Mzee Joseph Sinde Warioba ni tunu na hazina ya Taifa. Mzee Warioba ni mzalendo wa kweli na unayelipenda taifa lako kwa moyo wa dhati. Kwa hekima, busara, na ushauri wako umeonesha nia ya dhati ya kuliponya taifa. Mungu akubariki na akulinde daima!
@rahimsadru-ct4ot3 күн бұрын
Nchi iliharibiwa na Hawa,,mizizi yote ya uharibuf ilianzia kwao
@walidmgonja36442 күн бұрын
Kwani taifa iko ngojwa?
@FaustineMangula3 күн бұрын
Hongera sana mzee, ila wenzako CCM wanakuzibia masikio hana la kusikia dawa ya kudumu ni katiba mpya ili wasiwe na kiburi.
@KishiwaMaganga-g1r3 күн бұрын
Kweli baba
@EliaHiluka2 күн бұрын
Naitwa Elia hiluka ninawapa taarifa kuhusu uchaguzi wa cdm nilivyoona Mimi kwamba atakayekuwa mwkt taifa ni Bwana Lisu atatangazwa rasmi kwa namna yoyote ndiye chaguo la Mungu ilikukomesha dhuluma na uonevu kwa mamlaka
@Peterchipemba3 күн бұрын
Mzee hekima na busara unazo na zikufuate
@EliaHiluka2 күн бұрын
Katika 1Koritho 13:1-8 hivyo mbowe wewe ni mkristo soma andiko hili pia lisu Mungu anapokupa nafasi hiyo wewe sio Bora kuliko mwingine Bali kwa Sasa Mungu anakipandisha cheo kupitia kura ili ukawe sauti ya wanyonge
@knight67572 күн бұрын
Wanaifanya hivyo wasubiri kura za hasira kutoka hao hao maccm
@RashidShedaffa-v9x3 күн бұрын
Mzee ulipofukuzwa uwaziri mkuu na Mzee Rukhsa ilikuwa ni haki, acha kutumiwa mzee.
@ChalesLukumai3 күн бұрын
Ntanta Em acheni upuuzi. Mzee Warioba alikuwa anaongelea uchafuzi wa uchaguzi wa serekali za mitaa. Hapo hajaongelea uchaguzi wa Chadema.
@LoitushulYamat2 күн бұрын
Nchi yetu nimoja ya nchi baraniafrica ambaye utakwenda kuishia vibaya sana kisiasa barani afrika kutokana na viongozi wake kuhubiri amani na utulivu bila haki na kufanya mambo kinyume na miongozi halali.
@EliaHiluka2 күн бұрын
Kumbukumbu aliyoiacha ni kusimamia haki na kutokuwa chawa
@Peterchipemba3 күн бұрын
Mzee umetupa majibu nani atashinda uenyekiti chadema taifa,,sasa ni mala ya pili wagombea wanaenguliwa,,chadema hakuna matamko wala mabadiliko,,nikufalijiana tu,,mda unaenda mboe,,lissu chaguo letu
@jimmymnuano71653 күн бұрын
Mh. Warioba tafadhari hebu futa hilo neno la kusema katika utumishi wako nini umefanya zaidi ya amani kingine nini umefanya zaidi ya kujisifia hebu tulia we mzee
@Kwelihukuwekahuru2 күн бұрын
Hivi mtu akisema ukweli huwagusa wahalifu anachosema Mzee Warioba ni kusaidia kizazi kijacho wewe unamuuliza alifanya nini ulitaka afanye nini zaidi ya aliyoeleza
@jimmymnuano71652 күн бұрын
@@Kwelihukuwekahuru Angefanya hayo anayosema kwani amesahu katika uongozi wake watu walikuwa wanavaa mgunia ? Alisema nini yaani anasema wakati watu wanavaa suti si unaona hata nywele hanyoi anakumbuka enzi yake hata saloon hakuna yaani anajifanya amesahau kikubwa anaona wivu mama anafanya kweli
@Kwelihukuwekahuru2 күн бұрын
@@jimmymnuano7165 nafikiri ulikuwa hujazaliwa Warioba hajawahi kuwa Rais na waziri mkuu alikaa kwa muda mfupi sana akafanyiwa figisu Mkondya akatumika na akanyang'anywa ubunge kwa uadilfu wake hakukataa rufaa kudhihirisha hakuwa na tamaa ya madaraka hata wakati wa Nyerere huyu mtu alikuwa na msimamo hakuwahi kuwabambikia kesi watu akiwa mwanasheria mkuu wa serikali halafu ndugu yangu kuvaa suti siyo kipimo cha maendeleo hao wazee hawakuuza rasilimali zetu kama walivyofanya warithi wao
@EzekiaMtwale3 күн бұрын
Kweli ya kale ni dhahabu,Hawa ni miongon mwa wachache wanaojitambua wenye kunyoosha maneno bila kujali matokeo, inashangaza KUONA vijana wanakua machawa bila kuangalia uhalisia wa mambo!
@GodfreyOsward3 күн бұрын
Methali hii . Ukitaka kitu au jambo kutoka kwa mtu pitia tumboni. Uchawa ni kufia chakula na cheo si haki na heshima
@silasmponeja3 күн бұрын
Mbona kichwa cha habari ni tofauti na maudhui?
@SaidiSelemani-l1n3 күн бұрын
Saf mzee
@MuhamedHassan-l5u3 күн бұрын
Warioba tatizo mpaka leo unaota madaraka ulikua waziri mkuu umeacha k.kumbu gani.
@Kwelihukuwekahuru2 күн бұрын
@@MuhamedHassan-l5u unafahamu alikaa kwa muda gani hata aonyeshe tofauti