Hii move kiukweli ina gusa sana maisha ya watu tofauti tofauti ebu kama na wewe imegusa sehem ya maisha yako weka like apa
@MohdKidabe-e9qАй бұрын
Nimekuj kukup like wewe tu na kukomment baada ya kuon nimeguswa na mawazo yako yaliyo sahihi kabisa.
@husnaAthumani-j2jАй бұрын
Yaani hakosei hasa bro manyanya yuko vizuri sana ❤❤❤
@galganoMushyАй бұрын
Daaaah ila manyanya Yuko poa sana
@ZaliaMhandoАй бұрын
Ata mm naguswa
@ASAS-q9u9eАй бұрын
Mm pia imenigusia maisha yangu 😂😂😂😂😂
@Zebuu-kpАй бұрын
Kazi ni safi na IPO kwa ubora wake sana kama wamkubali manyanya weka alam ya upend na sapote zenu muimu sana 🎉🎉🎉🎉🎉
@VERENICEMICHAELYАй бұрын
Nipo na Matilda mpka mapenzi yamuue😂😂😂 na hivii alivyo Hana bahati ya mapenzi kama mimi kazi tunayo
@Fatima-i7h3wАй бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@AngelSilas-yi3sdАй бұрын
Ww sio kp boya ww
@husnaAthumani-j2jАй бұрын
❤❤❤❤❤
@omaryrashidy337Ай бұрын
Manyanya katika siku Ambayo umetufulahisha ndo Leo nikuchenyenta tu😂😂😂😂😂
@AngelKisoleАй бұрын
Mamuzi ya mnyanya nimeyapebda anae ungana na mim gonga like
@sadicksamuel2005Ай бұрын
Daah sana tu
@albertnyabwari7253Ай бұрын
Amwaje huyo bibi maringo ,
@Amina-z8o8qАй бұрын
Bora asimuache jamanii😔
@SalmaJuma-w8zАй бұрын
Inawafunzs
@SalmaJuma-w8zАй бұрын
Uhakika
@ZippyKemboiАй бұрын
Kaka manyanya hiki ndicho nilichokua nakingoja Nani mwengine awake ✅
@neemamabena-xx5erАй бұрын
✅
@ZenaJuma-n7eАй бұрын
🎉@@neemamabena-xx5er
@naelycharles7505Ай бұрын
✅️
@Paulkessy-j8nАй бұрын
Ata mimi nimefulai sana
@BenedithMujingaАй бұрын
Mimi APA ❤❤nimependa
@SanjerSaimonАй бұрын
Manyanya umenikoshaaa tunaopenda penzi la manyanya na mati gonga like
@CarolineMahengeАй бұрын
Yaan wanapendana😂
@mohammedkidody561814 күн бұрын
Tupo babaa
@GloriarespikiАй бұрын
Muwe mnatuongezea dakika hii muvi ni kalii sana jmn au mnasemaje jmn wadauu🎉🎉🎉❤❤❤
@EmileNkunzimana-dg9kyАй бұрын
For really true
@JeannetteManirambona-o6mАй бұрын
Umeongea point
@hamissahamissa105Ай бұрын
Nikweli my
@MariaHussein-f5wАй бұрын
Kwel wanatubania dakika
@MaryTarimo-i4oАй бұрын
Kweli kabisaa waweke ata nusu saaa
@Maryam-s6eАй бұрын
Manyanya unajua leo umenifurahisha mpk nimegoga meza shikamoo manyanya 🙌🙌
@FettyabayaАй бұрын
