Ni kweli anachosema dudu baya mimi mama yangu ananichukia sana ananiongelea vibaya kwa watu. Nyinyi hii dunia wapendwa msimlaumu sana martha 😢
@NtuliSuzan2 сағат бұрын
@@Fatima-jp4ym Martha haelewani na mama, mdogo wake, mume hao wote wachawi?
@salomeandrew4148Сағат бұрын
Pole my yaan co pow
@zainab825136 минут бұрын
Pole sana may
@erickchibali57531 минут бұрын
Pole na ww kama wako mama waaina hioo
@veronicathomas89Сағат бұрын
Nakuelewa Dudu Baya 💯,nimepitia hayo,mama anaweza kabisa kushirikiana na ndugu zako kukumaliza
@TALLUBOYМинут бұрын
kwel broh dudu yupo fact
@JonathanIrankunda-i2uСағат бұрын
Napenda dudu sana respect brother apo popote uripo i am from Burundi brother do you have every talent respect about this mission your mum 😮😮😮
@merrynancesimon15622 сағат бұрын
❤❤❤❤❤❤kweli kabisa unachosema Mimi ndugu zangu no way 🙅🏾♀️🙅🏾♀️🙅🏾♀️🙅🏾♀️🙅🏾♀️🙅🏾♀️❤️🔥❤️🔥❤️🔥🔥🔥🔥
@HusnaChristopher13 минут бұрын
Kweli kaka umeongea maneno mazima
@jessemhally5385Сағат бұрын
Dudu Baya umesema ukweli...Mungu akutunze Sana.
@AwaziRajab37 минут бұрын
Usimuache Mwanamke Mchawi Kuishi Lakini Mama Ni Mungu Wa Pili Kwa Mtoto Isipokua Tazama Maisha Yake Kama Wadogo Zako Wanakufa Kupitia Yeye Kaa Mbali Nae Muache Na Maisha Yake
@JamesMwandojeСағат бұрын
Kwriiiiiii kbsaaaa...kna Bora wazazi maisha haya
@kapatazaina5444Сағат бұрын
Martha ni mtu wa Mungu ! Hawezi kuamini uchawi! Amjali mama yake,Mama akiendelea kumlilia umaarufu utaisha.
@Nancy-z8h2 сағат бұрын
Mafirst born wameanza kushtuka na wengine wanaitwa malango makuu ya familia hawataki jamani hizi habari za mtu mmepishana miaka 2 tu lakini shida kidogo tu mwambieni dada yenu mpigieni kaka yenu sasa wote tufanye kazi tuwahudumie wazazi kwa pamoja
@Fatima-jp4ym2 сағат бұрын
Ila pia mimi nafanya kila kinachostahili lakini naonekana kama sifanyi nyinyi msikie tu jamani
@lilyabel2320Сағат бұрын
Ni kweli kuna ndugu unawasaidia lkn bado wanaona hufanyi au wanataka awasaidie kila siku
@Kaylyn-z6y50 минут бұрын
Mchawi ni Joan
@rahabnkya8276Сағат бұрын
Waende tu kuhani Musa yeye ni mtambuzi wa wachawi, awafungue, na kama no mama mzazi basi ajue huo mlango ameutokea angeweza asizaluwe na mungu karuhusu Kila kitu tena awe makini na mzazi na mungu huwa anaona na shetani anapendezewa kuwavuruga zaidi wanawake . Amuombee basi mama uchawi umtoke hii ni shida na watumishi wa mungu waombee eneo Hilo basi. Tujuwe mwisho mzuri.
@amishambar3418Сағат бұрын
Nikweli shetani uwa hana aja na mbumbumbu pia wao awataki kisicho kuwa na faida
@AnnuciathaKilindoСағат бұрын
Nimemsikiliza huyu kaka dudu baya nimejifunza vingi yupo sahihi
@FloraMwanjala-p4q2 сағат бұрын
Hata mimi naunga mkono ktk Hilo ni shida sana wazazi wengine ni mtihani kwelikweli
@blackangel.58Сағат бұрын
Kiufupi haya mambo ya famni mengi sana kila familia ina changamoto zake hata kama ni tofauti ila wazazi siyo wote upenda watoto wao kuna wazazi ni wehu huko mitaani atujui tu ciz siyo ma star
@elleng52272 сағат бұрын
😂😂mbonaaa hapa hulalii, ilaa Dudu bayaa nimecheka
@ibramakula2303Сағат бұрын
Mama alipokosea kukupa ww peke yako bila ndugu zako apo ndipo alikalibisha vita
@exalttarimo5083Сағат бұрын
Ana hekima sana hyu
@iqmediatzСағат бұрын
Simpingi dudu baya kwasababu wazazi sio malaika ni binadamu ambao wanakosea pia. Mzazi kukuzaa haimaanishi ndio amekuwa malaika, wapo wengi tu ni wachawi na wengine hutoa sadaka na kuwaloga watoto wao wenyewe au watoto wa watoto wao. Hii dunia inamambo sana kama hayajakukuta, wew mshukuru tu Mungu kwa kuwa unawazazi wema kwako na wapo na wew bega kwa bega, usimtukane anaelalamika kwasababu hujui yaliyomkuta. Dunia ina mambo sana.
