DUNIA (Ep 01)

  Рет қаралды 759,516

ASMA FILMS

ASMA FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 978
@asmacomedian9021
@asmacomedian9021 3 ай бұрын
KARIBUNI SANA KUTAZAMA TAMTHILIA YETU MPYA YA DUNIA,, AMBAYO ITAKUA INARUKA KILA JUMA TATU, JUMA TANO NA IJUMAA ,,, ASANTENI TUNAWAPENDA
@EspecialSanga
@EspecialSanga 3 ай бұрын
Tuko pamoja
@Qaswidaeastafrica
@Qaswidaeastafrica 3 ай бұрын
Tunataka mzingatiye muda
@mohamedimadinga5790
@mohamedimadinga5790 3 ай бұрын
Tupo na nyie babaa
@andrewkilave3532
@andrewkilave3532 3 ай бұрын
Asante sana hii kitu kizuri sana cha tofauti ulicho leta yaani wewe wa tofauti unaleta na ratiba kabsa
@NicholausMziray
@NicholausMziray 3 ай бұрын
Sindi kaolewac na Chapombe 😂
@julianaedwin8652
@julianaedwin8652 3 ай бұрын
Nimefurai Sana kumuon vai, kam unampenda gong like ap
@MstaarabuTv
@MstaarabuTv 3 ай бұрын
Dah huyu mlevi bonge la msanii sana anajua hatari wanao kubaliana namm gonga like hapa
@مرحبا-ن8ز
@مرحبا-ن8ز 3 ай бұрын
Kabisa mlevi amenifurahisha😅😅😅 nmependa iyo
@WilsonKihanga-jb5fb
@WilsonKihanga-jb5fb 3 ай бұрын
Huwa namuelew kinyama😅😅
@shaviercharvinho18
@shaviercharvinho18 3 ай бұрын
Another kanunba is coming
@ZawadielyGabriel
@ZawadielyGabriel 3 ай бұрын
Mlevi ni mkulu 😂😂 ni zaid ya Mwalim
@SumaeMeyani
@SumaeMeyani 2 ай бұрын
Very fantastic
@OmarNzohabonayo
@OmarNzohabonayo 3 ай бұрын
Duuuu kumbe vai team strong nipeni hâta kidogo ntashukuru🇲🇬🇲🇬🇧🇮
@fulgenceniyoyishura2373
@fulgenceniyoyishura2373 Ай бұрын
Kbx
@luluyohanalambo9404
@luluyohanalambo9404 Ай бұрын
Upewe nn sasa😂😂
@AhmedChitema
@AhmedChitema 3 ай бұрын
Nice movie,,,scene zote ziko bomba,,,imeniumiza sana scene ya matlda dah😢😢😢 naishiwa kuchezewa tu na kuachwa,,,hii inaakis hadi kweny maisha mtaani,,na ni ngumu kwa mwanamke kumjua mwanaume gani ni sahihi kweny maisha yake,, na mwishowe ni kuchezewa tu na kuachwa inaniumiza sana swala kama hili pale napoliona kwa baadhi ya wanawake mtaani napoishi, maana hali hii ina athari sana kwa mwanamke asiyekuwa na uvumilivu kuanza kuchukia wanaume na wengine kuingia ktk janga la kuwa malaya kwa lengo la kufanya kwa kipato tu ambapo mwisho wake unakuwa mbaya pia,,,!! Ushauri kwa sisi Boys/men tusiwe tunawachezea wasichana/wanawake zinaa ni deni, kama hauna malengo naye ni bora ukawa mkweli tu na sio kuumiza hisia za mtu au kumuharibia maisha yake,,,!!!