Yan mm mpk nmepiga makelele kama mwehu 😂😂😂😂 Yan manyanya unajua mpk unabore
@Sca-chrisАй бұрын
marahaba manyanya hapa
@mwanajakalatv8656Ай бұрын
Alikuwa ananiboer Sana hata mimi kumchekea vai😂😂😂
@RukundoEvelyne-c6lАй бұрын
😂
@amirially750Ай бұрын
😂😂😂
@JosephErast-s6cАй бұрын
waooooh wanaosubir ndoa ya mati na manyanya tujuaneeeh❤❤😂😂😂
@denismasele4130Ай бұрын
Me nilshatabili ktambo😂😂
@marywairimu5447Ай бұрын
naingoja tena kwa hamu na ghamu kwanza❤❤maana wanfaana
@godblessmwanga3481Ай бұрын
😂😂😂😂 aisee itanoga
@Ramadhansalim-wf2xmАй бұрын
Wao tupo wengi jaman
@sadicksamuel2005Ай бұрын
Hatimae kapata Faraja yake aisee 😢😢
@moreenmethew3156Ай бұрын
Nimefurahi sana manyanya kumpenda yulee binti good work keep going 🎉🎉🎉🎉
@mwamba-yq9nuАй бұрын
Watu wote ambao mnafuatilia hii movie bx mko kwenye darasa la manyanya na nje ya kuingiza pesa kwa manyanya basinhuyu ni mwalimu mzuri wa maisha congratulations mwalimu manyanya 👏👏👏👏
@MkapaJohnАй бұрын
Hongera manyanya kwa kuwaisha move ya dunia hakika mashabiki zako tunainjoy sana
@michaelmathias2109Ай бұрын
Safi sana manyanya achana na huyo mke
@NizigiyimanaEmmanuel-c7fАй бұрын
Iyi movie inamafunzo mnoo kbsa i like it madame mudi nimustarabu sana sijawai kuona wallah
@esperiusedwin5690Ай бұрын
Manyanya shikamoo 😆😆 Mungu akupe maisha marefu kwa kutuletea movie hii❤️🙏🏻🙏🏻
@EmmanuelprodHazardBeatsaun-e5xАй бұрын
Félicitations vraiment monsieur ma nyanya 😂😂😂 moi je vous suit dépuis le Congo 🇨🇩 Kinshasa.
@leopoldwilliam2128Ай бұрын
Manyanya leo umenifanya nitembee nacheka kama chizi hongera.❤
@BabaFarzan-ml4erАй бұрын
😂😂😂 Mimi kanikonga moyo 1000000%
@leopoldwilliam2128Ай бұрын
@BabaFarzan-ml4er Nakubali mzee atar
@JescahEddahАй бұрын
😂😂😂😂
@philipmutua6643Ай бұрын
Iligulwa 😂😂❤
@mohammedkidody561814 күн бұрын
😂😂😂
@ZuhuraNgasindaАй бұрын
Kwa kweli inafundisha sana aisee, Manyanya salute sana.
@declarkodour3872Ай бұрын
Nashangaa watu Wa nauliza kama manyanya yuko Sawa kwangu yuko Sawa maana amejaribu kumelimisha mkewe kwa Muda mrefu, mkewe kila mara kufoka, kejeli manyanya ni binadamu haswa mume, kwake alioa ili apate Amani Na si kashfa Na sarakasi, mimi ningelikua nilienda kitambo dunia ya Leo wanawake ni wengi tu.
