DUNGA DUNGA

  Рет қаралды 1,528,368

Joti TV

Joti TV

Күн бұрын

Hawa watu wenye tabia hii walikuepo na mpaka sasa wapo, leo kapatikana Dunga dunga kwenye daladala ya anabambia mpka kichupa kinaisha...

Пікірлер: 790
@martinmsigwa9066
@martinmsigwa9066 3 жыл бұрын
"Hata hivyo nilikua na kichupa kweli kweli nashukuru nimekitua"😂😂😂 Joti Msenge sana
@aishatanzania1194
@aishatanzania1194 2 жыл бұрын
🤣🤣🤭🤭🤭🤭🤭
@deewyzeeofficial3512
@deewyzeeofficial3512 3 жыл бұрын
Blaza makoti katika ubora wake alie sikia Nani like zangu jamani😂😂😁😁
@puridangote2701
@puridangote2701 Жыл бұрын
😂😂😂😂
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
Joti ulivoona zigo unabambia kinoma na mzigo ulivoo jazia nomaaaa👌👌👌👌 mulichofeli ugejaza gar wanaobambia husubir gar ijaye sio hivo wazi
@nancyjonas3484
@nancyjonas3484 3 жыл бұрын
Jamani naombeni like kumi tu sijawahi hata kupewa naombeni watanzania wezangu
@dutchsafari7562
@dutchsafari7562 3 жыл бұрын
Kabla sijaangalia nshacheka 😂😂..haya wale team Nishai tuliowahii kufika hapa nakusanya mahudhurio hapo chini 👇
@eliya56richard96
@eliya56richard96 3 жыл бұрын
KONDAEEE KONDAEEE HIYO SAUTI NIYA MNAZI NINI.. Ila Jot unavituko Sana'a yani Umekitua kichupaa.
@mattanofficemusc3535
@mattanofficemusc3535 3 жыл бұрын
😂😂😂niliwahi kumuona jamaa mmoja kwenye dara dara akimng'a ng'ania mdada nilicheka sana leo joti kanikumbusha sijuw wanakuwaga na vichupa vya miaka mingapi😂😂😂
@bensonmuindi7133
@bensonmuindi7133 Жыл бұрын
Kama uwa warudia hii gonga like
@blackpanther4825
@blackpanther4825 3 жыл бұрын
Joti umezingua umetoboa siri yetu. Wadada wengine wanaumiza roho ukiwatazama walivyoumbika nyuma
@hamzaathumani6393
@hamzaathumani6393 3 жыл бұрын
😆😆😆😆😆😆
@elinanassary2782
@elinanassary2782 3 жыл бұрын
Hahahaa
@peterisdory8844
@peterisdory8844 3 жыл бұрын
Kipande yuko wp jaman like km unahitaji kipande arudi
@althamdb5501
@althamdb5501 3 жыл бұрын
Kwnn?
@yirgayemyirgah7820
@yirgayemyirgah7820 3 жыл бұрын
Kipande alipata ubunge wa viti maalumu
@obdady1336
@obdady1336 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKXCpYymaNGXmZo
@rashidibamangwe7022
@rashidibamangwe7022 3 жыл бұрын
Wangapi tumeipenda saut ya sopa😁😁😁
@selembaga5423
@selembaga5423 3 жыл бұрын
Huyu nimm kabisa ndio tabia yangu hii 🤣🤣🤣🤣
@kelly_visiontz
@kelly_visiontz 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ahmedanwar1210
@ahmedanwar1210 3 жыл бұрын
Brekiiiii zimezidiiiii wee gusaaa tuuuu mjubaaa na makotiii yakooo hahahha
@abdulzackawami7780
@abdulzackawami7780 3 жыл бұрын
Watu kama hawa wapo sana kwenye mwendo kasi😂😂😂
@youngweezy3846
@youngweezy3846 3 жыл бұрын
😂😂😂😂😂
@fareboyeverest1997
@fareboyeverest1997 3 жыл бұрын
Eeeh nimewahi izo mbaba hua tunazielewa wahuni tunapanda gari imeyojaa inaitwa shkilia bomba mnipe like jamani
@malakimoses6115
@malakimoses6115 3 жыл бұрын
😂😂😂 eti alikuwa nakichupa joti bigup episode nimeipenda na washikiri wote big up kazi nzuri nimecheka sana
@respiciusjohn9936
@respiciusjohn9936 3 жыл бұрын
Joti ww kiboko, king'ang'anizi mpaka umekitupa, ahahahahaa
@jeffcedry
@jeffcedry 3 жыл бұрын
😅😅😅😂😂😂🙈🙈🙈 Bora zako kichupa umekitua 🤣🤣🤣
@anganilekajigilikajigili2641
@anganilekajigilikajigili2641 3 жыл бұрын
Joti ukiwa unatazama comedy zake lazima ucheke kwa sauti saluti mzee Kaka🤣🤣🤣
@prince-li6kw
@prince-li6kw 3 жыл бұрын
Tabia ziko kweli watch from UAE hahahahahaha.
