DUH! UMOJA WA ULAYA WATOA TAMKO KALI KWA TANZANIA, WAONYA KUTOFADHILI

  Рет қаралды 207,688

HABARI 24

HABARI 24

Күн бұрын

Hujambo popote ulipo, karibu kutazama mkusanyiko wa habari zote zinazotokea duniani kila siku masaa 24, hakikisha unabonyeza subscribe ili usipitwe na habari za kila siku.
Tufollow kwenye mitandao ya kijamii, Bofya Link apa chini kutufolow mitando ya:-
FACEBOOK: bit.ly/3kKCIvr
INSTAGRAM: bit.ly/2UGofWF
WEBSITE: bit.ly/2UBBAQf

Пікірлер: 804
@lrutainurwa
@lrutainurwa 4 жыл бұрын
Natabiri katika Jina la Bwana Yesu kuwa kuna jambo Mungu atatufanyia Tanzania amblo litasababisha watuhitaji na kutubembeleza.
@D-mox
@D-mox 4 жыл бұрын
Gusa link Apo chini twende ukaitazame nyimbo yangu (WANATAMANI) Ipo hewani now SUBSCRIBE CHANEL YANGU kzbin.info/www/bejne/p2LNdGWDo7Sbo8k
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 4 жыл бұрын
Ok, wazo nzur
@bernardinaa7565
@bernardinaa7565 4 жыл бұрын
Tanzania kwanza🙏🙏💪💪
@aminaomar9675
@aminaomar9675 4 жыл бұрын
Tanzania kwanza kwawanao nufaika t lakini kwsisu wengine tushakata tamaa
@officialmichaelking7028
@officialmichaelking7028 4 жыл бұрын
Mungu Kwanza na haki sio dhuruma ya magu
@mohdalkidarasa7888
@mohdalkidarasa7888 4 жыл бұрын
Upate MISAADA KWANZA NDIO TANZANIA KWANZA
@eliyasumatek4574
@eliyasumatek4574 2 жыл бұрын
Hatutengemei Ulaya Tunamtengemea Mungu
@mrebesyohana3673
@mrebesyohana3673 4 жыл бұрын
Waee noma Sana Rais wetu unawamiza vichwa Hadi wazungu komaa baba wewe ni jiwe jeupe watesi wetu tulijua malengo yao.
@mariavianeypeter2991
@mariavianeypeter2991 4 жыл бұрын
Baba Magufuli songa mbele sisi tunaliombea taifa tetu pamoja na wewe, sisi tumekuchagua na kura zetu kwako ni halali. Tuchape kazi tujenge nchi yetu. Mungu anatupigania
@jurakijuraki8870
@jurakijuraki8870 4 жыл бұрын
Mungu tu ataisaidia Tanzania na hao wanaoenda kuichongea Tanzania watafeli kwa nguvu za mwenyezi mungu
@omegadenkewitz216
@omegadenkewitz216 4 жыл бұрын
Mtaisoma namba ,mitano tena ha ha ha
@helencyprian6044
@helencyprian6044 4 жыл бұрын
Mungu wetu ni wa haki
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
Mungu wako ww anapenda mauwaji na ukandamizaji
@ramsomarusu4507
@ramsomarusu4507 4 жыл бұрын
Wew umekandamizwa ww ungejibu utumbo wako kwenye mtandao bila kukamatwa au unatak haki za ushoga
@stevensiame8736
@stevensiame8736 4 жыл бұрын
@@ramsomarusu4507 hawa jamaa wanazijua haki za binadam kuliko za Mungu
@sandaychacha9754
@sandaychacha9754 4 жыл бұрын
Hongera mh rais magufuri hakika Leo nimefurahi kusikia ukijadiliwa ulaya.kwa kuwa unatetea Mali za watanzania ww ni imara mzee na ss pia tutakuunga mkono maana ww ni mpango wa mungu.
@theotenusmwapinga4739
@theotenusmwapinga4739 4 жыл бұрын
Jpm was our choice and he will be our choice.
@shomarimiraji6576
@shomarimiraji6576 4 жыл бұрын
Jpm is not our choice
@abelianraphili5150
@abelianraphili5150 4 жыл бұрын
@@shomarimiraji6576 😂😂😂
@ramadhanchiiza9215
@ramadhanchiiza9215 4 жыл бұрын
Amina wasitubabaishe na misaada yao
@officialmichaelking7028
@officialmichaelking7028 4 жыл бұрын
Your choice and not our choice we can not choose a dictator leader who kill people who are tok abt him
@georgemafayo2797
@georgemafayo2797 4 жыл бұрын
@@officialmichaelking7028 nyoko
@tinyaanosiatha1118
@tinyaanosiatha1118 4 жыл бұрын
Mtasema sana tulichangua jpm hakuna mwingine mtuaachia nchi yetu .
@lotinakembetwa5805
@lotinakembetwa5805 4 жыл бұрын
tuachieni nchi yetu tanzania
@neemasapiyo5494
@neemasapiyo5494 4 жыл бұрын
Jamani unyanyasaji mliotufanyia yatosha, tuacheni na MUNGU wetu, MUNGU ibariki Africa, MUNGU ibariki Tanzania, MUNGU tubariki watu wote, AMEN
@simaitonmpolo4131
@simaitonmpolo4131 4 жыл бұрын
Leave us alone with our God fearing Country. God will keep us safe forever no need to hear what you talk about us. God bless our president Dr. JPM and our country Tz.
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 4 жыл бұрын
Nyinyi siyo Mungu, ni wanadamu tu, na mtajua kuwa kuna Mungu Mbinguni.
