DP Ruto: Tukona wabunge 180 na tumeamua mwaka huu tutapiga kura tumalize ukabila,

  Рет қаралды 69,844

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 165
@buffywizy4167
@buffywizy4167 2 жыл бұрын
Ruto tosha 👍🥇
@kimanijohn9529
@kimanijohn9529 2 жыл бұрын
Kenya kwanza
@willysounds7884
@willysounds7884 2 жыл бұрын
He knows what Raila is😂😂😂😂...relaaax...wait for August.. Utajinyonga nanii
@collinsoduor934
@collinsoduor934 2 жыл бұрын
nanny aliukuambia uue msando......ulifikiria utapata rahisi.....
@Mitchellekyle
@Mitchellekyle 2 жыл бұрын
Kama unaushehidi kwani ulipeleke mahamani hapa kwa platform hutasaidika
@barbariansoviet
@barbariansoviet 2 жыл бұрын
@@Mitchellekyle Kwani ushahidi ndio iliuwa Msando???
@zainabhassan7731
@zainabhassan7731 2 жыл бұрын
Youth is the future of this country, let nobody buy you take money and vote for whom you want. May Almighty God bless kenya people against corruption. Amin Amin InshaAllah 🤲🤲🤲🤲🤲💥
@isac91
@isac91 2 жыл бұрын
God bless you Hustler...wenye kumeza wembe wameze
@kelvinmwangi7431
@kelvinmwangi7431 2 жыл бұрын
Kumbe handshake inakupeanga sleepless nyt
@johnkaris232
@johnkaris232 2 жыл бұрын
I like how anasupport youth people
@kapondamsita476
@kapondamsita476 2 жыл бұрын
Ruto mungu akulinde mm nipo TANZANIA
@barbariansoviet
@barbariansoviet 2 жыл бұрын
Kaka huyu kijana hakuna mahali anaenda hapa Kenya. Ukiwa Arusha, Dodoma, Mwanza, Dar-es-Salam, Morogoro, Lindi hata mtwara uliza Tundu Lisu alipata kura ngapi dhidhi ya Buldozer??
@nancywangeci8189
@nancywangeci8189 2 жыл бұрын
Hey, Kwani jamaa wa wash wash anajua language mob aje??? Anyway Raila tosha.
@nurukavumbi2477
@nurukavumbi2477 2 жыл бұрын
OUR LEADERS PLEASE PREACH AMANI AMANI AMANI STOP INSULTING EACH OTHER REMEMBER THE ALMIGHTY GOD IS WATCHING YOU 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭
@bastianogero9609
@bastianogero9609 2 жыл бұрын
Dictator ouru started the dirty. Deserves no respect
@qrankmw.
@qrankmw. 2 жыл бұрын
bonyeza ruto..upate skiza hasira bonyeza uda...upate skiza porojo
@johnsoncharo4734
@johnsoncharo4734 2 жыл бұрын
Hao wabunge wengi hawarudi bunge mazee na kura hatunpi mtu wa aliyetudanganya na laptops kwa watoto wetu na stadiums hazijaletwa miaka kumi umemaliza type hizo pesa tukule na kura tunajua niwapi tutaweka pia usiseme kitendawili tunampenda kwa kuwa hasemi uongo kama wewe. Na ukitaja madeni wewe ulichangia madeni hayo ukiwa kwa Serikali na zengine hizo loan ukaiba mazee hupati kura
@Mitchellekyle
@Mitchellekyle 2 жыл бұрын
Uhuru ndio president wakenya mulize laptop
@victorvicause8297
@victorvicause8297 2 жыл бұрын
@@Mitchellekyle laptop ruto ndo alipromise
@petergikuu2237
@petergikuu2237 2 жыл бұрын
You are very depressed sir......mind your own businesses politics weka kando please
@billyongus344
@billyongus344 2 жыл бұрын
@@Mitchellekyle Kwa hivyo mradi zote za Jubilee nchini ni bidii ya uhuru..huyo mwingine asijaribu kujivunia na mradi wowote.
