DRAMA AT JKIA HAS WIFE COMES FROM GULF AFTER 7YEARS AND FIND HUBBY WITH ANOTHER WOMAN AND A BABY💔😭

  Рет қаралды 11,312

Angie B.

4 күн бұрын

Пікірлер: 195
@Rkelly-h6z
@Rkelly-h6z 4 күн бұрын
Nijikute mm Wacha nibaki bila mtu nishuke kimya kimya niende kwa mamangu peaceful
@DruscillahKemunto-m3r
@DruscillahKemunto-m3r 4 күн бұрын
Hapo Sawa my sister Ata mimi Nita fanya hivyo
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
yah very true
@DianaMuhonja-oi9co
@DianaMuhonja-oi9co 3 күн бұрын
Pia Mimi 😂😂😂😂 ama Angie B atuchukue video na my sister but not hubby wa watu
@Rkelly-h6z
@Rkelly-h6z 3 күн бұрын
@@DianaMuhonja-oi9co 😅😅😅
@ruthmomanyi1085
@ruthmomanyi1085 3 күн бұрын
​​@@DruscillahKemunto-m3rkama mm nimenda home 5 times hakuna mwenye anajua mm ufika airport watu wanajukuliwa mm ninapaki kama yatima but siogopi😂😂😂
@Dekamale
@Dekamale 3 күн бұрын
Team strong nipitieni please 🙏❤️
@verolynenyamoita5363
@verolynenyamoita5363 4 күн бұрын
Wanawake please pia nyinyi kuwa seriouse,unajua umetolewa unatoka kenya unakaa 7 yrs bila kurudi kenya you expect bwanako akae bila kutombana,,, forget Hilo kwanza
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
😂😂😂😂aki weee
@verolynenyamoita5363
@verolynenyamoita5363 4 күн бұрын
@@AngieBNetwork ukweli ni mwanaume mume mgani ataongoja had 7 yrs like seriously
@FRIDAHMBINYA-kw7oi
@FRIDAHMBINYA-kw7oi 4 күн бұрын
Ubaya wao hawajiiu kuchenza hizi vitu,,
@CarolineGatua
@CarolineGatua 2 күн бұрын
Mtu anafaa aongee ukweli,aseme ako na bibi na alitravel,so ukae ukijua wewe ni side chick, mwanaume ndiye mbaya,sio vibaya kukulana juu wanakulana hata ukiwa kwa nyumba,lkn wanaume wajifunze kuongea ukweli.
@UsilaChepchumba
@UsilaChepchumba 3 күн бұрын
Waah doc ako job mingi yawa bt doc.napenda kazi yako angie direct kwa doc uyo mwanamke kimrambe😮
@adhiambolaureen1898
@adhiambolaureen1898 3 күн бұрын
Sasa kijana mdogo unacheat babygal na kimwanamke mwenye anakaa venye anadai 😂😂😂😂😂😂
@RobbyMukonjero
@RobbyMukonjero 4 күн бұрын
Ladies,akuna mapezi ya pesa.
