Wengi wametumbukia kwenye mahusiano feki bila kujua na wamejikuta wanalia na kujuta tu. Unaepukaje uwezekano wa kujikuta kwenye mahusiano feki? Fanya mambo haya machache. Hutojutia
Пікірлер: 40
@neemaryan9947 Жыл бұрын
Wale wafuatiliaji na wasoma comment tujuane kwa like zenu hapa
@bupekibiki5151 Жыл бұрын
Wakati unaenda kwenye Mahusiano usiache ubongo nyuma! Tumia Na akili pia. Asante Sana Doctor Chriss najifunza mengi Sana uzidi kubarikiwa
@rehemampangala5544 Жыл бұрын
Asante Sana Dr kwa elimu nzuri
@devothalusao9461 Жыл бұрын
Daaaah asante dr.hakika unatuelimisha kwa mengi naomba Mungu niondokane na fake relationship
@OnesmoCharles-oe1hx9 ай бұрын
Asante Sana Mauki.. Mungu aendelee kukupa kipawa hicho cha kutuelimisha sisi vijana amee.
@dominuskaihuraofcorseoldis7149 Жыл бұрын
Inakuaje mpaka mke na mme wanafunga ndoa je hawakjua kuwa maisha ubadilike
@magrethmbuma3045 Жыл бұрын
Ww baba Mungu aendelee kukutumia unatusaidia sana.Nakupenda Mungu akubariki
@teddy-iq6lh Жыл бұрын
Somo zuri sana asante brother
@Wahuni Жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@AishaOman-qz7tn7 ай бұрын
Mungu wa mbinguni akuweke maisha malefu mtumishi
@christinamisana8853 Жыл бұрын
Imani, kitu muhimu sana. Wengine tunafeki hapa sababu tunaanini mweza Bora anapatikana nyumba ya ibada
@abigaelmwadena2262 Жыл бұрын
Hongera sana Dctr
@bestsvin182 Жыл бұрын
Nashukuru saana mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 umenifunza mengi!!! Mungu ukuweke mdamrefuuu mtu muhimu
@rosesaruni6924 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Dk. Chris
@mercymariki2148 Жыл бұрын
Big up Dr. Stay blessed
@dominuskaihuraofcorseoldis7149 Жыл бұрын
Kuhusu ndoa watu wengi huchukulia kama raisi sana kwa sababu Moja,kupenda kurahisisha Mbili,wengi hupenda kujua kazi na kipato
@linahaule1852 Жыл бұрын
Asante sana dr
@mariamyoyote8172 Жыл бұрын
Asante Sana Dr Chris mauki♥️♥️
@jessicamasepo8320 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana kwa Elimu Yako nzuri 👍
@happinessjonathan9994 Жыл бұрын
Well said Dr
@user-hz3jx7wu4p6 ай бұрын
ys Mrc . Leo
@lilianamukoya7156 Жыл бұрын
Asante sana
@rehemaedward9494 Жыл бұрын
Kaka ubarkiwe sana nipo ktk uchumba nshkru somo limekuj mda mzr kbsa nitayafanyia kazi