😢😢😢,,. Scne ya mzee baba kutokupata ukaribu na mke wake napo ni changmoto, mke wake hana muda na mumew hali ambayo inaweza kusababisha jamaa kutoka nje ya ndoa kutafuta faraja, na kupelekea ndoa kuvunjika. Mwanamke kama hautaki kumtii mume ni vyema ubaki tu nyumbani uzeekee ukiwa kwenu na sio kuolewa maana mwanaume anatapenda sana ukimtii na kumsikiliza. Then scene ya jamaa kuhusu kumuheshimisha mke ni jambo jema sana,,na subira na uvumilivu ni vitu vizur sana,,mke anajitajid kumvumilia mume wake although ni mnywaji naiman kweny scene zijazo atabadilika na kuwa mtu mzuri tu,,,!!! Asnte kwa kutuburudisha, kutuelimisha, kuhuzunisha na kuleta msisimuko wa tamthiliya big up sana media🙌🙌
@Bintmwafurani
@Bintmwafurani 2 ай бұрын
Asante na nimependa maneno yako NA ushauri mzuri kewa dada na ma kaka ni kweli hayo maisha yapo kikubwa kumuomba mungu tu maana sis binadamu si wakamilifu ivyo ukiona mtu Anaweza kuku vumilia na kukupenda jinsi ulivyo basi mungu ataleta baraka zake mw/mungu akubariki sana nakupenda kwa ajili ya Allah
@PhildausKamaka
@PhildausKamaka 25 күн бұрын
Umeamua uandike assay😂😂😂
@Bintmwafurani
@Bintmwafurani 25 күн бұрын
@@PhildausKamaka kawaida sana ata ameshanielewa cjui wew hofu yako iko wapi
@KhatibSalehKhatib
@KhatibSalehKhatib 3 ай бұрын
Huyuu mlevii. Mimemkubali. Wallah anajua
@NdyamukamaEdmund
@NdyamukamaEdmund 3 ай бұрын
asanteni sanaa kwa kutufikisha episode ya Mwisho ya Agano,,,,, na kwa kutuunganishia tena ya hii mpya kabisa ya Dunia,,,,, hamna baya,,,,nawapenda nyote
@johnmusha5260
@johnmusha5260 3 ай бұрын
Manyanya mtanzania number moja mwenye kuongea kizungu fasaha... 🎉🎉🎉
@MohanAnzigari
@MohanAnzigari 3 ай бұрын
Hahaha ila Sanaa inahitaji mabadiliko itabid abadili stayle ya matamshi
@jeannettehabonimana2825
@jeannettehabonimana2825 3 ай бұрын
Inauma jamani
@fredrickmusire5610
@fredrickmusire5610 2 ай бұрын
Kweli kabisa
@HellenKarima-yh6rx
@HellenKarima-yh6rx 2 ай бұрын
😂😂😂huyu labda nalichanganyiwa na Kenya
@SaidiSalum-u4e
@SaidiSalum-u4e 2 ай бұрын
Humjui Leonardo.
@PoleenNjeru
@PoleenNjeru 3 ай бұрын
Tupo dani wapili tokea🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much 💚..twende nalo
@ChristineKadzo-hf4uq
@ChristineKadzo-hf4uq 3 ай бұрын
MTU wangu NPO apa+245😂😂unaning"Ang"ania mm mmko mzazi hiii nayo n yetu
@MelanceNzoyishemeza
@MelanceNzoyishemeza 3 ай бұрын
Huyu mrevi nae😂😂😂😂😂😂😂😂😋ananiuwa
@eunicewambui-v7k
@eunicewambui-v7k 3 ай бұрын
Kuna mapenzi na majaribio 😢😢😢 hii ni nn kweli
@Nancy-z8g2g
@Nancy-z8g2g 10 күн бұрын
Tangu niaze kuangali movie za kitanzania atimae manyanya pekee ndiye nimemsikia akiongea kingereza vizuri hongera sana bwana manyanya❤❤
@adidjaVyumvuhore-tp3tc
@adidjaVyumvuhore-tp3tc 3 ай бұрын
Nimefurah san kumuon cha pombe Wang jaman🤗🤗🤗kazi nzur sana🙏🙏
@NathaSMART
@NathaSMART 3 ай бұрын
