Nakubali na hizi move zako kelvin zinafunza jamii vizur sana pongez kwako
@estherlukoo52127 ай бұрын
N'a mu Ponge
@UBMVTS7 ай бұрын
Hakika sana
@marthajosephdihimbwa23294 ай бұрын
Nakukubari kelvin unafunza watu sana haya unayo tuusia yanafanyika sana bgap sana
@ThandokaziBahleMzondi7 ай бұрын
Big love from South Africa movie nimepokea mafunzo sana Tena asante sana kwanduku yenu amenifundisha kidogo
@Ernest.Dishon4 ай бұрын
Kaka Umetishaaa Sana. Aisee kwa kwel umegusa sehemu ya maisha yetu dah. Pia najifunza Kaka kupitia hii movie aiseee dah ongera Sana sana
@aimableTuyishime-ub2cj7 ай бұрын
Asante Sana Kelvin mafunzohayanimzuri mungu akuongezeye zaidiyahayo uendelee kufunza taifa.
@AngelinaWangachumo10 ай бұрын
Ongera Sana dungu zangu watazania, iyi filamu nizuri sana inatufuza sisi wana wake kabisa Asante sana
@BenardKirwa4 ай бұрын
Dunia nzima ikipata wamama kama hawa, dunia yote itaisha na kwenda mtoni, na watoto wao hawataoleka wala kuoa, itakuwa ni vigumu sana hakutakuwa na kizazi duniani
@DanielChaula5 ай бұрын
Hivi ndivyo Kila mwanadamu mwenyewe akiri timamu anavotaka kuishi vihi❤❤❤
@CharlesKilemi-jy8kr10 ай бұрын
It's good to all lady to learn from this ,,,I really like ❤
@KABERADANIELMBONABIHAMA4 ай бұрын
Ukipata muke kama ule mufanya kazi vraiment unapata mke mwema sana kabisa uyu kijana ni muvumilivu kabisa
@CatherineAmudala4 ай бұрын
Nakubali hiyo filamu maanake Ina mafunzo mazuri tena sana❤❤❤❤❤
@AkwinoMlawa6 ай бұрын
hongera san bro mam askushawsh ujng huo amchkue akae nae mwenyw km mkamwan ak aangalie tabia zake❤❤❤😂😂😂😂😂
@alimwadima254 Жыл бұрын
Mnafiki alfu churo sana uyo Tina...afu anapata support kwa mama mkwe...Anayestahili kuwa mke ni Victoria...Nice Movie Dogo Kelvin keep it up🎉
@WilliamMcharo Жыл бұрын
Kaka nakukubali sana kaka kelvin na najifunza mengi sana kwako kupitia move zaka kaka mungu akubariki sana
@MonicahKaberere8 ай бұрын
Amina abarikiwe
@samsonmpangala1481 Жыл бұрын
Kaka kelvin nakuomba mwendelezo wa hii move umejitahidi sana kuitwngeneza
@BahatiHumwa-iy4in Жыл бұрын
Kevin unaweza sanaa
@Djjoelbestdjintown3 ай бұрын
Huyo mam kelvin anaonea mwawe sana sana kama unakupaliana hii weka like
@ramadhanfetty71 Жыл бұрын
Huyu mama amenishinda tabia khaaaaa 😅😅😅😅 kwan ye ndy alikuwa anaishi nae mama wengne bhna ndy shida za kuchaguliana Allah awaepushie haya mabalaa kaka zetu
@taucjumanne1953 Жыл бұрын
Yaaan anakera hatak hata kumsikiza mwanae😢
@gilbertkawala438 Жыл бұрын
Congratulations 🎉🎉🎉 Kelvin
@sarahkanyuamwithi385510 ай бұрын
It's almost true
@SubiraSubira-mb7br7 ай бұрын
Ten san ata mm sjapenda kama mzazi
@tototundu815922 күн бұрын
Viki nakupenda sana movie zako nazipenda❤❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@idrixalumany5902 Жыл бұрын
Movie zako zinafundisha na unajitahidi kuuweka uhalisia wa maisha yetu katka jamii hongera sana
@LéonardSindayigaya4 ай бұрын