@festusmaklago8880
@festusmaklago8880 2 жыл бұрын
Kazi haifanyiwi juu ya gari
@Danjeff22
@Danjeff22 2 жыл бұрын
I have never seen a shrewd politician who can lie without a blink, porojo yako imezidi DP
@j.blessing971
@j.blessing971 2 жыл бұрын
Where are all these MPs when needed in parliament jameni !
@mmwaapamghambonyi7836
@mmwaapamghambonyi7836 2 жыл бұрын
kamata ,kamata friday kept them away from showing up ! ngojea bunge ivunjuwe uonee
@diaminesmlu4658
@diaminesmlu4658 2 жыл бұрын
@@mmwaapamghambonyi7836 Leo ndo utajua the real numbers
@mmwaapamghambonyi7836
@mmwaapamghambonyi7836 2 жыл бұрын
@@diaminesmlu4658 kabisa bunge ikivunjwa tuu ,mbichi na mbivu zitajulikana
@diaminesmlu4658
@diaminesmlu4658 2 жыл бұрын
@@mmwaapamghambonyi7836 true ata bunge by the end of this week
@pieramukami661
@pieramukami661 2 жыл бұрын
Kweli usind ni kwetu U D A Will
@bonfacekarani678
@bonfacekarani678 2 жыл бұрын
Behind you full force
@nelsonwaliaula4527
@nelsonwaliaula4527 2 жыл бұрын
It is unfair for Ruto to be given such a stronger 💪 and smart competitor like Raila...Mimi ni WA UDA na but Niko na uoga Sana 😭,tupewe kalonzo at least we can draw... please 🙏🙏🙏
@Akama0927
@Akama0927 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣
@bethm6587
@bethm6587 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣
@elizaabethmacharia5986
@elizaabethmacharia5986 2 жыл бұрын
I didn't understand since when,young started disrespecting their elders,weather in politics or elsewhere.
@henrysihai5244
@henrysihai5244 2 жыл бұрын
Hakuna Kira ya Ruto hapo
@yeshovictor3860
@yeshovictor3860 2 жыл бұрын
We shall reach their. Greetings
@stephenpeter6372
@stephenpeter6372 2 жыл бұрын
nyinyi sio league yake
@ellokor5269
@ellokor5269 2 жыл бұрын
Umesema 'nauliza nyinyi watu ya Tongaren' mara ngapi boss
@kaberiaphineas6055
@kaberiaphineas6055 2 жыл бұрын
Raila na uhuru hawajui umaskini wamezaliwa Lea matajiri that's why kura yangu iko kwa hustler ndani kwa ndani
@daudidaudi3106
@daudidaudi3106 2 жыл бұрын
Ruto HAWEZI KUWA rais hata siku moja
@naomiwaituha5735
@naomiwaituha5735 2 жыл бұрын
Ruto tosha
@msoomercy669
@msoomercy669 2 жыл бұрын
Even one second hawezi kua rais
@mauriceouma7390
@mauriceouma7390 2 жыл бұрын
Ruto ni simba
@maxikatitocomedi6290
@maxikatitocomedi6290 2 жыл бұрын
Lakini ukora iko kenya hii....eti Mp's 180???haha
@mauriceodongo5560
@mauriceodongo5560 2 жыл бұрын
Ruto like proganda
@suzlast4518
@suzlast4518 2 жыл бұрын
Favoured Party by heavens our next Preisdent Ruto
@zainabhassan7731
@zainabhassan7731 2 жыл бұрын
Ruto stop empty promises and corruption even God does not want currupters. Stop it please. And being worried and angry about politics. Bw. Osifiwe.
@robertkilunda4017
@robertkilunda4017 2 жыл бұрын
Jameni. Ruto is a very smart liar. I have been counting all his promises for the last 2 months considering every place is goes and promises Kenyans. Now, promises for Mama Mboga, Bodaboda, and other small business people are amounting to 2.7 Trillion. Please lets reason altogether, where will this money come from?
