka Moçambique naombeni like 👍❤️🌹🌹💐🥀🍎🌹🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@Eric-i6v8t
@Eric-i6v8t 10 сағат бұрын
Finally leo nmkua wa kwanza wah kweli 🎉basi likes to jameni🎉🎉
@SayuniKilingo
@SayuniKilingo 9 сағат бұрын
Ndiyo jamn inapendza
@TatuAthuman-o2z
@TatuAthuman-o2z 8 сағат бұрын
hongera,naumetisha​@@SayuniKilingo
@CatherineKiilu-j2l
@CatherineKiilu-j2l 10 сағат бұрын
Wakwaza from Saudi Arabia naomba ur likes at least 20 nawapenda bure guys
@Christine-ho5us
@Christine-ho5us Сағат бұрын
Jeddah
@Lornagari
@Lornagari 10 сағат бұрын
Namba 10 leo, msininyime soku izi donta mnajitahidi congratulations 🎊 👏
@agneskarisa4222
@agneskarisa4222 7 сағат бұрын
Nmechelewa ila nmefika....Team kenya❤❤❤❤❤❤....Mimi nawatch na simu nyengne..then nchukue simu nyengne niwatch tena😂...Nasikia raha nkiwatch movie zenu❤❤
@GraceOdhiambo-bl5ub
@GraceOdhiambo-bl5ub 6 сағат бұрын
Timu ni mbili ya tina na loveness yote yako na shida na tabu za kivyake,ila timu tina wako nayo shida+taabu hata na zaidi team loveness nawapenda bureee ♥️♥️♥️
@shabaningayama
@shabaningayama 6 сағат бұрын
Hahaaaaa kwa kweli
@MustyNgongo
@MustyNgongo 10 сағат бұрын
Leo wakwanza jomon duuuh naomben like zenu ata kumi mwaka mpya jmn izo za kusalimiana
@HafsaShukuru-sq8bs
@HafsaShukuru-sq8bs 10 сағат бұрын
Sijui Mie wa ngap kwani Ila mambo❤❤❤❤
@Recho-c1i
@Recho-c1i 10 сағат бұрын
Wa kwanza Leo awewweee mnipe like
@ernestraymond4006
@ernestraymond4006 9 сағат бұрын
Julius Smith a.k.a Kelvin utafika Mbali sana endelea kuwa mbunifu piga kazi angalia matukio ya kidunia alafu jitafakari kitu gani kipyaa kitakuja ila ikiisha hii fanya kitu kikubwa zaidi ya hiki pia tunahitaji mbadilishe majina n.k nawatakia kila kheri kwenye kazi zenu.
@Perrismvuko
@Perrismvuko 10 сағат бұрын
Wow! Wa kwanza Leo mnipee likes pia . Alafu Loveness kongole sana kwa mawaidha yaani maneno ya busara na kutia moyo.💕
@keruboElizabeth-c4t
@keruboElizabeth-c4t 10 сағат бұрын
Wa kwanza mie. Mnipe like zangu
@JulianaMagodi-d3d
@JulianaMagodi-d3d 10 сағат бұрын
Waow hongera kwa kutufurahisha
@WilbertMmary
@WilbertMmary 10 сағат бұрын
Nipeni maua yangu wa kwanza🎉🎉🎉
@nancyshikuku-vs9le
@nancyshikuku-vs9le 10 сағат бұрын
🌹🌹🌹
@basimisemusafiri4856
@basimisemusafiri4856 10 сағат бұрын
Tunatamani mufikiye 1000 lakini munaweka dakikakidogo sana 🎉🎉🎉❤
@AminaMndalu
@AminaMndalu 2 сағат бұрын
Nitamu Ila nifupi,kelvin ongeza muda.kama unaungana na mm nipe like hata kama ni kumi❤❤❤🎉l🎉
