DUDUBAYA AMLIPUA MR PIMBI "USICHEZE NA MIMI" NINA HASIRA NYINGI SANA // NITAKUMALIZA DOGO..

  Рет қаралды 23,818

PTVTANZANIA online

PTVTANZANIA online

Күн бұрын

Пікірлер: 70
@neemamdami7466
@neemamdami7466 Ай бұрын
Huyo Pimbi ni MTT wa juzi tu akashauri Watt wenzake aachane na baba zake
@mtemikana6714
@mtemikana6714 Ай бұрын
Thank you dudu
@DanielShomunda
@DanielShomunda Ай бұрын
Wasikuthaurau bro Sisi Kenya bado tunakupenda sana karibu Kenya bado tunakwitaji
@AllySully
@AllySully Ай бұрын
Hicho kijibwa kina takiwa kiwe na adabu kipimbi.
@hamisially-c4x
@hamisially-c4x Ай бұрын
Hujanielewa pont uskute Kongo walipata elfu hamsini kilammoja 😂
@khamis9187
@khamis9187 28 күн бұрын
We kweli dudu, mshamba sana usimshirikishe mungu na upumbavu wako, eti mtoto wa mungu!!! Kumbe mr pimbi hajakosea aliopokwambia uende kwa mr manguruwe ukasafishe mavi ya nguruwe..
@user-rk9gr9yf3i
@user-rk9gr9yf3i Ай бұрын
Ufanye kazi Dudu Baya kutwa uko kwenye mitandao kusifu watu na kuponda watu ayo sio maisha
@halidimgonza5945
@halidimgonza5945 Ай бұрын
nenda kamnyonge yaishe 😂😂😂
@songombingo108
@songombingo108 Ай бұрын
Dudu Baya ana hoja. Asikilizwe.
@onesmomashembo8495
@onesmomashembo8495 Ай бұрын
Hujanielewa point
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Njaa mbaya,,,
@OmaryAllykumba
@OmaryAllykumba Ай бұрын
Uyo mr pimbi hapat ela bila kumuongelea mtu dudu fanya kaz yko bhn kama ileeeeee
@user-xc5or1ph8x
@user-xc5or1ph8x Ай бұрын
Ata mimi naon dudu baya yupo sawa maana kama ni uchawa wakafanye huko huko
@neemanziku5403
@neemanziku5403 Ай бұрын
We pimbi tulia ww konk humuwezi ww
@adamlubawa1281
@adamlubawa1281 Ай бұрын
Mbona yeye Dudu baya anapenda kuwasema vibaya wenzie Anajifanya yeye ni muanaharakati
@barikiwa22
@barikiwa22 Ай бұрын
Kesha kuwa kichaa huyo alichezea hela hovyo enzi zake
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
​@@barikiwa22Afya yake ya akili ina shida
@user-lb2jh4ss6v
@user-lb2jh4ss6v Ай бұрын
Huyo nimba atakupigiya kweli
@AwaziRajab
@AwaziRajab Ай бұрын
Sasa Dudu Baya Asira Za Nini Wakati Hata Wewe Unawasemea Watu Nao Acha Wakusemee Pia
@awadhrajabu1403
@awadhrajabu1403 Ай бұрын
Kosa Kubwa Wasanii Wa Zamani Mlipenda Sana Kula Bata Badala Ya Kuwekeza Ndio Mana Mkiguswa Mnabaki Midomo Juu
@RusumbaTombola-nb5gi
@RusumbaTombola-nb5gi 29 күн бұрын
Dudu kampige huyo mbwa
@aidanikasembe8191
@aidanikasembe8191 Ай бұрын
Huyo dogo kweli hana adabu
@ianak4
@ianak4 Ай бұрын
Muelekezeni Dudubaya aache lugha za vitisho kwa wenzake kwa sababu anaweza kuingia kwenye matatizo makubwa hata kwa kuhisiwa tu na akapotea hivi hivi. Na kwa umri alioufikia anapaswa kuacha kushikana (kupigana) na watu, ni mfano mbaya na haiendani na huyo Yesu anayemhubiri kila mara. Mnaomsifia ana akili nyingi mumpende kiasi cha kumtakia heri pia maishani mwake, sio kumtaka awafurahishe tu.
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj
@bahatiiddibahatiiddi-be5nj 29 күн бұрын
Pimbi alishazoea nikweri dudu anaongeaga wenzake rakini nikwapointi za kweri sasa pimbi iweje atoe maelekezo kwababa yake
@user-im3nb1ed2e
@user-im3nb1ed2e 28 күн бұрын
Lakiny huyo kafupy ni jeuri sana,hufupy kama mavi ya hasubui kkkkk
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g Ай бұрын
Kumeanza kuchangamka
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Ай бұрын
Huyu dudu baya Hana akili kweli eti kina red sun na Nani? Hao wa sanii waliacha mziki kitambo sana hata hakuna anaewajua tena Kenya hua najua huyu dudu ni chizi lakini pia ni pimbi pia
@user-ip4ie7pt6i
@user-ip4ie7pt6i Ай бұрын
Akina red sun wameacha mziki au game tu lime change
@RusumbaTombola-nb5gi
@RusumbaTombola-nb5gi Ай бұрын
Kama unaakili usiongez kumtukana Dudu Baya
@sylivanusbernard3325
@sylivanusbernard3325 Ай бұрын
Wewe unaishi na hao wasanii??kama hawajulikani wewe umewajuaje??mbona karibu Kila siku Nairobi Wasanii wanapiga show za kutosha
@YohanaCharles-zx3py
@YohanaCharles-zx3py Ай бұрын