@astonymathews6136
@astonymathews6136 4 жыл бұрын
Ivi awa wazungu wenyewe wanajiona na wamungu apa dunia pumbavu zao Magufuli usiogope tupo nyuma yako usilegeze kamba kwa ao Mabeberu shidayao wanataka ushogo na kuowana kwajinsia moja serikali ukubali hatutaki misaada yao hatukuzaliwa pesa tutaishi kwakilimo tutavaa ngozi za ng'ombe na mbuzi sisi niwa afrika bado atujasaau asili yetu😏
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
Sio jibu,kwa nini waombe pesa huko?
@steventambi6353
@steventambi6353 4 жыл бұрын
@Fat hiya Aly utaisoma wewe. na familia yako mnaoitegemea misaada yao
@sirnunda3758
@sirnunda3758 4 жыл бұрын
Hata huyo Mungu hapendi wizi wa kura labda Mungu shetani
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 4 жыл бұрын
@@sirnunda3758 una uhakika kuwa kura zimeibiwa?
@allylichimba1493
@allylichimba1493 4 жыл бұрын
We are Tanzanians ,all time we are depending much from Allah and not human being, so ur aids to Tanzania is nothing if Allah have arranged good for us. Ooh!Allah protect me and protect my beloved country.
@iFly-t9b
@iFly-t9b 4 жыл бұрын
Ni Allah gan huyo Kaka mnaemfata Kwa kufanya dhulma kunyananyasa na kuuwa watu viumbe? Acha kujidanganya ww ni muislamu
@allylichimba1493
@allylichimba1493 4 жыл бұрын
@@iFly-t9b n'naam Ndugu Yangu, kama umesoma vizuri jumbe Yangu nimesema kuwa "Ikiwa Allah ametupangia sisi kupata kheri /mambo mazuri basi tutapata na msaada wao hautosaidia kitu katika nchi yetu" nasio kwamba "tunamfata Allah" ingawaje pia hata tukisema tunamfata Allah hatukusudii kwamba watu wote ktk nchi,napia usiseme kitu ambacho huna u hakika nacho" ukisema suala lakuua watu na kudhulumu ,basi nijui yako kuleta evidence and if you don't have evidence also you don't have a right to speak"
@iFly-t9b
@iFly-t9b 4 жыл бұрын
Ushahidi gani huo unaoutaka ww? Inamana ww haujui kua watu wamedhulumiwa na kuuliwa na kuteswa Tanzania hii? Au ndio funika kombe mwanaaharamu apite? Mapenzi ya chama chako hayo yameziba macho na masikio yako husikii wala kuona unyama unaofanyika hata dhidi ya waislamu wenzako. Endelea kuintertain dhuluma na mateso wanayofanyiwa wengine sababu ww na family yko mnaishi vzr hadi siku utakayoletewa ushahidi.
@allylichimba1493
@allylichimba1493 4 жыл бұрын
@@iFly-t9b oooooh! Nisikilize Ndugu,kwanza mie nimtanzania nisiyefungamana na chama chochote,itikadi Yangu ni kumtii Kiongoz yeyote atakae pitishwa ,itikadi Yangu inanizuia kuandamna na kupingana na mamlaka iliyo juu Yangu na hiyo ndio itikadi yawema waliopita,isipokuwa Ndugu Mimi nasma hivi, masuala ya vifo au dhulma zinazofanyik nchini nwangu nimambo ninayo yasikia kama ninavyo yasikia kwako sina ushahidi hata mmoja namimi naamini sana kwenye ushahidi nasio porojo,na maranyingi ukiwa unakawaida yakuamimi kitu bila ushahidi utakunbwa na Matatizo ya propaganda yaliyo kwaviingozi wengi,so nijuu yako umpende Kiongoz na umtii Kiongoz aliyeko na kama anafanya dhulma basi muombee DUA Allah amuongoze ,sio kwendanae against. Note:- huna haja ya kupanic kwamba yakusikia mkuuu watu hutumia ndimi zao kukufitinisheni
@iFly-t9b
@iFly-t9b 4 жыл бұрын
@@allylichimba1493Mazali itikadi yako ww ni kufata kiongozi yoyote Yule no matter what, then hapo sasa nimekuelewa.. end of the conversation.. Ila mda mwengine ukichanganya itikadi zako binafsi na maamrisho ya Allah basi nisipokuhoji Mimi mwengine atakuhoji.. siku njema Kaka yangu
@emmanuelmadahamadaha6402
@emmanuelmadahamadaha6402 4 жыл бұрын
Asanten sana
@stephensandiko6049
@stephensandiko6049 4 жыл бұрын
Hiyo misada pesa yetu si mlichuma Tanzania alafu mnajifanya misaada
@pacojr9441
@pacojr9441 4 жыл бұрын
🤔🤔🤔🤔
@shabanikulwa4959
@shabanikulwa4959 4 жыл бұрын
h
@carentemu9141
@carentemu9141 3 жыл бұрын
Tunaipenda Tz natutajirinda na kujiongoza wengewe atuna aja ya misada
@yurthavenance4190
@yurthavenance4190 4 жыл бұрын
Jpm mungu akusaidie uwe na wepesi wakuyashinda haya tote,anaechongea hatukomoi watanzania yupo mungu alie kupa maono ya mbali ukasema tufunge kwa kusali siku tati corona ikaisha.amini mungu yupo
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
Kabisaa tumuombee Rais hii Vita ya kishetani atashinda tusimame imara
@aploniarevocatus8347
@aploniarevocatus8347 4 жыл бұрын
Unampenda ww mlala hoi
@aploniarevocatus8347
@aploniarevocatus8347 4 жыл бұрын
Fala wewe unaomba huku umeshika kikombe cha chai
@aishafrancis7714
@aishafrancis7714 3 жыл бұрын
Tupo kwenye maombolezo msituchanganye
@fidelslick2086
@fidelslick2086 4 жыл бұрын
