DU!!TUNDU LISU NA LEMA PAMOJA NA MAASKOFU TUKATWE MIKIA? HIVI HAWA WASIOJULIKANA WANATUONAJE?

  Рет қаралды 45,207

Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili

Shuhuda za Kikosi kazi cha Injili

Күн бұрын

Пікірлер: 115
@malackedson7706
@malackedson7706 3 ай бұрын
Safi
@FortinathaMvikule-cm1im
@FortinathaMvikule-cm1im 2 ай бұрын
Mungu hadhihskiwi hata kidogo. Mungu Atajibu kwa kuwa chozi la mwenye haki halitadondoka bule
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 ай бұрын
TUNAWAOMBEENI SANA MAKAMANDA. WATANGANYIKA TUNAUMIA😭😭😭
@nicholasmwaisela6904
@nicholasmwaisela6904 2 ай бұрын
Mmeanza tumewashtukia tundu lisu acheni mara Moja kuwaficha watu, Ili kuichafua nchi yeti, mikia mnayo bwana,
@SophiaSteven-nc1li
@SophiaSteven-nc1li 2 ай бұрын
Mungu awalinde sana
@eleonorabokewarioba4420
@eleonorabokewarioba4420 2 ай бұрын
Ipo siku naye atakatwa mkia kwani Mungu ndiye atakaye jibu maumivu yenu ndugu zetu, ngoja wale vya nchi hii, kwani magu tulijua kuwa atakufa?? tunawaombea sana ndugu zetu
@loymichael5634
@loymichael5634 2 ай бұрын
Usiogope kaka LEMA,MUNGU yuko.
@sulaimanmallecha6134
@sulaimanmallecha6134 3 ай бұрын
Safi sana lisu
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 ай бұрын
MAMA TANGANYIKA YUKO ANAINGIZWA GIZANI😭😭😭
@davidbochela1441
@davidbochela1441 3 ай бұрын
Ndio nini
@CharlesMisungwi-f8t
@CharlesMisungwi-f8t 3 ай бұрын
Uhamie hukohuko Marekani ndiyo kwenu na ndiyo asili yako watakupatu uongozo hao wanaubinadamu kwelikweli
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
WELL SAID
@CatherineShirima-fj4sj
@CatherineShirima-fj4sj 3 ай бұрын
Kweli
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 3 ай бұрын
😭😭😭😭😭 ipo siku mungu yupo. 🙏
@abuusaid3297
@abuusaid3297 2 ай бұрын
Nyie chadema na maaskofu lenu mojatu,mnaudini, mnataka kanisa mlitawalishe nchihii
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 2 ай бұрын
Wameipenda dunia kuliko ahera, ndio maana wanafanya hayo au walishajua ni wamotoni hivo dunia ndio pepo yao
@JaliaBahat
@JaliaBahat 3 ай бұрын
Mnatekaga nyie wenyewe
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 3 ай бұрын
Maaskofu sio Mungu mkuu
@RukiaSalum-n4m
@RukiaSalum-n4m 3 ай бұрын
Bado unamuita mheshimiwa hana muite mkata mikia. Haya ni maisha tutajibu nini mbele za bwana wa majeshi
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 2 ай бұрын
Tanzania sio nchi huru Kwa sababu ni tegemezi, nchi huru ni Ile inayojitegemea sio tegemezi, wadau wakiacha kutoka muswada Kwa dk10 tu, ndio utajua
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 3 ай бұрын
Kanisa Katoliki kiukweli inafuatilia sanaaaa haki za wananchi
@juliusmlula1658
@juliusmlula1658 3 ай бұрын
Tz ipo kwenye Intranational system hautakwepa kulaumiwa kimataifa na mabalozi ni halali kusema chochote kuhusu mauwaji ya binadamu utatengwa kimataifa
@hamisikaradinye4949
@hamisikaradinye4949 3 ай бұрын
Kama chama kina kuletea presha uanachama nacho
@robertsiwale6353
@robertsiwale6353 2 ай бұрын
Muulize Dereva wake yuko wapi?