Wewe jamaa nimsenge sana achana na kabila lakisukuma
@BarbaraPatience-qt9cc
@BarbaraPatience-qt9cc Ай бұрын
@@YohanaCharles-zx3py kama nyanyako
@ElifaziHotel
@ElifaziHotel Ай бұрын
Dudu baya yupo SAHIHI kabisa😊
@SalumuAlly-d9q
@SalumuAlly-d9q 28 күн бұрын
😂😂😂kimeumana
@Stansgrow
@Stansgrow Ай бұрын
Sema waandishi ni wachochezi🙌
@AugustoMuamedeNchumali
@AugustoMuamedeNchumali Ай бұрын
Dudu baya anataka kuwangolea we zake😂😂😂😂
@user-we2zc8sp7r
@user-we2zc8sp7r Ай бұрын
Shida hujui anacho kiongelea ndio Mana unalopoka tu
@svt3
@svt3 Ай бұрын
​@@user-we2zc8sp7rdudu baya pia atafute kazi ashugulikie afya na atafute pesa aache kelele mitandaoni
@AugustoMuamedeNchumali
@AugustoMuamedeNchumali Ай бұрын
@@user-we2zc8sp7r acha utoto na ww
@mussaandrew2083
@mussaandrew2083 Ай бұрын
kumekucha sasa 😂😂
@sittandaki2135
@sittandaki2135 Ай бұрын
Unakataaa nini babu nenda kalinde nguruwe wewe achana na mr pimbi wewe
@DottoVales-m7p
@DottoVales-m7p Ай бұрын
Naona kumeanza kuchangamka
@AminaMjema-vf5nt
@AminaMjema-vf5nt Ай бұрын
We mwandishi nawe unakuza mambo la msingi pimbi anapaswa kujua na anapenda utani nani hataki utani lakini pia hawwz sema dudubaya akalinde ngurue japo nayo nikazi awe na heshima pia aangalie nani wa kumwambia kauli zake hizo
@raskise7493
@raskise7493 Ай бұрын
Umemuelewesha vizuri nimependa
@YussufOthman-y8p
@YussufOthman-y8p Ай бұрын
Mr Dudu Alisema Before Kama Hao Waandishi wa Habari . Hawana Sifa za Uandishi .
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
kimenuka huku mtaa wa pili😂😂😂😂😂
@hassankilongo8061
@hassankilongo8061 Ай бұрын
We Dogo take care usije ukavunjwa vunjwa huyo jamaa sio poa
@MWANAKOMBOMASSUNGA
@MWANAKOMBOMASSUNGA Ай бұрын
Kumekucha
@user-sj9ob8vb3s
@user-sj9ob8vb3s Ай бұрын
pimbi kaptkan mno
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Ай бұрын
Pimbi ajiangalie dudubaya atamfanya mbaya
@svt3
@svt3 Ай бұрын
Dudu baya mwenyewe ki akili, ki afya ki fedha hali zake zote ni mbaya saana
@plnewstvofficial898
@plnewstvofficial898 Ай бұрын
😂😂😂
@alhajjwaupe4593
@alhajjwaupe4593 Ай бұрын
Kaka msamehe bure tu
@VitusEmmanuel-pe3yi
@VitusEmmanuel-pe3yi Ай бұрын
Kayatimba
@mikidadihmaruhani8942
@mikidadihmaruhani8942 Ай бұрын
uya... ukiletewa barua ya upumbavu kwana ponda aliekuletea ujumbe kisha mfate uyodogo au umestaafu kuwalebisha aowatoto au sio dudu wewe wakitambo!!?
@user-io7en9go8k
@user-io7en9go8k Ай бұрын
Huyu Dudu baya amekorogekaa na maisha Nini?
@jumakapilima7295
@jumakapilima7295 Ай бұрын
Afya yake ya akili ina shida
@PrinceBonnyTz8
@PrinceBonnyTz8 Ай бұрын
Mwandishi unamaswali ya kikenge
@user-tu2ne7so3b
@user-tu2ne7so3b Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ReflexOne-qm3un
@ReflexOne-qm3un Ай бұрын
Uyu jama sikuizi amishaanza vuta unga
@barikiwa22
@barikiwa22 Ай бұрын
Anavuta toka anasoma sekondari mbona
@lulurubby2235
@lulurubby2235 Ай бұрын
Havuti unga huyu ni msukuma sio mkwere au mmanyema huyu apindishi subiri huyu pimbi atakuja pigwa na dudu
@MagomaPato
@MagomaPato Ай бұрын
Harmonize Mzee Popo aliaamini uchawi kuroga kazi za Diamond KZbin itamufanya atrend zaidi kuriko Diamond...Uchawi umebuma😭😭😭😭😭😭😭😭😭💯
@tomsijohni
@tomsijohni Ай бұрын
Kwa nini unapenda kuongelea mambo ya uchawi
@michaelkojesa7741
@michaelkojesa7741 Ай бұрын
Konki ⚡✂️✂️✂️
@user-yw3qh6qj8g
@user-yw3qh6qj8g Ай бұрын
Kumeanza kuchangamka
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs
@AdelaideZacariasZacarias-hp8gs Ай бұрын
Liveeeee bila chenga hiyo😂😂😂😂😂
@jacksonmsendo3478
@jacksonmsendo3478 Ай бұрын
😂😂😂😂
@ajmstationery6157
@ajmstationery6157 Ай бұрын
😂😂😂
@kazadilwaboshi8235
@kazadilwaboshi8235 Ай бұрын
😂😂😂😂
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 120 МЛН
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 27 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 6 МЛН
小丑在游泳池做什么#short #angel #clown
00:13
Super Beauty team
Рет қаралды 32 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 120 МЛН