@PiusRojasАй бұрын
naaaam kabisa ombi langu lilikua manyanya kuderty na Marty 😁😁💯 movie Kali 💪🏿✊🏿
@michelmukata5316Ай бұрын
Kwa kweli mungu Awa bariki zaidi, kwa kazi munayo fanya
@PriscaAlly-o2xАй бұрын
Jamn jitahidini kurusha vipande viwili kwa siku jamn dunia ni balaaaa hongereni sana kazi ni nzuri mno
@alidzenze716Ай бұрын
nmeisubiri kwa hamu aki sikuwaza kama ingetoka leo 18,,,,,one love from mombasa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
@KivungamlambaАй бұрын
Hongera manyanya uko na hekima sana,ulivyo kubali maamuzi ya mkeo imekua nzuri,pili ulivyo ongea na matilda na mkaridhiana ❤❤❤
@ywydhhd7941Ай бұрын
😂😂😂kuliziana na matilda au kukandana kabisa 😂😂😂😂
@KhadijaKhamissАй бұрын
Hayo maisha ya Cha pombe na mke wake ni uhalisia kabisa Kuna jirani yangu yeye na mke wake ni hivo hivo 😂😂
@RahmaMduma-y2w5 күн бұрын
😂😂😂😂😂bas hapo mnamsema hana Akili huyo mwanmke😂
@DavidMgoheleАй бұрын
Naona manyanya kakataa, dharau na manyanyaso kama, harmonize 😤💨....ongeleni sana move ni kalii sanaa ❤😂😂😂🙌
🤣🤣🤣mat anapenda kufanya tabia mbaya@@Realme-xm3sh
@mohammedkidody561814 күн бұрын
@@Realme-xm3sh😂😂😂
@AshaJuma-dz6hqАй бұрын
Namkubali sana manyanya anafundisha sana ❤
@ChafitooАй бұрын
Wakwaza leo kutoka Mozambique🇲🇿🇲🇿🇲🇿
@RozPeter-s5zАй бұрын
Niliwaambiaje jamn manyanya umeweza kumvuta mati na akalainika mapak nimefurah mwemyew🎉🎉🎉🎉🎉
@NAYPHATHАй бұрын
Da manyanya hapo sawa acha vai akome maan hajielewi
@DamianMwabwaje2 күн бұрын
Kazi nzuri sana kwakweli, binafsi najifunza mambo mengi sana kupitia maisha ya movie hii. Kongole sana characters🎉🎉
@KibweOnlineTvАй бұрын
Hii Series Imezidi kuwa ya Moto kiukweli imezidi kututeka hongera sana Team nzima ya Asma Film 🎬, Kama unapenda Episode ya 18, Ila Huyu Mudi ni Pasua Kichwa, Manyanya nayeye ni Wa Moto.. Gonga like hapa🎉🎉🎉❤❤❤
@EssauChalamilaАй бұрын
😂😂😂😂dah kama nimtandike bao moja mjarabuuuu
@JasminMussa-s2uАй бұрын
Kazi nzury kaka manyanya nadhani mke wako atajifunza kitu na ataelewa hisia zako
@ThomasWilliam-k5hАй бұрын
Manyanya Manyanya Manyanya nimekwita mala 3 umekula dada yako kweli any way movie nzuli hongereni sana 🙏🙏🙏
@ElenickaEliasАй бұрын
kivipi sijaelewaaa
@ThomasWilliam-k5hАй бұрын
@ElenickaElias hujaelewa nn kaka Manyanya kamutafuna Mati wakati wanaitana ety kaka na dada 😂😂😂😂
@KivungamlambaАй бұрын
Mbona maisha yako tu ivo mnaeza patana na mtu mkawa marafiki au dada na kaka na ikaishia kua ndoa@@ThomasWilliam-k5h
@ElenickaEliasАй бұрын
sawaaaa
@ThomasWilliam-k5hАй бұрын
@@ElenickaElias umeelewa mpaka hapo au movie hujaihangalia vzl
@emanuelhugho6448Ай бұрын
Nakubali sana jaman❤❤mko vizuri nataman muongeze muda❤❤
@JosephMaswe-g7pАй бұрын
Asee MATI na MANYANYA mmetisha sanaaaaa kwa hii episode.. LAKINI SIO HAPA...CHUMBANI😋😋
@fhugghi4109Ай бұрын
Namkubali sana manyanya ❤❤❤
@Janet-uy5byАй бұрын