@RebeccaRebeccamose
@RebeccaRebeccamose 2 күн бұрын
Ss waezaje kuacha bwana 7years akae tuu akusubirie ww kwan uko na ya gold 😂😂😂😂
@ngenynaomi
@ngenynaomi 4 күн бұрын
Sijui siku gani mtajua kujipenda ati ni struggle hapa nimtumie mwanaume doo 😮 I can't imagine
@CatherineGathukumi
@CatherineGathukumi 4 күн бұрын
Huyu wa pili sura mbaya kweli
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
😂😂😂😂
@MirajSamir-e9b
@MirajSamir-e9b 3 күн бұрын
Anakaa mwanaume
@abigaelnamukhula2220
@abigaelnamukhula2220 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂
@jeanpaulluanga6780
@jeanpaulluanga6780 3 күн бұрын
Hamna hata ahibu kupigana mbele za watu surely😢🤔🤔please connect me to this girl she so cute
@judith1256
@judith1256 3 күн бұрын
Mbona bags hasina stickers!! Kwan unasafiri aje ?mnatuona kama matako😂😂
@muzungunamalwalinet324
@muzungunamalwalinet324 3 күн бұрын
Ghai kumbe na wewe umeona 😂😂😂hii ni uongo ati ametoka Qatar
@judith1256
@judith1256 3 күн бұрын
@@muzungunamalwalinet324 si najua nimetravel for long so mtu hawezi niona matako
@EuniceNgala-k3h
@EuniceNgala-k3h 2 күн бұрын
Kumbe umeona😂
@judith1256
@judith1256 2 күн бұрын
@@EuniceNgala-k3h kitambo
@Wfidelis
@Wfidelis 3 күн бұрын
Aki woiye siwezi pigania mtu mimi navile huyu demu amekam nikasupuu aachane na huyu boys alimove on .😢😢😢
@nancynyaboke2719
@nancynyaboke2719 2 күн бұрын
Na hizi bags zinakaa empty walai😂😂
@kamikazisalma5209
@kamikazisalma5209 4 күн бұрын
Kimeumana leo 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@angiebofficialnetwork
@angiebofficialnetwork 4 күн бұрын
yah
@rizzieangote36
@rizzieangote36 4 күн бұрын
Watu wa Angie nipitieni then comment done nkupitie
@benjuma8941
@benjuma8941 4 күн бұрын
J only hope money is not involved because that is where they go wrong.
@Zuuh4286
@Zuuh4286 3 күн бұрын
Huyu naye mjinga eti kupenda 😂😂😂 umeacha mwanaume kenya we uko juu angani sangapi atakukumbuka 😂😂😂 dah akili za kitoto lkn hizo😢😢😢Kinakuramba hukuti hata mia
@Sarah-iw6cg
@Sarah-iw6cg 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂Angie utanimaliza ati unampeda yako yote
@Scolah-i2h
@Scolah-i2h 4 күн бұрын
kumbe round hii atupumui drama after drama😂😂😂 na utapata sai alitumia bwana pesa zote 😢😢
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
imagne
@aminasalim7429
@aminasalim7429 4 күн бұрын
𝐦𝐞 𝐬𝐢𝐣𝐮𝐢 𝐰𝐫𝐧𝐲𝐞 𝐰𝐚𝐥𝐢𝐩𝐚𝐭𝐚 𝐰𝐚𝐫𝐚𝐛𝐮 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐨 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐧𝐚 𝐤𝐚𝐳𝐢 𝐚𝐝𝐢 𝐩𝐞𝐬𝐚 𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐰𝐚𝐭𝐮𝐦𝐚 𝐚𝐭𝐚 𝐦𝐦𝐤𝐨 𝐚𝐧𝐚𝐥𝐮𝐚 𝐧𝐣𝐚𝐚
@JosephineKazungu-o9s
@JosephineKazungu-o9s 4 күн бұрын
Vile nachoka nijipate hapo 😂😂
@estherbaraka3035
@estherbaraka3035 4 күн бұрын
Thank you alot kwa kunipa roho ya farao,mimi wacha tu nitumie mum pesa,nikipata amekula i will be happy coz amenilea
@Jacintanabwera
@Jacintanabwera 3 күн бұрын
Mnipitie tugrow wote comment done nikupitie pia
@EstherMogire-u9i
@EstherMogire-u9i 4 күн бұрын
Wenye wako na mabwana kenya watalia hadi wachoke Mie aja nikae single forever sitakufa 😢😢😢😢😢😂😂😂😂😂
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
really😂
@EstherMogire-u9i
@EstherMogire-u9i 4 күн бұрын
@@AngieBNetwork yeah
@gladysmartim4671
@gladysmartim4671 4 күн бұрын
Imagine wenye wako na mabwana watakufa juu ya stress single peace