Tanzania Musiache kuzidisha maombi, Hawa mabeberu sasa wanatafuta kila njia kuharibu Tanzania na kumvuruga Magufuli. God Bless Tanzania
@issaame3591
@issaame3591 4 жыл бұрын
Very good
@nsubiraphael8514
@nsubiraphael8514 2 жыл бұрын
Allow them to make new policy
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 4 жыл бұрын
Mungu atatupigania Japo Taifa litatikiswa na Mabeberu chini ya vibaraka wake Tutashinda tu tumechoka kutishwa Na misaada muda umefika Mungu atatutetea tu
@paulyohanandanauze1319
@paulyohanandanauze1319 4 жыл бұрын
Im dreaming for the day when Tz will be free of fools, or their impact will be mild, then its glory as the country will shine
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
Kuna kazi kubwa,wapumbav ni wengi licha ya ukandamizaji wa wazi
@rashidiwilliam8469
@rashidiwilliam8469 4 жыл бұрын
Africa nzima wafuate nyayo za tanzania
@mohdalkidarasa7888
@mohdalkidarasa7888 4 жыл бұрын
Waapi ndio basi misaada hamna saizi anajiharia tu jpm
@markleshan7185
@markleshan7185 4 жыл бұрын
Nyayo z madictator ebu njoo kenya uone umuhimu wa demokrasia unaeza tuzi raisi na bado unatembea tu kaa kawaida
@Okayafilm
@Okayafilm 4 жыл бұрын
@@markleshan7185 Sasa hiyo ndiyo democrasia?😂😂😂😂😂😂😂wakenya wapumbavu Sana
@kubumbegu155
@kubumbegu155 4 жыл бұрын
Utuitaji misaada yenu sisi msitujadiri mlietuma tunagaeni bure sisi bila misaada maisha yetu atuitaji
@miriamneemavaagen4632
@miriamneemavaagen4632 4 жыл бұрын
Namuunga mkono president Magufuri kwa kuweka mbele Mungu
@miriamneemavaagen4632
@miriamneemavaagen4632 4 жыл бұрын
Kumuunga president azidi kuomba Mungu Zaburi 127 .12
@kwetuarts
@kwetuarts 4 жыл бұрын
Hiyo misaada wapeleke misitu ya amazon.
@spabiton7989
@spabiton7989 4 жыл бұрын
I was Germany 16 years I no you very well
@leticiakomba6695
@leticiakomba6695 4 жыл бұрын
Wafe huko na misaada yaooo. Wampe lisu waoo
@richardgervas1357
@richardgervas1357 4 жыл бұрын
Wasipotupa misaada tukajitegemea tutabanwa kodi itafika mpaka sukari utauziwa kilo elfu 10 watakaoumia ni watu wa chini Mimi na wewe
@alphasjoseph7542
@alphasjoseph7542 4 жыл бұрын
@@richardgervas1357 Hawajui hilo wao wanabwatuka tu.
@richardgervas1357
@richardgervas1357 4 жыл бұрын
Tusishabikie tutazame na upande wa 2 tuangalie mifano ya nchi nyingine
@johnretisia6579
@johnretisia6579 4 жыл бұрын
@@richardgervas1357 usilopoke2
@husseningurukuru730
@husseningurukuru730 4 жыл бұрын
Kumbuka una. Viwanda vya juis tu hata ya mararia una bomba ra sindano ujengi ww tanzania mbumbumbu pumbavu keshi unayo
@emmanueljackson2665
@emmanueljackson2665 4 жыл бұрын
We always can through who strength us in Jesus name
@saidmkilya8454
@saidmkilya8454 4 жыл бұрын
Huyu jamaa anasaliti nch kuwa. Maslay take na. Watuu wake
@sirnunda3758
@sirnunda3758 4 жыл бұрын
Yesu anaruhusu wizi wa kura?
@beberurafiki3534
@beberurafiki3534 4 жыл бұрын
kauli za kutia aibu hz. imani ni muhimu ndio lkn ki mifumo ya kiserikali ni vzr kwenda kisayans pia maana hata Mungu husistza suala la ku2mia maarifa kuliko kusema MUNGU MUNGU 2. Mnaponzwa na kukosa kujua tafsiri ya neno uzalendo. mwajifny mwapenda zaid nch huku mkienda pupa pupa. tatzo akili hamna
@emmanueljackson2665
@emmanueljackson2665 4 жыл бұрын
@@beberurafiki3534 ambae hana akili yuko milembe.. Umekaribia ww kufika huko
@LordHilpolithRothschild
@LordHilpolithRothschild 4 жыл бұрын
@@beberurafiki3534 nakubali sana
@fatumamwalimu6135
@fatumamwalimu6135 4 жыл бұрын
Mungu ataisimamia Tanzania, na si mwanadamu, Tanzania oyeeee, tupo makini Tanzania na maajabu yatazidi kuishangaza dunia jpm biga kazi hakuna kuludi nyuma
@aminaomar9675
@aminaomar9675 4 жыл бұрын
Tanzania haiwezi kupiga maendeleo kwasababu wanaonufaika niwatawala t
@beberurafiki3534
@beberurafiki3534 4 жыл бұрын
kauli km hz znadhihirisha kwmb awali binadam alikuwa ni nyani na bado wngn ni nyani. tatzo la pili ni kukosa uwezo wa kuona mbali
@LordHilpolithRothschild
@LordHilpolithRothschild 4 жыл бұрын
Hii ili sijui ni chizi au vp sasa Tanzania itasaidiwa na mungu sio binadamu tena unakuja kusema agu aisaidie Tz yy mungu o
@saidseleman6004
@saidseleman6004 4 жыл бұрын
Tundu lisu kumbuka ndugu zako wako singida hujaondoka nao 😃😃
@machaggechacha3422
@machaggechacha3422 4 жыл бұрын
@@anastaziamwamlima8398 Hawezi Tanzania sio Libya ambayo ilikuwa imesambaratika kikabila ndio maana mabeberu wakazidi kuwagawa walibya na kuwapiganisha wao kwa wao. Sasa wazungu wanachukua mafuta bila hofu na walibya wakufa maji kukimbilia ulaya na wanauwawa. Obama ni mshenzi sana.