Nipe ya 3
@janetymwakupha4784 Жыл бұрын
Makofi kwenu nimependa sana movie zenu 👑💯💯💯💯
@SalimniHamis10 ай бұрын
Jamaa anajua Sasa na dadaejamaninimempendaje anaheshima kinoma mnyaluhuyun. Nampahongera wazaziwako❤
@faridirakiza6331 Жыл бұрын
very good history Kelvin quickly let's see part 3
@SHAZIMINA55 Жыл бұрын
Yani movie imetuliya kila kitu hamuzikii hamuna mimgii 🎉🎉🎉🎉 mawapenda sana dije asant
@PeterNestory-xg8ct2 ай бұрын
Vizuri kaka kervin❤❤❤❤
@fabricemuzungu8078 Жыл бұрын
Kelvin my brother huwa nafuatilia kazi zako nikiwa marekani big up bro
@esterkimalio8846 Жыл бұрын
Waoooh, move nzuri sana na mnafurahisha maana ni ndefu
@JohariHasham Жыл бұрын
Mbona kervin maman anamponda hivyo jamani wazazi na sisi tujiludie ❤❤❤😢😢
@salumurashid-8477 Жыл бұрын
Nikweli kabisa maana mama anazinguwa xana
@AminaAli-g8i Жыл бұрын
Mpaka nmekasirika
@JumaKizingenza Жыл бұрын
Na mafunzo kwenye movie zako unamafunzo ma zuri sanaaaaa🙏🙏🥰🥰🥰🥰🥰
@erickymofficial Жыл бұрын
Nilikuwa nimesubiria hii sehemu ya pili .. sana... Naipenda zaidi 💕🥰😊🤗
@Happy-jc2ms Жыл бұрын
😭😭😭😭😭
@Amina-xc8tl Жыл бұрын
Daah 😢hili ni funzo kubwa mno, asanteni sana gud job
@trizzervuyanzi-nt6nl Жыл бұрын
Congratulations Brother Kelvin this episode is really educative to ladies and moreso to me as a young Lady who is looking forward to get married
@shafirukhassimu Жыл бұрын
Congrats
@yusuphmarcelmasinde7263 Жыл бұрын
Nimeipenda sana filamu hiyo na inafundisha sana sana. Wanawake daaa ni waajabu sana ila baadhi yao ni kama huyo house girl.
@reginaIssa-m2j Жыл бұрын
😢😢😢nyie huyu mama munamuelewa kweli nzuri sana
@AmidaTweve-jf4sx Жыл бұрын
Huyu mama chiz hataki hata kumsikiliza mwanae aseme anayopitia
@nurutaz Жыл бұрын
Simwelewi sijui yeye ndie anaoa 😂🤣
@nurutaz Жыл бұрын
@@AmidaTweve-jf4sx ndio shida ya kutafutiwa mke si atafute mwenyewe
@reginaIssa-m2j Жыл бұрын
Huye mwanamke mwenyewe Sasa kiruka njia duhu wa mama wengine bwana Wana boo
@SalimniHamis10 ай бұрын
Tatizo baba mwanaoumemleakama yai zara❤❤❤❤❤❤pigachini kaka uyo siomke
@ggfwtgg1652 Жыл бұрын
Safi sana kazi zenu nzuri Kelvin ongela sana munadupa mafunzo mema kbs ❤❤❤
@EmilyWangwe Жыл бұрын
Nimepata kujifunza mengi kutoka kwenu hongera sna.
@rizikichamosi7551 Жыл бұрын
Safi sana kaka kazi nzuri ujakosea simamiya msimamo wako ndio dawa ya mwanamke asie jitabuwa akae kwao ajifunze mama hajuwi unachopitiaa kaka simama na msimamo wako
@doricasdoris3362 Жыл бұрын
Iko vizuri Sana nimeipenda Sasa Kaka Kevin huyo mwana mke kiboko kwani ndio mke wako kweli au Mana kanishinda tabiaa 🙊
@TessyMalaika9 ай бұрын
Kevin hongera sana hii inafundisha sana inapendeza
@diana-dp5ze Жыл бұрын
Wa kwanza nawapenda San like kumi kwang
@helenadoramtera18136 ай бұрын
Kwa kweli movie hii imefundisha Sana, wanawake walioko kwenye ndoa, wazazi kwa ujumla na imewafundisha pia wadada wa KAZI kuwa upendo sehemu ya KAZI ni faida kubwa Sana.