@kagenzinorbert8164
@kagenzinorbert8164 3 жыл бұрын
Bro niaje
@miriummwanaisha3728
@miriummwanaisha3728 3 жыл бұрын
Pakistani and Indians
@katinila
@katinila 3 жыл бұрын
joti brother comedy yako inazidi kua dark as days go.angalia.its funny though😂😂
@rizikisaid6812
@rizikisaid6812 3 жыл бұрын
Aaaaah..hakuna ubaya kwenda mbele na kurudi nyuma gari likifunga break😃😃
@joekabbz82kambo26
@joekabbz82kambo26 2 жыл бұрын
I had to watch this clip countless times 🤣🤣
@Noah-zt5zf
@Noah-zt5zf 2 жыл бұрын
I'm here too 100th time
@kuzimaster3399
@kuzimaster3399 3 жыл бұрын
Daaah..jot mjinga sana aisee.kweli wew na mpokii ndio bongo comedy ni yenu wazee jot na mpokii..nishidaa
@mustahilramadhan5873
@mustahilramadhan5873 2 жыл бұрын
Aaaa huyoo aliyooo semaa conda sautii yakoo ya mnazii ninii daaaaah kanifurahishaaa kudadekii
@hamispazia8325
@hamispazia8325 3 жыл бұрын
Joti nyoko zako, yaani ulivyolegeza hilo jicho wakati unafika kileleni😂😂😂😂😂
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
😀😀😀😀 ndo zangu hzo dadeq huwa nafaid kwel kutoka Nyegezi had Igoma nishamalza ktamboooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@bhadija5549
@bhadija5549 3 жыл бұрын
Ukome kabisa utaenda,segelea
@yacenharuna380
@yacenharuna380 3 жыл бұрын
@@bhadija5549 🤣🤣🤣
@ibrahimkasim6041
@ibrahimkasim6041 3 жыл бұрын
😂😂😂😂from Kenya ... Loved the video
@shadowmedia7644
@shadowmedia7644 3 жыл бұрын
Bro joti umeuaaa daaaaah
@ME-kb8rk
@ME-kb8rk 3 жыл бұрын
Wa tatu from USA🇱🇷😂
@AsmaAsma-gd3mv
@AsmaAsma-gd3mv 3 жыл бұрын
Mambo Kaka angu
@noonelike6382
@noonelike6382 3 жыл бұрын
Yani ndyo michezo yangu Mimi hii🤝🤣🤣🤣
@janethgaudence265
@janethgaudence265 3 жыл бұрын
🤣🤣
@noonelike6382
@noonelike6382 3 жыл бұрын
@@janethgaudence265 kesho utapanda daladala la wapi Nije fasta 🤝😋😋😋😋
@mussajabili6836
@mussajabili6836 3 жыл бұрын
Nakumbuka ck moja nilijimwagia kwenye ice bimkubwa mmoja alintolea macho😂😂😂
@tatumluv6054
@tatumluv6054 3 жыл бұрын
😂😂
@noonelike6382
@noonelike6382 3 жыл бұрын
@@tatumluv6054 Nataka nkudunge na wewe
@georgekiama8873
@georgekiama8873 3 жыл бұрын
Eti kila mtu humu anakanyagwa.. Joti tumekukosea nn wapanda daladala.😂
@sitiabubakar2892
@sitiabubakar2892 3 жыл бұрын
Eti..mbona karoana😃eti kanchefua😃ashamaliza
@djasaphtz1582
@djasaphtz1582 3 жыл бұрын
UMEVUJISHA SIRI YA KAMBI BRO😁😁
@senjiyunvankunzimana9474
@senjiyunvankunzimana9474 2 жыл бұрын
😁😁😁😁😁😉 joti kweli muigizaji mzuri sana nakupenda bule,nimependa pale ulipo sema kichupa afadhari umekitua😁😁😁😁😁
@josephferdinandy9823
@josephferdinandy9823 3 жыл бұрын
Daah!! Nimechekaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@babalababalakinondoni2110