@EstherMogire-u9i
@EstherMogire-u9i 4 күн бұрын
Wasichana nikama tulirogwa jamani unatoa wapi nguvu ya kutumia mwanaume pesa 😢😢😢😢mie na mambo za kutumia mtoto wa mtu pesa heli nitumie Baba angu Ivo tuu mapenxi niliajia wazungu😂😂😂​@@gladysmartim4671
@gracemanyonge4449
@gracemanyonge4449 3 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂
@neliuskabura1689
@neliuskabura1689 21 минут бұрын
Bt hizo bag hazina sticker ama n mm naona zangu
@Emmaemily-cj5bz
@Emmaemily-cj5bz 4 күн бұрын
Amen enda ukatafute pesa ukitoka huko unagonga mantion mama😊😊
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 3 күн бұрын
Lakini uyu mama pia ni mkubw kushinda kijana
@Josephine-x9o
@Josephine-x9o Күн бұрын
Nashidwa penye unaacha mwanaume io miaka yote na akukoje it's imposible
@ocholarose4654
@ocholarose4654 3 күн бұрын
Uliacha bag ingine nyumba angie
@EuniceNgala-k3h
@EuniceNgala-k3h 2 күн бұрын
Bags azina sticker sually mnatubeba ufala
@CeliyKilobi
@CeliyKilobi 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂huku n vita tu mdem mbn huwa mnatumia wanaume dooh aky
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
😢
@jentrixkhatiala6073
@jentrixkhatiala6073 3 күн бұрын
𝑰 𝒕𝒉𝒊𝒏𝒌 𝒘𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒕𝒖𝒎𝒊𝒂 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒖𝒎𝒆 𝒑𝒆𝒔𝒂 𝒑𝒆𝒏𝒚𝒆 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒇𝒂𝒏𝒚𝒂 𝒌𝒂𝒛𝒊 𝒘𝒂𝒏𝒂𝒆𝒏𝒋𝒐𝒚 𝒍𝒚𝒇 𝒃𝒏 𝒊𝒊 𝒎𝒂𝒚𝒆𝒔𝒐 𝒚𝒂 𝒈𝒖𝒍𝒇 𝒏𝒊𝒕𝒖𝒎𝒊𝒆 𝒎𝒘𝒂𝒏𝒂𝒖𝒎𝒆 𝒑𝒆𝒔𝒂 𝒛𝒊𝒊𝒊𝒊,,𝒘𝒂𝒄𝒉𝒂 𝒏𝒊𝒌𝒂𝒆 𝒏𝒂𝒛𝒐 𝒌𝒘𝒂 𝒔𝒊𝒎𝒖
@CeliyKilobi
@CeliyKilobi 3 күн бұрын
@@jentrixkhatiala6073 kaa n dooh yko mama ukikam usuanze mambo n kesi better utumia ur mum kiac ingne save
@abigaelnamukhula2220
@abigaelnamukhula2220 3 күн бұрын
Huyu wapili aliubwa wakati udongo imeisha 😂😂😂😂😂😂Ako na kichwa kubwa kama gurudumu ya gari😂😂😂😂😂
@nyiturikiangel
@nyiturikiangel 3 күн бұрын
The first lady is young and beautiful,very sexy,and a very good match with the young man but the second one it's a big nooooooooooo
@maryngatia2362
@maryngatia2362 3 күн бұрын
Mi nko majuu na nifka sitaki stress guka yangu akunje air port aniletee maua
@MilkahNyamuro-kw5cj
@MilkahNyamuro-kw5cj 3 күн бұрын
Mnatoanga wapi nguvu ya kupigania mwanaume airport
@نانسيكينيا-ث8ذ
@نانسيكينيا-ث8ذ 3 күн бұрын
Watu wakienda gulf wakae single ,,kama ni mapenzi tutaipata tukirudi Kenya
@DruscillahKemunto-m3r
@DruscillahKemunto-m3r 4 күн бұрын
Mimi najua to ukikuja gulf tunakuanga single hii mambo ya kutumia Wanaume capital ya kutafuta Wana wake mwache na Sita ongea Tena
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
very true
@EuniceNgala-k3h
@EuniceNgala-k3h 2 күн бұрын
Ako na miaka27 na Qatar amekaa miaka7 so alienda akiwa na 20 years 😮
@janerosenalianya5227
@janerosenalianya5227 2 күн бұрын
Hawa watu wanatupima bangi as if hatujawahi panda ndege,,, from nowhere bebii bebii vipindi, anyway Angie ww tafta PESA
@geofreywainaina4389
@geofreywainaina4389 2 күн бұрын
Ni how much kukujia mtu airport
@naomikwamboka3561
@naomikwamboka3561 4 күн бұрын
😂😂😂😂 angie p ur smile kills woooow
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
really 😂😂
@ruthouma-mx3pv
@ruthouma-mx3pv 3 күн бұрын
Ñilipenda mwengine sai niko Kwa machozi mapenzi mm Tena 🙌🙌🙌
@ndettothejuice3094
@ndettothejuice3094 Күн бұрын
Eti seven years?and you expect a man to wait for you?hai,sosemi kitu.