@rozamarcelle1241
@rozamarcelle1241 8 сағат бұрын
Niko zangu huku kazini nakitu huku kimeingia twende nalo jamani Mimi kuhangalia nyuma sijapenda kabisa nawapenda sana ❤️❤️❤️❤️💪🏾💪🏾
@FarajiJackson
@FarajiJackson 10 сағат бұрын
Wakwanza Leo lkn mm like asant sana Kevin upo vzr🎉🎉🎉🎉
@naturebclassic447
@naturebclassic447 10 сағат бұрын
Wa kwanza,likes kumi tu jamani leo
@1599k6g
@1599k6g 10 сағат бұрын
Wote muliocoment bado mpo hapa mana ndo Dakk 2 zimepita hebu abishe mtu 😂😂😂😂😂😂
@MatthewSaruni
@MatthewSaruni 7 сағат бұрын
Yeah 👍👍👍 endeleeni vivyo hivyo from Kenya where's my like guys please
@asmaasmi9019
@asmaasmi9019 2 сағат бұрын
Ama kweli ngombe wa maskini huzaa dume ila ni subra tuu nice movie inamafunzo sana ❤
@StakimaSaid
@StakimaSaid 10 сағат бұрын
Nimekuwa wa kwanza Leo naomben likes zenu kipenz
@Faithkamutheu-if5ng
@Faithkamutheu-if5ng 10 сағат бұрын
Za nini
@LuciaMassawe-x4r
@LuciaMassawe-x4r 10 сағат бұрын
Wa kwanza leo mm naomba kabisa likes zangu wapendwa
@RahelMhezi-f9o
@RahelMhezi-f9o 10 сағат бұрын
Nimewahi jaman🎉🎉🎉
@annmabuto3182
@annmabuto3182 9 сағат бұрын
Yeah Maya kwako siezi complain am totally ok with u more 💕💕💕💕 to Kelvin Tulia kila kitu kitakua sawa
@AyeshaHerson
@AyeshaHerson 5 сағат бұрын
Mm tena nshachelewa jamani msjali mnipe lyks zenu ivo ivo dada yenu nawapenda nyotee wana donta❤❤❤
@gitarindwiga2793
@gitarindwiga2793 10 сағат бұрын
😂😂😂😂like zangu sasa from Kenya wakwanza cucoment😂
@Christine-ho5us
@Christine-ho5us Сағат бұрын
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@mankinishee
@mankinishee 10 сағат бұрын
Jamani wapenzi nimekua wa kwanza naomba japo likes kumi😢😢
@graceevans7461
@graceevans7461 10 сағат бұрын
Wakwanza uku team strong haloooo😅
@JonasMulengwa
@JonasMulengwa 2 сағат бұрын
Munajenga manyumba zetu. Sisi tulio owa. Hizi Love story zinajenga. Balaa kwangu naishi congo mtaa WA Kivu ya kaskazini. Ila na WA pongeza🎉🎉🎉🎉
@fatmaubwa-z8s
@fatmaubwa-z8s 7 сағат бұрын
Jamani wana donta na wengine wote mtuombee sana watanzania tuliopo gulf turud nyumban salama usalmini 😢 tuje kuona familly zet kwa mara nyengine❤❤❤
@RoseSamwely-k8c
@RoseSamwely-k8c 10 сағат бұрын
waoooo leo wa kwanza jmn uwiiiiiiiii❤❤❤❤ like kwangu
@LauraKhisa-y6r
@LauraKhisa-y6r 10 сағат бұрын
WA Kwanza jamani mnipe likes zangu from Kenya
@chombosamoo7958
@chombosamoo7958 10 сағат бұрын
Wa kwanza nipewe like ❤ Mungu awatendea mema 🇰🇪
