DUNIA (Ep 06)

  Рет қаралды 7,606

ASMA FILMS

ASMA FILMS

Күн бұрын

#dunia

Пікірлер: 375
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 2 сағат бұрын
Hii Couple👫 ya Mudi na mkewe ni noma😅😅😅 kama umewakubali gonga like hapa 😂😂😂😂😂
@SalamaTaura
@SalamaTaura 2 сағат бұрын
Wananbamba mm😅😅😅😅😅
@abdallahjuma741
@abdallahjuma741 Сағат бұрын
Hahaha au na wwe ni Mwenzake mudy 😂😂😂
@Haji-yr9db
@Haji-yr9db Сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂weweeeeeeeeeee
@JacintaMaloba
@JacintaMaloba Сағат бұрын
Hd wanaimba viviano😂😂😂
@khadijasalim2697
@khadijasalim2697 Сағат бұрын
😂😂😂😂 Noma sanaaaa
@SimuliziMediaKE-u3z
@SimuliziMediaKE-u3z Сағат бұрын
shabbiki mkubwa kutoka kenya aiseee movie lina mafunzo tele. na waigizaji waliobobea nataka kuchukua fursa hii kuwapongeza wahusika na waigizaji wote wa filamu hili. hongera!!!!!nyote
@KingNtiharirizwa
@KingNtiharirizwa Сағат бұрын
Nitamu sèa wanacherewesha kazi hongela sana kazi nziri munao yifanya
@garirehema767
@garirehema767 Сағат бұрын
Napenda sana hii movie coz inafundisha sana jamii...kazi nzuri sana kwenu hongereni..❤❤kutoka kenya
@radgamechanger2547
@radgamechanger2547 2 сағат бұрын
Mundi anateremsha na kachupa😂😂 The best couples ever
@nesaahaji1329
@nesaahaji1329 2 сағат бұрын
Salute kwa team nzima ya Dunia maana kila mtu amevaa uhusika ipasavyo hongereni kazinzuri sana
@EmmanuelMaduhu-q9d
@EmmanuelMaduhu-q9d 2 сағат бұрын
Mashabiki wa vaileth na manyanya naomba like zenu
@DrackGameboy
@DrackGameboy 47 минут бұрын
Série ya bien sana mina furai Ku toka Congo Kinshasa RDC
@salumumwandazi-uh7kd
@salumumwandazi-uh7kd 2 сағат бұрын
Daaah manyanya aisee kumbe una talent kubwa kiasi hicho duuh nakuona mbali kaka push zaidi unawashusha wote nakubali sana manyanya 😅😅😅
@alheeramobile3793
@alheeramobile3793 2 сағат бұрын
Wakwanza mie jaman. Wale waliopenda manyanya kumuona uyo dada na kumnyenyua weka Like apa
@EmmanuelMaduhu-q9d
@EmmanuelMaduhu-q9d 2 сағат бұрын
Okay nice
@LuckyboyOg
@LuckyboyOg 2 сағат бұрын
Wa kwanza from burundi 🇧🇮 nipeni like zanguu
@mariambakari-h9n
@mariambakari-h9n Сағат бұрын
Maashallah n tamu n hii nyimbo yenu mwenzenu yanimalza sjui naeza ipata
@MarkOlubayo
@MarkOlubayo Сағат бұрын
Nadhani mimi Mkenya hapa nishafika. Kazi zenu ni tamu sana.Vai, Kase, Mati, Manyanya Cindy na wengine wote pamoja na Asma Films. Barikiweni sana na tuko pamoja.❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉.
