Nimekataa roho yeyote iliyo inukankinyume na Mimi katika jina la yashua massiah
@jannffer3 күн бұрын
He is the tree of life
@Samsungjprime-ww9ve Жыл бұрын
Shukran Dr sule Mashaallah Allah akuzidishie umri wenye afya njema na siha mzr
@liam81272 жыл бұрын
Mungu akubar sule binadamu tunapitia menge atujui jinsi yakuepuka..yalabi tunusulu he!
@shamimuathumani89472 жыл бұрын
Asalam alykum. Kwakweli hivi anavyoongea unaweza hisi Ni ujanja ujanja. Lkn lahasha nilikuwa namatatzo makubwa mno Ila kwa dua zake na maji ya dua. Alhamdullah kwa hapa nilipofkia. M/mung awape afya njema . Na kher nying mno
@moussaalimbinally12732 жыл бұрын
Oya nitayapataje ayo maji
@mariamomari45212 жыл бұрын
Asslam alykum Ustadh maji nipata wapi niko mbali mimi naomba jina je huku Saudi Arabia naweza pata
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Alhamdulillah... Allah ampe ujuzi zaidi shkh Yarrab azidi kusaidia jamia...
@mwamini1545 Жыл бұрын
Ulikuwa kalibu yake ama ulikuwa inje ya inchi? Mii niko inje ya inchi na mii niko namatatizo mengi nimezunguka sana sijapata musada yeyote
@rajysmjunior Жыл бұрын
Ww ume yapata sehem gan me nipo na shida nayo
@aishawangui66352 жыл бұрын
Subhanallah. Hatua kwa hatua mpaka waislam waache kumwamini Allah na waamini wadamu wenzao kama wakristo na mapastor badia audhu billahi minal saitan rajeem..Ya Allah yarabbi wanitosha kunilinda kuniruzuku natubu kwako nisamehe
@evodiamahay16132 жыл бұрын
Ivi weye wakristu kutuonaje? Kama unakoment ,koment lakini wacha kuchafua dini za wengine mana wasio muamini mwenyezi mungu ni wengi ata waislam pia wapo wacha kujaji watu mana wakujaji ni mungu peke 😈
@aishawangui66352 жыл бұрын
@@evodiamahay1613 mimi nilisema pastor badia naelewa kienye nasema na sijudge anybody nimezaliwa na wakristo na familia yangu ni wakristo najua kienye na sema
@mandelakizango87692 жыл бұрын
Allahu Akbar
@mwashamleo9996 Жыл бұрын
Sasa hapo kuna kosa gan mbona tunaenda hospital na tunaamin madaktar wanaweza kutusaidia?duh akili yako haina akil kweli 😢😊
@mwashamleo9996 Жыл бұрын
@Aisha wangui
@dinatalib27032 жыл бұрын
Iyo roho ndo mm kabisa husema hivyo Mugu kanipangia hii hali dah subuhanallah
@abdulazeezuae48812 жыл бұрын
Ndio mime wangu jamani daah mbaka nashindwa chakufanya wachawi wengi mno duniani kushindwa wema
@zeinatmutesiruhora61059 ай бұрын
Doctor sule tuleteye maji uku sauz Africa please wacawi kibao
@user-nh1fd1nl7t4 ай бұрын
Sheikh Allah akupe maisha mema❤
@KhairatAbdallah-kv3ql3 ай бұрын
A.alaykm...kiasi gan hayo maji
@MsambyaNdulu-uw4do2 ай бұрын
Allah akhibar,Dr.mimi natatizwa sina mafanikio yoyote,kipato,ndoa zangu kuvurugika bila sababu lakini sijakubalia na hali ya kukataa tamaa,ila uwezo wa kupewa wakifika pale ulipo Dar sina. Nakusihii inisaidie niondokane na janga hili. Nahitwa LOKENDO-BONGA BILÉNGANA NGALÙLA
@sophiamussa5354 Жыл бұрын
Ee mwenyew MUNGU tujaalie neema 🙏
@AntiMohamed3 ай бұрын
Assalam Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh ALLAH akuzidishie kila la kheri, Sheikh nauliza huku Mombasa Kenya waja lini.
