DRONE: Maelfu ya Waamini Wafurika Maandamano ya Ekaristi DSM, Maaskofu, Mapadre na Watawa, Imani kuu

  Рет қаралды 16,444

Jugo Media

Jugo Media

Күн бұрын

𝐖𝐄𝐙𝐄𝐒𝐇𝐀 𝐔𝐓𝐔𝐌𝐄 𝐖𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐊𝐔𝐏𝐈𝐓𝐈𝐀 𝐌-𝐏𝐄𝐒𝐀 𝐋𝐈𝐏𝐀 𝐍𝐀𝐌𝐁𝐀 𝟓𝟎𝟓𝟒𝟔𝟑𝟓 𝐉𝐈𝐍𝐀 𝐉𝐔𝐆𝐎 𝐌𝐄𝐃𝐈𝐀 𝐍𝐄𝐓𝐖𝐎𝐑𝐊
Follow this link to join my WhatsApp group: chat.whatsapp....
Tumsifu Yesu Kristo, Napenda Kukushukuru kwa Kuwa Mdau Mpendwa wa Jugo Media. Tunapenda kukutaarifu kuwa Tumeandaa Group Maalum kwa Ajili ya Kupokea Taarifa Mbalimbali za Kanisa, Misa Live, Vipindi vya Kanisa nk kutoka Jugo Media. Kama ungependa Kuungana Nasi Tunaomba Ujiunge kwa Hiari Kupitia Link Hiyo Juu. Mungu Akubariki Daima
KAMA UNGEPENDA KUPATA TAARIFA KUHUSU KANISA KWA NJIA YA WHATSAPP TAFADHARI TUMA UJUMBE KWA WHATSAPP UKISEMA NIUNGE KISHA JINA LAKO KWENDA NAMBA +255757560764 au BONYEZA LINK HII wa.me/+2557575...) (SAVE HII NAMBA KWANZA, ANDIKA JUGO MEDIA) UBARIKIWE SAMA
KAMA UNA HABARI NA UNGEPENDA KUSHIRIKI PAMOJA NASI TAFADHARI WASILISHA KUPITIA WHATSAPP NO +255757560764 AU BONYEZA wa.me/+2557575...)
Tafadhali Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
𝐉𝐮𝐦𝐮𝐢𝐤𝐚 𝐧𝐚𝐬𝐢 𝐤𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚 𝐦𝐢𝐭𝐚𝐧𝐝𝐚𝐨 𝐦𝐢𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞 𝐲𝐚 𝐊𝐢𝐣𝐚𝐦𝐢𝐢:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
𝕄𝕒𝕨𝕒𝕤𝕚𝕝𝕚𝕒𝕟𝕠:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa #australia #unitedstates #canada #america