@gloriamichael3698
@gloriamichael3698 4 жыл бұрын
@@machaggechacha3422 box la tarehe 28/10/2020 ndilo last say.washindwe na hela yao eboooo .
@kasalimareju6052
@kasalimareju6052 4 жыл бұрын
Hiv lisu amekujaje?
@knyndsknyds8687
@knyndsknyds8687 4 жыл бұрын
Waelezeni mtu mzima hatishiwi nyau .....tuko na Mungu na tutaendelea kuwa na Mungu.....Watuache na BABA ETU!!
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
Kulwa nyanda nchi gani hii mpaka pesa za bajeti tufadhiliwe hizo sifa za magufuli za kusema nipesa za ndani ziwapi
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
Kulwa nyanda nchi gani hii mpaka pesa za bajeti tufadhiliwe hizo sifa za magufuli za kusema nipesa za ndani ziwapi
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
@@bableeyzabdalla531 endelea kutetea beberu hamia kwao tuache na nchi yetu
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
@@rosetreffert6727 je hao wanaokwenda kwao kuomba misaada tuwaiteje ukweli umefichuka bajeti yetu ni ufadhili WA wazungu
@bableeyzabdalla531
@bableeyzabdalla531 4 жыл бұрын
@@rosetreffert6727 je hao wanaokwenda kwao kuomba misaada tuwaiteje ukweli umefichuka bajeti yetu ni ufadhili WA wazungu
@NyasanaTv-ol4ix
@NyasanaTv-ol4ix 7 күн бұрын
demokorasia tz hatuna sema kuhusu maradhi tunamwamini mungu mimi hapa sijachanjwa namwamini mungu tu
@christianmduda9429
@christianmduda9429 4 жыл бұрын
This is our Nation
@D-mox
@D-mox 4 жыл бұрын
Gusa link Apo chini twende ukaitazame nyimbo yangu (WANATAMANI) Ipo hewani now SUBSCRIBE CHANEL YANGU kzbin.info/www/bejne/p2LNdGWDo7Sbo8k j
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
Kabisaa tumuombee Rais wetu Magufuli ❤️🙏
@JoyceChaleswahili
@JoyceChaleswahili 4 жыл бұрын
Magufuli oyeee. tanzania kwanza , Tanzania juu
@absonemlumbe6577
@absonemlumbe6577 4 жыл бұрын
We mkundu kweli unashangilia mhuni huyo
@justinemgeni8716
@justinemgeni8716 4 жыл бұрын
@@absonemlumbe6577 Tanzania kwanza mengine baadae jpm nambari 1
@allpotentials8420
@allpotentials8420 4 жыл бұрын
@@absonemlumbe6577 acha upuuzi we mbwa uo mkundu si ndo unatolea mavi kila siku,,,acha kutukana kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo.
@aminaomar9675
@aminaomar9675 4 жыл бұрын
Ww unafaidika nn nahuyo jpm
@ramadhanchiiza9215
@ramadhanchiiza9215 4 жыл бұрын
Msitiletee ushoga wenu kwasababu kibaraka wenu Lissu ameshindwa ndio mnaanza kutuletea umalaya wenu kwendeni zenu huko china atatupa pesa
@samsonanthony7236
@samsonanthony7236 4 жыл бұрын
Hatima ya taifa la tz ni MUNGU pekee ndyo tuliyemuachia Mungu ndyo ataamua juu ya taifa letu wasitutishe
@starwakanda
@starwakanda 9 күн бұрын
Kwan atuwezi kuishi bila wao
@Zumitv-c1g
@Zumitv-c1g 4 жыл бұрын
Nimemkumbuka mwalimu wangu wa somo la historia...."Ukitaka kuamini misaada ya nchi za magharibi yana thamani au la! basi kwanza anza kuamini madeni wanayodai utayalipa au la?....kwasasa watuache kwnza tujipange kivyengine
@ramosrobert7656
@ramosrobert7656 4 жыл бұрын
Europeans nations they still thinks that's Tanzanias people they have black brain God bless Tanzania God bless jpm
@lusajosanga6734
@lusajosanga6734 4 жыл бұрын
We jamaa ni mwehu sa nchi yako inajiwez kw kip zaid ya kulima shamba tu kila kitu msaada madawa ya arv subir msipate mkazkane kijing usipende kuropoka
@mashaeliazer7433
@mashaeliazer7433 4 жыл бұрын
Nilijua tu hiyo ndio silaha zao kwa nchi za Africa Wakiona unawaweza wanakugeukia kukuwekea vikwazo,wapuzi sana Hawa iacheni Africa na mambo yao Hivi inawezekanaje bunge la ulaya kujadili mambo ya Africa? Ingekua heri Africa ingejjadili tanzania inawahusu nini.