@AwadhiAwadhi-m5k
@AwadhiAwadhi-m5k 3 ай бұрын
Haitakiwi balozi wa nchi nyingine kuingilia mambo yetu ya ndani mbona kwao Tramp alinusurika kuuwawa na wengine wengi wameuwawa Marekan sisi hatujaingilia mambo Yao ya ndani mbona wao waingilie yetu????
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 ай бұрын
Wewepumbavu kabisa
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 3 ай бұрын
Ugombane na maasicofu maasicofu ndio nani asicofu kanisani cio kuingilia serikali hao maasicofu wamekufa wangapi au alli kibao tu wa chadema.
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 ай бұрын
WELL SAID KAMANDA LISU NA LEMA. MSIWASIKILIZE WAPUUZI WENGINE HAPA WANAOWABEZA. WATAKUWA WAMOJA WA WAFAIDI TONGE. WATANGANYIKA WA KWELI MIOYO YETU INALIA KWA HAYA YANAYOTOKEA, NA HAYO MNAYOPITIA KWA AJILI YA MAMA TANGANYIKA
@donaldkiduko2417
@donaldkiduko2417 2 ай бұрын
tulitegemea utaijenga nchi kumbe weww lisu ni kichaa akiri zako kila siku ni ulaya tu wewe nikibaraka wa wazungu wewe ndio unawateka watanzania hivi domo lakohuwa unapiga mswaki sema sera ya chadema utatufanyia nn
@JoshuaBundala-cw4ek
@JoshuaBundala-cw4ek 3 ай бұрын
Duu!
@haruniaisha5905
@haruniaisha5905 3 ай бұрын
Anabaki na mashehe akina mwaipopo😅😅
@namsifubwana2152
@namsifubwana2152 3 ай бұрын
😭😭😭😭
@hamedAlharthi-dn5kq
@hamedAlharthi-dn5kq 3 ай бұрын
Ndugu mtangazaji unamhoji MTU ambae hara akiongea hajitambui
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 3 ай бұрын
Anajitaidi lutafuta kiki za kisiasa
@ShijajumaSengerema
@ShijajumaSengerema 3 ай бұрын
Tramp wamemfanya nini Marekan
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Hivi ninyi mngepigwa kiasi kile mtu akiwa Tanganyika na yaliyo mpata Ally Kibao. Na vijana walitekwa hata hawajuliki waliko.
@CajerMomade
@CajerMomade 3 ай бұрын
Hakuna nchi ya tanganyika
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 ай бұрын
MABALIZI NI MAPUMBAVU TU KAMA WW HAO NDIO WANAOTUMIA VIBALAKA KAMA NYINYI KUVULUGA NCHI NA KUUWA WATU MBONA RAISI MSTAAF TRAMP KAKOSHWA NA LISASI MALA MBILI MBONA SISI BALOZI WETU HAWATOI TAMKA ACHENI HIZO WAPUMBAVU NINYI
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 3 ай бұрын
Mpumbavu ni wewe na ni mjinga wa Darasa la saba kama sikosei hata Kuandika una bahatisha Mpuuzi 1 wewe!!!
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 ай бұрын
@@najimsuleiman3690 sasa mm na ww nani anajua kinachoenderea duniani history ZA kina p.lumumba drc na Angola somalia na sasa sudan.na kwingineko pumbavu kabisa kusoma hukusoma pia picha huoni umekua kama nyumbu HAWA WAZUNGU SIO kabisa
@RamaKimbeu-tw4po
@RamaKimbeu-tw4po 3 ай бұрын
NINYI SIKIENI WA ISRAEL WAMEFUNGA VYOMBO VYA HABARI NA KUVIAMURU VIONDOKE VYOTE TUNATAKA NAKO MTOE TAMKO NA MUOMBE VYOMBO VINGINE VIINGILIE KATI UHURU WA VYOMBO VYA HABARI ACHENI KULOPOKA BAADA YA KUSHIBA UGALI
@pr.ndaturuem.9809
@pr.ndaturuem.9809 3 ай бұрын
Tumeshajua watekaji wanatoka CHADEMA hivyo hamna jipya tena
@markoshem-ij6cf
@markoshem-ij6cf 3 ай бұрын
Unaweza toa ushahidi kama nichadema acha ujinga wewe
@ombenipenieli1432
@ombenipenieli1432 3 ай бұрын
Kwa nini tunapewa msaada?ni msaada au ni waizi wa rasilimali zetu?
@philemonnongu3222
@philemonnongu3222 3 ай бұрын
Hamna lolote wapiga dili tu nyie
@saidimasudi6450
@saidimasudi6450 3 ай бұрын
Ndio usomi huo?
@SaidShabani-s4o
@SaidShabani-s4o 3 ай бұрын
Nyie mlimwam Bia rais kichwa chake kimejaa matope je hii ni sahihi?
@NixonJohnson-r4m
@NixonJohnson-r4m 3 ай бұрын
😂 misaada aliopewa arudishe kama ni nchi huru anafuata nini ulaya sasa ..kumbe ndio maana anaenda uarabuni aaaah kumbe
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 3 ай бұрын
Uarabuni wamempa nyumba kama zawadi kwa kuwapa Loliondo na bandari zetu.
@AyubuHamisi-r9q
@AyubuHamisi-r9q 2 ай бұрын
Achen waambiwe
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
Rais ameifungua Nchi .. nani aliifunga ?
@jeftamzuna
@jeftamzuna 3 ай бұрын
Magufuli aliye vaa gauni
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 3 ай бұрын
Asante sana. Huyo mama ndiyo maana yupo hivyo.
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 3 ай бұрын
😅😅😅😅😅😅❤
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 3 ай бұрын
😅😅😅😅
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 3 ай бұрын
Hao marekani kila cku kwao wanauana mbona hawasemi juzi tu rais wao kakoswa na risasi mara mbili mbona hawasemi.
@JoshuaSabu-r2p
@JoshuaSabu-r2p 2 ай бұрын
Aliuliwa yule dogo aliyefanya shambulio​@@econmirajifacts5411
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 ай бұрын
Chadema viongozi wake wanapoint tena ni wasomi
@cosmaskusekwa2327
@cosmaskusekwa2327 3 ай бұрын
Wasomwa siyo wasomi was hesitant watu wafanye kazi sio kila siku maandamano huo ni ushamba sana
@francissimwinga-gb2vd
@francissimwinga-gb2vd 3 ай бұрын
Swali eti Rais anaifungua nchi je ni nani aliye ifunga nchi kweli tunaongozwa na wajinga sana nchi
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 3 ай бұрын
Mbona hajaenda kuteka Zanzibar? Hana lo lote la 4R zimefikia hapo. Yeye anataka kuacha Inchi ya Tanganyika bila rafiki.
@CajerMomade
@CajerMomade 3 ай бұрын
Boya wewe hakuna nchi ya tanganyika
@richardnganya2311
@richardnganya2311 3 ай бұрын
​@@CajerMomadekama Tanzania ni muungano wa nchi mbili (Tanganyika na Zanzibar) na kama hakuna Tanganyika basi hakuna Zanzibar!!
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Kitu ambacho wengi hawakijui ni kuwa mtu akishazoea kulawitiwa huwa anakosa aibu na hachagui la kuongea
@abedymtore2707
@abedymtore2707 3 ай бұрын
Polen makamanda we2
@barakaswallo8214
@barakaswallo8214 3 ай бұрын
Hekima na busara zikuongize katka majukwaa yako vinginevyo kwa kauli zako pia maana unawatu unao waongoza wataamini rais si chochote so wazi umekiri hupendi rudi kule tuliko toka ila tundu lisu kaota na pembe kabisa
@CajerMomade
@CajerMomade 3 ай бұрын
Lisu wewe ni shoga pamoja na wewe Lema
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 ай бұрын
Huo ushoga walifanya na ww? Jiheshim ww
@Anton-t5c2w
@Anton-t5c2w 3 ай бұрын
Kamanda hatuna maisha hapa nchini hatunyamazi tuko na wewe
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Jidanganye kwakuwa huna akili na makamanda wako,mtakutana barabarani na makamanda wenzenu
@mbikamtanganaki
@mbikamtanganaki 3 ай бұрын
Ndiyo maana unatuletea ushoga tanzania kila kitu marekani
@AbdulrahmaniNjechele
@AbdulrahmaniNjechele 3 ай бұрын
Muwe mnakosoa kistarabu km ulivyoongea hapo angarau,vingnevyo musimraumu mtu
@philemonnongu3222
@philemonnongu3222 3 ай бұрын
Hakuna lolote ww ludisha kwanza hela za Ccm mwanza
@CajerMomade
@CajerMomade 3 ай бұрын
Nyinyi hamna adabu kabisa lazima muongozwe kidikteta
@selemanmcharazo
@selemanmcharazo 3 ай бұрын
We kiongozi gani ambaye una ndoto ya kuwa kiongozi wa nchi alafu speech zako kazi kutukana viongozi waliopo madarakani hiyo sio siasa kanisa na Askofu ndo kitu gani acha upuuzi we mjinga tu.
@SDM2024-z4s
@SDM2024-z4s 3 ай бұрын
😂😂😂 chadema tumbo joto aisee, sasa tuwaone road tuwafurahishe
@abedymtore2707
@abedymtore2707 3 ай бұрын
Wew binchwa tenge san sku ukienda ata police station ukawekwa lock up ndio utajua kua hauna inchi bali unaishi kuzimu bila kujua mbwa wew shenz kabisa
@francismomo7067
@francismomo7067 3 ай бұрын
Iv Sheria xilizowafanya watu wakimbie nchi zilipishwa na bunge gan...nakumbka walikimbia Hof ya kuwawa...je kuna Sheria ya kuua wanaopinga viongoz
@Dafetty
@Dafetty 3 ай бұрын
​@@abedymtore2707😂😂😂
@ommarallyhamad7435
@ommarallyhamad7435 3 ай бұрын
Wanamuandaa mama kupata tiketi ya kwenda "the Hague", hakika hawampendi hata kidogo
@CajerMomade
@CajerMomade 3 ай бұрын
HAMNA Akili nyinyi mnawezaje kumtukana rais
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 3 ай бұрын
Raisi si Mungu, ni binadamu dhaifu kama binadamu yoyote. Samia ni binadamu mwenye madhaifu yake kama binadamu yeyote yule. Ajibu hoja, awalete waliotekwa na wakiwa wazima au wamekufa. Kashindwa. Maneno matupu hayajibu maswali. Lete majibu. Warudishe waliotekwa usilete vitisho.
@JoshuaBundala-cw4ek
@JoshuaBundala-cw4ek 3 ай бұрын
😊😊
@husseinmwanjela8644
@husseinmwanjela8644 3 ай бұрын
Miyeyusho hamna jambo
@AbdallaRashid-s2m
@AbdallaRashid-s2m 3 ай бұрын
Katapanya
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 2 ай бұрын
Sio mkia tuu, na nanihiii we si wa P Didy? Hivi Mnyika ni Police? Lijinga wewe.
@manenohamisi2858
@manenohamisi2858 3 ай бұрын
Nyie ni waongo wakubwa sana
@davidbochela1441
@davidbochela1441 3 ай бұрын
Kapelekeni upuuzi wenu na wamarekani..wenu,katwa mikia..shenxi sana.
@upendogreutert199
@upendogreutert199 3 ай бұрын
😮😮😮🤧🤮🤮😪
@SuleyGodwin-eg1fh
@SuleyGodwin-eg1fh 3 ай бұрын
Midomo yenu michafu. Vitabu vya dini vina Sema heshimu mkubwa wa nchi amechaguliwa na mungu. Mkome mdomo mchafu juu ya mama Rais wetu mpendwa muwe na adabu mume vumiliwa sana . No manners lissu na lema no manners
@JoelyStivini
@JoelyStivini 3 ай бұрын
Mtegaji niwewe kaka
@peterantony5890
@peterantony5890 2 ай бұрын
Mtu asiye na madaraka anawezaje kuteka watu?
@AllyMazinge-k6x
@AllyMazinge-k6x 3 ай бұрын
Ulifuata nn ujerumani kuuza nchi au bb amekufa mnataka kuichana chana nchi upuuzi huo tafuteni madaraka
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 ай бұрын
Serikali yatz niserkali yAwashenzi kabisa sikumoja mungu atatoa hukumungumu sasahivi
@IbrahimuMayogho
@IbrahimuMayogho 3 ай бұрын
Umenitoe machoz inaumiza
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 3 ай бұрын
LISSU USIIFANYE TANZANIA SHAMBA LA BIBI KUJA KUCHUMA PESA NA KUZIPELEKA UBELGIJI KWENYE FAMILIA YAKO UNAKUJA TANZANIA WANAKUCHANGIA PESA UKIIISHA PATA UNAZIPELEKA UBELGIJI KWENYE FAMILIA YAKO
@francismomo7067
@francismomo7067 3 ай бұрын
Acha akili ya kijinga.....hatuwez kua na mawazo mamoja
@daudimaembe3360
@daudimaembe3360 3 ай бұрын
Akili ya panya
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 3 ай бұрын
@@daudimaembe3360 Akili ya panya huo ndiyo ukweli wenyewe Huoni ya kuwa familia yake ipo huko huku anakuja anachangiwa pesa alafu huyooo ubelgiji kuzipeleka kwa familia yake
@Dafetty
@Dafetty 3 ай бұрын
​@@daudimaembe3360kabisa 🤝💯
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 3 ай бұрын
Anachuma wapi ??? Kwani yeye anakusanya Kodi?? Wajinga kama Ninyi ndo mtaji wa CCM
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 3 ай бұрын
KILA SIKU WEWE NI KUJITOLEA MFANO WA KUJIPIGA RISASI NA CHAMA CHAKO LEMA HATA WEWE UTAKUFA HUWEZI KUMTUKANA MAMA WA MWENZIO KAMA MNAVYOFANYA WEWE NA LISSU CHADEMA MNATAKIWA MUONGOZWE KIDIKTETA TU
@mwitanyahiri4586
@mwitanyahiri4586 3 ай бұрын
Hivi unafikiri kutumia kiungo gani?
@TweveTanu-b9q
@TweveTanu-b9q 3 ай бұрын
Wewe ni fala na ndo maana unatetea kudhulumiwa na samia
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi 3 ай бұрын
Vilio vya wapenda haki visiposikilizwa na wakuu vitasikilizwa na Mungu mkuu atatetea wapenda haki Kwa wakati timilifu
@najimsuleiman3690
@najimsuleiman3690 3 ай бұрын
​@@mwitanyahiri4586 Anatumia Tako😀😀😀
@neemanziku5403
@neemanziku5403 3 ай бұрын
Mungu mbinguni amekusia 😢
@Venas-uh3wz
@Venas-uh3wz 3 ай бұрын
Rais ni mwizi na muuaji....mpumbavu sana huyo Samia
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 3 ай бұрын
Sasa ukimtukana rais na kusema ayo. ili umchafue anapungukiwa nin? Yeye ni rais tu.
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 3 ай бұрын
Uwe na aibu na kufikiri kabla ya comment
@CajerMomade
@CajerMomade 3 ай бұрын
Matusi hayo msenge wewe
@leothardngonya4842
@leothardngonya4842 3 ай бұрын
Mbona wewe ulisema akili ya Raisi matope? Una Elimu lakini huna akili. She ni wewe. Utakwenda kupumuliwa na wenzako sisi twende wapi. Hadi unachangisha wajinga ununuliwe gari wakati bwana zako wanakupa fedha kila siku.
@HamzaHeri
@HamzaHeri 3 ай бұрын
HUYO TUNDULISSU CHIZI JIFUNZENI KUTOKA AFRIKA YA MAGARIBI SIO UTWAMBIE MABALOZI WA MASHOGA NCHII HII HAIONGOZI NA DINI MOJA
@josephmakutano7067
@josephmakutano7067 3 ай бұрын
Serikali yatz niserkali yAwashenzi kabisa sikumoja mungu atatoa hukumungumu sasahivi
СИНИЙ ИНЕЙ УЖЕ ВЫШЕЛ!❄️
01:01
DO$HIK
Рет қаралды 3,3 МЛН
Quando eu quero Sushi (sem desperdiçar) 🍣
00:26
Los Wagners
Рет қаралды 15 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW
16:33
DW Kiswahili
Рет қаралды 811 М.
RUTO top secret Exposed by Riggy G today
20:19
Kururia tv
Рет қаралды 5 М.