@SelineKwamboka-h5h Жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana kupitia hizi movie za kelvin because hiko na mafunzo mazuri sana3
@MoscahLineTv10 ай бұрын
Kibwagizo 🔉...👌👌 Mafunzo kemkem...✍️✍️
@fatuma5651 Жыл бұрын
Nakubali San walai kazi zenu Zinakua ndefu San ❤❤❤❤ nazipenda San🥰🥰🥰
@lucasyamat Жыл бұрын
Mama anakaza shingo sana. Pole kijana wangu kelvin, dah!
@johnnyshauri6170 Жыл бұрын
The true meaning of a wife material...quite amazing keep up the scrumptious work from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏🙏🙏
@Zainabukahonzi9 ай бұрын
Victoria mrembo mashallah ❤❤❤❤nakupenda bure mpenzi 🎉
@NashNenoi-ld8ff Жыл бұрын
msikilize mwanao mamaa,,mapenzi saa zingine zinachosha ,, 😢😢
@JacklineLinnahLAURENT24 күн бұрын
Ni kweli wabongo tunajitahid kuwa creativity wazur nimeipenda
@SheillahJeptoo Жыл бұрын
Congratulations Kevin you know how to make a decision hii movie n funzo kweli
@SamwelWafula-xt3jf Жыл бұрын
Sasa
@MagrethPatrisi12 күн бұрын
nimeikubali sana move yenu kelvin inamafunzo sanaa❤❤
@usterbae Жыл бұрын
Hongera wahusika wote much love from 254 team strong lets gather here ❤❤
@prackyowire7982 Жыл бұрын
Team strong ndo gani haswa😂
@CharlotteJustin-o5g11 ай бұрын
❤❤❤
@ChristineKemunto-b8r4 ай бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤
@LovenessKapinga-xm2pe9 ай бұрын
Nimejifuza kitu Kwenye hii movie 💗💗 nimependa tabia ya Vicky...💗💗
@wynesesthertchuwa2139 Жыл бұрын
Weee mama vp nimekuchukia bure mbona kelvin humpi nafasi yakuongea😂😢
@salumurashid-8477 Жыл бұрын
Yeah ni kweli mama anazinguwa xana
@habibaraphael6583 Жыл бұрын
Nikweli kabia ampi nafasi ya kuongia
@KingThedone Жыл бұрын
Mama kisirani sana
@NoelMusa-l5z21 күн бұрын
🎉
@tc_danson7 ай бұрын
Umetisha kino a Kelvin unstable maua yako🎉😂❤
@isaya240 Жыл бұрын
Nakubali sana kazi zenu zinakua ndefu sana tunainjoy kama unakubaliana na hili like
@kulthummohamed101 Жыл бұрын
Sio lazim
@asiamohd5516 Жыл бұрын
Ndefu uu? Kivipi yaani.
@tumainistephano Жыл бұрын
Kabisa hatafutwi
@daftonmwakima9331 Жыл бұрын
Much love from Kenya ila mama ndoa hailazimishwi
@fatumakhamiss1063 Жыл бұрын
Jamni nzuri kelvin muvi zako nzuri San part ya tatu jmni naomba
@KatarinaThilia6 ай бұрын
Daaaah mumeupiga mwingiiiii sanaa nmejifunza kuwa mke mzur kw mume wangu hapo badae
@winnymwathi3098 Жыл бұрын
Yani pamba nkiwa Kenya 🇰🇪 😍 Good luck kelvin 💕🙏💕💯✔
@harusimwana214810 ай бұрын
Kweli kabisa aky nazipenda movie zenyu❤
@salumurashid-8477 Жыл бұрын
Ni kweli kabisa wanajitahidi kuifundisha jamii yetu hongereni xana Kwa kufanya vizuri
@LavilaviOdhis9 ай бұрын
Am happy with the boss,the way he treats the lady amazing much love
@CedrickMbakabu-n3h Жыл бұрын
Mother in-law has a point but she is too harsh to Kelvin give Kelvin time to give his plea.
@Damasulaya9 ай бұрын
Katika hii movie,, kaka kelvin hujawa serious na hujaonesha msimamo wako mbele ya mzazi wako na mkwewe pia ungeonyesha msimamo kaka yaan hapo n kam umeendeshwa na mama mzazi istoshe kakutaftia mke yeye mwenyew dah hapo kdg umenikosea sana!!!!!!!
