DR. MPANGO ACHUKIZWA WAFUNGWA KUTUMIA NDOO KAMA CHOO “HAIFAI KABISA IKOMESHWE”

  Рет қаралды 6,410

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 23
@aminielmwasha3994
@aminielmwasha3994 13 сағат бұрын
Hii imekaa vibaya sana aisee😳 yani mpaka leo wanatumia ndoo kama choo😢😢
@ChoroTesla
@ChoroTesla 4 сағат бұрын
@@aminielmwasha3994 acha na watu wanafurah kabisa wanajua wafungwa ni watu wasiokua na haki
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 13 сағат бұрын
Viongozi tembeleeni magereza kilawakati ndio itakoma
@RamadhanMbwana-o1j
@RamadhanMbwana-o1j 13 сағат бұрын
Yani mpaka leo 2024 wafungwa wanatumia ndoo! duuh😮
@aminielmwasha3994
@aminielmwasha3994 13 сағат бұрын
Mwenyewe nimeshangaa sana, siyo fair hata kidogo aisee😥😥
@anordiobadia.nycsong8123
@anordiobadia.nycsong8123 Сағат бұрын
Hongera sana mkuu kuliona hilo kwani sisi sote ni wafungwa watarajiwa
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY 10 сағат бұрын
Professional 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
@mwemakhatibu1754
@mwemakhatibu1754 4 сағат бұрын
Good news
@SalimKombo-xo4pq
@SalimKombo-xo4pq 13 сағат бұрын
Mungu akubariki muheshimiwa. Tanzania ni nchi ya amani lakini wafungwa wana teseka sana. Hawana haki kabisa. Bado wana kunya kwenye mtondoo. Mambo ya kizamaniiiii😢😢😅
@ramadhaniabdulkadry288
@ramadhaniabdulkadry288 3 сағат бұрын
Ivi nikwamba aiwezekani kbs kuweka vyo sahihi , hii nchh duh kazi kubwa sana mazingira yenyewe tu cyo fear kbs utaratibu mzima malazi na taraibu zingine hazijakaa sawa kbs nitatizo kbs. Na ndio maana magonjwa kwisha ni ngumu na mlipuko wa magonjwa ni mazingira cyo bora
@FredrickMatiku-xf2uk
@FredrickMatiku-xf2uk 11 сағат бұрын
Wapelekwe jela ya p.didy ina choo cha kukaaa
@elidadinyalemaelidadinyale3686
@elidadinyalemaelidadinyale3686 13 сағат бұрын
Wafungwa tuanze kula Bata
@jerome3143
@jerome3143 14 сағат бұрын
bejeti ipo wajengeni vyoo
@ceciliaathanas3135
@ceciliaathanas3135 Сағат бұрын
Nikajua wanatumia makopo kumbe ndoo 🤔wanapendelewa kumbe
@MussaBakar-p2p
@MussaBakar-p2p 13 сағат бұрын
Itakomaje
@felisterandrew8741
@felisterandrew8741 14 сағат бұрын
Sawa
@EmmanuelMtatiro-cl5oe
@EmmanuelMtatiro-cl5oe 12 сағат бұрын
Kp
@avithkyaruzi990
@avithkyaruzi990 14 сағат бұрын
😂😂😂😂sasa wafanyeje
@mamboshepea8888
@mamboshepea8888 13 сағат бұрын
Wawasindikize porini😃😃😃😃
@ChoroTesla
@ChoroTesla 13 сағат бұрын
Ukiwa mfungwa haikuondolea ukose haki zako za msingi ikiwemo kula kulala hata adhabu hv ww ndo wafungwa wanyee kwenye ndoo kuna magonjwa ya mlipuko ndo mana wenzetu wanaita department of correction
@RoseMichael-oz7cy
@RoseMichael-oz7cy 5 сағат бұрын
@@ChoroTesla correction facilities
@isacklaurent8948
@isacklaurent8948 3 сағат бұрын
mm sion ajabu ku2mia ndoo coz kumbukeni ile pih ni sehem ya adhabu kwa makosa aliyoyatenda shida nipale umehukumiwa kwa kusingziwa lakin k2mia ndoo sion ubaya inatakiw akitok hpo asitaman kurud tn jela
@malkiarosemuhando3310
@malkiarosemuhando3310 30 минут бұрын
Ngoja likupate ndo utajua usiku na mchana, unadhani wote wamekosea?
VITUKO VYA KWENYE DALADALA (EP1)
11:33
Steve Mweusi
Рет қаралды 129 М.
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma
00:14
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 74 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 269 #shorts
00:26
ANASA KWA MASAA SABA AKIFUATA SIMU YAKE KWENYE KORONGO
3:29
Millard Ayo
Рет қаралды 24 М.
"KINDIKI WILL NOT BE SWORN IN BY FORCE" RUTO RECEIVES BAD NEWS FROM COURT
23:00
Don't look down on anyone#devil  #lilith  #funny  #shorts
00:12
Devil Lilith
Рет қаралды 48 МЛН