@SuzanMtoi
@SuzanMtoi 57 минут бұрын
Mbona suzana jmn😂😂😂
@IbrahimNshimirimana
@IbrahimNshimirimana 33 минут бұрын
Mbona munakawiyakutow jaman nimeyipend muno iyi firam ten naeacezaj nawakubar mun❤❤❤❤
@AbdulQareem-g3h
@AbdulQareem-g3h 41 минут бұрын
Very creative manyanya unajua kaka you will be most of best artist
@bonfacesikuku3435
@bonfacesikuku3435 2 сағат бұрын
Inaelimisha, mapenzi yanaumaa kuliko maradhi 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@hamisimakati1354
@hamisimakati1354 Сағат бұрын
Mko vizuri kwa mnavo waisha move hadi raha maana tunakuwa hatusahau matukio sio kama zingine wanakawia sana
@JorvinVerdasto
@JorvinVerdasto Сағат бұрын
🥳🥳 hii movie kalii imetulia sana nzurii👍
@Tobias_mhina
@Tobias_mhina 2 сағат бұрын
Uyu vaileth ana Ululu falani ivi ndani yake yani Elizabeth Michael adi sura yake kwa mbali
@ZephaniahSekwa-fl2go
@ZephaniahSekwa-fl2go 27 минут бұрын
Patamu hapo😂, ok mtuwahishie sasa
@emanuelyntamila9141
@emanuelyntamila9141 2 сағат бұрын
Nataman sana Kama manyanya angejiweka kwauyumtoto ili mke ashikeadabu
@ashasalimin1033
@ashasalimin1033 2 сағат бұрын
Na ndo itavokua
@SophiaMfilinge
@SophiaMfilinge Сағат бұрын
Nimependa mafunzo mazuri sana 🎉🎉
@hamzaIlunga
@hamzaIlunga 2 сағат бұрын
From zambia lusaka 🇿🇲🇿🇲 unajuwa kazi Kaka mkubwa tupia like zangu apo atakama nimechelewa kidogo team baba asma familly
@AyubuMzadini
@AyubuMzadini 44 минут бұрын
manyanya kaka unajua sana ....ila ushauli wangu usijalibu kuiga chochote ..trust your self.....
@peterkiage-rw1rp
@peterkiage-rw1rp 23 минут бұрын
Naomba Mtoe episode kama tatu kwa siku..hii series ni poa kweli Inamafunzo mengi sana❤❤
@mrdanico5937
@mrdanico5937 Сағат бұрын
Hii moja nimeshindwa kujizuia film nzuri kabisa kk naikubal sana from Uganda 🇺🇬 Kampala kuna mwenzangu mwengine hapa tujuane basi❤❤
@salmalamar3081
@salmalamar3081 2 сағат бұрын
Mim namkubal san Manyanya jmn mn movie zak nzr san nik na wew milele team Manyanya tujuan
@Yvonne-hu6zd
@Yvonne-hu6zd 42 минут бұрын
Mudi 😂😂😂😂 unichekesha sana nakupendaa bure
@placidesenga6449
@placidesenga6449 Сағат бұрын
Mudi kavaa mkononi bendera la Congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩 Tanzania na Congo one love. Ila kesho mpira tuta wafunga😂😂 jirani zetu
@KhairuniSimba
@KhairuniSimba 2 сағат бұрын
Kazi nzuri mungu awape wepesi kila siku
@braytoncosmas-se4nd
@braytoncosmas-se4nd Сағат бұрын
Mmetisha sana Niwape Maua yenu 🎉🎉🎉🎉 move nzuri.
@soldd-xz5ue
@soldd-xz5ue 39 минут бұрын
Mmmm jamani hongereni wenye kuishi na waume walevi
@lindauma982
@lindauma982 Сағат бұрын
Wee mudi vipi eti ukinywa pombe inafanya unaishi kwa ndoto zako mie jmn ndoto za ulevi au vipi uku😂😂😂😂😂
@JasmineJuma-q5y
@JasmineJuma-q5y 42 минут бұрын
Daah hii move tam sana ingekuwa ndan ya uwezo wangu ningewaambia wapost kila siku😂
@NkorerimanaSalem
@NkorerimanaSalem 2 сағат бұрын
Jamani movie hii inafundishe kabisa
@Hamad-x8j
@Hamad-x8j 2 сағат бұрын
Hatujachelewa pia nice
@Special_boy_og
@Special_boy_og 2 сағат бұрын
Kama unahamini ma nyanya atakuwa muigizaji mkubwa Tanzania 🇹🇿 tujuane apa
@martinkioko6437
@martinkioko6437 52 минут бұрын
Nawapenda Sana actor's wote wa Tz mm hapa kutoka Kenya 🇰🇪 🇰🇪
@PiusmarioErnesto
@PiusmarioErnesto 2 сағат бұрын
Jamani mnachelewa sana kutupatiya ep,from Moçambique 🇲🇿... pessoal estão demorar muito nos dando ep, from Moçambique 🇲🇿...