@jajakajaniri5813 Жыл бұрын
Napenda Movie Nzenu Kbx 🔥🔥🔥❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇧🇮🇸🇦🇷🇼
@IrankundaZabibu9 ай бұрын
Safe sana
@nadiaadam-i3v3 ай бұрын
😂😂Mama kelvin 🙌🙌htr akuahidi nn duh..
@TabiaNchimbi Жыл бұрын
Huyu mama wakwanz kumkubali mkwe 😂😂😂😂 mama mkwe anaboa
@bitishoriziki55858 ай бұрын
Hiyo ni ukweli KBS ndodunia hiyo mzunguko ila mngu anaweza yote 🥰🥰🙌👏
Watu wapole uwa tunaonewa sana daaaah ila Kelvin upewe mauwa yako2 🌹🌹🌹🌹🥀🌹🌹🌹
@sephaniatimoth4353 Жыл бұрын
Kelvin asante kwa mafunzo mazuri ❤️❤️
@STELLAMARTIN-it3tw Жыл бұрын
Hongera sana kaka unatufunza mengi mungu aendelee kukupa nguvu utufunze zaidi ya hapo
@appsplay4324 Жыл бұрын
Jamani napenda kazi yenu ikosaw 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
@carolynesimiyu3460 Жыл бұрын
Waaah 😂 mama kelele,, oana na ______,,,, kama u naona mwanao c sahihi,,,ila baba mkwe mtulivu kweeeeliiiii
@Thepoulfamily Жыл бұрын
Tamu sana na yenye mafunzo mema big love from Kenya ❤❤❤❤
@DJPRINCE01-tg5qh Жыл бұрын
Hapana kwa hapa huyu mama anakosea.kwamm ningepiga magoti nikaomba mungu kwa laan isinge nishine hata anivulie ngua mama kama radhi isinge nishika.hata kama ni mzazi ninge enda na shughuri zangu tu. Kutafuta maisha yangu mbele kwa mbele huko
@SibomanaAsthaman4 ай бұрын
Donta tv mko😮😂🎉o mbere sana rwanda kigali tuna furahia vipindi byenyu
@SibomanaAsthaman4 ай бұрын
Kazi nzuli ndota t🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼 rwanda kigali kazi nzuli 😊😊turabakunda cyane ❤❤❤
@McHez-y6u4 ай бұрын
Ndugu hili linafunzo bro from kenya i appreciate ❤
@raajtz8073 Жыл бұрын
Sema uyo dada wa kazi ameweza😂😂😂
@shininisoipano49736 ай бұрын
Congratulations sana unatufunisha maisha yalivyo kwa wanawake wa sasa
@allysalehe1912 Жыл бұрын
Mmetisha sana ❤ nimependa sana kazi zenu mungu awazidishie muwe zaid ya apo mlipo 🙏🙏🙏
@Erick-es3ii Жыл бұрын
Tina ni malaya afadhali viky
@sata7067 Жыл бұрын
Nzur sna filam
@nurusaid4698 Жыл бұрын
Ameniiii
@GracePendo-nc1el Жыл бұрын
Amen 👏 🙏
@musiimealice8543 Жыл бұрын
🎉
@MaryamIsmaeel-v3i3 ай бұрын
Haya mambo yakuchaguliwa mke,au mume cyapendi,nimtazamo wangu❤❤❤❤
@mohamedhozi8110 Жыл бұрын
Kazi nzuri kaka ila mimi kama mimi pia ntasema sisi waume makosa mengne tunachangia kiupande wa pili..kumueka mkeo karibu na marafiki zako c sahihi unampa zawadi rafkiako ampelekee mke wako akapishwa ndani akapeane zawadi kwa mkeo bila kizuizi wakati wwe haupo pia haya c maadili wanaume wenzangu utaliliwa tu😢😢😢
@DzunyaSuleimani-tu1qh Жыл бұрын
huu ulikuwa mtego
@MagrethFumbo Жыл бұрын
Baba mkwee 🎉 upewe mauwa yaaaaakoo
@mrsshahum46297 ай бұрын
Nafaidika Sanaa Na hii filamu je ww km unafaidika km mm piga like hapo❤❤❤