Number 1 today gong likes 5 Guys Kam unaipenda hiy team ❤kanji mlevi hiyo stailo unacezeaga ikosawa much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@paulmgishamussa1125
@paulmgishamussa1125 3 ай бұрын
Jamani tanzania adala kusupport kazi za watu hili twende mbele tunashindania likes tu 😂😂, guys stop being stupid on things that what help you. Ushauri tu.😊
@clementphon9450
@clementphon9450 3 ай бұрын
💞💕💕
@BrandonsimiyuBrandon
@BrandonsimiyuBrandon 14 күн бұрын
Sasa
@henryhabadju-xr6qk
@henryhabadju-xr6qk 3 ай бұрын
MBOTE NA BINO NYOSO🇨🇩
@WinfridaKossa
@WinfridaKossa 3 ай бұрын
Vaileth Tena na manyanya 😂❤😊 niliwamic kuwaona pomoja
@MelanceNzoyishemeza
@MelanceNzoyishemeza 3 ай бұрын
Manyanya amemariza vizur agano anakuja kwa ju na vaileth nawapenda😀😀
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 29 күн бұрын
Napenda sana mnavoiheshimisha bongo movie kila unapogusa moto🔥
@makabilatwangavideo.1514
@makabilatwangavideo.1514 3 ай бұрын
Binafisi agano iko poa nimeifatilia mwanzo mwisho ila fainal yake sijaielewa vizur yaan kuna vipengele haviko Sawa. 1.yule mchwawi mkuu haikupaswa afe kizembe ivo na kifo cha kufanana na Hao wengine iyo mbaya. 2.sijafrahishwa na namna ya yule askari mpelelezi iliishia wapi na alipotea ghafra tu kwenye thamthilia. 3. Pia swara la watu kubadilishwa kuwa njiwa nayo iliishia wapi? NB :Kuna namna ilitakiwa mfanye kwenye ivo vipengele ili sisi wafuatiliaji na shabiki zenu tuendelee kuwakubali Zaid. Haya wacha tuone kwenye Hii DUNIA
@AblahmanJuma
@AblahmanJuma 3 ай бұрын
Nakujibu kuusu askari ukuona alikuwa na mausiano na mchawi mmoja yule aliyefungwa stoo na kuteswa na manyanya ukuona aliuliwa geust na malkia yule dada akapiga makelele mpka manyanya akaja akakuta maiti ndani
@DonasienPanda
@DonasienPanda 3 ай бұрын
Hii ndo maana ya kufatilia filamu umeongea kweli kulingana na Mąkosa yalio fanyika kwenye movie siyo wengine wanacomment hila kujua hitilafu au changa moto
@AliphonceMartina-q1u
@AliphonceMartina-q1u 2 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉🎉
@AliphonceMartina-q1u
@AliphonceMartina-q1u 2 ай бұрын
​@Ablahman❤Juma
@ericnduwimana8246
@ericnduwimana8246 3 ай бұрын
Jamani,kama kuna dada anae teswa nama penzi kama Matilda,Basi mwambie kwamba taipu yake ni mimi hapa from Burundi,nawapenda sana best family kwa mafunzo yanu ya bule
@LovenessLucas-r2x
@LovenessLucas-r2x 2 ай бұрын
Hii Hali inatokea Sana Hata mm imewai nitokea niliteseka Ila asilimia kubwa unakuwa unachezewa na walimwengu
@sarahdonte2183
@sarahdonte2183 3 ай бұрын
Manyanya Vai asikuumize awamu hii😂😂
@applesuperclick
@applesuperclick 3 ай бұрын
Mm kiukwel mwanamke unakuwa kama busness partiner huwa nashindwa kiukwel