@shariffamaulid
@shariffamaulid 2 күн бұрын
Mumeacha kibet cha blue
@moran-qc8sq
@moran-qc8sq 3 күн бұрын
Angy maua imeleta vurugu 😂😂😂😂
@HappyBackgammon-th2ii
@HappyBackgammon-th2ii 3 күн бұрын
Leo umevaa vizuri🎉kama mama.❤
@JulfaKhatun-r8r
@JulfaKhatun-r8r 3 күн бұрын
Wah mm nklmalza naeda kwa mamangu wanaume weh
@MamrF-v9v
@MamrF-v9v 4 күн бұрын
😂😂😂😂 jamani kwanini uamini mwanaume unamutumia pesa siheri mamako akule
@hannahwanjirumwangi6438
@hannahwanjirumwangi6438 3 күн бұрын
Zangu acha zikuliwe na wazazi wangu akii 😂😂 waacha kikulambe mama 😂😜
@MERCYmercy-rl3lu
@MERCYmercy-rl3lu 4 күн бұрын
Angie unifuraisha vile huvaa😂😂😂😂 kijana ako smart but bib wa pili anakaa vibaya ni matako tu ananishinda 😂😂😂
@ThomasMsuko
@ThomasMsuko 3 күн бұрын
Mwapa kazi Daktar tu kila siku 😢😢😢
@JamesNgala-g3c
@JamesNgala-g3c 4 күн бұрын
Hii sasa ni ujinga, mnapigana airport hata hamna aibu.
@Tinah_kadolly
@Tinah_kadolly 3 күн бұрын
Nipitieni guys ❤
@NatureWorld-c8u
@NatureWorld-c8u 3 күн бұрын
Wacha nikae single hizi ujinga sitaki kuachha ni kusahau
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 3 күн бұрын
Nani aliandika heading
@xtevemwaxh5240
@xtevemwaxh5240 3 күн бұрын
c hata mimi nipate wakua ananitumia pesa haki😂😂😂😂
@MagretAwinja
@MagretAwinja 2 күн бұрын
Wasichana wengine banaee eyiii unatoa wapi nguvu yakununua mapenxi
@Zuuh4286
@Zuuh4286 3 күн бұрын
Amekaribishwa na ngumi 😂😂😂😂😂😂😂
@mwanashasjambia8572
@mwanashasjambia8572 Күн бұрын
.7years unatarajia abaki single vyenye Kenya kunawarembo ,labda hawe hananguvu zakiume😂.
@Moruridorine
@Moruridorine 3 күн бұрын
Huyu mwanamke anadhani huyu kijana alikuwa na pesa kumbe n ta dem
@FaithNyandieka
@FaithNyandieka 2 күн бұрын
Utaamin aje mtu 7yrs surely
@FeminaAndeso
@FeminaAndeso 3 күн бұрын
Muko namauwongo mob 😂😂😂 uyu dem n jirani yangu ata uyo sio mbwanake weeeh
@gracemanyonge4449
@gracemanyonge4449 3 күн бұрын
Angie B unafanya kazi poa sana weeeee
@MaryMūriithi-v9f
@MaryMūriithi-v9f 3 күн бұрын
Maajabu haya yaone 😂😂aggie B hope Blihton ako poa😅😅😅..