@agathaKamuya
@agathaKamuya 3 сағат бұрын
Walai tangu nianze kufatilia hii tamdhilia sijawahi kuona mama kedi akiangua kicheko kama leo , kusikia kevi akimwambia unafikiria bony kuwa mkwe weuh patamu hapo, perfect. maua kwa mama kedy🎉🎉🎉🎉🎉
@JAy-e2q3z
@JAy-e2q3z Сағат бұрын
🎉
@NAOMIMSNAOMI-s3m
@NAOMIMSNAOMI-s3m 8 сағат бұрын
Jamani najihisi raha kbs. Mukiwa nachia ivi marakwa Mara mutaniteka marambili kwasababu nilikuwa nimeshapanga kuachana nanyinyi lakini ivi tuko pamoja kbs ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@Shamimmahmoud-wg4rf
@Shamimmahmoud-wg4rf 10 сағат бұрын
Wa kwanza from Kenya congratulations team kelvin
@KwilabyaMathias
@KwilabyaMathias 10 сағат бұрын
Wa kwanza Leo naomba like jaman
@missmutunga8172
@missmutunga8172 10 сағат бұрын
Watu wa kuomba likes before kuwatch kipindi 👍🙈👍
@AishaWaiddy
@AishaWaiddy 3 сағат бұрын
Nawapenda sn jamani❤❤❤❤haswa nacho wapendeya wala ataaa hamutukawiziy muendelezo good jop Donta Tv👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻
@FaithKerubo-s3j
@FaithKerubo-s3j 5 сағат бұрын
Am from Kenya wanaomkubali Kelvin na loveness tujuane kwa likes jameni🎉🎉
@sophiaa2974
@sophiaa2974 10 сағат бұрын
Wakwanza jaman ❤❤❤❤🎉
@YunusiAmina
@YunusiAmina 10 сағат бұрын
Speed iko sawa endeleeni hivyo vivyo 🥰🥰🥰
@AishaSudi-pu9xy
@AishaSudi-pu9xy 10 сағат бұрын
Mapema ndio best finally firm ya kihalisia ya maisha ❤
@SalomeSumbizi-ll9wc
@SalomeSumbizi-ll9wc 3 сағат бұрын
Mwaka mpya,Nguvu mpya na Kasi mpya kongole sana kaka @Kelvin maua Yako upewe🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@VeronicahOtwori
@VeronicahOtwori 4 сағат бұрын
Aki si mupatie lovenes like huyo dada ako n moyo mzuri kweli namupenda sana ❤❤❤❤Dennis uko n mpango gani lkn😅😅😅😅😅😅
@MagrethBernard-p2n
@MagrethBernard-p2n 10 сағат бұрын
Well done, congratulations to donta family🎉🎉🎉🎉. They are perfect
@Dianah-rm9og
@Dianah-rm9og 10 сағат бұрын
Lakn akuna actor tunapenda kama Kelvin anatupea kipindi vilivyo🎉🎉🎉🎉❤
@JoyceRatemo
@JoyceRatemo 10 сағат бұрын
Leo ninawapa bongezi Kwa kuwai maua yetu eti🎉🎉🎉🎉kazi nzuri
@DanielNeves-w7z
@DanielNeves-w7z 2 сағат бұрын
Donta TV inaenda kwa kasi ya juu nimeipenda sina mengi ya kusema nguvu zaidi donta TV nakupenda zaidi🙅🏿🙇🏿
@FloraFredy-c3l
@FloraFredy-c3l 6 сағат бұрын
Loveness na kelvin mnafanya vizuri sana msikate tamaaa mungu atawatetea tunawaombea muwe na maisha mazuri
@Fatmamakame-q5w
@Fatmamakame-q5w 10 сағат бұрын