@minormine4417
@minormine4417 4 жыл бұрын
Wapuuzi ni viongozi wako ombaomba kama ulikubali mkopo kwa makubalianoukadhindwakuyatimiza unategemea nini hlf kwanini wawe ombaomba wakati walikigamba wanajiweza, mjipiganie wenyewe Tanzania acheni kupeleka mabakuli mnatia aibu, walijua wanachokifanya kama kitaleta madhali ya kupigwa teke bakuli lao la kuombea ndio maana wakafunga mitandao ili maboss wasione lkn wakasahau kuwa wengine walishatinga nchini Tanzania wanaangalia ukiukwaji wa katiba!
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
Hivi botswana,mouritus,ghana,sychells hao na tanzania nani wameweza?jee moroco haikuweza?mbona mnazungumzia upuuzi wkt wameuliwa hadharani au kwa roho mbaya zenu na ubaguzi mmeona sawa kwa vile sio familia zenu?
@minormine4417
@minormine4417 4 жыл бұрын
@@ahmedsultan8561 Acha kulilia pesa za mwanaume mwenzako tafuta zako hawataki hawataki, unaijua mikataba waliosaini nchi yako kwa ajili ya kupata hizo pesa! Serikali yako inajua walivhokifanya ndio maana walijaribu kuzima mitandao ili maboss wao wasione kinachotendeka ukiukwaji wa haki za binadamu walijua maboss (Mabeberu) wakiona hawatapata missada, kwahiyo ujue mwana kulitafuta mwana kulipata, wamevuna walichopanda! Lalamikieni serikali yenu na mnaoumia ni nyinyi walala hoi, viongozi wao wanakula vizuri na maisha yao na familia zao ni shwali!
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
@@minormine4417 serikali imenyimwa 7bu ya ukandamizaji na uuaji,watu wanauliwa ovyo.kwa watu wanaojali utu hawwawez kuunga mkono uonevu
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
@@ahmedsultan8561 acha kujipa moyo wakiona nchi inapiga maendeleo huwa wanatafuta visababu
@anithashembilu7732
@anithashembilu7732 3 жыл бұрын
Mtuache na nchi yetu. Tunataka uongozi Bora, na amani. Kwani korona ni Mungu?
@lingwamalagila3003
@lingwamalagila3003 4 жыл бұрын
Tunalazimishwa kukubali tuna corona wakati hatuna Mungu siku zote atatutea tu hii ndiyo Tanzania aliyoisimamia Mungu
@yurthavenance4190
@yurthavenance4190 4 жыл бұрын
Mungu ibariki tz.lakin wanaoiona tz sasaivi ya nin endeleeni kumbuken hamjajiumba yupo mungu stasaidia
@devisjoseph5787
@devisjoseph5787 4 жыл бұрын
Tupo tayari kula majani, nchi yetu tuliyoachiwa na baba zetu haitachezewa na mtu, watu, kundi wala nchi yotote. Nchi hii si ya kila kitu hewala. Tupo tayari kwa lolote, Serikali yetu piga kazi, uchaguzi huu ni mkono wa Mungu, nguvu ya shetani ikae pembeni.
@stellamwasenga6205
@stellamwasenga6205 4 жыл бұрын
Noted
@shedracksimon5222
@shedracksimon5222 4 жыл бұрын
Mtuachie nchi yetu atutajie misaada tena mtuache kwani wenyewe Mungu au hatuwataki kwanza Mungu atawajibu
@alihemed4484
@alihemed4484 4 жыл бұрын
kuna uhalifu sana zanzibar kama mtakuja waondosha hawa maraisi itakuwa vyema sana we will appreciate we tanzanians
@degglerzachariah3625
@degglerzachariah3625 4 жыл бұрын
Umewaza mbali
@hekimanziku7141
@hekimanziku7141 4 жыл бұрын
Nimeipenda wana acha kuusaidia Marekani watu wanakufa na korona wanaijadili Tanzania hatuni kama kuna maslahi wanayopata Tanzania
@kareemsukri3256
@kareemsukri3256 4 жыл бұрын
Misaada au madeni mpelekeni Uhuru wa kenya aliezoea kuomba madeni na kuwababaikia mabeberu magufuli hoyeee tz hoyee Bila madeni maisha Kama kawa
@mwenyembiozakenyingisana4105
@mwenyembiozakenyingisana4105 4 жыл бұрын
Wewe hauna akili kabisa.Mambo ya ulaya na Tanzania unataja uhuru.Kama sio wazimu utakuwa ni nini huo wako.Kenya sio nchi ndogo wala Maskini.Iko na uwezo wa kuchukua deni na kulipa kwa wakati na hakuna nchi ambayo haina deni,au vile magufuli anawaficha mambo yaliyopo na kutowapa huru wananchi na wanahabari wake.Magufuli aaanze kuhojiwa uso kwa uso na wanahabari ndio uongee mbengengele zako.Wachana na kenya 🇰🇪 bro fuatilia maisha ya nchini kwako.Hakuna siku mkenya au mgombea yeyote atataja Tanzania wala hatushindani na mtu tunafanya mambo yetu.
@curiositygenius9207
@curiositygenius9207 4 жыл бұрын
Unaelewa nini mbuzi wewe? kaa kimya hujui kitu.
@brendakolo9562
@brendakolo9562 4 жыл бұрын
@@mwenyembiozakenyingisana4105 Achana Nao Awo Awajaenda Shule
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
Pesa ya covid-19 ameomba uhuru?mtakua .mazwazwa Hadi lini?