Wapenzi wa Dunia fanyeni haraka huku🎉❤
@EzekielngarАй бұрын
Manyanya muddy wametisha sana
@garirehema767Ай бұрын
Allahamdulilahi najifundisha mengi sana kwenye hii duia..hongereni
@FrancWakubwa-nw8tmАй бұрын
Kwa jinsi Vaileti alivyo kiburi lazima tu Manyanya angechepuka kupunguza mawazo na kuutuliza moyo wake,Hii ndo Dunia
@AzizasaidiGwandumanongaАй бұрын
Nampenda manyanya sana ni mkweli sanaaa
@nsengiyumvawhite6480Ай бұрын
Manyanya Vai akizinguwa uwe unajiingiliya kwa matirda akumalize asila kabisa ❤❤❤❤❤❤❤❤
@EliahzelSenkaАй бұрын
❤
@-kagerayetubw9jxАй бұрын
Kama unamkubali manyanya like moja apa ❤
@-kagerayetubw9jxАй бұрын
Nasubilia manyanya litibuke na mke wake 😅
@AgnesAgnes-mv7lyАй бұрын
Nilikuwa nasubiria kwa hamu mati na manyanya wanyanduane nimefurahi Leo😀😀😀
@moiseheshima5834Ай бұрын
Chukuwa👍👍👍
@NeemaMzurАй бұрын
Tunaofatilia hii movi....Mungu atujaalie kila la kheri na baraka. Tuseme amiiiin❤
@OmarJaffar-fw4ltАй бұрын
ayeee manyanya Leo umenifurahisha bana uanaume ndio huo mpende matrida jaman the new capo in town😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@MussaRasulАй бұрын
Manyanya oyeeeee
@Shakila-pq2gvАй бұрын
Yaaan nimerukaruka hatari😂😂😂
@DebbieOchiengАй бұрын
@@Shakila-pq2gvNimefurahi balaa yaani 😅😅😅😅
@mwagombamwachupa3396Ай бұрын
Vai ndio kampa manyanya msukumo zaid wa kumfanya leo amwambie mat kilicho moyoni,,,siku zte kakaza ila kwa maneno ya vai hakua na budi,,,uliambiwa mke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyew
@FurahaMajiwa-y8gАй бұрын
Matrida jaman nilianza kumuona ananyanyasika ila saiz ana farijika sanaaa
@VernaGraceАй бұрын
Na hiyo ndio maana ya baada ya dhiki faraja😂
@Regina-Nyenza108Ай бұрын
naombeni like jmn nipo chini ya miguu yenu❤ nawapenda
@RonaldoShantiwa-k4vАй бұрын
Nyie mnajua sanaa. Muendeleze na ya FAMILIA YA MZEE KICHECHE😂
@NduwimanavovobiVovobiАй бұрын
Movie ya ndoa hakiii asanteni kwa funzo nzuri❤❤❤🎉🎉
@bejakamanza123Ай бұрын
Mashallah leo nmewahi mola atulinde sote.
@J74251Ай бұрын
Nawakubali Sana muddy na mkeo 🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉❤🎉
@BesterSigallaАй бұрын
Uko SAWA sana manyanya nimecheka unashituka nn tena manyanya bigap my brother
@JanethMpululeАй бұрын
Manyanya elimu yako naikubali tulo olewa na ambao hawajaolewa wajifuze kwa manyanya Vai anawivu ila haonyeshi upendo mnzur kwa manyanya Vai jitahidi tyuenjoy bas watakupokonya wezio wanaojua kupepelea🌹🌹❤️
@HalimaAbdalla-ce7zjАй бұрын
Leo niliwaza kirohon kuwa itatoka pat 18 Jaman mm sijawahi pata laik Leo naomba
@MabugaJacksonАй бұрын
Apo vp umejisikiaje dear
@NjoseufuDeussiАй бұрын
oy
@HalimaAbdalla-ce7zjАй бұрын
@@MabugaJackson 🥺
@ByamunguInnocent-ge4efАй бұрын
Nawapenda saaaana Mungu awe nzanyi.❤❤❤❤❤❤
@SokabetАй бұрын
ivi mpaka lini mtaongeza vipade ata vi2 aumnasemaje wadauuu🎉🎉🎉🎉❤❤
