Dr slaa akamatwa nyumbani kwake Jeshi la polisi laibuka na kujibu "tunaye na tunamhoji

  Рет қаралды 14,410

Linconmedia

Linconmedia

Күн бұрын

Пікірлер: 41
@RastaMany-p8x
@RastaMany-p8x 15 күн бұрын
Yupo mungu msemaji wa mwisho ngoja inyeshe.......
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 14 күн бұрын
Akamatwe kabisa na ahojiwe ,huyu bwana ni mzushi kila.mara anasema kuna mtu kanipa habari kutoka serikalini na awataje kama ni kweli .
@laninjeje8290
@laninjeje8290 15 күн бұрын
Safi sana, ashughulikiwe shoga huu! Ni mzushi na mchonganishi siku zote.
@vinny.morales
@vinny.morales 15 күн бұрын
Baba yako ndio shoga ndio maana akakuzaa choko kama wewe
@laninjeje8290
@laninjeje8290 15 күн бұрын
@vinny.morales kaa kimya wewe mama yako mzazi nimemtomba sana Tena nyuma
@robertphilip385
@robertphilip385 15 күн бұрын
Unafaidika nini? Uchawa tu unakusumbua
@laninjeje8290
@laninjeje8290 15 күн бұрын
@robertphilip385 alifanya ushoga akafukuzwa upadre, akafanya ushoga Tena akafukuzwa ubalozi Canada alafu Leo eti slaa anasema anataka mabadiliko CHADEMA, shoga mkubwa huyu
@bcozhenry2698
@bcozhenry2698 15 күн бұрын
​@@laninjeje8290 we maiti ya baadaye na takataka ya sasa?
@Mzalendowetu
@Mzalendowetu 15 күн бұрын
Ndugu zangu huyu Mzee anatafuta umarufu wa kwenda wapi? Anasumbua tu vyombo vya usalama kwa maneno yake ya uwongo.juzi alimtuhumu Raisi wetu kuwa amemuhonga mbowe wa Chadema na akasema ushaidi anao.autoe basi huo ushaidi wake. Kamanda wetu Muriro anafanya kazi nyingi sana.asisumbuliwe
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 15 күн бұрын
Mmmmmm makubwa hayaaa
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 15 күн бұрын
Akatoe ushahidi wote polisi kama anao siyo mambo ya kuzusha na kuropokaropoka tu
@jamesloshilunye414
@jamesloshilunye414 15 күн бұрын
Shida unafikiri ukiwa mjinga kial mtu ni mjinga kama wew,,Hawa wazee ni watu wenye mtandao mzito sana serikalin,,mara nyingi hawaongei bila kuwa na ushahidi,,acha ujinga
@mahadshekh398
@mahadshekh398 14 күн бұрын
Alete huo ushahidi.
@johnmwasilu7087
@johnmwasilu7087 14 күн бұрын
@@jamesloshilunye414haya wewe mwenye akili kamsaidie polisi
@Mzalendowetu
@Mzalendowetu 15 күн бұрын
Hakuna alichochangia Slaa kwenye hii Nchi tofaut na kuichafua na kumchafua raisi wetu akisaidiana na Lisu
@josephmarole5159
@josephmarole5159 14 күн бұрын
sasa mbn Lissu yeye ajakamatwa??? Tumia akili wewe!!
@Mzalendowetu
@Mzalendowetu 15 күн бұрын
Ktk hili huyu mzee hakuna kuonewa huruma amezidi kuichafua Nchi na raisi wetu.duniani kote huwezi kumtukana kiongozi kwa kiwango cha akina Lisu na Slaa halafu ukaachwq hivihivi hapana.amepewa hadi ubalozi bado anatukana
@adiaygo8546
@adiaygo8546 14 күн бұрын
Huyu Mzee atafutiwe kidume kimtafune ndiyo atafunga mdomo Na uzee wake
@EmanuelBayo-i8b
@EmanuelBayo-i8b 15 күн бұрын
Wewe unayshabikia umetokea wapi wachatuelezwe kosa nini ?au wewe hujawahi lipa kodi ya kichwa nini?
@evodiusantony2115
@evodiusantony2115 15 күн бұрын
Ccm mbowe wote apo
@dennissamora729
@dennissamora729 15 күн бұрын
Angemsapoti Mbowe asingekamatwa
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 14 күн бұрын
@@dennissamora729 Mbowe ndio kamtuma amkashifu Mh Raisi wetu!?? Kamdomo kamemponza apambane na hali yake! Lazima ajifunze kutii mamlaka!!
@dennissamora729
@dennissamora729 14 күн бұрын
@kumbuka serikali ya Rais wako inateka, inapoteza, inaua. Acha ukabila!
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 14 күн бұрын
@dennissamora729 Akili za kuambiwa changanya na za kwako.. Wewe ulishuhudia au ni porojo tu!. MIMI NASIMAMA NA MAMA! SSH FO LIFE!!