Пікірлер: 58
@EsterWaluye
@EsterWaluye 4 күн бұрын
Naomba fahali saaana Kwa kuwa mkristo mkatoliki
@aquilinermosha2489
@aquilinermosha2489 4 күн бұрын
Wakatolik tunaimani sana tuuilinde imani yetu na kuiheshimu
@catherinenjiru1659
@catherinenjiru1659 4 күн бұрын
Hongera sana kwa siku hizi za baraka. Tunafunika Taifa la Tanzania na watu wake kwa nguvu ya mwokozi wetu🙏
@KaungaDori
@KaungaDori 4 күн бұрын
Yesu nakupenda nijalie uponyaji baba
@janethpolle6479
@janethpolle6479 4 күн бұрын
Ninajivunia kuwa mkatoliki. Yesu wa Ekaristi ninakuomba unijaalie hekima na maarifa
@KaungaDori
@KaungaDori 4 күн бұрын
Amina
@EsterWaluye
@EsterWaluye 4 күн бұрын
I am very touched❤🙏 Asante Yesu
@YohanaMkunga
@YohanaMkunga 4 күн бұрын
Aminaaa
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 4 күн бұрын
Atukuzwe Yesu Kristo katika Sakramenti Takatifu ya Altare.
@edwinkajuna7207
@edwinkajuna7207 4 күн бұрын
Ekaristi ni chakula, Ekaristi ni uzima, Ekaristi ni Yesu mzima... Tumsifu Yesu Kristo..
@nicolenyerere
@nicolenyerere 4 күн бұрын
Milele Amina. 🙏
@paulrwechungura4284
@paulrwechungura4284 4 күн бұрын
Yesu wa ekaristi niombee
@TwendeyeheKitandala
@TwendeyeheKitandala 3 күн бұрын
Akuombee Tena, ama omba chochote kwake
@JudithGervaz
@JudithGervaz 4 күн бұрын
Nakupenda Yesu wangu uliyenikomboa kwa gharama ya damu yako
@stevenkalenzo6457
@stevenkalenzo6457 4 күн бұрын
Asante sana YESU KRISTO kubaki ktk Ekarist Takatifu
@PERPETUA-bj2mg
@PERPETUA-bj2mg 4 күн бұрын
YESU WA EKARIST NAKUPENDA SANA, ASANTE KWA MIUJIZA NA BARAKA UNAZO TUJAALIA
@jovitusrugahenda7139
@jovitusrugahenda7139 4 күн бұрын
Bwana wangu na Mungu wangu!❤
@VictoriaKitaly-b2y
@VictoriaKitaly-b2y 4 күн бұрын
Tuisifu na kuiabudu Ekaristi Takatifu daima ❤❤❤❤🎉🎉🎉🙏🏿🙏🏿🙏🏿
@IreneRobert-q1r
@IreneRobert-q1r 4 күн бұрын
Am proud to be cathoric girl 🙏 my ❤
@gosbertrwezahura3645
@gosbertrwezahura3645 4 күн бұрын
Saaaaaafi kabisa. Tumsifu Yesu Kristu...
@margaretikongo1782
@margaretikongo1782 4 күн бұрын
Asante sana Jugo media
@eprohoda
@eprohoda 4 күн бұрын
Jugo! Woohoo!this is amazing !😍
@doreenlaurent521
@doreenlaurent521 4 күн бұрын
Hakika tumemuona Mungu
@ziporakamalakamala5903
@ziporakamalakamala5903 4 күн бұрын
YESU WA EKARSTI NI JIBU TOSHA MUITE UITIKA HARAKA ASANTE YESU.
@AgustinoKanyengele
@AgustinoKanyengele 4 күн бұрын
Hongera nyingi kwa jeshi la polis kwa kilinda salama mungu awabariki sana
@zawadikitime233
@zawadikitime233 4 күн бұрын
Amina upendo wa kristo umetanda
@salomeshongola1697
@salomeshongola1697 4 күн бұрын
Ee,Yesu wa Ekaristi ingia ndani ya moyo wangu.ili niweze kuishi Ndani yako.Na kusimama imara katika mafundisho yako,Nikujue wewe yesu wa ekarisiti,nanikutumikie wewe yesu wangu.
@BarikiKimaro-it5pq
@BarikiKimaro-it5pq 4 күн бұрын
Najivuna hakika kuitwa mkatoliki
@mwalimumkoka384
@mwalimumkoka384 4 күн бұрын
Kazi nzuri @jugo media nawapata
@Adelina.Kagina
@Adelina.Kagina 4 күн бұрын
Mungu wangu na Bwana wangu
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 4 күн бұрын
Asante Yesu kwa kujitoa kwako kukubali kuteswa kwa ajili yetu
@judithsalvatory2892
@judithsalvatory2892 3 күн бұрын
Asante Yesu wa Ekaristi watu wote wakujue❤❤❤❤