@pericykiko6198
@pericykiko6198 4 жыл бұрын
@@brendakolo9562 Wewe uliende shule una Nini ama utoporo tu
@miriamneemavaagen4632
@miriamneemavaagen4632 4 жыл бұрын
Asate sana president Magufuri nakuunga mkono yeremia. .33 .2- 3
@obadiasylvester8509
@obadiasylvester8509 4 жыл бұрын
God only can judge our Tanzanian country msitusumbue JPM is enough god bless Tanzania and African in general
@mohdnasser894
@mohdnasser894 2 жыл бұрын
nyiye wazungu tizameni maisha yenu ya huko okrania muachane na mambo ya afrika
@noelmgulusi6707
@noelmgulusi6707 4 жыл бұрын
Wameshika miguu sisi tumeshika shingo. WAKIKATA MIGUU TUNAONDOA Kichwa
@asumanishabani7539
@asumanishabani7539 4 жыл бұрын
Allah is together with us, let them to do gossip...Tz haiwahusu jueni ya kwenu na misaada yenu msitup hatuwez kuwaabudu...Naomb mtuache tuna jambo letu na ipo cku mtakuj kutuomba misaad nyie...this is TANZANIA the gift land from our lord
@D-mox
@D-mox 4 жыл бұрын
Gusa link Apo chini twende ukaitazame nyimbo yangu (WANATAMANI) Ipo hewani now SUBSCRIBE CHANEL YANGU kzbin.info/www/bejne/p2LNdGWDo7Sbo8k j
@vumiliakekani5407
@vumiliakekani5407 4 жыл бұрын
Subir uone mambo ndo utajua kwa non kuku hakojoi
@honoratusmodest2123
@honoratusmodest2123 4 жыл бұрын
Hatuna shida na misaada yenu mpeni lisu mkitunyima poa
@ishankienji38
@ishankienji38 4 жыл бұрын
Tulikataa misaada kitambo ata wanapoteza muda kuweka vikao sa hii lkn anko magu ni homa ya dunia yaani wazungu wanakosa usingizi juu yake alafu mwamba hana habari ndo kwanza anachapa kazi kweli Magufuli baba lao
@shalomizrael667
@shalomizrael667 4 жыл бұрын
ACHA MBWA WA BWEKE. SAFARI NI SALAMA, NA KAZI INAENDELEA. JPM DAWA YENU.
@geitaamb4152
@geitaamb4152 4 жыл бұрын
Ww mjinga mbwa mamaako fara ww
@awardhakimu4777
@awardhakimu4777 4 жыл бұрын
Nchi ikiwekewa vikwazo ni noma
@ommydallas4274
@ommydallas4274 4 жыл бұрын
Bullying never end, Tanzania and Africa in general, leaders and people let us stop depending or those poor European politicians and their devide and rule agenda, wake up Tanzania and wake up Africa. Mzee Baba do ya things and let us continue to develop our nations in Africa. Once they see we imencipate ourselves and develop our nations, they will find something to pick on us. Let's Unite and develop mama Africa. God Bless Tanzania and God bless Africa.
@الزغويالزغوي-ض3ن
@الزغويالزغوي-ض3ن 4 жыл бұрын
INASIKITISHA SANA KUMUONA MTU ANAE DAI KUIPENDA NCHI YAKE KISHA ANAKUWA MSITARI WA MBELE KUITAFUTIA NCHI YAKE VIKWAZO ISHINDWE KUSONGA MBELE !!!
@khalfanibobewe4278
@khalfanibobewe4278 4 жыл бұрын
Ni usenge sana ndugu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 4 жыл бұрын
Mbona kiongozi wetu kasema hatujitambui misaada. Mnachokidkitia hapa ni nini
@bienfaitlongangi4582
@bienfaitlongangi4582 4 жыл бұрын
Hachana na mabeberu ,wana tu sumbuwa sana huku kwetu congo.
@elliottrahema
@elliottrahema 4 жыл бұрын
Huyu nyumbu hakuleta maendeleo yoyote huko kwao siginda Sasa anaona magufuri ataleta maendeleo Tanzania karibu atapata heart attack kwa uroho wa madaraka mungu anaipenda Tanzania subiri, huyu nyumbu he will reap what he sow malipo. Ni hapa duniani he might think that his in a prime time now utashangaa hao hawala zake wakijua hatapata uraisi wakimugeuka sijui atakimbilia wapi. You don't burn 🔥 the bridge Tundu Lisu mungu anazidi, kuisambaratisha chadema the hell is just begun
@vradmirlenin8290
@vradmirlenin8290 2 жыл бұрын
huyo tobo lisu. wako anagawa tako huko ulaya tu
@mgazaabeid2428
@mgazaabeid2428 4 жыл бұрын
Misaada wapeleke kwa watoto yatima UNISEF!