@dennissamora729
@dennissamora729 14 күн бұрын
@ eti akili za kuambiwa wakati vitu vinaonekana dhahiri. Ni wale tu wenye akili kama zako ndio wanaojifanya hawaoni au kujitoa ufahamu kwa ajili ya ushabiki au maslahi yao binafsi! We simama na mamako acha mie nisimame na yeyote mtenda haki bila kujali udini, ukabila au itikadi za kisiasa.
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 14 күн бұрын
@dennissamora729 Pambana na hali yako! Wala sijakupangia pa kusimama! Kinachopendwa na wote ni pesa tu! Sijui umenielewa!!
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 14 күн бұрын
Mtumzima ovyo
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 15 күн бұрын
Atoe ushaidi uchaguzi umezodi
@hamadhamud-n4j
@hamadhamud-n4j 15 күн бұрын
Kazidisha uchochezi
@johnvedastus3079
@johnvedastus3079 15 күн бұрын
Kamateni wachochezi wote, watu wanashinda mitandaoni kuongea uwongo na uzushi badala ya kujadili namna ya kujenga na kusaidia nchi. Kuwaambia watu mambo yasiyoleta tija, haiwezi eti watu wote mtuamishe tumkubali Tundu kwa kusema uongo na kudhalilishana, kuna watu walisha fiwa na wazazi wao wote na waliwaacha masikini lakini wamekuwa matajiri kwa sababu wamejitambua na kuhangaika kutafuta kwa njia sahihi na kufanikiwa. Serikali haiwezi kumpa mtu kila kitu bali wewe tumia akili yako vizuri fursa zipo badala ya kukaa mitandaoni kutukana watu na kuwakosea heshima. Vitu vyote vilivyopo duniani ni mali ya Mungu hivyo tusichoke kutafuta wenyewe kwa haki badala ya kuanza kulaumu Serikali kila siku na kwa mambo hata Serikali yenyewe haihuki. It won't make any sense eti Serikali imempa hela mbowe ili amshinde lisu na kwamba eti Serikali ivuruge uchaguzi wa Chadema. Very strange 🤔 hizi ndiyo sera watu wanazo kichwani 😂. Hivi mtu kama huna la kuongea ukikaa kimya kuna mtu atakulalamikia au utashitakiwa kwamba kwanini uko kimya? Slaa eti anawasemea wengine kwani nani kamtuma kusemea wengine. Tunahitaji kujifakari kwa mambo tunayo yaongea hasa watu wazima na usomi walionao, tunafundisha nini kwa kizazi hiki na kile kichacho. Fitina ni mbaya na inaleta mifarakano katika jamii.
@ANGELUSLIJUJA
@ANGELUSLIJUJA 15 күн бұрын
MZEE YUPO KIKAZI ZAIDI USALAMA UYU MZEE MTAPASUA KICHWA TU YEYE ANAWACHANGANYA TU
@samsonsengi7574
@samsonsengi7574 14 күн бұрын
Bado kidogo tu tutafika huko tunakoenda, kamateni sana.
@RenaldaZeramula
@RenaldaZeramula 14 күн бұрын
Kana mdomo aka kababu
@EmanuelBayo-i8b
@EmanuelBayo-i8b 15 күн бұрын
Mzee wetu amechangia pakubwa kwenye demokrasia ya nchii hii mbona warioba anatoa makavu na asikamatwe?au tatizo ni nini ?
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 15 күн бұрын
Warioba alimtukana lini Raisi wetu kua kamhonga Mbowe ili anunue uchaguzi?? Acha akatoe ushahidi tuuone! Siku zote mdomo unaponazaga kichwa! Anazeeka vibaya!😢😢
@RichardLyamuya
@RichardLyamuya 14 күн бұрын
Tatizo Slaa ni mzushi
@dorothmsuya1686
@dorothmsuya1686 14 күн бұрын
@RichardLyamuya Tena anaongea tu utadhani kanywa maji ya betri!! Acha akatulize kichwa kidooogo!
@jetymagereja4058
@jetymagereja4058 15 күн бұрын
sio kwa dk slaa mapema mno anawaacha kweupee
ALICHO ONGEA DOKTA SLAA KABLA YA KUKAMATWA
8:28
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 45 М.
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
It’s all not real
00:15
V.A. show / Магика
Рет қаралды 20 МЛН
Когда Трамп договорится с Путиным?
29:35
BBC News - Русская служба
Рет қаралды 73 М.
HIVI NDIVYO DOKTA SLAA ALIVYO KAMATWA USIKU WA MANANE
3:40
HABARI KIGANJANI
Рет қаралды 5 М.