@fabianFanueli
@fabianFanueli Ай бұрын
nmeikubal movie kwan inaleng maixha halix katik jamii zetu nmepend pia kwan inafundixha mengi mno huxuxani kwa watu ambao wapo xingle na wanategemea kuingia katik maixha ya ndoa lakin pia xi kwa wao tu bali hata kwa wanandoa.good perfomance by Andrew slyvester lazaro
@Sharifaliuma-gb3vt
@Sharifaliuma-gb3vt 3 ай бұрын
Wewe chapombe ubadilike tena tuone uwezowako kilasiku kulewa tu
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 3 ай бұрын
Nimefrah kumwn zinduna na maisha ya zinduna ndo yangu kabisa niko single singwingwi
@WilsonKihanga-jb5fb
@WilsonKihanga-jb5fb 3 ай бұрын
😂😂pole
@abdimkiwaika5057
@abdimkiwaika5057 2 ай бұрын
Kweli jmn pole
@SitiSaid-ol9rm
@SitiSaid-ol9rm Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@DomingosMacaicaAndre
@DomingosMacaicaAndre 3 ай бұрын
Ata kama nimechelewa ila naomba like zen i'm from 🇲🇿🇲🇿 na mpenda sana manyanya na w
@Elisingham
@Elisingham 3 ай бұрын
Film nzuri naona itakuwa nzuri zaidi mu episode zingine , tunawapenda kutoka Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 warundi Dondosha comment na like
@MoiseJosue
@MoiseJosue 3 ай бұрын
Atimae vaii karudi tena , asante kabisa, tulikuwa tume miss kazi toka kwako
@NajmaRajabu-q8e
@NajmaRajabu-q8e 3 ай бұрын
Sindi na mudi 😂😂😂😂😂😂nawapenda bure❤❤❤❤❤❤
@CizaEmanuel
@CizaEmanuel 3 ай бұрын
Chapombe anamke mwenye heshima kwer jamani wanawake kama hawa wamebaki wachache
@AbdillahOomar-h7l
@AbdillahOomar-h7l 3 ай бұрын
Hahahaahaha mpombe yumoooooo nakubali chanaa chaliii angu
@ISSAMuemede-u6j
@ISSAMuemede-u6j 3 ай бұрын
Ebwanaee tunaomba msituwangushe maana so kwaio movie Hatari.❤❤❤❤
@nadiatanzania
@nadiatanzania 2 ай бұрын
Huu jamaa anajuwa kizungu ila huyu sio tz ameiva na kama ni mubongo bc ameweza mbaya❤❤❤❤❤❤❤
@sipiliankwamboka5193
@sipiliankwamboka5193 Ай бұрын
Huyo n mkenya mwenzetu
@WapoHao
@WapoHao 2 ай бұрын
Oya we nyumbani kwanza muvi nzuri na inafundisha
@Martha-b7o
@Martha-b7o 5 күн бұрын
Huyo mkaka alie kua anamshawaishi mati ND sura ya wanaume wote asee daah sitiotioun anyo pitia mati ND nayopitia mm kwa Sasa aseeh naumia sana 😢😢😢😢😢
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 3 ай бұрын
Mashallah vaylet good job keep going mama❤❤❤🎉🎉🎉
@lucasbale3157
@lucasbale3157 24 күн бұрын
Kwakweli mmeweza ndgu zangu mungu awabariki xan kipaji kionhezeke na zngne ziendelee mpyaaaaa
@Anwarmoh-p3x
@Anwarmoh-p3x 3 ай бұрын
Manyanyaaaaa much❤❤❤sana take that🎉🎉🎉🎉 belongs to you, big up sana kaka mkubwa pamoja na vaii... hamjawai tuangusha ila wapi mzee kicheche mlimpotezea wapi mwenzenu... frm254 nyumbani.
