Kenya tunapenda Alikiba na harmonize...huyo diamond akae kwao
@DavidsonAmbokoАй бұрын
Chuki chuki wacha kaka nyinyi ndo munaharibu wasani wenu that's why kupanda ngazi ya juu ni ngumu kaka chuki wacha na roho chafu , kwani mtu akikushinda Fanya pia vyema upande
@DavidsonAmbokoАй бұрын
Kile Mond anapitià nikile fally anapitiyanga but fally iwa habonge lolote ngooooh
@agapemunyi2095Ай бұрын
Kwa hyo anaependwa half hasapotiwi kwenye biashara yake na anaechukiwa half anasapotiwa kwenye biashara yake nan anapendwa kutoka moyoni
@Rukaka_jrАй бұрын
Asa ukimchukia diamond ndo atashuka kimusic, mmemchukia na kumuwekea vikwazo tokea 2009 mpaka leo lkn simba bado ni no 1 mpaka leo
@amrimizambwa1191Ай бұрын
Dula umeongea kikubwa huyo alitaka kuuza zaidi ila umemfelisha
@JamalAbas-fe5djАй бұрын
Kajitaidi kuepuka kujibu na hajajibu bado eti hilo nalo umaarufu haujamkubali tz kwa kuongea pumba
@nashnene6326Ай бұрын
Hilo nalo, limefeli umaarufu haujamkubali
@issashabani-c7rАй бұрын
Maswali ya kisenge senge waandishi wa habari wa tanzania ndio mambo yao wasenge hawa
@issachina9443Ай бұрын
Huyu dulla amekuwa kama bwabwa skuiz
@crecknerz5661Ай бұрын
Huyu chuki ndio mana Kila siku Yuko hvyo hvyo tu...kwani nani aliebaguliwa pale ...
@daudinelson14Ай бұрын
Mbona makasiriko kwani umeskiza vizuri alicho sema, au umekimbilia kukoment
@alexmalangalila8340Ай бұрын
Huyo kaishia kusoma kichwa Cha hbr@@daudinelson14