@babalababalakinondoni2110 3 жыл бұрын
Yaani Leo nimewahi sijalala leteni likes basi 😂😂
@dashuusaalim1943
@dashuusaalim1943 3 жыл бұрын
Jmn pedeshee sopa kawa konda na msaut wa kikondakonda khasswaaa umejaaa mikwaruzooo... kwel maysha yanabadlkaaa
@agaseecomics5209
@agaseecomics5209 3 жыл бұрын
Kalii
@LeeMchanaji
@LeeMchanaji Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hii ya leo kali sana
@lewiskombole2917
@lewiskombole2917 Жыл бұрын
Joti your characters are so talented aisee more than bongo movie
@frediricknandonde1690
@frediricknandonde1690 3 жыл бұрын
Huyu dingi mweupe nampenda anavyoongea 😂😂😂😂
@aishahusseni3352
@aishahusseni3352 2 жыл бұрын
Kwanini wanawake wapange mstari wao na wanaume wakwao kama atujapata Siri kweli wanaume wanatabia hiyo Tena tusiwape watoto kuwapakata wanabambia sana
@conasmalale1073
@conasmalale1073 3 жыл бұрын
nashukuru nimekitupa 😂😂😂😂
@seifmohamed836
@seifmohamed836 3 жыл бұрын
Konda at bongo movies jot yuko busy na kubambia kudadeki joti nomaaaa
@emmanuelkivenule875
@emmanuelkivenule875 3 жыл бұрын
Joti,joti, joti joti nimekuita mala nne wanyumban 😁😁😁😂😂😂😂😂
@tarikmvinza2385
@tarikmvinza2385 3 жыл бұрын
Ata hivyo nilikuwa nakichupa kweli kweli nashkuru nimekitua.😅😅😅😅😅👍👍🌺
@nurafedrick378
@nurafedrick378 3 жыл бұрын
Tabia za ferry likon hixo ile asubuhi wanahixi tabia
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 3 жыл бұрын
Wapili from USA 🇺🇸 🇺🇸🇺🇸😂😂❤️🙌🔥
@sashaqueentz2917
@sashaqueentz2917 3 жыл бұрын
Nifanyie mpango wa kaz uko jaman
@sarahali5938
@sarahali5938 3 жыл бұрын
Albany tupo 😂😂😂
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 3 жыл бұрын
@@sashaqueentz2917 kazi tena gani jmn 😂😂situlikubaliana kama uku hakuna wafanya kazi sisi hawa hawa ndo tu najifanyi kazi wenyewe 😂😂🇺🇸
@christinemangaza6303
@christinemangaza6303 3 жыл бұрын
@@sarahali5938 😂😂😂
@sarahali5938
@sarahali5938 3 жыл бұрын
@@christinemangaza6303 😂😂😂😂😂
@suwedsaleh887
@suwedsaleh887 3 жыл бұрын
Hahahahahaha 🤣🤣🤣😜😜 Joti nouma ndo kwnza leo nitupie comment ktk video zako hivo naomba likes 💯 jaman
@Daniel-ew3fq
@Daniel-ew3fq 3 жыл бұрын
Like zangu from Mozambique 🇲🇿❤️❤️
@patrickmakandi580
@patrickmakandi580 2 жыл бұрын
Kaka wew kiboko
@ascoludaliko7886
@ascoludaliko7886 2 жыл бұрын
Noma mzee
@wardamunguakuzidishew9399
@wardamunguakuzidishew9399 2 жыл бұрын
Sele Tabia yako mbaya hiyo 😆😆😆😆😆😆
@julietbeka7331
@julietbeka7331 3 жыл бұрын
Hahahahahah hata ivo nilikua na kichupa kwl kwl nashkuru nimekitua joti mungu yuakuona 😂😂😂😂😂
@ukhutymamuu7470
@ukhutymamuu7470 3 жыл бұрын
Nimewahi leo 🤣🤣🤣🔥
@jasnafkiser4211
@jasnafkiser4211 3 жыл бұрын
Mimi wapili