Wowoo now hamcheleweshi endeleeni ivyo ivyo nani anatami kelvin amsikikize rati ili mali zao ziludi😊😊🎉🎉🎉❤❤
@NuruhKhamisi
@NuruhKhamisi 10 сағат бұрын
Nimewahi jamanii mnipe like zangu
@JAMESSINYINZA-kc7ml
@JAMESSINYINZA-kc7ml 10 сағат бұрын
Kwa mara ya kwanza Nimeiwahi Dakika Ya Kwanza Ya Kuachiliwa Kwa Moviee Like Zangu Jaman
@sarahjoseph-s3v
@sarahjoseph-s3v 9 сағат бұрын
Nikajua nimewah duuh!! ❤❤mauwa yenu mliowah
@RoseJoseph-e7l
@RoseJoseph-e7l 2 сағат бұрын
Tinah na ww jisome basi huoni kila ukimfuma deni's akutupia chini😂😂😂
@Loverboy-i2y
@Loverboy-i2y 10 сағат бұрын
Wa kwanza from kenya 🎉mauwa yenu🎉🎉🎉🎉
@candidamushi-se9mb
@candidamushi-se9mb 10 сағат бұрын
Kelvy umejua kuturoga ndani ya sekunde wadau kama wote😂😂😂😂
@Purryjacob
@Purryjacob 10 сағат бұрын
Jameni mm wa Kwanza Leo tujuane n likes🎉
@christinekadzobaha9491
@christinekadzobaha9491 10 сағат бұрын
Nakupenda sanaaa love ness uko na imani kubwa sanaaa chukua maua yako❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@mariamabdulla7868
@mariamabdulla7868 4 сағат бұрын
Daah poleni aki lovenes na kelvin na mitiani mnayopta Mungu yko nanyi❤❤❤❤❤
@LuluGeofret
@LuluGeofret 10 сағат бұрын
Wa kwanza msininyime likes jaman 😂😂
@BigirimanaDalila
@BigirimanaDalila 10 сағат бұрын
Wakwanzaa leooo🎉🎉 nipew hata like 200😂
@SamanthaSuzy
@SamanthaSuzy 10 сағат бұрын
Team fulus mzigo tayari huku❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HappynesNungula
@HappynesNungula 2 сағат бұрын
Speed kwakwel inaridhisha na inatupa moyo, 💓💓💓
@AsmaKhamis-y8r
@AsmaKhamis-y8r 3 сағат бұрын
Ndio speed hiyo hiyo nimeipenda mauwa yko hayo🎉🎉🎉🎉❤❤❤
@josephmbugh5160
@josephmbugh5160 10 сағат бұрын
Kaka Kelv naomba like😍😍
@AnnaWaswa
@AnnaWaswa 9 сағат бұрын
Apo sawa eyo speed ekosawa mungu akujaliye 🎉🎉🎉🎉
@RamadhaniJulias
@RamadhaniJulias 10 сағат бұрын
Bro smith congrats 👏👏👏 naomb like zangu
@JenisterLeonald
@JenisterLeonald 7 сағат бұрын
Ikiwezekana Kila ck mtoe kipande jmn mnatuchelewesha uhondooo 😊
@AneliaMwaihoyo
@AneliaMwaihoyo 2 сағат бұрын
Ndyo muendelee na speed nzuri kwelii ❤❤❤🎉🎉
@AnnEton-f2b
@AnnEton-f2b 7 сағат бұрын
Kazi nzuri wanadonta nawapenda sana ❤️💕💕💕
@rehemajulias-p9c
@rehemajulias-p9c 10 сағат бұрын
Leo wakwanza naomba like za kutosha na kevi hongeren kwa muvi inafundisha❤🎉
@agathaKamuya
@agathaKamuya 6 сағат бұрын
wanaosema loveness anamatumaini makubwa kwa familia yake kelvin tukutane kwa like hapa.