@felistusbochaberi383
@felistusbochaberi383 3 ай бұрын
Matlida tuko wengi huku😂😂😢😢
@alish2182
@alish2182 3 ай бұрын
Manyanya mchunguze mkeo Ana mtu inje.ya ndoa anamula😂😂😂😂😂
@FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI
@FATMAABUBAKARIFATMAABUBAKARI 3 ай бұрын
Unajidanganya daa wanaume Wana maneno mataamu lkn hayana ukweli ndani yake
@Fofo-z6t
@Fofo-z6t 3 ай бұрын
Huyu mkaka napendaga ongea yake 😂❤❤
@maleshmspecial02
@maleshmspecial02 3 ай бұрын
Mmmh nimeipenda hii Moto Sana representing 254 #mspecial naikubali hii tamthilia
@AthumaniMsangi-f4i
@AthumaniMsangi-f4i 3 ай бұрын
Dah huyu kanji noma kuekti ulevi salute kwake
@Awoshy
@Awoshy 3 ай бұрын
Huyu mlevi na mkewe❤😂😂😂
@ignitiussilungwe7930
@ignitiussilungwe7930 3 ай бұрын
Umeonaee
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 29 күн бұрын
😂
@rafaelzerozi
@rafaelzerozi 3 ай бұрын
Kicheche yuko wapi jamani❤❤ Dada Vai mimi napenda movies zenu hapa ❤❤🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@harrysawa-kenya4902
@harrysawa-kenya4902 2 ай бұрын
Manyanya ni kama amesoma kwetu kenya, kizungu yake iko vizuri
@rogatusmeleki1660
@rogatusmeleki1660 2 ай бұрын
😂😂😂 sisi Nyerere alimkimbiza Mwingereza mapema sanaa Almost 25 yrs only
@PeterMgonja-u1m
@PeterMgonja-u1m 2 ай бұрын
Mnazanigi Kuwa wabongo atujui English 😂😂😂
@metrinenyakoe1764
@metrinenyakoe1764 2 ай бұрын
😂😂😂😂team 🇰🇪 🇰🇪
@inviolataatieno6353
@inviolataatieno6353 2 ай бұрын
​@@rogatusmeleki1660😂😂😂😂
@rogatusmeleki1660
@rogatusmeleki1660 2 ай бұрын
@@inviolataatieno6353 Shida ikaanzia hapo But generation ya kuanzia 2000's kuja now 2024 Tz tumepiga shule sana n huku Tz hii n second language but uelewa n mzuri kwa sasa kwa jamii
@directordelpierrofilmz
@directordelpierrofilmz 3 ай бұрын
Nawakubali kutoka Congo Drc 🎉wakongomani nipeni Likee zangu Hapa❤❤❤❤❤
@FrJosuéSaidi
@FrJosuéSaidi Ай бұрын
🇨🇩🇨🇩
@BrandonsimiyuBrandon
@BrandonsimiyuBrandon 14 күн бұрын
😮😮😮😮😮
@kijoliahmada1118
@kijoliahmada1118 9 күн бұрын
Jaman mm nimpya naomba mnikaribiahe jpo kwalaik zenu gonga tuwe pamoja ❤
@SERGEDEPAUL
@SERGEDEPAUL 3 ай бұрын
Leo nipeni like zangu aisee kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩
@Challengeman1-f6r
@Challengeman1-f6r 12 күн бұрын
Manyanya ni muchezaji muzuri sana❤🎉🎉🎉🎉
@Awoshy
@Awoshy 3 ай бұрын
Huyu Vai mimi kabisaa 😂😂😂kichwa kinawaza kutafuta pesa tu😂😂😂
@Nuru-f7g
@Nuru-f7g Ай бұрын
Pole sana usikubali kumvulia mwanaume nguo one unavyo dhalilika
@MikajoseNankola
@MikajoseNankola 3 ай бұрын
Nilimmiss Sana Vai jamani atimae amerudiii
@IRATUZIAimable
@IRATUZIAimable 2 ай бұрын