@joyceyombo9826
@joyceyombo9826 4 жыл бұрын
Muache Mungu atatutetea Tanzania pamoja na rasilimali zetu
@mwombekirwezaura8627
@mwombekirwezaura8627 4 жыл бұрын
Siku wakiondoa misaada yao huyo Lissu na zito Wakagombee huko ulaya
@priencedamdoek508
@priencedamdoek508 4 жыл бұрын
Tanzania inavita dhidi ya wizi na ufisadi wa Mali za Uma. Ujerumani ikiwa miongoni mwao, kwasababu ilichukuwa MJUSI ya bila idhini yetu Watanzania, na inaiingizia fedha nyingi kwa watalii wanao enda kutalii huko. Waurudishe MJUSI wetu la itabidi sheria ichukue mkono wake. Kwani hayo ndio mapambano tuliyo nayo. Boasivic Sasunick
@damasmichael2523
@damasmichael2523 4 жыл бұрын
Tunyimwe tu msaada ili mbwa wabweke vizuri
@mwombekirwezaura8627
@mwombekirwezaura8627 4 жыл бұрын
Hapa wafunge misaada na wawachukue Lissu na Zito wake
@dogoshee21
@dogoshee21 3 жыл бұрын
Let lives it to God
@jeanfernandez2863
@jeanfernandez2863 4 жыл бұрын
Muda umefika wa kuachana na nchi za kiafrica
@wilfredmlaki822
@wilfredmlaki822 4 жыл бұрын
Kwao hakuna democracy kabisa mbwa hao
@D-mox
@D-mox 4 жыл бұрын
Gusa link Apo chini twende ukaitazame nyimbo yangu (WANATAMANI) Ipo hewani now SUBSCRIBE CHANEL YANGU kzbin.info/www/bejne/p2LNdGWDo7Sbo8k
@makameomar5075
@makameomar5075 2 жыл бұрын
Hiv ao wazungu hawajaona chakuongelea? Waende urusi wakamzuie washenzi ao
@kashidimaope559
@kashidimaope559 2 жыл бұрын
Hivi africa lini tutaendelea lkn our Leaders akili zaoo tu ni misaada tu 😢
@ndembwamponda7674
@ndembwamponda7674 4 жыл бұрын
All those arise to speak evil and lies against Tanzania, God Almighty is watching you.
@jamesswai6583
@jamesswai6583 4 жыл бұрын
Hujui ata ulichoandika
@helencyprian6044
@helencyprian6044 4 жыл бұрын
Kabisa
@ahmedsultan8561
@ahmedsultan8561 4 жыл бұрын
Which is lie???
@minormine4417
@minormine4417 4 жыл бұрын
Are you sure? You just pretending that nothing happened in our Country, the Government killed peoples! I agree with don’t give anything the government of Tanzania they’re going to misuse the money and they don’t care about democracy!
@pendomwamilima9033
@pendomwamilima9033 4 жыл бұрын
Tena mungu adhabu yake iko kwa wanaombedha jamani watanzania wenzangu tuamke kupinga kwa maombi kusuhu hili na mungu ajiinue juu ya tanzania na wazidi kushangaa ukuu wa mungu juu ya nchi yetu
@charleskaozya9924
@charleskaozya9924 4 жыл бұрын
Waendee na marekani Basi TANZANIA SIO YA MAMA YAO washenzi wachache wanaichafua nchii yetu wasitupangie watuachie JPM wetu kwa uwezo wa mwenyezi MUNGU tutafika
@zulekhasaeed6046
@zulekhasaeed6046 2 жыл бұрын
Misaada ndiyo mibaya sana
@salumtalib2344
@salumtalib2344 4 жыл бұрын
Jumuiya ya ulaya musibabaishe nchi yetu Hanna lolote musimuhangaishe Rais wetu kaeni na pesa zenu tuliwatuma mutuletee si mlizileta wenye acheni ujinga jumuiya ya ulaya musitusaidie tena huu sio Masada ni kutukashifu kwa Taifa letu mutukome
@mahiyangamalekela5390
@mahiyangamalekela5390 4 жыл бұрын
Ama kweli raisi magufuri alisema vita ya kiuchumi ni mbaya sana watu wamekuwa wanambeza msiba hakika ulaya wanaona donge kwetu Tanzania mungu simama pamoja na Raisi magufuli pamoja na watanzania ulie ivusha Tanzania Kwa janga la covid19
@sadickponera4507
@sadickponera4507 4 жыл бұрын
WATANZANZANIA TUWE IMARA SISI NDO TUNAOJUAA UMUHIMU WA VIONGOZI WETU WA NCHI KWA SANAAAA BABA(MAGUFULI) ANAJITAIDI SANA KUENDELEZA PALE AMBAO WENGINE WALIISHIA KWAN YEYE SIO MTU WA KWANZA KUONGOZA TZ HAO WANATAKA KUARIBU AMAN TA NCHI YETU NA WANANCHI KWA UJUMLA KITU KIKIENDA KWA MGANGA HAKILUD TENA IMEISHA IYO MUNGU IBARIKI TANZANIA, WATANZANIA, DR JOHN POMBE MAGUFURI PIA KULINGANA NA JUHUDI ZAKE AMEEN!
@teacherd
@teacherd 4 жыл бұрын
KUMBE NI UONGOO, TAHARIFA BAROZI WA TANZANIA NCHINI UBELGIJI AZUNGUMZA KIKAO CHA UMOJA WA ULAYA EU kzbin.info/www/bejne/aIrcoKGIapdjps0
@josephsaningo496
@josephsaningo496 4 жыл бұрын
Mjadala huu aisaidii plz Aachen Tanzania ilivyo lissu no mwana mpotevu Tanzania imezibiti corona mnataka kuijadili iwasaidie nn wakat mnatakiwa kua Malibu mjue tumeishindaje korona mungu yuko nas
@johnmtui9470
@johnmtui9470 4 жыл бұрын
Tatizo la wew ni elimu tyu
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
@@johnmtui9470 hivi kwa akili yako ulikuwa utegemee lisu achinde kweli na huo ukichaa?
@LordHilpolithRothschild
@LordHilpolithRothschild 4 жыл бұрын
Tanzania ikifeli na biashara na investments zao znafail ndio maana wanajali tumia akili. EU sio wabaya wabaya ni hawa jamaa uku
@noelmgulusi6707
@noelmgulusi6707 4 жыл бұрын
Wachezaji wa Taifa star TZwalipimwa huko Tunisia wote wakawa Negative
@josephmgaya4932
@josephmgaya4932 4 жыл бұрын
kweli kabisa wako vizuri!!!!!