@MDMehndiHassan-ve9zy
@MDMehndiHassan-ve9zy 4 сағат бұрын
Lovuness mungua munguakuzidishe usije ukabadilika nakupena sasana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉 lnshallah ipo sikumungu atawafuta machozi
@priscamathias-n6p
@priscamathias-n6p 9 сағат бұрын
nimependa siku hizi hazichelewi kutoka mungu azidi kuwapa wepes wa kazi zenu🙏🙏
@sameerahglad-dm7cf
@sameerahglad-dm7cf 10 сағат бұрын
Wa kwanza leo 🎉🎉🎉team strong 💪 yooo 🇰🇪 🇸🇦
@annajumaa9274
@annajumaa9274 10 сағат бұрын
🎉🎉🎉🎉oyooooo wa kwanza leo😂😂😂 nipeni like zangu
@MakondinhaCerta
@MakondinhaCerta 5 сағат бұрын
Kelven naomba unilike nakuomba mimi wa mshumbiji uku nakupenda sana love ❤❤
@AsmaAsma-og6ul
@AsmaAsma-og6ul 5 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤ ahaaaaaa jaman hii move inafraish sana uku watu wanawaz Awana kazi awajui maisha Yao yataendaje ,uku wengine wanagombania penzi khaaaa 😂😂😂😂😂 atal kubwaaa hya love wangu tuendlee kuitafakal kesho yetu itakuwaje❤❤❤❤❤love
@Christine-ho5us
@Christine-ho5us Сағат бұрын
Kazi nzuri Donta team 🎉🎉🎉🎉team fulus mpo najua leo nimechelewa ila naomba like 5 nitashukru 🇲🇴🇲🇴🇲🇴🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@gwibe15
@gwibe15 10 сағат бұрын
Great 🎉🎉🎉
@SeraphiaSulle
@SeraphiaSulle 10 сағат бұрын
Wape lake zenu wapenzi mi leo wa kwanza❤❤❤❤❤❤❤❤
@SylvainMuvunga-o3w
@SylvainMuvunga-o3w 10 сағат бұрын
Wakwanja tena Léo nipe ❤❤❤❤
@TerezaTereza-dh4lx
@TerezaTereza-dh4lx 6 сағат бұрын
Hiii movie Hina kila mafunzo walai ❤❤❤much love
@SophiatembaTemba
@SophiatembaTemba 2 сағат бұрын
Ndiyo Kelvin vumilia tu VIP Tina Nae rafikiangu anaendeleaje❤❤❤
@ThereziaApendeki
@ThereziaApendeki 9 сағат бұрын
Me ninavyo penda hii movie naona tu mnachelewa kiukwel Kelvin 😂 mpewe mauwa yenu🎉🎉🎉
@DevotaBusagala-m4w
@DevotaBusagala-m4w 10 сағат бұрын
Wakwanza leo jaman like zangu naomba
@kelvinemmanuel-de4es
@kelvinemmanuel-de4es 10 сағат бұрын
Wakwanza leo jaman like
@AkimanaLadouce-c6u
@AkimanaLadouce-c6u 2 сағат бұрын
Jamani ambao mna mpenda kelvin na loveness nipeni like zangu😢😢😢😢😢
@miqdaadmohamed5331
@miqdaadmohamed5331 9 сағат бұрын
kendy aliibiwa usiku........huwaje wamefika asubui....bwana kevin ebu muzingatie ilo suala🤣🤣🤣🤣🤣🤣
MALAIKA [ EP 8 ]
22:21
MZEE KICHECHE
Рет қаралды 31 М.
Hilarious FAKE TONGUE Prank by WEDNESDAY😏🖤
0:39
La La Life Shorts
Рет қаралды 44 МЛН
🎈🎈🎈😲 #tiktok #shorts
0:28
Byungari 병아리언니
Рет қаралды 4,5 МЛН
PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI EP 44 |love story
10:34
SANDRA [21]#kiparabrand #clamvevo #sandraofficial
18:46
SANDRA OFFICIAL
Рет қаралды 45 М.
MAKONDA AMLIPUA LISSU: "Lissu ni MBEA, HANA KABA!!!!!"
13:51
SUPER TAMUTAMU
Рет қаралды 7 М.