Al~Hajj-Shk-Ust-Maalim-Dr.Sule,tumejifunza mengi kutoka kwako.May Almighty ALLAH grants MORE THAN YOU NEED. INSHA'ALLAH. (ISMAIL YUSSUF ABDI BILE,Hargeisa;SOMALILAND).
@zanmedia52258 жыл бұрын
Mpaka leo bado naangalia mawaidha haya. Mungu akuzidishie doctor sule.
@husseinnyange59139 жыл бұрын
Dr. Mw/Mungu amekupa uwezo tena namuomba akuzidishie tupe vitu,shehe nakukubali sana mambo mengi nimejifunza kutoka kwako dr
@semamachocho96649 жыл бұрын
Dr Sulle MASHALLAH TABARAKALLAH baada ya kuwa mayt Kwa siku 120 kwa tumbo la mamako ulikuwa hai na Kwa kweli uko hai ALLAH AKULIPE LEO NA KESHO AKHERA
@abdallahhassani88175 жыл бұрын
..
@saumuramadhani78337 жыл бұрын
mashallah Dr sule mungu akuzidishekilalahiri katika kutuelimisha mambo muhimu kuhusu allah
@babikirmusa69636 жыл бұрын
Saumu Ramadhani andika Jina ya Allah kwa herufi kubwa
@rukiaosman84166 жыл бұрын
Saumu Ramadhani allah akbar Mashaallah allah akujaaliye pepo ndugu yangu nasote yarabi
@rajabually36066 жыл бұрын
Sule pasaka
@barutwanayohussein77766 жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatul llahi wa barakatuh. Hongera sana Doctor Sule. Endelea kutupa sabuni ya roho. Allah atakulipa thawabu nyingi inshaallah.
@salmasaidi28755 жыл бұрын
Mashaa Allah Jazzakallahu kheyir yaa Doctor Sule, Allah akupe afya njema na umri Aamiin thumma Aamiin.
@mamustartanzanite94485 жыл бұрын
Mungu akuzidishie mema na akujalie mwisho mema wa dunia na mwanzo mema wa akhera
@shabbymtungakoa916810 жыл бұрын
mungu akuzidishie elimu kwamana yeye ni mjuzi zaidi na nanaepinga unalo lisema basi atoe elimu yake tumsikie
@jumamitamba44595 жыл бұрын
Dokta sure mungu akuzidishea maishamalefu unatupamawaitha safisana niko mwanza uskuuu uunakufatiria yutbuu
@ismailkenga12433 жыл бұрын
Jazakallahu kheir alhaj Dr sule
@asutfaile26479 жыл бұрын
mashaallah tabarakallah. what a beautiful lecture with full of meaning. may the almighty preserve and protect you as well.
@salmasaidi28755 жыл бұрын
Ameen
@salmasaidi28755 жыл бұрын
The have knowledge mashaa ALLAH
@omaryshakur81115 жыл бұрын
Mashaallah mungu akupe kila lenye kher na wewe amiin
@amanikhoja83059 жыл бұрын
ALLAH AKUZIDISHIE DR SULE MASHAALLAH TUPE FAIDA YA ELIMU
@mwanasititsanuo32245 жыл бұрын
Allahu Akbar sheikh you are extra genius jazakaAllahu kheir
@harunaabu3083 Жыл бұрын
Wewe Acha njaa
@salumjuma31525 жыл бұрын
mash allah allah amzidishie dr Sule chichi Kichwa acha allah kamjalia kipaji
@nafesamohamed75535 жыл бұрын
MashaAllah jazakAllah kheri doc
@ashamasudi94415 жыл бұрын
MashaAllah mawaidha yakusisimua Allah akuzidishie
@minraya63224 жыл бұрын
Shukran jazzaka llahu kheir lnn Sha Allah
@benardjaloo52632 жыл бұрын
Allahu Akbar, S.A.W prophet Muhammad PBUH
@aliabdiabdi40674 жыл бұрын
nasikia to vizuri nikiyasikilza Alhamdulillah
@innocentjay58445 жыл бұрын
Masha Allah Daktoor sule Allah akuzidishie ili uzidi kutufundisha
@abdullahalsharji942811 жыл бұрын
muhamed aziz hakusoma msimlaumu ni mjinga njoo ikiwa alisema hivo
@amanikhoja83059 жыл бұрын
ALLAH KAWACHAGUA VIUMBE WAKE KAMA HUYU DR SULE KAMA WEWE UMENYIMWA ELIMU HII KAA KIMYA SEMA SIJUI MAANA MAKAFIRI NIVIUMBE WABISHI MNO
@barakakhassan42578 жыл бұрын
;
@fatineto44467 жыл бұрын
Mashaallah
@abassyussuf71775 жыл бұрын
mashaallah mungu akuzidishie kwa ukumbusho wako
@Jumaa-b4z15 күн бұрын
Usilamu banaa aaah what a choice
@ayunramadhan31045 жыл бұрын
Maashaallah Maashaallah 💓💞💞
@Thepapsfamily5 жыл бұрын
wise man
@mamaaaishamamaaaisha75057 жыл бұрын
Masha Allah
@halimaramadan64065 жыл бұрын
Subhana Allah- Alhamdhulillah- Allahu Akbar- wa laa illah aila llah
@QiqiamousCars5 жыл бұрын
Mashaa Allah Alhamndulillah
@jumamohamed96486 жыл бұрын
Kama wewe ni mtoto wa Mungu , mimi ni mtoto wa Mohamed Juma Yussuf,mama yangu ni Rukia Mikidad,katika familia yetu tumezaliwa 7,huyo baba yako Mungu amekuzaeni wangapi .
