Habari Yako doctor na kupunguza urefu wa meno na upana bei gani samahani
@SaudaLigombaАй бұрын
Mnapatikana wapi
@Nusra-u2l5 ай бұрын
Seketure .mukoagani
@MomMadam-n5f7 ай бұрын
Naomba namba yako
@HoseaMosha9 ай бұрын
Doctor naomba namba yako
@fadhilamsagati13372 жыл бұрын
nataka kumuekee baba yangu
@JoyceElias-pl5mo7 ай бұрын
Nateseka jamani meno yameisha munisaidie mi sio skari yanatoboka nakuuma na kupelekea kungoa
@fadhilamsagati13372 жыл бұрын
doctor mimi nauliza kuweka meno ni bei gani
@sekoutourerrh2 жыл бұрын
Tsh 25000 kila jino. Karibu sana
@fadhilamsagati13372 жыл бұрын
yakuweka bila kuyatoa bei gani
@williampetermadirisha58176 ай бұрын
Jeyale yakkuweka bila kutoa shingapi doctor @@sekoutourerrh
@inyasiinyasi30095 ай бұрын
2:13 @@sekoutourerrh
@MomMadam-n5f7 ай бұрын
Mnasafisha meno kwa pesa ngapi
@sekoutourerrh7 ай бұрын
shukrani sna, unakaribishwa kuonana na daktari kila siku ya jumatatu hadi ijumaa saa moja na nusu hadi sa tisa na nusu kwa ajili ya uchunguzi wa kinywa chako na ushauri zaidi karibu sana
@WizzyVancy11 ай бұрын
Jino lakuto kutoa shingapi na mnapatikana wap
@inyasiinyasi30096 ай бұрын
doctor naomba kujua me ninamwanya na siuped naomba kuziba gharama yake ni shgp