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 4 күн бұрын
Mbarikiwe nyote kwaushiriki wenu❤
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 4 күн бұрын
Amina ❤
@dosteajoseph7939
@dosteajoseph7939 2 сағат бұрын
Amina Mungu ni mwema
@maprosokelly2986
@maprosokelly2986 15 сағат бұрын
Ikifanyika kila mwaka tutafurika zaid ya hapo wengi tulikuwa atujuwi kuna jambo zur Kama hili👍👍👍
@mwalimumkoka384
@mwalimumkoka384 4 күн бұрын
God is good
@simiondaniel6010
@simiondaniel6010 5 сағат бұрын
Ee YESU wa Ekarist utuokoe na kututetea siku zote
@PriscaMallya-n5z
@PriscaMallya-n5z 3 күн бұрын
Nimefurahi sana kwa kongamano hili la Ekaristi ambayo ndiyo nguzo ya Imani yetu.❤
@catherinemmole9309
@catherinemmole9309 4 күн бұрын
WAKATOLIKI TUMEWEZA
@basilisajacob1065
@basilisajacob1065 4 күн бұрын
Mungu atubariki na kutupq nguvu ya kupenda saidi na saidi!
@Deonfnyoni
@Deonfnyoni 4 күн бұрын
Bwana Wang na Mungu wangu ❤✝️🙏
@rukiamadati336
@rukiamadati336 2 күн бұрын
Hakika najivunia sana kuwa Mkatoliki🙏🏾🙏🏾
@bernadethashija8982
@bernadethashija8982 3 күн бұрын
Yesu wa Ekarist namuomba anibadili kuanzia sasa,aniumbie moyo safi
@ElizabethMwanzalima
@ElizabethMwanzalima 3 күн бұрын
Tumwabudu na tumsifu yesu kwa sakrament ya ekarist
@richardjunior605
@richardjunior605 4 күн бұрын
Only Eucharist makes me happy and strong 🕊️🕊️ bikira Maria msaada wangu wa milele🙏🌹
@EsterWaluye
@EsterWaluye 4 күн бұрын
Naona fahali kuwa mkatoliki
@RoseKimishabhalemi-oz9bn
@RoseKimishabhalemi-oz9bn 4 күн бұрын
Ni Leo mmeenda naye yaani tarehe 14.9.2024 . Tunawaonea wivu mnamapadri wa namna gani?
@festohalun3550
@festohalun3550 2 күн бұрын
Tumusifu Yesu Kirstu
@EsterWaluye
@EsterWaluye 4 күн бұрын
🙏🙏🙏
@filomwageni4333
@filomwageni4333 3 күн бұрын
Im proudly to be catholic❤🎉🎉
@LilianKimpire
@LilianKimpire 2 күн бұрын
Najivunia kuwa mkatoliki❤
@anjelajeremia5150
@anjelajeremia5150 4 күн бұрын
❤❤🎉🎉
@stellawambura9124
@stellawambura9124 4 күн бұрын
Hii ya lini jamani
@margaretikongo1782
@margaretikongo1782 4 күн бұрын
Hii ilikuwa jana Jumamosi
@celestinshayo7295
@celestinshayo7295 4 күн бұрын
Halafu mkatoliki unakimbia huku na huko kwenye madhehebu ya ajabuajabu unakosa nini ndani ya Kanisa Katoliki? Kama ni changamoto za maisha zinakusumbua tulia hiyo ni sehemu ya maisha ya kila mwanadamu huwezi kuikwepa lakini Mungu akitaka kukuondolea hiyo shida unaipitia siyo lazima ukimbilie kwenye madhehebu na kama anataka uibebe hiyo changamoto kama Msalaba wako wa maisha utaibeba tu hata ukihama haitaondoka. Imagine Yesu angekataa kubeba Msalaba Leo tungekuwa wakristo?
@theodosiahaule5545
@theodosiahaule5545 Күн бұрын
Ni Jumapili ya 15/09/2024
@EsterWaluye
@EsterWaluye 4 күн бұрын
Naona fahali kuwa mkatoliki
HAH Chaos in the Bathroom 🚽✨ Smart Tools for the Throne 😜
00:49
123 GO! Kevin
Рет қаралды 12 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 32 МЛН
Фейковый воришка 😂
00:51
КАРЕНА МАКАРЕНА
Рет қаралды 7 МЛН
WAWATA WAWASHANGAZA MAASKOFU  MAANDAMANO YA KUPELEKA VIPAJI MISA YA JUBILEI YA MIAKA YAO 50
8:50
TUMEUONA MKONO WAKO  -  MTUNZI:Ben Nturama KWAYA YA MT. YOSEFU ALAMANO PAROKIA YA KIBADA, DSM
9:51
JOSEPH ALLAMANO CHOIR -KIBADA KIGAMBONI
Рет қаралды 4,9 М.