@salukabunda4049
@salukabunda4049 4 жыл бұрын
Waachane na ss kabsa hawa kenge maji tu na hatuna haja ya misaada yenu pumbavu kabsa 😂😂🤣🤣 corona ipo kwenu tu huku kwetu tupo vizur
@leinaamos
@leinaamos 4 жыл бұрын
Uuuuuu
@spabiton7989
@spabiton7989 4 жыл бұрын
For get Tanzanians john pombe magufuli master his ower choice but we're reach in heat and we Love magufuli
@selemankishema5780
@selemankishema5780 4 жыл бұрын
Acheni kaeni na hela zenu haya tundu umepata nini kumbe msaliti kweli
@romanusdominicus5184
@romanusdominicus5184 4 жыл бұрын
We praise the God of Tanzania, the agents of satan are paplexed, God will win for Tanzania.
@sirnunda3758
@sirnunda3758 4 жыл бұрын
Is God working with thieves?
@rosetreffert6727
@rosetreffert6727 4 жыл бұрын
@@sirnunda3758 you self is thief
@beberurafiki3534
@beberurafiki3534 4 жыл бұрын
Ignorance is your problem
@LordHilpolithRothschild
@LordHilpolithRothschild 4 жыл бұрын
There is no god of TANZANIA
@StrongbowArrow2004
@StrongbowArrow2004 7 күн бұрын
Wapeni taarifa hao vibaraka wao HATUTAWAPELEKA IKULU KAMWE Acheni kutupa misaada yenu hatutaki
@SimonMartin-d7t
@SimonMartin-d7t 7 күн бұрын
Hiv wana mini cha kutusaidia hawa washenz
@twazdkkajipangaamir8329
@twazdkkajipangaamir8329 4 жыл бұрын
Wendawazimu saaaana. Fungeni hatuishi kwa nguvu zenu mungu ndo kila kitu kwetu
@hamisihemedi1099
@hamisihemedi1099 2 жыл бұрын
Tz msuyumbishwe.ukoloni mambo.leo
@amosafrica2350
@amosafrica2350 4 жыл бұрын
Mashetani watupu! Wake huko na Corona yao. Sisi tunasimama na Mungu!
@ndamarevocatus4918
@ndamarevocatus4918 4 жыл бұрын
We are strong. Mlitaka tufe na corona. Mtumie pesa zenu kujitibu wenyewe
@elishangomele9937
@elishangomele9937 4 жыл бұрын
Mikundu yao wao waseme tu ukweli kuwa waliemtuma hajashinda
@goodluckyuisso606
@goodluckyuisso606 4 жыл бұрын
Simamishen mungu wetu hatuachi magufuli jembe letu
@geraldleger5793
@geraldleger5793 4 жыл бұрын
Msaada ! Kwani sisi Wakoma ?
@matlesimon1357
@matlesimon1357 4 жыл бұрын
Africa hatupaswi kutegemea ulaya tufanye kazi
@jonathankihebe9889
@jonathankihebe9889 4 жыл бұрын
Yangu ni kuskilizia tu mwenye mamlaka ndo wenye nafasi kutoa majibu ya kulijibu Binge la Ulaya kuhusu jinsi uchaguzi ulivyokuwa.
@francemwaikuka7212
@francemwaikuka7212 4 жыл бұрын
Ulaya tuacheni Tanzania nyie angalieni mambo yenu,ulaya ilikuwa zamani,saahizi tunaweza jitegemea.
@hassanmohammed7811
@hassanmohammed7811 4 жыл бұрын
Tundu lisu Acha hayo mambo yakupeleka maneno huko usitie maneno rabda yangepelekea kutuumiza watanzania sote, kuwa na busara. (Lisu)
@hassanturky7511
@hassanturky7511 4 жыл бұрын
Bora wanyime. Maana nyuma ya kila msaada Wana lao.
@thomasdanielmatuja1895
@thomasdanielmatuja1895 2 жыл бұрын
Apana Hawa watu ni wahovyo tuachane nao wajanja sana Hawa mbwa uvuko sisi hatuna Tena hayo yote ya nini? My question walikua wapi kusema mpaka kisiki kaondoka.
@richardboaz-mashagospel2346
@richardboaz-mashagospel2346 4 жыл бұрын
Hivi hawa wabunge tuliwachagua sisi? Kama sio sisi wanakaa vikao kwa interest ya nani? Yaani kama wana hamu Magu awaongezee miaka kama gadaffi
@D-mox
@D-mox 4 жыл бұрын
Gusa link Apo chini twende ukaitazame nyimbo yangu (WANATAMANI) Ipo hewani now SUBSCRIBE CHANEL YANGU kzbin.info/www/bejne/p2LNdGWDo7Sbo8k
@japhetmaige3551
@japhetmaige3551 4 жыл бұрын
TUTASIMAMIA IMARA DAIMA WATUTOLEE UNAFIKIWAO
@getrudechiluba5183
@getrudechiluba5183 4 жыл бұрын
Hujitambui mjinga wewe
@pendael02
@pendael02 4 жыл бұрын
@@getrudechiluba5183 Ndiyo tutasimama imara, corona haipo tz
@shabanikulwa4959
@shabanikulwa4959 4 жыл бұрын
siotutasimama sema nitasimama unauwezo wapambana nawanguww meambi magu aludishe helazao
Арыстанның айқасы, Тәуіржанның шайқасы!
25:51
QosLike / ҚосЛайк / Косылайық
Рет қаралды 700 М.
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 54 МЛН
Zelensky reveals Putin’s plan / Russia loses territory
12:10
NEXTA Live
Рет қаралды 292 М.
How China and Russia Project Power in Africa
2:37
South African Institute of International Affairs
Рет қаралды 19 М.