Dr. Suley from Congo 🇨🇩 : Mtume Muhammad (S.A.W) katika Biblia

  Рет қаралды 8,183

Ar Risâlat Tv

Ar Risâlat Tv

Күн бұрын

Пікірлер: 19
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 2 жыл бұрын
Poleni sana, mtume gani aliishi maisha machafu kama Muhammad
@Kamundubashaliismaila
@Kamundubashaliismaila 11 ай бұрын
Hongera Sule From congo
@MohamedAhmed-yi1yf
@MohamedAhmed-yi1yf 3 жыл бұрын
Sala na salamu zimshukie mtume Muhammad salalahu alehi wa salaam
@tresorkinyeshe6965
@tresorkinyeshe6965 8 ай бұрын
Man'chahallah
@karimabdoul5590
@karimabdoul5590 3 жыл бұрын
Manshaallah
@zahraabdi3799
@zahraabdi3799 3 жыл бұрын
MashaAllah
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 3 жыл бұрын
Uislamu utapoteza watu kabsa
@MuslimAimable-ch2qb
@MuslimAimable-ch2qb Жыл бұрын
Naam SULE From Congo
@bidafumbuka855
@bidafumbuka855 3 жыл бұрын
Uongo wa wawaislamu umethibitika kwa uwazi kwa sasa hawana hoja.
@ArrisalatTV
@ArrisalatTV 2 жыл бұрын
Mbona haujauleta ule uongo ?
@mwalimubenardotieno5703
@mwalimubenardotieno5703 3 жыл бұрын
Hivi ndivyo uongo unaenezwa. Yani maandiko yanamzungumzi Mungu, Leo amekuwa ni Mohammed!?
@ArrisalatTV
@ArrisalatTV 3 жыл бұрын
Yaani wewe hujui utumizi wafumbo katika maandiko ?
@mwassamwassa7264
@mwassamwassa7264 2 жыл бұрын
@@ArrisalatTV Muhammad hawezi kuwa mtume wa Mungu kwa jinsi alivyoishi kiholela
@marselldavid9544
@marselldavid9544 2 жыл бұрын
makafiri nyie Muhammad yaingii ndani biblia
@ArrisalatTV
@ArrisalatTV 2 жыл бұрын
Asante
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 2 жыл бұрын
Mtu yoyote yule ambaye si muisllam hujue huyo anaitwa kafriiii
@nyetaapaul9389
@nyetaapaul9389 Жыл бұрын
We kasome Isaya 21:13, Isaya 29:12, kumbukumbu la tourati 18:18 musa kafanana na Mtume Mohamad (s.a.w) kiunabii, musa kapewa mtume akiwa na miaka 40 kama ilivyo kwa Muhamad(s.a.w), wote walioa,wote walikufa kifo cha kawaida, wote walipewa kitabu cha sheria na hukumu( tourati na quran), tafuta sifa hizo uone! Na nyingine nyingi na ndugu za waisrael ni waarabu kwa sababu Isihaka na Ismail ni ndugu, isiaka alibaki Irael na Ismail alizaliwa uarabuni na wote hawa ni watoto wa nabii Ibrahim(A.S). Unapinga tu hakuna dini inaitwa ukristo kwa sababu kristo ni jini sio dini soma mathayo 1:16, alafu na matendo ya mitume 11:25-27. Hamna dini nyie alafu soma na wakorinto wa kwanza 15:18, yesu alikuwa muislam soma luka 3:11 na manabii wote walikuwa waislamu soma kutoka 34:8, mambo ya walawi 16:4, mambo ya nyakati wa pili 7:3, soma luka 4:16 ( maana ya sunagogi angalia maneno magumu nyuma ya biblia ni msikiti yesu hakuwa kuingia kanisani) kwanza makanisa hayakuwepo kipindi cha yesu aliyeyaanzisha ni paulo miaka 14 yesu keshapaishwa, soma wakorinto wa pili 11:16-17, na 12:16, wakorinto wa kwanza 15:17-18, Wakristo hamna dini nyie mmepotea sana! Poleni na msipobadilika mnaenda kuwa kuni za motoni siku ya kiama na mawe
@peterotakwa3622
@peterotakwa3622 3 жыл бұрын
hahahaaa elimu chafu
@ArrisalatTV
@ArrisalatTV 2 жыл бұрын
Tupe iliosafi wewe !
Nabii Muhammad (S.A.W) katika Biblia Vol. 1
4:54
Ar Risâlat Tv
Рет қаралды 2,4 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
Une nouvelle voiture pour Noël 🥹
00:28
Nicocapone
Рет қаралды 9 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
Warithi wa Hajj Zakaria : Tukicheza si ajabu
8:05
Ar Risâlat Tv
Рет қаралды 786
DEBATE UTABIRI WA MTUME MUHAMMAD (saw) NDANI YA BIBILIA
1:06:39
AKASHA PRODUCTION TV
Рет қаралды 10 М.
Sheikh Djuma Sadiki Muyenga 🇨🇩 : Hali na fitna ya zama hizi
45:07
MUHAMMAD (S.A.W) KATIKA BIBLIA
42:32
Kishki Online TV
Рет қаралды 2,4 М.
Barzanji 4 : Sheikh Abubakar Zakaria 🇨🇩 asoma mlango wa nne
17:40
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН