DUA YA PRESENTER 001 KWA MASHABIKI WA ALHAAJAR TV

  Рет қаралды 409

Al Haajar TV Kenya

Al Haajar TV Kenya

Күн бұрын

Пікірлер: 15
@sakinasakku8340
@sakinasakku8340 Ай бұрын
MAASHAA ALLAH tabarakallah shukran 001 kwakutuombea dua ,,,,, nasitunaitikia AAMEEN
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
Tena alhamdulillah mvua vizuri ,,,, allahumma Ameen
@muadhMuhammad-g5t
@muadhMuhammad-g5t Ай бұрын
fanyeni ibada kwaajili ya Allah watazamaji hawakunufaisheni chochote. Mnakuwa kama wasanii kila kitu muonekane.
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
Kama wewe hunufaiki baki hivyo wanaofaidi waache wenyewe wanajua wenyewe wanachokipata hawafanyi content Kuna ilm kubwa hapa tegea mwenyewe utajionea
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g Ай бұрын
Aisee hawa jamaa wamezidi Wallah kila pahala makamera khaa!!
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
@AlmasAbdallah-r3g kanunue lako n wewe uweke utakako upooo usufi balaa
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Ай бұрын
​@@hassanWanjiku sawa bana SHABIKI wa Alhaajar Tv! Ushabiki katika dini.. Doooh!
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
@ABUUBAAZNYUNGU-j4x ilm ndogo udhia ila ucjali Allah subhannahu wa taala akuongoze utoke kwenye jela ya ujinga ushabiki wetu basi kwa habari yako tunafaidi wenyewe tuache nao ikiwa alhajaar haina faida kwako ata usijisumbue kuangalia wanachokifanya juu nakuahidi utaumia wewe
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g Ай бұрын
Kwahiyo kumuombea dua mama ako na baba ako ni lazima video?? Nyie jamaa mnachekesha sana fanyeni ibada msiwe kama watalii.
@MasoudChoum-pp1ob
@MasoudChoum-pp1ob Ай бұрын
Ameona amefika sehemu salama kwani ubaya uko wap sio ameombea Dua wazazi wake kama mtoto mwema ubaya uko wap kiongozi mbona kama Kuna chiki iv
@AlmasAbdallah-r3g
@AlmasAbdallah-r3g Ай бұрын
@MasoudChoum-pp1ob Akhy hakuna chuki sema kuna mambo mengine hayana ulazima kufanya
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
@@AlmasAbdallah-r3g hata wewe kafanye utalii shimba hills wenyewe kuombea wazazi wao waache hivo upuzi wenu tumechoka bana nyinyi ndo wale mnaotaka mambo yaende kwa akili zenu unakaa kama Yale makundi yanajiita salafi ,,tutafanya hadi mchoke juu hamna dalili ya kulipinga
@hassanWanjiku
@hassanWanjiku Ай бұрын
@@MasoudChoum-pp1ob hao labda masufi ama masalafi Yale makundi ya njaaa
@magrammagreens3873
@magrammagreens3873 29 күн бұрын
Sasa wewe kama hupendi si unyamaze Dada yangu. Kunyamaza pia ni abada kubwa sana. Waache watalii wajidai katka mji mtikufu sio maskhara Kopita mitaa na vichcho aliyopita (RASULILLAH)... Weee hata mimi lazima nijidai. S.Matunda
TABIA NJEMA - USAFI || SHEIKH AHMAD LALI
1:10:51
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 179
Sigma girl VS Sigma Error girl 2  #shorts #sigma
0:27
Jin and Hattie
Рет қаралды 124 МЛН
Waalimu Al-Hikma Wamfanyia Surprize Boss Wao!!!!
9:36
Kishki Online TV
Рет қаралды 7 М.
TAMAA ZA DUNIA
12:14
IQRAAMA Online Tv
Рет қаралды 8 М.
ZIARA YA TAIF MJI MTUME MUHAMMAD (SAW) ALIPOPIGWA MAWE
7:19
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 9 М.
SHEIKH BACHU NA MSHINDI WA UMRA WAMALIZA  IBADA YA UMRA MAKKAH
4:37
Al Haajar TV Kenya
Рет қаралды 3,6 М.