The Most Vibing Song uptodate.. Natumaini likipigwa hili Club watu wanaruka kama imetoka jana ..
@youngmoney50938 ай бұрын
June 2024❤ still here
@lynahasiko64545 ай бұрын
Hey hey 2024 mko wapi ❤❤
@aishaamiri45252 ай бұрын
Nani yuko hapa kwa mwaka 2024 nyakati zinaenda wapi ? Hakika utoto wetu ulikua wa faraja sana 😮
@FahadAbubakari-y3fАй бұрын
Hatari sana
@tiffahskitchen1987Ай бұрын
2025.. nipe like if you passing by
@patriotkenya5 ай бұрын
Bring me memories first listened to this song on EAtv early around 2003..it was frequently played then
@jacobmazziwajr6221 Жыл бұрын
Nyimbo ya kwanza kuijua bongo fleva 2023/12/9
@athumanimohamed9526 Жыл бұрын
Mika Mwamba was on fire 🔥🔥🔥
@IsaacMwiti-s1z2 ай бұрын
I remember those days Big up bro.
@kinyemkaly92155 ай бұрын
Nakumbuka mbari sna aisee dah Alhamdulillah 🤲
@sallesnicco1104 Жыл бұрын
PEAK BONGO FLAVA
2 жыл бұрын
T.B.T Moto Sanaa💥🔥
@miambayankeba108410 ай бұрын
Nakumbuka apo nilikuwa Uganda 2003😂😂 ulikuwa mwimbo wangu saana
@GeriaFlossinMauwano11 ай бұрын
am proud of you
@FINOXX-t1l6 ай бұрын
them days golden days.
@alfredgroover64832 ай бұрын
The beat na 5east African TV asanteni Sana mlimake my upcoming days fun
@winnieosore33608 ай бұрын
Banger still…..baby say Hi
@johnrichard5482 Жыл бұрын
Hi... Naikumbuka hiyo Song nisharuka nayo Sana Disco... #DullySykes 🎵🔥🔥🔥
@BakariKitemi Жыл бұрын
Apo mwisho mwisho kbsa, mika mwamba, aisee hiki kipndi mziki ulikua unapgwa bna
@frowinmgimba85139 ай бұрын
Haya mika mwamba ndo nimemjua juzi kumbe alikuwa ni mzungu dhaa🔥
@leonbideri18679 ай бұрын
2024! Still here.
@ObaMizo-oc1wqАй бұрын
Mabishoo kitambo
@kevinomwayi6636 Жыл бұрын
Uko sure Vybz Kartel Hi..hakukopi idea hapa🎉🎉🎉🎉i give you your flowers leo hii..big up Dully
@Ryk254 Жыл бұрын
Nakubaliana nawe ... A di Ticha naye wako sawa
@shareefkamtande Жыл бұрын
Worldboss
@jumanyale6085Ай бұрын
Mimi nimkenya Ila acheni kucoment ujinga kama hauna chakuandika uliona akitolewa kafara huyo Mtoto au mnaropoka tu hata kama kuna chuki huyo Mtoto hausiani na chochote nikitendo chaukatili sana Ila yote tisa ni mapenzi ya mungu yametia tusihukumu sana mwenyezi mungu ndiye ajuaye ukweli wote
@jumanyale6085Ай бұрын
Poleni nilikuwa nandika kuhusu huyu Mtoto wa miaka sita wa chief godlove aliyeuawa kikatili lakini message ikaja kwa hi nyimbo ya Prince dully sykes
@shabanbajhanun903 күн бұрын
Pole sana 😂
@SaydAli-iy5pi11 ай бұрын
Dah kihondaiko ndio chathamani kias kwamba kpndiiko ndio anaendesha msanii mkubwa km duly ddaah
@silverrisermkali542 жыл бұрын
Tbt legend next achilia raha ya tunda
@LucyAugust-f7u10 күн бұрын
Aisee mi nipo 2025
@hassanwabare4838 Жыл бұрын
Shoot it again!! Itavibe sanaa. Trust me
@shabanbajhanun903 күн бұрын
Sure mzee
@piterasifa3757 Жыл бұрын
Wimbo wa mwanzo hapo msaada
@dizastavinafanaccount Жыл бұрын
Handsome
@jokshtv6 ай бұрын
King of Bongo
@abdulabdallh9506 Жыл бұрын
Mwenye bongofleva yake
@Ryk254 Жыл бұрын
Wah .... Kali 😂😂
@Mohafesa003 ай бұрын
Izo dayz bandana kwa kichwa 😂😂
@leenasserhamoudy19742 ай бұрын
December 6 2024❤❤
@Jeremiasassume28 күн бұрын
🎉2025👉🇲🇿❤️
@lovenessmjaka9754Ай бұрын
21/12/2024
@nicolaussimon4299Ай бұрын
2025
@annewanjiru55084 ай бұрын
There was a bongo channel back then. Sijui ilikuwa yaitwa channel 5
@anny199883 ай бұрын
Ilikuwa inaitwa Channel 5 ndo EATV Saiv
@Drive1day7 ай бұрын
july 2024
@vyaduoj6 ай бұрын
Let me know who still listening this song , from 🇺🇸 .