Natamani karia akimaliza mda wake bugati awe raisi wa TFF tuone anaweza kuchangia kiasi gani katika mpira wetu nahisi anakitu mnaweza msinielewe anakitu
Elvis Damin, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@kevinpeter506 ай бұрын
😊😊😊
@jahctivetv6 ай бұрын
Kevin Peter, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@gabjoni43066 ай бұрын
Eti haji manara anaogea na watanzania 😂😂😂
@jahctivetv6 ай бұрын
Gab Joni, Ahsante kwa maoni yako, Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@KondoMhando6 ай бұрын
KALIA kaona hakuna mchezaji wa Simba wa kupata tuzo. Ndo maana anachelewesha kuwapa tuzo wenye nazo. Ingekuwa kunamchezaji wa Simba, ungeona kama yangekuwepo hayo ya tuzo mpaka kwenye NGAO ya hisani. Ingekuwa fasta saana. Ila ipo siku ataondoka atalia na kusaga meno
Kusoma sio kuelewa. Jemedari na usomi wake hana uelewa wa kumfikia Manara hata robo yake. Mnamchukia tu kwa vile kaiacha Simba na kuja Yanga. Hakuna kingine.
Manyara unachozungumzia uko sahihi. Ila nakuomba uwakumbushe wakuu wa mikoa kuwa, anachofanya mtetezi wa wanyonge Arusha . Mh. Paulo Christiane Makonda, wamwige ila wamsaidie Mama majukumu kulingana na lengo la uteuzi.
NAKUOMBA UCHUKUE FORM YA KUGOMBEA URAIS WA TFF NEXT ERECTION. UNAFAA KABISA, TOP TOP TOP FOOTBALL BRAIN. HAPA UYANGA NA USIMBA TUTAWEKA PEMBENI TUTAKUCHAGUA KAKA, NAMBA ZAKO KWENYE MPIRA WA TANZANIA HAZIDANGANYI. UWE PALE JUU UTUONGOZE. NAAMINI HUTAKUWA NA UPENDELEO, UTA BALANCE MIZANI. INSHALLAH.
@jahctivetv6 ай бұрын
MC MAMBO, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia
@barakamusapolekidoti9576 ай бұрын
Kaka manara ukweli tumeshaujua viongozi simba ndio shida
@jahctivetv6 ай бұрын
Baraka Musa Pole Kidoti, Ahsante kwa maoni yako Endelea Kutufuatilia JAhctiveTv Tumekuchagua, Tutakuhudumia