@sideboyramadhani25775 жыл бұрын
Nani bado anaangalia haya mawaidha
@badruhaidar91824 жыл бұрын
Mm
@mwajumabakari37303 жыл бұрын
Mm hapa bado
@harunaabu3083 Жыл бұрын
Mimi hapa nampanda sana sulle kwaajir ya allha
@sharifswedi75414 жыл бұрын
A.alykum naombeni namba yasim yadoctr
@mulyhathilylu64999 жыл бұрын
Dr sulle naomba number yako
@hamadathuman69395 жыл бұрын
Ukiipata Tafadhaliii naombaa na mimii
@habibhassan7055 жыл бұрын
Ahmed deetat of current century
@habibadnan14135 жыл бұрын
Nice
@johnchallo96584 жыл бұрын
Hiki ni moja kati ya asilimia 20 tu ya vichwa tunavyohitaji duniani.. Inshaallah uishi kitambo
@othumaniambae91965 жыл бұрын
Doc azisha kipindi utupedawa
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
Shetani anadanganya wengi kweli yaani umuache yesu umufate mwenda wazimu eti ni mtume
@mahijakapingu3956 жыл бұрын
Huyo yesu wanini mtume Muhammad basi
@jumamohamed96486 жыл бұрын
Wewe yesu alikuwa muislamu na sisi tunamuamini alikua mtume wa Mwenyezi Mungu,tattoo lenu nyinyi YESU munamuita Mungu wakati yeye ni mwanadamu .
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
@@jumamohamed9648 wanao amini yesu wanaitwa wakristo Sasa ww unasema unamuamini unaitwaje. Ama unaamini na mudomo na moyoni hakuna. Au ulirogwa Kama huyo mwenda wazimu wenu
@jumamohamed96486 жыл бұрын
Wewe acha zako ,huyo mtoto wa Maryamu waislamu wanamwita MASIHI (ISA) ,wakiristo mutamwita YESU ,Wazungu wanamwita JESUS, Wabrazil wanamwita BEBETO ,kwa hiyo unatakiwa utambue ya kwamba Mungu hawezi kuzaliwa kama unavyoambiwa wewe wala hawezi kuwa na mtoto , wala Mungu hana familia unaposema Mungu anamwana unatuambia ya kwamba Mungu ana familia kaeni mutafakari munapoambia mutumie akili zenu vizuri .
@Julia-gm1wh6 жыл бұрын
@@jumamohamed9648 hata mm mwenyewe ni mtoto wa Mungu Sasa ww imani yako niya kishetani
@ngokaomary51235 жыл бұрын
Naomba namba ya simu Dr suley fadhali sana through WhatsApp
@hamadsaid90215 жыл бұрын
Nicheki fb Binrajab nikutumie
@jayequalizer_ke111 жыл бұрын
kwanza huyu anayesema ati asala-alekum si mwislamu,anakataa kuran?
@yussufkhamis27928 жыл бұрын
Ikiwa anaipinga Quran na Mtume Muhammad saw hainahaja yakuhoji ni Dini gani bali huyo ni kafiri tu moja kwa moja
@amanikhoja83059 жыл бұрын
M/MUNGU NI FUNDI MNO HAO MAKAFIRI AKILI ZAO NI MATOPE
@fanuelkeneth18066 жыл бұрын
Makafiri ndio wenye teknolojia mnayoitumia ninyi waislam.