@lucaschisamalo28522 сағат бұрын
Kunawatu nilikuwa nawambia inawezekana mama akawa mchawi naungana na dudu baya mama yako mzazi unamkataaje kwa mfano
@lilyabel2320Сағат бұрын
Wanamuonea wivu Martha kiishi vizuri na mfanyakazi wake hawapendi. Mama yake Matha kasema mwanae ni mtoaji na huwa anamsaidia lkn inaonyesha wanataka awasaidie zaidi wakidhani kuwa anahela kibao. Ni wivu tu na ufinyu wa mawazo waliyonayo hao ndg wa Martha.
@FrankChacha-y3dСағат бұрын
Mbona sasa mama alikuwa anaongea huku analia
@lilyabel2320Сағат бұрын
@FrankChacha-y3d Ni uchungu Tu na mawazo finyu akidhani Yule mfanyakaxi anafaidi zaidi Yao, Mimi nadhani ni hivyo lkn Martha anamsaidia huyo mama Kwa mujibu WA interview
@georgejoseph90892 сағат бұрын
Wewe mbwa hujui sana ya mama
@EmmanuelBernard-t4z17 минут бұрын
Huyu naye shida yake ni kujifanya kila kitu anakijuwa
@Isabellependo63893 сағат бұрын
Kweli kabisa
@berthamakortha83872 сағат бұрын
Yeye BITRIS siii Mama MTU MZIMA?? AMTUNZEE YE YEEEE HASA JAMANI. BURRIS NINI ANACHOONGEA?? MWANGA HUYOOOO.
@gloriaamase976446 минут бұрын
Mama alisema ukweli and that is it acheni kuchanganikiwa
@rahabnkya8276Сағат бұрын
Hufugi mwbwa asiyewinda hahaaaa.
@ambakisyemwanjemba578730 минут бұрын
kama mama yako amejiunga na uchawi ndio anakua sio mama yako,kama wewe ni mtumishi wa mungu unapaswa kumsaidia ili tuone nguvu yako kiroho ,bado hamuwezi kumuepusha huyu dada na dhabi anayoipitia ya kumnyanyasa mama yake hata kama sio mama yake mzazi na mama yake mdogo,wa kambo sijui nani ili mradi wanajuana kwa namna yeyote ile alipaswa kumaliza tofauti zao na huyo JOAN (Tom boy)
@EzrahMassawe-ug5uo2 сағат бұрын
Nimecheka sana et mtoto mbumbu ila unayosema am
@victorirengo3857Сағат бұрын
Sio suala la kusaidia mama tu. Beatrice kajilipua ili kumsaidia dada yake. Wary wazima wamemuelewa. Damu ni nziro
@gloriaamase976448 минут бұрын
Tanzania hamujielewi Kabisaa hatacomments ni shida tu😂😂😂😂
@pilimwanza811739 минут бұрын
Eeee shika adabu yako wewe. Mxiewww
@gloriaamase976424 минут бұрын
@pilimwanza8117 😂😂😂
@AsungaSteven15 минут бұрын
Unachekaga kama tundu lisu
@gracewilliam41022 сағат бұрын
Mama mchawi kwa nini asinge mroga toka akiwa mtoto aje amuuwe akiwa mtu mzima
@lucaschisamalo28522 сағат бұрын
Kuwa uyaone ndugu
@Isack-b9kСағат бұрын
Hilo swal waulize wachaw kwa nn kanun za kichaw huzjui mpaka ww uwe miongon mwao
Mbona Martha anafanana na huyo mama.hata kama sio mama yake mbona amelelewa na huyo mama, Martha atakuwa kwenye kile chama
@IbrahimMbwambo-o1i2 сағат бұрын
Nikwel anloongea dudunikweli kabsa
@levidavid1156Сағат бұрын
Konki Leo umeongea upuuuzii Mzazi wako ni mzazi tuu hata kama mchawi huyo ni mzazi wako tuu
@5araalharmi4742 сағат бұрын
👏👏👏🙏🏽🤲🌹
@ShellaPuis-x6h51 секунд бұрын
Kweri kabisa
@EzrahMassawe-ug5uo3 сағат бұрын
Aswaaaaaa
@KissaMwaibila-xp7io2 сағат бұрын
❤
@NtuliSuzan3 сағат бұрын
Ndio umetoka tumbo la Mchawi wewe utakosaje kuwa Mchawi pia
@Kasika-hi6hf12 минут бұрын
Shida ya huyu konki hua ana generalize fact, sio kila ndugu ni wabaya wewe, labda wa kwako tuu