@eddygonza891
@eddygonza891 3 жыл бұрын
Hahahahahaaaaa.... Breki nyingi sana, dereva uwe makini
@Abdulazizi-c1h
@Abdulazizi-c1h 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😅duuuuh joti jau sana
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 жыл бұрын
😁😁Jot we noma sana.Ongera zako
@tatubadi9010
@tatubadi9010 3 жыл бұрын
Wanakuaga wabishi kusogea nyuma.. Wanapenda kubambia.. 😂
@sanciroandrea8826
@sanciroandrea8826 3 жыл бұрын
Duh Andunje umetisha😅😄🙂😃😊😊😊
@kulwamussa2582
@kulwamussa2582 3 жыл бұрын
mbagala iyo dunga dunga wambagala joti hhhhhhhhhhhhhh
@abdulbogoyo1243
@abdulbogoyo1243 3 жыл бұрын
Hataree!! Mie mwenzenu nachukua kabsaa nguo za kubadilisha nikishuka daladala😂
@suleimanmuhammad8766
@suleimanmuhammad8766 3 жыл бұрын
Nime shikilia Bomba dada 👄
@eliayona1657
@eliayona1657 3 жыл бұрын
Hahahaha 😂😂 jamaa mpaka umepizi jot tz
@eligiusvitalis3504
@eligiusvitalis3504 3 жыл бұрын
Nimeimis sana Dar hizi raha nilizinjoy sana,
@dembocomedian4894
@dembocomedian4894 3 жыл бұрын
Waoooo Leo mapemaaaa nakuona mlewa,
@obdady1336
@obdady1336 3 жыл бұрын
kzbin.info/www/bejne/sKXCpYymaNGXmZo
@joshuamichael7349
@joshuamichael7349 3 жыл бұрын
Dungaaaaaaa😁😁😁😁😁😁
@ngapicsonvilla362
@ngapicsonvilla362 3 жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥 hujawah feli sema daladala utamu wake huo 😂😂😂😂😂😂
@pascalmsuyajr.7980
@pascalmsuyajr.7980 3 жыл бұрын
Mamb yak noma mzee 😂😂
@cunada075
@cunada075 3 жыл бұрын
Ameshamaliza🙌🙌
@bongelabwana3526
@bongelabwana3526 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣 joti bro nomaa
@fatmafetty4117
@fatmafetty4117 3 жыл бұрын
Alie gundua sopa anaongea kama zembwela please like yako hapa😀😀😀
@tamemahmad9902
@tamemahmad9902 3 жыл бұрын
Ameshamaliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 yaani kajuwa kunichekesha
@elishaipyana3563
@elishaipyana3563 2 жыл бұрын
Brother ww noma sana ila tungetisha zaid tungekuwa wote
@impressivebeast1776
@impressivebeast1776 3 жыл бұрын
We msenge unachekeshaaa😂😂😂😂
@sangomamourice3539
@sangomamourice3539 2 жыл бұрын
Safi sana
@emaklathamichael-sg6vy
@emaklathamichael-sg6vy Жыл бұрын
Kumbe una Pala😁😁😁😁
@bundukitv1322
@bundukitv1322 3 жыл бұрын
Kuna siti haina mtu afu kuna mmoja kasimama.... ha ha ha ha msichezee kazi zetu
@CaboJr
@CaboJr 3 жыл бұрын
Brother mweny kikot kwenye ubora wake 😂😂🙆‍♂️
@playmore4728
@playmore4728 3 жыл бұрын
Dah u deserve kuitwa king
@teamfreefiregarena9312
@teamfreefiregarena9312 3 жыл бұрын
Jaman Bongo muvi tunapita bongo muvi😀😀😀😀😀😀😀
@josephkasongwa8616
@josephkasongwa8616 3 жыл бұрын
Jamaa anajua kinyamaa yani jot yukopoa uyu mwamba
@TheNewKid_TV
@TheNewKid_TV Жыл бұрын