Hongereni wahusika wote katika tamthilia hii,mmecheza vizuri!Licha ya kuburudisha mmeelimisha!Nimewa❤,
@AbdallaHija-k8e
@AbdallaHija-k8e 3 ай бұрын
nyie bwan muowan kwel bwan nyie me nawapenda san ❤😂🎉🎉😊😊
@Rihan-zs3vr
@Rihan-zs3vr 3 ай бұрын
Kama wamkubali mamake Asma gonga like,nampenda bure ❤❤❤❤❤❤❤❤
@hutahuta1170
@hutahuta1170 3 ай бұрын
😂😂😂😂😂ilachapombe nahuyo mkeo kazi nzr jamani
@SharifuAlbughuli
@SharifuAlbughuli 3 ай бұрын
Mlevi na manyanya wanauwaa Sana asee😂😂😂
@salimasava11
@salimasava11 3 ай бұрын
Jamani kanji wewe wa kuletea mke wako mawe etii nyama jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@NickoMsigwa
@NickoMsigwa Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@LatifaMuddy
@LatifaMuddy Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@GilbertSambaya
@GilbertSambaya 25 күн бұрын
Nimechek nikakumbuk umbuz wa bab yangu anamfanyiag mom wangu hv haletag kitu ni mawe tuuu😅😅😅😅😅
@Jane-y4u4n
@Jane-y4u4n 2 күн бұрын
Nimecheza sana duuh😂😂😂😂😂
@Samwelelias-zw4ns
@Samwelelias-zw4ns 5 күн бұрын
NImeanza kutazama hii mv! Ikiwa Ep 26, ktk pitapita zangu nimeona matlida akihojiwa really nilipendezwa na majibu yake ivo ikanibidi nianze upya nihelw vzr! #Shortly nimehielw @Power ful message
@kakampole7
@kakampole7 3 ай бұрын
Cha pombe huyu😂 kilaza😂😂hiyo mijiwe
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 2 ай бұрын
😂😂
@BenedictapauloBenedictapaulo
@BenedictapauloBenedictapaulo 2 ай бұрын
😂😂
@BlessingSorekorerimana
@BlessingSorekorerimana 29 күн бұрын
Shukran sana asma . naku fuata toka nchi ya kidemokrasia ya Congo 🇨🇩 mjini Goma
@josiacharles2778
@josiacharles2778 3 ай бұрын
Ahaa we mlevi umetisha sana, ila mke wako Yuko vizuri 👏👏👏 angekua mke wangu Leo ningekufa Kijiji kizima kingejua😮
@ErickJonhfredy
@ErickJonhfredy 2 ай бұрын
Nzuri Sana nimeipenda Sana kiukweli Munafanya kazi kubwa kuelimisha jamii inapendeza san
@nasrimohamed7556
@nasrimohamed7556 3 ай бұрын
Naomba kicheche awepo jamn
@cappemusicofficiel2031
@cappemusicofficiel2031 3 ай бұрын
Napenda sana kabisaaa nyinyi ma fundi kabisaaa! Naomba hii song audio dunia mniambie kama ntaipata je jamani....
@Vanessa-xr4qn
@Vanessa-xr4qn 3 ай бұрын
Jamani movie inamafunzo ni Dunia kbxaaa Matilda ameigiza maisha yangu kbxaaa
@DariusKasitu
@DariusKasitu 3 ай бұрын
Njoo Kwangu me Nina Mapenzi ya kweli😅
@MwinyiSalim-d4j
@MwinyiSalim-d4j 3 ай бұрын
Wapi captain chef mzee kicheche
@KhadijaSaid-vj9kh
@KhadijaSaid-vj9kh Ай бұрын
Bora muwe mnatuekea kilasku jmn Kaz nzr hii
@kiswagatz7990
@kiswagatz7990 Ай бұрын
Hi movie kali sana kama umeikubali kama mimi gonga like hapo.