@NeemaDotto-d1b3 сағат бұрын
Mama ange kuwa mchawi angekuzaa na ku kulea
@Nancy-z8h3 сағат бұрын
Kwani wachawi hawana watoto nenda kwene simulizi za veronika ufungue kichwa chako
@aishatest44514 сағат бұрын
😮😮
@WilleyMsindo-fn2tcСағат бұрын
Huyo ni mpumbavu mama ni mama tu
@mbwanahasan29712 сағат бұрын
Umepagawa wewe msenge
@adiaygo85462 сағат бұрын
Jitu lipo tungi mnaliohoji Kweli nyie kuku😅
@rithadonatus81102 сағат бұрын
😂😂😂😂
@gloriaamase976440 минут бұрын
Hata sauti yake inakaa kama ametoka kuhubiria mapepo🤣🤣🤣🤣
@wangarijane16692 сағат бұрын
Hakuna uchawi waweza kukushika maana kumsaidia mzazi sheria ya mungu
@CharleskazimilyMajahasy39 минут бұрын
Huujui uchawi
@juliusdonard9333 сағат бұрын
😂😂😂😂 urusi
@AnnuciathaKilindo2 сағат бұрын
Mama mwenyewe kumbe wa kufikia na huyo ndugu yake wamechangia baba upendo mdogo Mungu amsaidie martha
@roselinasandi6509Сағат бұрын
Leo mama yake kasema sio kweli kawazaa yy bite na Martha baba mmoja mama mmoja
@AnnuciathaKilindoСағат бұрын
@roselinasandi6509 yeye lengo ni kumchafua martha mzazi hawezi kufanya hivyo kwa mtoto wake na hawezi kwenda kinyume na malengo yake jamani Mungu atupe macho ya roho yatusaidie kugundua roho zidanganyazo huyo mama sio mama yake mzazi tunamjua kwa maongezi yake
@roselinasandi6509Сағат бұрын
Mungu wangu kama huyu mama anadanganya mpk anamuomba rais amsaidie mbona ni aibu sana jmn
@jumarajab53163 сағат бұрын
bange huyu mbona anaelezea ya kwao kaacha ya martha
@LahtinoNation-dt2ui3 сағат бұрын
Duuuh
@yusufunguruko8080Сағат бұрын
Dudu baya akili huna kabisa, mzazi wangu awe mchawi au nini atabaki kuwa mzazi wangu na kumsaidia hadi mwisho, hii mitandao ndio maana Ina haribu watu wengi wasiojitambua, Sasa angalia eti huu ujinga anaosema Dudubaya eti kuna wanaomsapoti - daah ! kweli hii Dunia nimeamini wajinga ndio wengi kuliko werevu - Mungu tusaidir sana.
@mwakilamwaki7308Сағат бұрын
Ndugu acha kubisha ayo anayo ongeabyana ukweli asilimia 100
@mwakilamwaki7308Сағат бұрын
Ingia ulimwwngu wa giza ndo utajua Dunia ipoje utabisha kwakuaa ujui chochote kwenye ulimwengu mwingine wagiza
@catherinealcy91762 сағат бұрын
Huyu anaongea nini huyu? Mama ni mama atakama ni mchawi. Kwani si mkristu. Nani ananguvu? Mchawi ama yeye anayeomba. U talk no sense
@joycejackson2320Сағат бұрын
@georgejoseph acha kutukana hujui maisha ya familia yake
@deomulokozi11433 сағат бұрын
Moscow 😂
@Mariam-ke4og3 сағат бұрын
Wacha kuongea ujinga angekuwa mchawi angemzaaa usimchanganye MARTHA mwache arudi kwa mama yake na amuombe radhi hayo ni yakwako wewe
@adiaygo85462 сағат бұрын
Wewe Mamako namba moja mama wa wenzao wachawi hanithi kivuje 💯 wewe
@OscarFrancis-mx7iyСағат бұрын
Elewa mada sio unakurupuka tu kukoment
@fidelismwakanyamale67872 сағат бұрын
HUYU NI MUASILIKA WA MADAWA YA KULEVYA MSIMPE NAFASI YA KUTOWA USHAURI KWENYE JAMII NI KOSA KISHERIA
@AnnuciathaKilindo2 сағат бұрын
Mama mwenyewe kumbe wa kufikia na huyo ndugu yake wamechangia baba upendo mdogo Mungu amsaidie martha