@saadsalum32535 жыл бұрын
@@fanuelkeneth1806 unasema nini wewe wakat kila kitu kimetoka na uislamu naukitaka kujuwa hilo ngoja uondoke kwenye hiyi dunia ndio utajuwa
@amedeusngowi28455 жыл бұрын
Manshallah Dr sule mung akuweke miaka ming ili uendelee kutupa elim
@salumjuma31525 жыл бұрын
kwa hio ww ushajikubalisha kuwa ndio kafiri ?????@@fanuelkeneth1806
@neemaabdi47915 жыл бұрын
@@salumjuma3152 ,kwani unadhani makafiri hawajijui kuwa Ni makafiri? Wanajinua Sana .ukitaka kujua makafiri wanajinua msome firauni,abujwahali walijuwa fika ukweli ila walipinga tu.na Allah anututhibitishia ktk qur an tashaabahat qululuubuhum yaani kuwa makafili hufanana yaliyomo nyoyoni mwao.hivyo kafiri wa enzi za Musa na kafiri wa sasa sawa kabisa fikra zao.so ,usishangae kwa huyu kafiri aliyoyasema.
@imamumponda2768 жыл бұрын
Azwiiim
@alimzee5 жыл бұрын
Hakika were n mwalimu
@ikramtryphon31106 жыл бұрын
kwenye bible akuna mafundish kama haya...ni story2
@barutwanayohussein77766 жыл бұрын
Doctor Sule ni mkweli na endelea kuwafahamisha makafiri na wanafiki, ili waweze kujuwa, na sisi waumini wa kiislaam tuendelee kupanuwa akili inshaallah.
@salumjuma31525 жыл бұрын
Kweli kabisa
@mony14988 жыл бұрын
ww muhamed azizi kama wasema Dr Sulley muongo tupe Qur'an yako yakweli na sisi tujifunze,mche mola wako usijiropokee tu
@muhamadazizi79628 жыл бұрын
Asalam-alekum, mimi nitakufunza Makosa na uongo wa Qurani, ili usiwe mjinga ao mpumbavu. Mungu alitupa akili ajili tuweze kutafautisha Ukweli na Uongo; Kizuri na kibaya. Waafrika weusi hawatumie akili zao. Wanasoma Biblia na Qurani makosa na uongo wiko mbele yao alakini wanashinda kuona sababu wanawaogopea moto na kuwa ahidia pepo. Uongo haupeleke mtu wowote peponi ila ina fanya watu kuwa wapumbavu na wajinga. Cheki qurani sura55( Ar-Rahman) aya 14 inatafautiana na Qurani sura96(Al- Alaq) aya 2. Hii ni wazi kabisa, wowote anao tetea makosa kama hii basi yule ana amuwa kutukuza waarabu sio kumtukuza Mungu.
@ismamansour26205 жыл бұрын
@@muhamadazizi7962 Wewe ni juha hujui tofauti kati ya mtu na binaadamu 😂😂😂 hakuna atakae tokea kwenye dunia hii ambae atakuja kuikosoa Qur'an HAKUNA HAKUNA ( خَلَقَ الْإِنسَانَ مِنْ عَلَقٍ ) العلق (2) Al-Alaq Amemuumba binaadamu kwa tone la damu, ( خَلَقَ الْإِنسَانَ مِن صَلْصَالٍ كَالْفَخَّارِ ) الرحمن (14) Ar-Rahmaan Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo.. Rejea hapo "Mtu" na "binaadamu " ndio utajuwa kuwa wewe ni JUHA wa kimataifa
@namisgiggah15714 жыл бұрын
@@muhamadazizi7962 wewe ni kafiruni ilovaa joho la kislam, unaanzaje kuikosoa Quran?
@muhamadazizi79624 жыл бұрын
@@namisgiggah1571. Nakosowa Qurani sababu inajaa makosa na Uongo.
@namisgiggah15714 жыл бұрын
@@muhamadazizi7962 vizuri kunidhihirishia Hilo kwamba naongea na kafiri mmoja hivi. Maana hukuisoma Quran ukaelwa. So sibishani na kafiruun. 🤐
@saidykyakaisho21255 жыл бұрын
Sheikh Asalam Alyekum sorry naomba kujua hospital yako mwanza ipo sehem gan nina shida nilitaka kufika hospital yako au kirin yako naomba maelekezo kupitia 0622335144
@mbidadaud12565 жыл бұрын
Mbwembwe nyingi mtume wenu kafiri aliyerogwa huyo Wa kazi gani
@millicentmadamyaya16085 жыл бұрын
Mbida Daud jifanye hujaskia ziba maskio 🙉🙉🙉hawa wapotoshaji hawana jipya ni majivuno tu
@alisimenze85665 жыл бұрын
Na wewe mungu wako kauliwa na viumbe wake katundikwa kwenye alama ya laana,hata akili pia huna ya kufikiria kama mungu wako kauliwa kashindwa kujitetea ataweza kukutetea wewe kweli!