@FastaHeradi
@FastaHeradi 2 сағат бұрын
Jamani sija chelewa tu sana, manyanya naomba like moja tu inatosha, nawapenda sana toka drc 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 congo.
@kelvinkadilo5049
@kelvinkadilo5049 Сағат бұрын
Wooow....,movie nzuri saana imejaa mafunzo , naomba episode 7 isichelewe kutoka please.
@ebubu-bf1oy
@ebubu-bf1oy Сағат бұрын
Mudi anasahiwishi mkewe apige mbeta hata 1,na kanasa kwenye mtego❤❤❤ like kidgo na kwa manyanya na matilda pia..na mamen tumwangalie vzr vai hawa tunaishi nao..
@NajmaRajabu-q8e
@NajmaRajabu-q8e Сағат бұрын
Sindi kimemlamba😂😂😂😂😂kafata ushauli wa mudi kindibwi😂😂😂😂
@NucraIssa
@NucraIssa 2 сағат бұрын
Nmekuwa wa kwanza
@Dontatv-255-fs
@Dontatv-255-fs Сағат бұрын
Manyanya yupo vizuri sana ginga like kwa manyanya
@hassanbilaly-cq1xe
@hassanbilaly-cq1xe Сағат бұрын
Ila we manyanya unajua mwamba😅
@richardmuseremu6515
@richardmuseremu6515 2 сағат бұрын
Naipenda sana kazi zenu, big up guys
@SmartVicenzo
@SmartVicenzo 12 минут бұрын
Hongereni sana kbs Mudi na mkewe wana patia sana 🤝 Inshort waigizaji wote wako powa
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 2 сағат бұрын
NINAYO FURAHA KUMUONA MOHAMEDI KWENYE UBORA WAKE ANAKULA UGALI AKISUKUMIZIA KWA BIA😂😂😂😂
@GodefroidMusekwa
@GodefroidMusekwa 29 минут бұрын
Vraiment manyanya, you are talented, keep going, we are behind you from Congo 🇨🇩🇨🇩
@LevotaPius
@LevotaPius 2 сағат бұрын
Jaman wakwanza nipen likes zangu hapa
@JkRomeo-g9j
@JkRomeo-g9j 2 сағат бұрын
N chart
@NkolwaSamweli
@NkolwaSamweli 2 сағат бұрын
Wanaboa kweli Kila mtu nipeni like
@schadrackanyimbu9120
@schadrackanyimbu9120 Сағат бұрын
🇨🇩🇨🇩🇨🇩
@SadockJoel
@SadockJoel 2 сағат бұрын
Nimekuwa wa kwanza kutoka kigoma naomba like zenu manyanya tunakukubali
@NyenjeNdeu-u6p
@NyenjeNdeu-u6p 2 сағат бұрын
Hii series wamajua saan tuwape TU maua yao🎉🎉🎉🎉🎉
@JullianaEmmanuel-tm5xg
@JullianaEmmanuel-tm5xg Сағат бұрын
Matilinda au huyo rafk ake na Manyanya watakuja kuoana huwez amin, Vai dharau nyng mwanamke
@Seyusking
@Seyusking 2 сағат бұрын
Leo mimi wa kwanza naombeni like zenu ata tatu😢
@leonardsylvanusi8289
@leonardsylvanusi8289 2 сағат бұрын
Daah hii movie naipenda sana
@sadikigatera4808
@sadikigatera4808 Сағат бұрын
Cinema nzuli saana tunawafatilia kutoka🇷🇼❤
@batofrancis6930
@batofrancis6930 45 минут бұрын
Aliyeona love bite kwa mdada weka like hapa 😂😂😂
@MichaelMbwambo-t1p
@MichaelMbwambo-t1p Сағат бұрын
Namkubali mwamba manyanya ni mshauri mzuri