@user-di3gf9cs2e6 ай бұрын
SHUKRAN Mufti wangu🙏🙏
@liam81272 жыл бұрын
kabisa mimi ndo inanikuta napata ela ila sifanikiw kabisa napata adi milion ila sifanikiwi mpaka nakata tamaaa ya kuwa namafanikio
@hassandinhoosmail637811 ай бұрын
M/mungu aweke baraka na maisha yako Insha'Allah 🙏
@firdausassouman71152 жыл бұрын
Ma shaa Allah barakallahu fikum
@emmanueljohn92869 ай бұрын
Sheikh nimekuelewa sana pia umegusa maisha yangu kabisa.naomba mawasiliano yako tafadhali...
@meandme34372 жыл бұрын
huo mti alioutaja ni kweli uo namna hiyo kama muwembe . Allah yubarik alaikum
@gabrielnduwayo82773 ай бұрын
Assalamu.alaikum ,naitaji kuwasiliana na Docter Sulle
@Aisha-qx7kz7 ай бұрын
Asalam alaykum warahamatullahi wabarakatuh......walahi shekh sule mungu akipenda nitakutafuta kwa hayo matatizo ya uchawi
@KiragaSteven-sz9xb Жыл бұрын
Mashaallah
@zakiahbakari2017 Жыл бұрын
MashaAllah
@husseinabbakary2778 Жыл бұрын
Mashallah
@mgeniomukubi1156 Жыл бұрын
Masha Allah .niko kenya na nina matstizo niyssaidikaje
@MelkizedekiMarsely-mm6zy7 ай бұрын
We dt sule nakupenda bure kabisa we mwamba ktk historia
@bintialirashid34702 жыл бұрын
Mashaallah nikweli kabisa
@user-nh1fd1nl7t4 ай бұрын
Mungu akujalie maisha mema
@nasfunasri56112 жыл бұрын
Asalam alykum shekh nipo Nairobi ntayapataje
@sakeenaanzi4431 Жыл бұрын
MashaAllah, kama vile unakariria maisha yangu vile
@user-fy6xb8zp9o8 ай бұрын
Assalaam alaykum warrahmatullah wabarakatuh mansha,allah na mimi pia niko Congo tafadhali
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Kabisa!!
@iddalihussein15342 жыл бұрын
Asalaam aleikum sheikh, Naomba kupata number Dr dule ya whatsup, Niko nchini Kenya Meru county Barak-Allah
@neemajoseph9192 Жыл бұрын
Assalam alaykum naomba namba ya doctor sule nami nimesibiwa na hilo jamani ambae hajafikwa anaweza kuhisi shekh anaongea tu lakini yakikufika ndo utajua
@user-qq2oc4bt3i4 ай бұрын
Allahu akbaru
@swafniesaid23312 жыл бұрын
Asalamu alekum mola akubarikiye akutiliye taufik amen utakuja lini Kenya hata sisi niwagojwa
@mbaroukmohammed9132 жыл бұрын
Zzzzuuuuuummmmm M Smmmmmmmm 666mmm Mmm.mm Mmm.mm.m
@mbaroukmohammed9132 жыл бұрын
Zzzzuuuuuummmmm M Smmmmmmmm 666mmm Mmm.mm Mmm.mm.m
@muuu95052 жыл бұрын
Kwamba mungu anaumba undongo wa shari mnaanza kuwaiga wakristo kina mwamposa kupata pesa mmeacha da'awa mmeanza usanii subhanallah
@abdulmbaruku91772 жыл бұрын
We tulia ngoja Allah akuoneshe ndo utajuwa
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Haujapatikana bado omba yasikupate..
@PaulineNasma-dz2qv Жыл бұрын
Assalam alaikum Mimi ni Nasma kutoka Kenya, nikitaka hayo maji nitayapataje . Shukran.
@gasigwanassor4172 жыл бұрын
Niko Rwanda majii hayo anaweza patikana ajee
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Mashaallah Mashaallah
@mwajabuabdalah-pl6bc Жыл бұрын
Nampataje di sulle inapatikana wap
@user-ni5fi6qk2h5 ай бұрын
❤
@omarikinyory57852 жыл бұрын
Majini ya mashwetwani wapo
@abdirizackkala45932 жыл бұрын
Sheikh utakuja lini Kenya
@MohammedAli-rh5si2 жыл бұрын
Jazzaka llahu kher
@user-mv4ih4sd5n3 ай бұрын
Asalam alaykum warahmatullah wabarakat mimi nipo kianga Zanzibar nayapataje haya maji nayapataje
@mustafarashid248410 ай бұрын
Comment nyingi hapa ni wanawake eti wanataka hayo maji,dawa ni amka usiku swali sunna nafanya dhikr kwa sana kwani Allah ako karibu na wewe
@aminasalim9292 жыл бұрын
Asalamu aleikum vipi nita pataaje haya niko kenya Nairobi
@emmanuelmbwambo6571 Жыл бұрын
SAWA mkuu 🙏.
