Dulla Makabila amlilia Zaiylissa "najuta kumpa talaka, naumia nikimuona na Haji Manara"

  Рет қаралды 12,438

Simulizi Na Sauti

Simulizi Na Sauti

Күн бұрын

Пікірлер: 65
@MahamoudWalii
@MahamoudWalii 2 күн бұрын
Hongera dula Kwa kuwa mkweli.
@MahamoudWalii
@MahamoudWalii 2 күн бұрын
Huo ndiyo uanaume hongera sana dula Kwa kuwa muwazi na kusema mapungufu yako.nimependa sana hiyo.
@agwalubifaridah7079
@agwalubifaridah7079 Күн бұрын
Dulla muazi kumbe... Pole kaka
@CharifaRachidi
@CharifaRachidi 2 күн бұрын
Mimi namuelewa dulla tena sana t
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 2 күн бұрын
Ila bora angeumia kimya kimya hasa sindio ataona kumbe namuumiza atazidisha kumuumiza zaidi
@mohammedkombo9798
@mohammedkombo9798 2 күн бұрын
Dula msanii hii ndo itampatia vibes
@marthageorge5043
@marthageorge5043 2 күн бұрын
Mimi namuelewa sana dulla sio kama apati mtu ila yule alie mpenda kama zailisa ajampata, wale anao wapata ni wanawake wanao penda maisha ya juu
@fauzishabani2622
@fauzishabani2622 2 күн бұрын
Talaka ya hasira. Kaangukie 🥹😁
@Osm90-m3j
@Osm90-m3j 20 минут бұрын
Manara posti azidi kuchanganyikiwa😂😂😂
@roudhamahmoud763
@roudhamahmoud763 2 күн бұрын
Pole sana dula nakuelewa kabisa
@LucyNgowi-r2o
@LucyNgowi-r2o 2 күн бұрын
Dula mjanja anajua kucheza na vyombo vya habari😂😂😂
@LindaMbilinyi-n3n
@LindaMbilinyi-n3n 2 күн бұрын
Duh😢😢😢😢
@AshaMahamudu-lz2gp
@AshaMahamudu-lz2gp Күн бұрын
Manara ongeza speed huko😂
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 күн бұрын
Bado unampenda mke wa mtu wanawake tupo kibao njoo hata kwangu acha kuwa king,ang,aa huo ni ushamba
@blueboybajos6880
@blueboybajos6880 2 күн бұрын
aje hata wapi😂😂😂
@PendoMarco-x3u
@PendoMarco-x3u 2 күн бұрын
Kweliii
@Kalssambabo-gv6uh
@Kalssambabo-gv6uh 2 күн бұрын
Kuja anaweza ila wee sio zai 😂😂😂
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 күн бұрын
@@Kalssambabo-gv6uh 😂😂😂 aje tu huyo zai kashachukuliwa tayari
@AgnesJohn-f1r
@AgnesJohn-f1r 2 күн бұрын
@@Kalssambabo-gv6uh 😂😂😂 aje tu huyo zai kashachukuliwa tayari
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Күн бұрын
Haji manara kaza mkanda🤣🤣🤣
@chany9950
@chany9950 Күн бұрын
Duuuh 😳
@BlackKing89-l1u
@BlackKing89-l1u 2 күн бұрын
Anahitaji kupelekwa milembe huyu
@blackyoungmaestro
@blackyoungmaestro 2 күн бұрын
Kiki tu, wasanii utawaweza😂
@AthumaniChalamila-c9f
@AthumaniChalamila-c9f 2 күн бұрын
Akili ana ajizalishatu
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Күн бұрын
We sio shoga kweliii ww kupenda m2 toka lini ikawa kuji za lilishaa
@b.chantal5831
@b.chantal5831 2 күн бұрын
Let Her go(Passenger)
@vincej9275
@vincej9275 Күн бұрын
Watu wanatumia nguvu zao za talaka halafu baadaye wanaanza kulia. Think first before you overreact. Marriage is a sacred covenant.
@omaraliali1268
@omaraliali1268 2 күн бұрын
True bwae
@karimjuma4019
@karimjuma4019 Күн бұрын