@mwagombamwachupa3396Ай бұрын
Kabxaaa huu.mda mfupi sana,,hata wasipoengeza viwili bs ata mda uongezeke hii movie tamu sana ila mda kidg sna
@ayshahamisiАй бұрын
Kweli @@mwagombamwachupa3396
@JulieNanyaroАй бұрын
Vai umevunja ndoa kwamikono yako mwenyewe dah manyanya umenifurahisha sana furahia penz achana na vai akae na kibur chake
@mrben227Ай бұрын
Kazi nzuri sana ,hongereni wahusika wote mlioshiriki humu ,mungu awape umri mrefu mzidi kutuletea burudani😊
@SarahCharlsАй бұрын
Mke wa mud umefanana na mdogo wangu yaan hivohvo umemzid umr TU nakupenda buree, ♥️♥️♥️
@roseafrael75Ай бұрын
Mwanamke kama Vai hata mume akichepuka ni haki kabisaa
@MorrisMunyaa-qd7ioАй бұрын
hapo kweli kambisaa
@samwelimoshi5614Ай бұрын
Bora uyo wangu je..japo ananipa ila anagubu
@nyamiziramadhani4232Ай бұрын
@@samwelimoshi5614😂😂😂
@nyamiziramadhani4232Ай бұрын
wanaume mnakazi khaaaa
@ChannellaChachaАй бұрын
@@samwelimoshi5614😅😅😅
@DogokingoАй бұрын
Good job guys ❤❤❤🎉 huyo wife a juwi mapenzi🎤🔫
@BemsBenjamin-kv8cpАй бұрын
Nime penda sana iyi picha asante sana kwa wa andaaji wote aisé manyanya na mati mume ni furaisha sana asante kwenu!
@FarkiyyaAbdallahАй бұрын
Manyanya sasa mda wa kubadilisha dereva umefika matrida fanya kazi yakooo
@ErastoNgerangeraАй бұрын
Woyo woyo woyo jamn niamefulahi sana sana matrid cathe kimekulamba 😂😂😂😂
@INNOSENSIALIWEWAАй бұрын
😂😂😂😂aibu naona mm
@Babyfaty-m3yАй бұрын
Carth akija kujuw cjuw itakuwaje jmn kwa maty wetu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@Babyfaty-m3yАй бұрын
@@INNOSENSIALIWEWA aibu gan sas apo na dada etu kapata mfariji tyr 🤣🤣
@ErastoNgerangeraАй бұрын
@@Babyfaty-m3y mmh naisi atamchukia mati
@ErastoNgerangeraАй бұрын
@@INNOSENSIALIWEWA 😅😅😅
@LEWISHYEGON254Ай бұрын
Filamu za dunia kwa kweli zinaburudisha jamani.Kazi nzuri kwa waungwana hawa wanao husika.Hongereni,Kwa kweli zinatoa funzo zinazohusika na mapenzi.Keep it up ✅✅.From Kenya
@andrewrichard7640Ай бұрын
Manyanya umetishaaaaaaaaa!!
@RizickTz-v9lАй бұрын
Matter ludia tena siyo hapo chumban 😮😮😮 penda chana
Matilda na manyanya mtafika mbali sana mimi nitakuwa mshenga wa manyanya na mpeleka barua kwa kina Matilda
@Babyfaty-m3yАй бұрын
😂😂😂😂
@AmeirhajjRamadhan-e1hАй бұрын
tupo na manyanya mpk tujue harusi imefungwa😂😂😂😂
@maylucson001Ай бұрын
@@AmeirhajjRamadhan-e1hyani mpaka Tule mpungaa 😂😂😂
@ANKOZUBERI881Ай бұрын
@AmeirhajjRamadhan-e1h mbivu na mbichi itaeleweka
@IrakozeHami-t9mАй бұрын
Ata me ntakusindikiza icho Chakula cha mshenga tutachangia
@BagoShabaniАй бұрын
Khaaa manyanya umeua kwa matrida safii sana mwandishi wa dunia nakupa hongera sana
@JamilaRajabu-g8p23 күн бұрын
Mhhhhhh mbn patamu naona hii caple inayo Anza itakuwa pambe kaka na dada❤❤❤❤❤🎉🎉🎉😮😮😮
@BBBTv-om9qzАй бұрын
Kazi safi.. first comment nipewe likes zangu💯
@stevensosipitaАй бұрын
HIYO FIRST COMMENT YAWAPI?
