DOTTO MAGARI NA ELIUDI SAMWEL WAVUNJA WATU MBAVU EBU TAZAMA BALAA ! LAO/ MWANZA USIKU HUU.

  Рет қаралды 66,370

BinaTv

BinaTv

Күн бұрын

Пікірлер: 25
@emmanuelmmbaga5209
@emmanuelmmbaga5209 6 ай бұрын
Jamaa full kuji. Proud, kaka DOTTO chunga Wanasema ajikwezae hushushwa.
@fatumamfumia4507
@fatumamfumia4507 6 ай бұрын
Mpaka akaishiwa maneno ya kuongea 😂😂😂😂😂
@E_smail
@E_smail 6 ай бұрын
unaenda mkoani halafu mpaka wao wanakuona mshamba😂😂😂jitafakari sana kweli kusoma kuna saidia japo kujitambia tu. (thinking capacity).
@fatumamfumia4507
@fatumamfumia4507 6 ай бұрын
Yaani mpk aibu nimecheka kama mazuri vile ahahahaa
@fatumamfumia4507
@fatumamfumia4507 6 ай бұрын
Mwanza kweli majeuri wamegomea kabisa pesa za Dotto Magari 🤣🤣🤣🤣 MWANZA nimewakubali wabeja sanaaa
@christinewomanoffaith5479
@christinewomanoffaith5479 6 ай бұрын
😂ingekuwa dar ,weeeeee
@benardmapuga4737
@benardmapuga4737 6 ай бұрын
Nadhani usiasa alivyuingiza ndio akawachefua watu
@KhalidiMsuya-h6o
@KhalidiMsuya-h6o 6 ай бұрын
Uyu doto mshamba tu anavyojikomba kwa mama utazani yeye ndie aliyemuumba mana hata Mungu hana habari nae naona ata siku akikata roho neno lake la mwisho litakua mtoto wa mama kizimkazi huu ni ubumunda
@beatbyrich2891
@beatbyrich2891 6 ай бұрын
Jamaa alichelewa kutembea au? Hana Elimu ovyo sana.
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 6 ай бұрын
alieskia hatuna njaa ngonga like
@salhamrishoi4943
@salhamrishoi4943 6 ай бұрын
Chitaki tumengoma kungonga like😂😂😂
@HusseinAmiri-pp8dy
@HusseinAmiri-pp8dy 6 ай бұрын
🤣🤣
@Mr-GMB
@Mr-GMB 6 ай бұрын
Mwanza hakunaga njaa za tumboni😂
@pastorymartine2109
@pastorymartine2109 6 ай бұрын
😊😊😊😊
@rehemarehemanassoro973
@rehemarehemanassoro973 6 ай бұрын
Fala tu hana inshu
@MagrethMallya-we8ui
@MagrethMallya-we8ui 6 ай бұрын
Doto huna jipya wewe siasa kwenye vichekesho inahuuu????
@aminagervas3786
@aminagervas3786 6 ай бұрын
Jamani mzaram hunajipya
@miso-bg2xl
@miso-bg2xl 6 ай бұрын
Hata hawamshobokei
@Mr-GMB
@Mr-GMB 6 ай бұрын
Mwanza hawana shobo
@OGONGOMBAMEDI
@OGONGOMBAMEDI 6 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rehemamsuya2263
@rehemamsuya2263 6 ай бұрын
Hii ni aibu kwa doto kah mbn hata hawana mpango
@elieneapalangyo6938
@elieneapalangyo6938 6 ай бұрын
Huko hawakutambui
@Mr-GMB
@Mr-GMB 6 ай бұрын
😂
@marymanoni5536
@marymanoni5536 29 күн бұрын
Wanamjuwa
ROHO INAUMA SANA DADA YANGU ANATONGOZWA KIRAHISI - MC ELIUD
10:51
Wasafi Media
Рет қаралды 343 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 13 МЛН
Каха и дочка
00:28
К-Media
Рет қаралды 2,3 МЛН
The Best Band 😅 #toshleh #viralshort
00:11
Toshleh
Рет қаралды 20 МЛН
UTACHEKA VITUKO VYA DOTTTO MAGARI WASAFI, AJIITA 'BOSS LADY'😂
6:50
Sanaa ya Vichekesho ilivyobadili maisha ya Eliud Samwel
40:37
BBC News Swahili
Рет қаралды 109 М.
ELIUD AITIKISA CHEKA TU FESTIVAL, MAMA DANGOTE HOI KWA KUCHEKA...
5:29
DAKIKA 7 ZA ELIUD MLIMANI CITY
7:16
Eliud Samwel
Рет қаралды 122 М.
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 13 МЛН