@user-mt4sd6cj5y Жыл бұрын
Uchawi. Upo lkny tusiuamini sanaa ..wengi wetu n wavivu wa kutafuta maisha twasingizia uchawi.hijra muhimu kama hufanikiwi Tanga hama nenda ulanga...mbea..msa kule wanga hawakujua Historia yako.
@nasimnamira25172 жыл бұрын
Salama Alekum she sisi tutapataje Niko Kenya nijibu
@nasimnamira25172 жыл бұрын
Nakuuliza hunijibu
@jemedarmohamed3644 Жыл бұрын
السلام عليكم سيدى
@fatumamwachupa78102 жыл бұрын
Please doctor sule pia mimi na yataka Sasa nitayapataje
@sembuakimbosho3319 Жыл бұрын
Asallm alleykhum hayo maji unayapataje na bei gani
@user-mt4sd6cj5y Жыл бұрын
😂😂😂huu ndio mpango mzima kuna walala hoi n walala hai.
@user-vg7pp6xp2g7 ай бұрын
Asalaam alykum...Dr Sule nataka hayo maji nitayapata vipi na niko kenya
@nassoroabdul6743 Жыл бұрын
Uko sehem ipi ndugu yangu
@zulekhamnene94622 жыл бұрын
Dr sulle naomba no yko niko kenya
@omarikinyory57852 жыл бұрын
Asalam aleykum warahmatullah wabarakatuh allah atujarie heli atukinge na maradhi
@AntiMohamed3 ай бұрын
Cc huku Kenya tutumieni hiyo email jamani tupate kununua
@RamaKokilo2 ай бұрын
Arusha una branch Dr.sule
@California94513 ай бұрын
Sule Mganga
@fikirinijuma6158 Жыл бұрын
Naomba namba ya DK sule napoteza mengi kweli Hadi mke wangu
@mwashamleo9996 Жыл бұрын
Si wameonesha hapo juu no zake?
@UwamahoroShemusa-yl1om Жыл бұрын
Sule naurizajye mimi niko mbari uganda kwakweri naweza patajye manji hio
@UwamahoroShemusa-yl1om Жыл бұрын
Assalam alaikum Walhamat
@mahmudmaganga9407 Жыл бұрын
ASALAM alaikum docter sule kama sisi tupo mbali burundi maji hayo ntayapata vipi pili naomba mawasiliyano yako Yamoja kwamoja ili nisitapeliwe
@yasinkulendea24833 ай бұрын
Mawaidha yananihusu mimi 100%😢😢
@lucrezianjenga89932 жыл бұрын
Hata mimi ni po Kenya maji hayo nita ya pata vipi
@victorotieno27162 жыл бұрын
Asalam alaikum warahmatulah wabarakatu..naomba number ya doctor nipo Kenya 🇰🇪tafathali
@BizoMenya8 ай бұрын
Assalaam alleykum, naitwa ummu nipo mbagala nimefanyiwa sihiri nimeshindwa kujua ntaponaje matatizo yangu yananitesa naandamwa na nuksi balaa mikosi nashindwa kupata ndoa
@user-th6km5bj9m4 ай бұрын
Asalam alaikum waraymatulahy wabarakatu
@subirafatma3234 Жыл бұрын
Asalam aleikum warahmatullah wabarakatuh sheikh ayo maji mtu anaweza kuyapata je kama si watu wa burundi plz sheikh na ni bei gani
@shariffkareem8045 Жыл бұрын
Mimi sija muelewa uyo mwenye kofia nyekundu mbona nae nimiongoni mwa udongo mbaya
@user-th6km5bj9m4 ай бұрын
Hayo maji nitayapata vipi sheikh😢
@MbulamayeJuma-xw4lx Жыл бұрын
Asalamualeikum Dr mm naitwa kutoka Nairobi Niko namatatizo ya nitapata aje kusaidika please
@hajiabdika1172 Жыл бұрын
Asalamu aleykum Dr naweza pata aje hayo maji
@twaibujuma502310 ай бұрын
Mbona shekh arusha hatukuon
@user-un8be7ct3e9 ай бұрын
assalaamu aleikumu sasa mimi ninashidayakutomiliki kileninachokifanyia hatamifugo kuku akitotoa vifalangavinakufavyote je kunakk
@HerriMossi-fu3lw11 ай бұрын
Namu asalamwalakumu w t b ostazh mimi ni mukazi wa burundi n'a tulikuwa tunaomba namba za simu ili tuweze kijuwa mengi ila samahani
@heritier51192 жыл бұрын
Huo mti unaitwaje na eneo gani hapo jordan
@afandemsanzu36862 жыл бұрын
Assalam aleikum Shekhe naomba namba ya Dr Suleiman
@abudoeugenio6903 Жыл бұрын
Dahhhh. Ostadh mimi nnamatatizo tangiya mwezi nne Ramadhani mpaka leo ( kuna vitu vinanitembeya mwirini ) unanisaidiyaje shekhe??