@RebeccaMusau-or6vi
@RebeccaMusau-or6vi 3 күн бұрын
Baby mwisho wa mwezi ujinga sifanyi 😂😂😂
@Moruridorine
@Moruridorine 3 күн бұрын
7yrs thinking that a man will wait u like seriously kurwa pesa sana coz amskii
@Mariam-i2c8b
@Mariam-i2c8b 4 күн бұрын
At 7 yas kwani mtu hana hisia aki
@Karenwema
@Karenwema 4 күн бұрын
Wacha tu nibaki single 😅😅😅😅😅,,, team Lebanon,, na hii vita tusitume pesaa😅😅😅😅
@dorothykerubo5862
@dorothykerubo5862 3 күн бұрын
Hii nayo ni noma aki we wacha nikae ivo please
@RamlaOtita
@RamlaOtita 2 күн бұрын
Eti bebby,ukwaju😏😏
@samwelnyanumba8953
@samwelnyanumba8953 3 күн бұрын
Sura ya kiatu ...
@NancieTess
@NancieTess 4 күн бұрын
Unatumia mwanaume pesa aje sasa...nijikute am sorry for her anyways
@HappyBackgammon-th2ii
@HappyBackgammon-th2ii 3 күн бұрын
Huyu wa pili anakaa mama yake😢😢😢😢😢
@annlovergal
@annlovergal 4 күн бұрын
😅😅😅😅😂😂😂 kuna watu walilaaniwa kwa mapezi 😢😅 mimi hadi kwa mamangu pap
@wilfrideathone4381
@wilfrideathone4381 3 күн бұрын
Hata huyu anasema amezalishwa mtoi mwili ni kama mwenye anakula hizi kuku inafanya tunone huku kwa waiguru
@Sharon-mm4mb
@Sharon-mm4mb 4 күн бұрын
Uyo dem mwingne anaitwa rodah namjua 😅😅😅
@Marionwanjiru009
@Marionwanjiru009 3 күн бұрын
Kimeumana leo 😂😂😂😂😂😂😂😂
@rebecarael-t9i
@rebecarael-t9i 3 күн бұрын
mbna hawakiss,,ama si wake
@BridgitAyuma-q8v
@BridgitAyuma-q8v 4 күн бұрын
Ulikua unamtumia pesa nyinyi warembo wa gulf hamsikii hata mm niko gulf but siwezi tumia mwanaume wangu pesa first watoi nilipeleka kwetu ndio niwe na time ya kuongea nao
@DruscillahKemunto-m3r
@DruscillahKemunto-m3r 4 күн бұрын
Hapo Sawa
@BridgitAyuma-q8v
@BridgitAyuma-q8v 4 күн бұрын
@@DruscillahKemunto-m3r ukweli
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
best thing ever
@BridgitAyuma-q8v
@BridgitAyuma-q8v 4 күн бұрын
@@AngieBNetwork ndio hiyo
@Elizabeth-hy4gr
@Elizabeth-hy4gr 4 күн бұрын
Watu mko na nguvu waja nijifanye mjinga mhm nayo naenda kimy kimy😮😮
@mumblessed001
@mumblessed001 4 күн бұрын
Mapenzi na doo zangu acha ikae walai
@CatherineGathukumi
@CatherineGathukumi 4 күн бұрын
Wayu wa gulf walilaaniwa aki. Kutuma pesa kwa partners wanakula pesa zako na wengine
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
imagne😂😂
@RuthGwako-ro9wl
@RuthGwako-ro9wl 3 күн бұрын
Madem muache mchezo miaka saba you expect to get ur man alone
@MaryMmm233-yh3hf
@MaryMmm233-yh3hf 4 күн бұрын
Eti miaka saba na hujazaa na yeye maybe kwenu hata hata hajulikan then unamtumia doo hivi hii nguvu unatoa wapi msichana 😢😢
@Wilgister
@Wilgister 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂 Daktari mwikali atachoka this time round na watu wa gulf