@hamzaibrahimuАй бұрын
Huyu muddy sizani kama December atafika ipo siku tutamtoa kafara maana hana faida mjini 😢Ila msimwambie asije kimbia
@temuemanuel4671Ай бұрын
Unajua kuchekesha sana. Kipaji kizuri. Keep it up
@NeemaEdward-tu9ljАй бұрын
😂😂😂😂
@ChannellaChachaАй бұрын
😅😅😅😅
@pastor-Chrisfeston1Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@ShamsaHassan-k5v8Ай бұрын
😅😅😅😅😅😅
@IssayaurassaАй бұрын
Sijawai kusema toka episod ya 1adi 18 Mr Manyanya Dunia imejua kubeba maisha ya ndoa,zetu KAKA aiseee Mungu ziponye ndoa zetu
@HalimaSaid-g1sАй бұрын
Tatizo Vai anaheshimu mwili Wala sio ndoa.ila manyanya ww umeweza🎉🎉🎉
@JoelMukulu-f4iАй бұрын
Tena Siopowa mtumzima anaye jieshimu kama manyanya awe naingia marakwamara kwa ma binti singo kama hao.
@mamaraoumabah7576Ай бұрын
Ivi ndo Sasa movie Ina Anza kuwa Na hutamu❤❤❤ Love you from South Africa
@AndrewFundiАй бұрын
@manyanya minamukubali saana Kama naweumemukubali show love 💕🎉🎉
@elizabethkabanda4105Ай бұрын
Basi Manyanya usimuache Mati wangu ❤ Ila natabiri jamani me nahisi Mati yupo moto sana kitandani ndiomana alikuwa anaachwa ila kwa upwiru wa Manyanya lazima kaelewa shooooooooow😂😂
@DjpochieАй бұрын
Mmmmh hii episode imekua Kali sana Baba asma KAZI nzuri nakukubali
@ReneNzeyimanaАй бұрын
Ambao tunawake kama uy mke wa Manyanya tujuwane wengi tunaumia moyoni ila tunaishi kwauvumilivu
@MuhaleBertinАй бұрын
Naipenda sana filam hii nikiwa DRCongo 🇨🇩❤❤❤
@EliahzelSenkaАй бұрын
Aminia🎉🎉
@HurumaElias-q9hАй бұрын
Muddy bhana ila unitiki😅😂😂😂😂
@RosemaryWilbardАй бұрын
Nimecheka kama fala😅😅😅
@romanruwa4249Ай бұрын
Muddy muzungu😂
@kephermdutch1633Ай бұрын
Paka la bar😂@@romanruwa4249
@tesh523.Ай бұрын
😂😂😂😂Ila amutiki
@AgnesisaidАй бұрын
😂😂😂
@ashurahamis5066Ай бұрын
Nimecheka Kwa nguvu 😂😂😂😂 mati ❤❤
@AwiloMgongoАй бұрын
Siyo apa Sasa chumbani hahahaha nimeipenda hiyooo nakukubali Sana manyanya
@gikundiromasi3599Ай бұрын
Karim gutoka Burundi ebu munipe liké hata 5
@SulemaniMbeduleАй бұрын
Leo nimewahi weee 😂😂😂😂 naombeni likes na mm all the way from German
@mathewmakwaya-zh3bkАй бұрын
Hii kazi ni Zaid ya kazi💪,mapenz ,burudani kero,usaliti ,n.k aloo hii ni kazi ya mwaka 2024 Kwang Mimi