@Jane-y4u4n
@Jane-y4u4n 2 күн бұрын
👍👍👍
@YeremiaKristopher
@YeremiaKristopher 2 ай бұрын
iyoo akilii kujiangeza kuanza kutoa tamthilia yenuu mmetumia akilii sanaa kama unakubaliana na mimi gonga like apoo
@Johnleetzofficial
@Johnleetzofficial 3 ай бұрын
Kakina matrida ni kazur jaman ninge kua Mimi sio masikin ninge kapenda ❤
@SausaDominic-b6j
@SausaDominic-b6j Ай бұрын
Jaman na SS tuna mchez wet mpy tunaomb mtusapport andika jack memba
@Najima-r6r
@Najima-r6r 3 ай бұрын
Manyanya anajua sana atafika mbali❤❤
@FrankmKibo
@FrankmKibo 2 ай бұрын
au sio
@mohammedkidody5618
@mohammedkidody5618 29 күн бұрын
Kabisa
@Jasminsamweli-b2f
@Jasminsamweli-b2f 20 күн бұрын
Hii move inanielezea maisha yangu mm kabisa matrida HUYU ni mimi ila mm sikuwa naambiwa hivyo nilikua naachwa tu mpaka nikaamuka kuwa busy na kazi sasa wao ndo wananifata kuomba msamaha😢
@mandelakingi8183
@mandelakingi8183 3 ай бұрын
Wakwanzq kutoka Kenya 🇰🇪
@priverpriva98
@priverpriva98 3 ай бұрын
Hahahah😂
@priverpriva98
@priverpriva98 3 ай бұрын
Upo wapi nije
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh Ай бұрын
Pole matty tunayapitia ayo ila mwenynz mung mkubwa iposiku atajaalia tu😢😢😢😢😢😢😢
@DalmondLaurent
@DalmondLaurent 3 ай бұрын
Ila uyu mlevi bana😂😂 unaweza ❤
@Alexwachiaanyonge
@Alexwachiaanyonge Ай бұрын
Hii story inanijenga sana huu ni ukweli wa maisha🎉🎉🎉
@DanndannosdanielDannos
@DanndannosdanielDannos 3 ай бұрын
Kasoro yako haiko tamu 😅😅😅😅 nimewafata kutoka Congo Kinshasa
@JumaEmmanuel-im3gg
@JumaEmmanuel-im3gg 3 ай бұрын
Hongeren Sana jaman mungu awasimamie nikwer Sanaa inachangamoto nyingi Sana ila simameni bila kukata tamaaa
@BelchorCarlitoCoreiaCoreia
@BelchorCarlitoCoreiaCoreia 3 ай бұрын
🎉 kicheche aludi kwenhe kazi ni mefurai kumwona vai 🎉
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 3 ай бұрын
Lkn uyu dem wakuitwa matlda amenona this time mashalla
@irenemosha962
@irenemosha962 3 ай бұрын
Leo vai kamkubal manyanya
@user-DEOGRATIASJK
@user-DEOGRATIASJK 2 ай бұрын
kicheche atakuwemo kwelii maana natakufurahi kupitia yeye ndo atanogesha.
@franciscojoaquimjoaquim7750
@franciscojoaquimjoaquim7750 3 ай бұрын
Vaillet upo????? Nakupenda sana from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@AminaJuma-b1n
@AminaJuma-b1n 14 күн бұрын
Hii tanthiliya nilikuwa naitafuta sana naleo nimeipata .naanza leo hadi niifikiye penye muko
@athmansaid9931
@athmansaid9931 3 ай бұрын
Nani anajua kama nimekuletea mijiwee😅😅chapombe bwana😂
@LeidonePlabodamz-v8t
@LeidonePlabodamz-v8t 2 ай бұрын
Huyu dada nampenda vaillety daah anajua sanaaaaaa
@willyobiike5500
@willyobiike5500 3 ай бұрын
WAKUU NAOMBA HUU WIMBO WA TAMTHILIA HII UPOSTIWE FULL TUUPATE JAMANI DAAAAAH WIMBO MZURI SANA MH 😢
@FednandwafulaWanda
@FednandwafulaWanda Ай бұрын
Mke wa mudi ni wakulipiwa mahari kabisa
@twinsnationtz
@twinsnationtz 3 ай бұрын
Kaz kaz 🔥😊
@bahatiwinchi
@bahatiwinchi 3 ай бұрын
Nimefurah kumuona zinduna nampenda sana huyu mlembo❤
@wycliffonyango2065
@wycliffonyango2065 3 ай бұрын
Nani anawatch akiweka earphone kwa maskio😂😂😂 hiyo beats inakimbia kwa maskio moja hadi ingine 🎉...