@irenejuma3666
@irenejuma3666 2 жыл бұрын
Uko na ukabila Sana kuliko watu wote ... Ulisema waluyhia n cheap... Sasa weta ma dividi ndo cheap ... Bt not all luhyias
@christopheragoti875
@christopheragoti875 2 жыл бұрын
LUGHA YA "mtajua hamjui" kwa hii siasa ya sasa, unamaanisha nini ?? bwana RUTO, Please expound ;;.
@janekiruki6305
@janekiruki6305 2 жыл бұрын
Wa tanjua nguvu ya ma hustlers because they are in millions from all corners and they will vote Ruto to the last man. That’s is the meaning of mutanjua hamunjui, don’t underestimate the power of hustler.
@arizonachannel6505
@arizonachannel6505 2 жыл бұрын
180 mps where were they when political parties amendment bill was being passed
@jdawa6569
@jdawa6569 2 жыл бұрын
Don't worry. Tulia
@georgeodhiambo598
@georgeodhiambo598 2 жыл бұрын
@@jdawa6569 No one is worried. It is just a matter of curiousity.
@rederatv
@rederatv 2 жыл бұрын
Ruto the 5th
@msamsa1031
@msamsa1031 2 жыл бұрын
Collabo hio ni sabu ya kuku ,weta na madvd
@thomaskitonga8657
@thomaskitonga8657 2 жыл бұрын
Lakini unadharau watu tu juu ya uongozi.
@abdulramankijongs4269
@abdulramankijongs4269 2 жыл бұрын
Ruto toa ujinga Kenya ni ya rao
@zephaniacheruiyot6695
@zephaniacheruiyot6695 2 жыл бұрын
Rutoo tosha
@maxikatitocomedi6290
@maxikatitocomedi6290 2 жыл бұрын
Tumekubaliana haha....na mimi pia nauliza hivi "tumekubaliana saa ngapi? Wacha kuweka maneno kwa mdomo yangu
@gladylukslinda5983
@gladylukslinda5983 2 жыл бұрын
Tongareni yefwe tuko Azimio weta na mda hawana watu
@christopherowino8089
@christopherowino8089 2 жыл бұрын
Waluya much unge sana,muwache kuchezewa,kutupa kura
@lucymwai8074
@lucymwai8074 2 жыл бұрын
Ruto the 5th president, God willing 🙏
@Its-Me.
@Its-Me. 2 жыл бұрын
Tukomeshe kuchoma watoto kanisani,, tukomeshe kuuwa Jacob Juma, Musando, Muteshi, Kenei, na wengineo
@billyongus344
@billyongus344 2 жыл бұрын
Ati 180 mps,😂😂😂na ikiwa wakati wa kupiga Kura bungeni mnashindwa na team Azimio..
@donaldasiago2115
@donaldasiago2115 2 жыл бұрын
kindly reduce your anger, matusi and humble yourself. then God will choose you.
@AliHassan-zt8yh
@AliHassan-zt8yh 2 жыл бұрын
Hakuna kitu ataongoza kama angeweza ange saidia wakati alikua waziri ya wavijana angetusaidia.
@dennisaminga1958
@dennisaminga1958 2 жыл бұрын
Raila is the next president by all means.
@asparagusonly
@asparagusonly 2 жыл бұрын
Ati by all means? Cheki kama unataka kuuwa watu sababu hawasupport raila Sema tu usiogope ukitumia coded language 😂. Nyinyi ndio wakuuwa watoi na kurape matha za watu.
@richardmichoki8976
@richardmichoki8976 2 жыл бұрын
Akna mahali unaenda ruto hao wabunge wako wapi
@faithmwangi8816
@faithmwangi8816 2 жыл бұрын
No worries ruto asipopata kura za ninyi wachache he will get zetu wale wengi it only depends who' ur choice is the one with best ideas to uplift we masikini wa Mungu, Ruto to us has a good track record na wote wako in the current gava are all are thieves from top to bottom but among tumempeda Ruto wenye hamumpedi mta do shauri yenu tukutaneni kwa debe mkisikia tu hivyo mnasikia
@kuimbatia7953
@kuimbatia7953 2 жыл бұрын
Ruto the 5th prezzo...then baba yenu.. akiwa kaburini
@petergikuu2237
@petergikuu2237 2 жыл бұрын
Raila kuwa president ni kama kupeleka ngurue am mbwa kwa msikiti very very impossible hata babake alikufa akipigania hiyo kiti
@kalvinkenyansa508
@kalvinkenyansa508 2 жыл бұрын
Kila siku vitendawili
@benardogola8968
@benardogola8968 2 жыл бұрын
Political background of DR. William is from the grassroot sio ya wale wanakula mavuno ya wazazi and as a result Ruto is the 5th president of the republic of Kenya,,,, UDA must win ,forward ever backward never.