Braza makoti katika ubora wake🤣🤣🤣🤣
@emmymajula7291
@emmymajula7291 3 жыл бұрын
Hahaahaa joti kaloa
@fatumaomy4858
@fatumaomy4858 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣 joti falaaa kweli 🤣🤣 kichupa amekituaaa
@mudhakkirhemed
@mudhakkirhemed 3 жыл бұрын
Nimekupata kutoka London , watu wa London mupoooo 🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
@ellyki.d2894
@ellyki.d2894 3 жыл бұрын
Joti msenge sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@philippeter198
@philippeter198 3 жыл бұрын
nimefanya sana hv nilivyokuwa miaka ya kumi na
@nyamkechacomedy6222
@nyamkechacomedy6222 3 жыл бұрын
😅😅😅😅😅 BUZA to KARIAKOO
@mamafloraofficial4315
@mamafloraofficial4315 3 жыл бұрын
Niliwahi kushuhudia ugomvi kwenye daladala konda kamshika mama wa watu makalio🤣🤣
@SimbareMichaeljackson-td7zz
@SimbareMichaeljackson-td7zz Жыл бұрын
Nkupenda saana joti
@samsonimwalukasa8924
@samsonimwalukasa8924 3 жыл бұрын
Daaaaa joti unachekexha
@naimaislam552
@naimaislam552 3 жыл бұрын
Hiii imenikumbusha mbaaaaliii Daaa daladala hizi
@breneyork9653
@breneyork9653 3 жыл бұрын
🤣🤣🤣aahahahaaa watu wa daslam jamani hii ishatokea kwa wana kibao na bado inaendeleaaa,daahh nimecheka
@allybobo1014
@allybobo1014 3 жыл бұрын
Hahaha we jamaa fala sana umempizia dada wa watu
@franciskiti9304
@franciskiti9304 3 жыл бұрын
Noma sana mzito you are so creative
@petroerinest6962
@petroerinest6962 3 жыл бұрын
Dunga dunga keshatua kichupa chake😂😂😂
@jmm1840
@jmm1840 2 жыл бұрын
Kudungwa mnakutaka baadhi ya kina dada. Unavaa taiti ya kulalia kilakitu wazi unaetegemewa nini 😂😂. Mwanangu akijichanganya mwingine dunga tu maana kichupa kimebaki nusu huko njiani.
@quietatse
@quietatse 3 жыл бұрын
Dah, joti anatuaribia biashara zetu.
MAGOMENI
8:13
Joti TV
Рет қаралды 1,3 МЛН
Ong Bak | Fight Club Scene
15:05
Cinewatch
Рет қаралды 72 МЛН
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 14 МЛН
Zombie Boy Saved My Life 💚
00:29
Alan Chikin Chow
Рет қаралды 36 МЛН
Will A Guitar Boat Hold My Weight?
00:20
MrBeast
Рет қаралды 119 МЛН
KALA KUKU NA MAYAI YAKE
5:55
Joti TV
Рет қаралды 928 М.
KAYATAKA
7:24
Joti TV
Рет қаралды 677 М.
NIKI MINAJI
10:10
Joti TV
Рет қаралды 488 М.
MPOKI NA WAZAZI WAKE
10:59
CHEKESHA TV
Рет қаралды 26 М.
MAAFANDE  LEO WAMEYAKANYAGA  (Steve mweusi @azaboy&Ndaro)
8:03
Steve Mweusi
Рет қаралды 144 М.
VICHWA VIBOVU [FULL MOVIE ]
1:35:24
KURYABOY OG
Рет қаралды 104 М.
NDUGU WA MKE WANGU EP 1
12:11
JICHO FAMILY
Рет қаралды 73 М.
At the end of the video, deadpool did this #harleyquinn #deadpool3 #wolverin #shorts
00:15
Anastasyia Prichinina. Actress. Cosplayer.
Рет қаралды 17 МЛН