@everliute1304
@everliute1304 2 ай бұрын
Respect mnatufundisha vijana tusiigize maisha tuishi kwenye uharisiawetu
@ebubu-bf1oy
@ebubu-bf1oy 3 ай бұрын
Akili sana mlevi wangu 👏👏
@KarolinaOman
@KarolinaOman 3 ай бұрын
Jaman nimewapenda Bure mnaelimisha jamii kwa ujumla❤❤❤
@YohanahamisyjonasyYohana-o2p
@YohanahamisyjonasyYohana-o2p 3 ай бұрын
Uyo dada anaeumizwa na kira mwanaume kama hajaorewa kweri atume namba nimuowe ❤❤❤❤❤❤
@rahemh1234
@rahemh1234 2 ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@MasterTulo
@MasterTulo 2 ай бұрын
Hzo ni movie tu hakuna uhalisia hapo
@shilagijisandu3101
@shilagijisandu3101 2 ай бұрын
Wew ndo utamchezea maana yawezekana una mke
@AtuganileLeonard
@AtuganileLeonard Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@rahemh1234
@rahemh1234 Ай бұрын
@@YohanahamisyjonasyYohana-o2p kwanza mama watoto umemwambia kuhusu hilo 😂🤣🤣😂🤣🤣🤣 ama nipeleke ujumbe
@gracekayumba-z9l
@gracekayumba-z9l 3 ай бұрын
Nyimbo zenu nzuri kama familia ya kicheche mtutolee na agano ndo linalonitesa na hii pia dunia
@dshow6363
@dshow6363 3 ай бұрын
Kwa tuliopo tugonge like hapa
@KashindiSteven
@KashindiSteven Ай бұрын
Mke wangu nyama
@rehemakatundu7027
@rehemakatundu7027 3 ай бұрын
Kazi mpya #MANYANYA
@prince001tv5
@prince001tv5 3 ай бұрын
Huyu Vailet nampataje basi aje hata Kenya siku Mbili🇰🇪🇰🇪
@MiguelMwale
@MiguelMwale 3 ай бұрын
Nimekubari sana hi móveis 🇲🇿
DUNIA (Ep 02)
19:11
ASMA FILMS
Рет қаралды 425 М.
LIKIZO _ part 02
21:10
ZEBUU FILM
Рет қаралды 198 М.
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН
黑天使只对C罗有感觉#short #angel #clown
00:39
Super Beauty team
Рет қаралды 36 МЛН
Мясо вегана? 🧐 @Whatthefshow
01:01
История одного вокалиста
Рет қаралды 7 МЛН
WHO AM I? [FULL MOVIE]#clamvevo #kiparabrand
3:23:53
KIPARA BRAND
Рет қаралды 260 М.
MISSION IMPOSSIBLE [1]
16:28
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 519 М.
SANDRA [1]#kiparabrand #clamvevo #mwakatobe
17:28
SANDRA OFFICIAL
Рет қаралды 429 М.
CHUKI YA WIFI PART 1 || NEW BONGO MOVIES 2023 || PILI MABOGA
23:55
THE HOUSE ¦¦ EP 1 ¦¦ SENGO MK
16:26
SENGO MK
Рет қаралды 71 М.
REVENGE (FULL MOVIE)
2:03:04
Dubu Tz
Рет қаралды 573 М.
KIBENTEN FULL MOVIE
3:35:14
kicheche
Рет қаралды 1,8 МЛН
MALAYA NDOIGE (PART 01)
11:24
ASMA FILMS
Рет қаралды 2,5 МЛН
Cat mode and a glass of water #family #humor #fun
00:22
Kotiki_Z
Рет қаралды 42 МЛН