@bensonondieki3607
@bensonondieki3607 2 жыл бұрын
Raila does not know how to help Kenya . Raila says is going all people 6000 wongo mwongo Wacha Raila
@johnkuma6867
@johnkuma6867 2 жыл бұрын
Nani anaweza amini mtu mkora na conman kama wewe? Wewe si mtu mzuri hata kidogo. Hasira itakuuwa wewe
@kuimbatia7953
@kuimbatia7953 2 жыл бұрын
Wewe utakufa mbele yake😁Ruto tosha
@everlineeverline105
@everlineeverline105 2 жыл бұрын
Watu wazuri wako kenya kwanza. Wabaya ni wale wanatoroka kwao wanakibilia kwa jorani.
@nicholaskenei7988
@nicholaskenei7988 2 жыл бұрын
akili kama lako😂😂😂
@thomaskitonga8657
@thomaskitonga8657 2 жыл бұрын
What was your priority number one from 2013 to now.
@henrysihai5244
@henrysihai5244 2 жыл бұрын
Ruto no mkora
@raphaelnjenga3423
@raphaelnjenga3423 2 жыл бұрын
Their earthquake has been countered by president uhuru supporting Raila odinga. That's why they attack uhuru and all the time
@suzlast4518
@suzlast4518 2 жыл бұрын
They are not insulting all they are doing is speaking the truth, cos our government some few people walk with pride like Kenya belongs to them and not others please oberserve NURU beore you talk, people are no more blind the Spirit of the Most High Yah is upon His children and you cannot dare to stop the Will of our Mighty, nonsense, listen Ruto is your next President deal with it heavens have ''TICK IT RIGHT''. what will you do?
@Mugurelorna4
@Mugurelorna4 2 жыл бұрын
Ruto musalia na weta toshaaaaaaaaaaaaa2022
@emilysawayi5787
@emilysawayi5787 2 жыл бұрын
Ukabila wewe ndiye headboy
@johnsonmitsandze2652
@johnsonmitsandze2652 2 жыл бұрын
Tell them ! ..... na wasikie
@Danjeff22
@Danjeff22 2 жыл бұрын
I laughed kusikia watu unataja hapa
@lucymwai8074
@lucymwai8074 2 жыл бұрын
Kinjo ongeza volume wasikie
@hamisiomar601
@hamisiomar601 2 жыл бұрын
Ruto hata wewe ni tapeli mkubwa
@kuimbatia7953
@kuimbatia7953 2 жыл бұрын
Watapeli ni wewe na Mzee
@manenokhalfan3576
@manenokhalfan3576 2 жыл бұрын
Hahahaaa
@nancywangeci8189
@nancywangeci8189 2 жыл бұрын
I honestly pity Ruto, there is toooo much anger and over confidence in him.
@samkariuki9424
@samkariuki9424 2 жыл бұрын
Only smart people can see what you've seen in him, but most people think that this is the quality that will make him president...I think he's so desperate to clinch power
@tituskundu1270
@tituskundu1270 2 жыл бұрын
Unda serikali bwana ruto
@charlessirginy
@charlessirginy 2 жыл бұрын
HUSTLER NATION/KENYA KWANZA FOR THE FIFTH.🙌🙌🙌
@jmirush3200
@jmirush3200 2 жыл бұрын
Hao MPs walikua wapi kwa bunge? This guy lies mchana mchana!