@millicentmadamyaya16085 жыл бұрын
Heri huyo aliye uliwa na akafufuka bila kufufuliwa na mwanadamu yeyote.kuliko mwenye kurogwa,kuoa mjukuu wake,kulazimishia mtu dini,ukiwa mgonjwa anakutibu na mkojo wa 🐫 camel kisha unamwibia anaku-slice Kama nyama kwenye bucha watumwa wengine sijuwi watafikishaje mtu binguni 😇😇😇😇
@alisimenze85665 жыл бұрын
Millicent madam yaya sasa mtu auliwe na awe yeye mungu tena,na kwa hayo unayosema ya kuowa mjukuu na mengine unayo sema hebu nipe ushahidi wako sio kuropoka toa ushahidi
@millicentmadamyaya16085 жыл бұрын
Ali Simenze nikisema mjukuu nimemaanisha umri sawa na mjukuu😀😀 kabla sijakupa ushahidi nawe toa wa kwako pia usikurupuke tuu maana wakristo tunafahamu YESU CRISTO ndiye njia pekee ukweli na uzima so sitakueleza zaidi nyie endeleeni kuimba eti wakristo YESU ndiye MUNGU hehehe
@jonasjoe36238 жыл бұрын
sijaona mjinga duniani km Dr suley
@fatineto44467 жыл бұрын
Akili huna
@halimahassan86335 жыл бұрын
wallah mjinga n ww lkn ujui..yan mungu kakupa macho n uoni n maskio unayo pia usikii
@qurannimwongozo18955 жыл бұрын
Mjinga ni ww na uyo aliye kwambia kua yesu umuite mungu.usifate mkumbo wee dogo
@abubakarmpole40005 жыл бұрын
Mungu akufungue akili.
@ramadhanjumbe22576 жыл бұрын
Wanasema itafkazama wa2 watawekewa gps chp maalum nakuongozwa kwalimot kontroo je zamazpi hizo qur'aan imezungumziaje? Namtandao huo unamilikiwa nanani? Allah akuwezeshe iwenisababu yawale ambao Allah amewachagua ili 2jpinde kablaya hizo zamaa!!
@moodymbuguro24873 жыл бұрын
Tupe faida sure
@zitomomade9304 жыл бұрын
Safi
@ilhamuhajijuma-vr2hl Жыл бұрын
A
@mohammedmmari479117 күн бұрын
Qur'an ni udaktari tosha hakuna medical itaifikia
@muhamadazizi79628 жыл бұрын
Asalam-aliekum. Kwahishma ya chuo kikuu cha hapa kwetu Dar-es Salam, mimi nakataa kumwita huyu Sulley, Doktor. Hafai kabisa, sababu anaubiri uongo kufanya watu zaidi wajinga na wapumbavu.Chuo kikuu cha Makerere(Uganda) imepita chuo chetu sababu Mtu kama huyu Sulley hawezi kupewa Udoktor huko, wala mtu anapewa Udoktor Makerere hawezi kuhubiri uongo kama Sulley. Ilmu ya mimba mwanadamu alijuwa tokea zamani hata dini ya Mayahudi haijaanza.Hata wana historia hawawezi kusema wakati gani mwanadamu kajuwa ilmu ya mimba. Ilmu ya mimba haikuanza na Qurani, uongo. Qurani ina hitilafu kuhusu maumbaji. Quran surat 55 aya 14 ina itilafiana na surat 96 aya 2. Hii niwazi bila ubishi. Kutetea makosa ya Qurani ni kutukuza waarabu sio kumtukuza Mungu. Chaguweni ao mtukuze waarabu ao mumtukuze Mungu.
@husseinhamisiabdullah15997 жыл бұрын
muhamad azizi kwa ambao hawjasoma chemistry ya mimba ndo watakusliza but the guy is right.
@ismailmmejitaidisana70kibo406 жыл бұрын
degree yako ya upuuzi
@sheikhyusufchiko6586 жыл бұрын
hatamfano wakuawajua hakuna unakosoa hatkitabu cha mngu swali swalayatoba
@alisimenze85665 жыл бұрын
Ukiwa mpungufu wa elimu hii ndio shida yake,kama walishindwa kutoa makosa walio piata ww usiejua hata kiarabu makosa ukeyajua vip
@alisimenze85665 жыл бұрын
muhamad azizi rudi darasani ujifunze tena ndugu yangu sababu elimu yako yaonesha wazi kuwa hufai hata kuzungumza mbele za watu,hizo Surat unazo sema zinazungumzia mwanadamu akiwa katika hali tofauti moja ni mwanzo wa umbile la mwanadamu na ya pili inaongelea ukiwa tumboni mwa mama yako,usijifanye mjuzi kwa kitu usicho kijua,usipo elewa kitu wewe haimaanishi kila mtu hata elewa kama wewe
@jonasjoe36238 жыл бұрын
anajua kutumia ufundi wa wazungu'muhamad hajawahi kuongelea chromosome xy wala gravitational force
@kulthumahmed99974 жыл бұрын
Soma Quran utajua amesema ama bado. Don't try to be judgemental