Kama sina viungo hivyo naweza kutumia maziwa na kiini cha yai tu?
@berthamhalala21865 жыл бұрын
Asante sana Dr kwa kuendelea kutyfundsha.binafs n mwanafunz wako mzr sana. Nayafanyia kaz taratibu masomo yako mana kuanza kwa kuacha vyote vaaaap. It's hard. Lkn pia huwa Nafwatilia masomo yako insta. Verry sad now umeput private acct 😭😭. Tunaoumia n ss tunaofwatilia.
@edwardvelidiana18643 жыл бұрын
Unanitamanisha sana
@fatumadireyhussein60064 жыл бұрын
Very nice Doctor
@winnieakarro53983 жыл бұрын
Dr tunaomba utusaidie jinsi ya kutibu Staphylococcus infection inasumbua sana
@kapasimoses984 жыл бұрын
Vinapatikana wapi mbeya
@shimafuad68685 жыл бұрын
Kasema zalto ni kiungo kinacholeta ladha ya chakula
@zulekhaaley48234 жыл бұрын
Dr unapataje hio Tosha tea?
@DrboazMkumboMD4 жыл бұрын
Zulekha Aley 0787 999994
@shimafuad68684 жыл бұрын
Zatox vijiko vingapi hukusema
@rashidashafii31485 жыл бұрын
Ukiwa na kisukari waeza kutumia cocoa??
@durgatagur58985 жыл бұрын
Shida yangu kubwa silagi mayai mapishi yako mengi yananishinda nitajitahidi nijiunge group la Whatsap unipe plan b kama ipo
@DrboazMkumboMD5 жыл бұрын
Durga Tagur Kwa sasa Hatuna.
@issabigwira88225 жыл бұрын
Dokta vp unalo duka au sehemu ambayo naweza kupata vyakula vilivotari kwa kuliwa na mtu mwenye kisukari kama vile mkate na vyakula vingine...???
@DrboazMkumboMD5 жыл бұрын
issa bigwira 0787 999994 Piga hio namba au Tuma sms Tutakusaidia