@wilsongatibo9851
@wilsongatibo9851 2 жыл бұрын
Kwani wakiwa DAP K hamuwezi menyana🤣🤣
@abdulramankijongs4269
@abdulramankijongs4269 2 жыл бұрын
Mama mboga tangu lini ulienda kununua mboga wewe ni muongo na mwizi
@asenathnyanchera3545
@asenathnyanchera3545 2 жыл бұрын
Ruto kiboko yao
@evancejohn1294
@evancejohn1294 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣ata kwa ground vitu ni tofauti
@abdulramankijongs4269
@abdulramankijongs4269 2 жыл бұрын
Billioni hamsini na wewe itakuwa umeiba ngapi
@pele17156
@pele17156 2 жыл бұрын
History is filled by almost mr DP, fortune favors the bold and not arrogant like you…
@josnjagi8229
@josnjagi8229 2 жыл бұрын
Shamba ya Muteshi ilichukuliwa na nani?
@Helen-yj1sn
@Helen-yj1sn 2 жыл бұрын
Your numbers is just a dream. Where were they when the political bill Amendment was being discussed and passed. Bure nyinyi!!@!
@martinmutie3941
@martinmutie3941 2 жыл бұрын
Wako wapi na mnadhindwa saa zote
@johnkori13
@johnkori13 2 жыл бұрын
kura ni yako lakini matusi ni yananii
@expeditionquran
@expeditionquran 2 жыл бұрын
Hakuna watu wanashangilia, only the ones hired 🤣🤣🤣😂😂, just check the background.
@collinsoduor934
@collinsoduor934 2 жыл бұрын
hawa watu wanakuconsole na unajua kenya future is determine with bullets not ballots
@Bishofu
@Bishofu 2 жыл бұрын
Ruto ni mwanaume huyo muigine hata kuongea hajui
@eliudluyala8825
@eliudluyala8825 2 жыл бұрын
Na hawa wabunge 180 huwa wapi wakati wa kupitisha miswada bungeni...???
@danielkuya8372
@danielkuya8372 2 жыл бұрын
Wabunge wameanza kuhama
@mmwaapamghambonyi7836
@mmwaapamghambonyi7836 2 жыл бұрын
kamata ,kamata friday kept them away from showing up ! ngojea bunge ivunjuwe uonee
@therichards007
@therichards007 2 жыл бұрын
I pity Ruto for real ...where are the 180 mps...?very inconsistent in his promises,100,150,50 Billions...for mama mbogas and boda bodas..which is which? No properly laid down agendas..only funny slogs..."Hatupangwingi, Mkora, Kitendawili, Madharau, Bottom up..etc..all these completely do not make sense and have no properly laid down polices to implement anything.. The promises are cosmetic..
@hezronmunyao2073
@hezronmunyao2073 2 жыл бұрын
Just according to u...
@diaminesmlu4658
@diaminesmlu4658 2 жыл бұрын
If you want to listen to him well then you'll hear him saying this year his government will put 100 billion for housing, agro processing , manufacturing for job creation for the unemployed 50 billion will be put mama mboga, bodaboda and other small businesses ( money for loan )
@therichards007
@therichards007 2 жыл бұрын
@@diaminesmlu4658 🤣🤣🤣🤣..you ask yourself from where will he be getting all the billions ,he can't tell you
@kuimbatia7953
@kuimbatia7953 2 жыл бұрын
@@therichards007 Mzee Raila is almost going back to his maker
@therichards007
@therichards007 2 жыл бұрын
@@kuimbatia7953 It's true and it's important to note that all of us we're headed there and you can't tell who is going a head of who..it's God who knows my sister Kui
@peterokothondere7129
@peterokothondere7129 2 жыл бұрын
Nani ameleta madeni kenya kama sio wewe, tapeli hii.
@samuelnzaka
@samuelnzaka 2 жыл бұрын
Wacha kudanganya watu ety 180 mbona ukifka bunge hao wabunge unasema hawaonekani
@mmwaapamghambonyi7836
@mmwaapamghambonyi7836 2 жыл бұрын
kamata ,kamata friday kept them away from showing up ! ngojea bunge ivunjuwe uonee
@oduedu-nk4qi
@oduedu-nk4qi 2 жыл бұрын
What have you done for the wanainchi and the country with you 180 tumbocrat mpigs especially in regards to legislations.