Dulla kweli we mtto sasa mtwara mbali km kweli unampenda huyo mwanamke nenda newala uko chap tu mbna kaz ndogo sana iyo
@MuzafarSaid-k8w
@MuzafarSaid-k8w Күн бұрын
BABU ANA ANAJUA KUTUNZA ,
@ilynpayne7491
@ilynpayne7491 Күн бұрын
Wasanii waongo sana 😂
@ZulfahMuhammad
@ZulfahMuhammad 2 күн бұрын
Tupa wangine waogote 😂😂😂
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 2 күн бұрын
Inakuaje?
@ContentSmartphone-rq6po
@ContentSmartphone-rq6po 2 күн бұрын
Zulu
@Farajahelene23031
@Farajahelene23031 Күн бұрын
So sad
@rahmaabdallah4514
@rahmaabdallah4514 2 күн бұрын
Kiki ya kufunga mwaka 2024😂
@MfizoCrypto
@MfizoCrypto 2 күн бұрын
Sheria ya Dini ina mrùhusu kumuoa tena ikiwa haji atampa talaka.. Lakini sio kwa Njia ya hawa wasanii wanatuaribia dini na Kiki zao
@emmadora7848
@emmadora7848 2 күн бұрын
Huu mzunguko nao khaaaaaaa
@sarahrashidabdallah3109
@sarahrashidabdallah3109 Күн бұрын
😅😅😅​@@emmadora7848
@RandB_Channel
@RandB_Channel Күн бұрын
Njo upate funzo na uwache tabiya mbaya
@Mumewangu
@Mumewangu 2 күн бұрын
Dula najuwa kupenda ni kitu chengine lakin umevurugwa
@OmanOman-bx5du
@OmanOman-bx5du 2 күн бұрын
Tarak nginjanginja imponza kaka
@Stellastella-yi5vu
@Stellastella-yi5vu Күн бұрын
Kituo Gani Cha redio sauti mbovu hivi
@SummymaddyMaddy
@SummymaddyMaddy Күн бұрын
Hmna talaka tatu kwa mara1 someni vizur dini zenu
@ladyr.hamsini2311
@ladyr.hamsini2311 2 күн бұрын
Dullah namjua kama hajameza dawa zake Huwa hivi
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 күн бұрын
Pole sana hivi vitu vipo
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h 2 күн бұрын
bado hujasema😅😅😅😅😅
@SabihaibrahimRajabu
@SabihaibrahimRajabu 2 күн бұрын
@JanetAhmad-v3h hahahaaaa vinatokea unaacha mke au mume kwa hasira lakini kumbe unamtaka alishindwa kuvumilia akamrekebisha
@JanetAhmad-v3h
@JanetAhmad-v3h Күн бұрын
@@SabihaibrahimRajabu acha sasa ayaone😆😆😆
@Swaga_boys
@Swaga_boys 2 күн бұрын
Kiki hii
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 2 күн бұрын
Hakuna talaka tatu kwa mara moja dini yetu
@arifali3942
@arifali3942 2 күн бұрын
Din ya uislam au ? Jichanganye ukisem 3 kwa pamoj halaf uone
@jeffmap4038
@jeffmap4038 2 күн бұрын
ukikuwa utajiona mjinga sana. wanawake wapo wengi na wazuri sana.
@jeffmap4038
@jeffmap4038 2 күн бұрын
tafuta hela.
@pengefeza2563
@pengefeza2563 2 күн бұрын
Mapenzi hayana umri
@homeandaway2811
@homeandaway2811 2 күн бұрын
Songa mbele, Zaylisa ni gumegume hata huko aliko anajikaza tu.
@uwimana6533
@uwimana6533 2 күн бұрын
Nimuono wako 😂😂
@pengefeza2563
@pengefeza2563 2 күн бұрын
No
@uwimana6533
@uwimana6533 2 күн бұрын
@@homeandaway2811 raha anazopewa na manara makabila hanauwezo huo nakuachika sio rahisi 😀
@humbleshoal
@humbleshoal Күн бұрын
Ugume wake uko wapi jamani mbona mwamsakama mwana wa mwenzenu?
LISSU AMLIPUA VIBAYA MBOWE "NI MUONGO"
14:56
JAMBO TV
Рет қаралды 19 М.
黑天使被操控了#short #angel #clown
00:40
Super Beauty team
Рет қаралды 61 МЛН
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41