@TeresaKwamboka-s9j
@TeresaKwamboka-s9j 4 күн бұрын
Nitawaambia mara ngapi eti babe namtrust kwani hyo ni bwanako
@MamrF-v9v
@MamrF-v9v 4 күн бұрын
Dactari piayia huku
@Hariet-k7k
@Hariet-k7k 3 күн бұрын
Huyu wanpili anakaa kukalia huyu mwanaume na matusi kwa mdomo,anaita mwenzake mmama na yeye ndio anakaa tu mmama na kuparara hata nilikua nadhani yeye ndio ametoka gulf
@nemaanemaa1459
@nemaanemaa1459 4 күн бұрын
Mm nami nitakupenda lakini pesa yangu ziii😂😂😂
@AnneRose-pz7do
@AnneRose-pz7do 3 күн бұрын
Kwn alijua aje uyo anakam airport 😅😅 waja story za ja
@judith1256
@judith1256 3 күн бұрын
Umeona bags na stickers?????? Kwan unasifiri aje bila stickers
@GladysKoinget-mp9zn
@GladysKoinget-mp9zn 3 күн бұрын
Mimi uwa nasangaa sana awa watu wako inje ya Kenya pona usisefe peza zako ama useful ka parents wako Wacha muonyezwe Sasa..amukumbukangi vile munapitia mangumu aibu kwenu..kama ingekua mm siwezi peana ata kumi najiwekea peza zangu kwa bank
@JosephineBiyaki-t4o
@JosephineBiyaki-t4o 4 күн бұрын
Huyu mwanamke Wa katal ako Na akili nuse😂😂😂😂😂😂
@fatmaaden1310
@fatmaaden1310 4 күн бұрын
Hawa watu wanatuona Wafala😂Ni Nani alimwita Uyo mwingine akuje apa Na amejua aje 😂😂
@GjhBjhhj
@GjhBjhhj 3 күн бұрын
Angie b nipatoe namba ya dakitari niko Saudi Arabia plz
@maryatieno9130
@maryatieno9130 Күн бұрын
Na wote wamevaa black.. nijikute nikipigania mwanaume
@gladyschelangat6661
@gladyschelangat6661 4 күн бұрын
Dactari kazi ndio hiii
@Rachael-lw7ro
@Rachael-lw7ro 4 күн бұрын
Ak hta huyu boy anapiganiwa na ako hpo tu anafurahia
@marylinebarasa1764
@marylinebarasa1764 3 күн бұрын
Trust a man at your own risk
@KENYANQUEENOFFICIAL
@KENYANQUEENOFFICIAL 4 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂dr Mwikali 😂😂😂😂 nipitieni guys pale kwangu youtube channel tafadhali
@KarenusNafula
@KarenusNafula 4 күн бұрын
Hawa watu wanajuanga tu mabwana zao ni player ndo manake huwa mnawatumia pesa
@AngieBNetwork
@AngieBNetwork 4 күн бұрын
😂😂😂
@AngelaPrecious-vj9iq
@AngelaPrecious-vj9iq 3 күн бұрын
Mbona mnandanga kji embarrasse airport security of airport should stop this nonsense
@ElizabethNangekhe
@ElizabethNangekhe 4 күн бұрын
True kwani seven good years how can a man servive surely, you need to think twice then forgive him, after that move on with your life.
@MERCYmercy-rl3lu
@MERCYmercy-rl3lu 4 күн бұрын
Hiyo ni miaka mingi sana kwa mwanaume labda kama Dem Ako single but bwana unaeda 7 years zii two years Iko sawa
@kwambokaagnes9501
@kwambokaagnes9501 Күн бұрын
Aki iyo imagine ni content si ukweli I know that girl