@AntiMohamed3 ай бұрын
Tafadhalini namba ya Sheikh tutaipataje
@mwajumaallyally23 Жыл бұрын
Walkum msalaam naomba namba ya ustadi sulley
@amosdavies17812 жыл бұрын
Hivi Dr. Unapo uza ramani ya vita... si unawapa adui tahadhari ya kujipanga Maana hao wachawi pia wanakusikiliza unavyowagonga nyundo
@shariphshaibu39419 ай бұрын
Assalamualaikum Dr sule swali langu 1 inapikana wapi?
@majomasliman7856 Жыл бұрын
Assalam aalaykum wrahma tullahi wabara katuh tuna shkuru sana ila kwa sisi tulioko Burundi tuna taabika sanaaji hayo tuna yapata je? Dr sule
@nassoroabdul6743 Жыл бұрын
Uko burundi sehem ipi ndugu yangu
@user-lc5fz1th9j4 ай бұрын
Naomba mawasiliano yako
@hdkuligt16212 жыл бұрын
Hili mm namnini kwa asalimia 50
@robertphilip3852 жыл бұрын
Sule nimekukubali kunasiku ulisema mwakahu yanga atakua bingwa wa ligi Sasa imekua ukovizuri
@idrisargevar45578 ай бұрын
Kwahiyo hapo hataakikwambia nisujudie mimi utakubali sio? 😅😅
@robertphilip3858 ай бұрын
@@idrisargevar4557 acha unafiki wa kusujudiwa ni Mungu
@mimitijara48062 жыл бұрын
Afwan maalimu naomba no yako niko nairobi naweza tumiwa hayo maji nn naumwa
@mohamedmwanyasi678 Жыл бұрын
Mm nko mombasa naitaji maji ya mti mjarab
@user-jq2fq6ph8y8 ай бұрын
Nisaidie namimi ninashida sana
@user-uw8cp9yi6h11 ай бұрын
Tufafanulie hayo maji ni yapi.
@fatufatuma6306 Жыл бұрын
Dokta sule Niko Burundi naomba namba Yako kupitiya yutb
@nassoroabdul6743 Жыл бұрын
Uko sehem ipi
@fhyubhhh2881 Жыл бұрын
Husda mbaya jamani
@Samsungjprime-ww9ve Жыл бұрын
Mimi nayataka hayo maji nitayapata vipi huku niliko na nikiasi gani ?
@saidkalume35542 жыл бұрын
Assalaam Alaykum said kutoka Kenya maeneo ya kilifi thafadhali naomba kuyapata majihayo ntayapataje?
@HajKhamis-qz7wg8 ай бұрын
Nayataka.dokta
@BON357 Жыл бұрын
Izi dawa za doctor sure napata wapi
@jemedarmohamed3644 Жыл бұрын
samahani nauliza jina la maji hayo habiib
@suleimankoja.81822 жыл бұрын
Tulioko kenya maji hayo shekhe tutayapataje??
@zahra-lm6lv2 жыл бұрын
Haswa hata mimi pia ningependa kujua
@awadhijumasaraiawadhijumas79562 жыл бұрын
Kuna hizo namba hapo chini za smu
@suleimankoja.81822 жыл бұрын
@@awadhijumasaraiawadhijumas7956 ukipiga ni mteja hapatikani
@AsmaismailElmi4 ай бұрын
Niko somaliland ntapaje hayo maji
@sadiaahmed19842 жыл бұрын
Unaongea nn ww mwenyewe ni mshirikina, kila saa nyota imengara, watu watakupenda,