@JosephBaraka-db9sj
@JosephBaraka-db9sj Сағат бұрын
Jaman hii dunia ni dunia kweli nimeipenda na kuikubali hongereni sana
@ummunassree
@ummunassree 2 сағат бұрын
Leo nmewah haya mnipe hizo like namie niziweke kabatin maana kila siku watu wanaomba like tu
@AmaniRashidi-i9b
@AmaniRashidi-i9b 56 минут бұрын
Nafatilia kutoka south Africa 🇿🇦 mna Jua mpaka mna boa naona mtafika mbali ila lipaneni vizuri tu ili kundi lisivunjile❤
@EllyvadiazTz
@EllyvadiazTz Сағат бұрын
Duuuh don't talk any hahhhhhh mwambaaa kingerexaa chakeee hatal
@florahsalustian1323
@florahsalustian1323 Сағат бұрын
Mundi na mkewe... best couple I ever seen before 😅😅❤❤❤
@lincolnbayah183
@lincolnbayah183 2 сағат бұрын
I have been following this series since epi 1 is a really nice work
@LebonAlliance
@LebonAlliance 2 сағат бұрын
Kazi zuri kabisa musikawe kutocha nainpenda sana usisheleweshe
@mutabaziadolphe4851
@mutabaziadolphe4851 Сағат бұрын
Jamani munafanya kazi nzuri sana kuliko, hii ya leo kali kabisa
@HawaHamisi-x4g
@HawaHamisi-x4g Сағат бұрын
🎉🎉🎉napenda kazi yenu iko chap chap nilingoja kwa hamu
@TweveSinkonde
@TweveSinkonde 2 сағат бұрын
Nakubal sana ❤😂🎉🎉😅pisi 😅😂😅
@Sarahadhiambo-y7t
@Sarahadhiambo-y7t 2 сағат бұрын
Wakwanza jameni kutoka Kenya likes zikam
@thomaslupombi8741
@thomaslupombi8741 19 минут бұрын
Nimeipenda sana mna maneno ya busaraa
@Joyce-qf5px
@Joyce-qf5px Сағат бұрын
Wewe mudi na mkeo mm ndio nawapendaaaaaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@HassanHarun-v7s
@HassanHarun-v7s 45 минут бұрын
Nawakubali sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@AishaZeni
@AishaZeni 2 сағат бұрын
Mnachelewesha sana
@user-sarah1sarah
@user-sarah1sarah 2 сағат бұрын
Naenda kusoma kingereza jaman
@PaulineNasoro
@PaulineNasoro 2 сағат бұрын
Manyanya kazi nzuri sana 👏👏👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🥰🇰🇪 we love you bro
@salimjuma514
@salimjuma514 2 сағат бұрын
Big up💪💪from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PacifiqueLeontina
@PacifiqueLeontina 54 минут бұрын
Nawapenda sn kbs ndo Dunia iyi kbs
@MajimbiTz
@MajimbiTz 2 сағат бұрын
NAJUA SIJAWAHI WA KWANZA.. ILA UNAESOMA HII COMMENT MUNGU AKUPE MAISHA MAREFU AMEEN 🙏🙏🙏🙏🙏
@Jasminadamu
@Jasminadamu 2 сағат бұрын
Kwako pia❤
@LazarusMalya-f4b
@LazarusMalya-f4b Сағат бұрын
Haki. Kizazi cha kanumba. Kinarudi. Pambaneni😂😂😂🎉❤❤
@GloriaMtana
@GloriaMtana 16 минут бұрын
Nawapenda sanaaaaa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@QueenbethPetter