@wilsonwilson9672
@wilsonwilson9672 2 жыл бұрын
Billion 50,100????
@SI-23574
@SI-23574 2 жыл бұрын
Truth be told, this Azimio pandemic is made up of unscrupulous intensions hidden behind the "guy". As far as democracy is never perfect, it is even more questionable whether people in Kenya have the right to choose their own leader when there is an active effort to enforce private political agendas.
@maikomutua2313
@maikomutua2313 2 жыл бұрын
Siasa sa 20.4.2022
@robertomae7217
@robertomae7217 2 жыл бұрын
180 na mnanguka bungeni
@dennisaminga1958
@dennisaminga1958 2 жыл бұрын
wapi laptops kwanza?
@korirvincent7559
@korirvincent7559 2 жыл бұрын
Uliza uhuru wa kiongozi wa Azimio la Kuzimia
@robertomae7217
@robertomae7217 2 жыл бұрын
Wezi nyinyi tutaona
@naomiwaituha5735
@naomiwaituha5735 2 жыл бұрын
Ww ndio mwizi guka ndio mwizi yule mbaya
@thomaskitonga8657
@thomaskitonga8657 2 жыл бұрын
Hao wabunge wote ni wakabila, they all come from different tribes . that's why some describe themselves as from mountain.from western.and also from rift.,why can't they describe themselves as Kenyans who are governed by principals to serve all Kenyans.
@mauriceodongo5560
@mauriceodongo5560 2 жыл бұрын
Every day proganda
@stephenpeter6372
@stephenpeter6372 2 жыл бұрын
uongo mtupu
@hamisiomar601
@hamisiomar601 2 жыл бұрын
So mliiba kura juu ushajisema wewe ni mwizi wakura ruto
@254collins
@254collins 2 жыл бұрын
My kingpin, why don't our mps save us in parliament?
@mikekingori4377
@mikekingori4377 2 жыл бұрын
Really???????
@yayogina6557
@yayogina6557 2 жыл бұрын
👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👌👌👌👌👌
@b.tedley2586
@b.tedley2586 2 жыл бұрын
you can start by making your coalition state appointments look like the face of kenya..There are more than 40 tribes in this country...just saying
@jamadarakanews
@jamadarakanews 2 жыл бұрын
You think Kenyans are foolish..
@abdiriirashid7717
@abdiriirashid7717 2 жыл бұрын
Huslter unstoppable incoming president WSR TOSHA
@dennisaminga1958
@dennisaminga1958 2 жыл бұрын
also tell mudavadi and wetangula to defect from their parties and join UDA if they are men enough.
@msoomercy669
@msoomercy669 2 жыл бұрын
He utter words before thinking
@timothyonyango9
@timothyonyango9 2 жыл бұрын
Keep on counting your chickens before they are hatched hehehe. Sweet dreams kimwarer arap arror.
@faithjelimo9229
@faithjelimo9229 2 жыл бұрын
P
President William Ruto's Jamhuri Day speech at Uhuru Gardens, Nairobi
45:19
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 115 МЛН
If people acted like cats 🙀😹 LeoNata family #shorts
00:22
LeoNata Family
Рет қаралды 42 МЛН
BAYGUYSTAN | 1 СЕРИЯ | bayGUYS
37:51
bayGUYS
Рет қаралды 605 М.
Что-что Мурсдей говорит? 💭 #симбочка #симба #мурсдей
00:19
Симбочка Пимпочка
Рет қаралды 4,6 МЛН
Raila Odinga amewasili kwa mdahalo wa wagombea
1:18
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 3,2 М.
| SIKUKUU YA JAMHURI | Wakazi wa Nyeri watoa maoni yao
4:24
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 918
LAVROV's interview with Tucker CARLSON 😁 [Parody]
8:34
Юрий ВЕЛИКИЙ
Рет қаралды 390 М.
Why no RONALDO?! 🤔⚽️
00:28
Celine Dept
Рет қаралды 115 МЛН