@QueenbethPetter 2 сағат бұрын
jamn mimi nafurahia sana ndoa ya mudi😂😂😂😂 yan noma mzee
@majanjajunior5706
@majanjajunior5706 2 сағат бұрын
Wakwanza apa jamani kutoka Kenya wapi likes zangu jamani❤
@FarajiJackson
@FarajiJackson 2 сағат бұрын
Iii move mmetulia sana jaman nzr mnio❤❤❤
@NeemaEli-wl1dz
@NeemaEli-wl1dz 2 сағат бұрын
Kazini zuri sana mungu hawabatiki sana❤❤❤❤❤❤
@VictoriaNkole
@VictoriaNkole 2 сағат бұрын
Waoooo jmn vaileth leo kanikosh jamn kafny lamaan saaan, next pleaz
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g
@BagumaJulienBagumaJulien-k8g 2 сағат бұрын
Yaaa🙏🙏🙏 vai leo umenifuraisha sana 👍👍
@HalimaAbdu-cm8vj
@HalimaAbdu-cm8vj 2 сағат бұрын
Wa kwanza Leo nawaombeni likes zangu😂
@erictosh1
@erictosh1 2 сағат бұрын
Kitu kimeachwa love from Kenya
@AbudoAbubacar-v9n
@AbudoAbubacar-v9n 2 сағат бұрын
Dunia sehemo inayo fatiya isichelewe sna jamani nimeipenda sana from mozambique 🇲🇿
@ndindamuema230
@ndindamuema230 52 минут бұрын
Nawatazama kutoka kenya nawapenda sana
@MobTrsco
@MobTrsco 2 сағат бұрын
Wakuni jaman naomba like zangu plz😂😂😂
@radgamechanger2547
@radgamechanger2547 2 сағат бұрын
Mundi anateremsha na kachupa😂😂
@cassamoantumaneantumane3673
@cassamoantumaneantumane3673 2 сағат бұрын
Nimekua wakwanza leo naombeni like zangu from mozambique
@mwasa_tv
@mwasa_tv 2 сағат бұрын
Sema uyu jamaa anajua sanaaa yaan
@NajmaRajabu-q8e
@NajmaRajabu-q8e Сағат бұрын
Jordan 😂😂😂😂😂 kimemlamba 😂Vai funguka
@Steven-v9g
@Steven-v9g 2 сағат бұрын
Jamanii likr moja kwangu plz
@mamaaanmar1261
@mamaaanmar1261 2 сағат бұрын
Manyanya. Na zinduna. Wamekutana. Haya. Wachatuone. Mwisho wao. 😂😂😂😂😂😂😂
@ShamiriNjiku
@ShamiriNjiku 9 минут бұрын
Nimejaa kipande hiki😊😊😊❤
HOUSE GIRL EP 25 | S3 | Love Story 💕💞
23:33
BUSATI TV
Рет қаралды 10 М.
MAUMIVU [2]
16:44
CHADO MASTA TV
Рет қаралды 10 М.
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН
Кәсіпқой бокс | Жәнібек Әлімханұлы - Андрей Михайлович
48:57
NEW | Ask Allah For Something We Want - Mufti Menk
28:22
ISLAMIC CHANNEL
Рет қаралды 6 М.
DHALMA LA’AANTA RAGGA 80% MAXAA KEENO? | DR ADNAN ABDALLAH
26:26
Dr Adnan Abdallah
Рет қаралды 5 М.
MAPENZI NI GAME { EPISODE 15 } LOVE STORY 💞
34:33
KING_NOELY1
Рет қаралды 10 М.
DUNIA (Ep 01)
18:29
ASMA FILMS
Рет қаралды 259 М.
1 October 2024
28:41
FAMILY ART ENTERTAINMENT
Рет қаралды 7 М.
When Allah Makes You Wait, It’s For a Purpose - Here’s Why | ISLAM
13:35
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 16 МЛН