DUNIA (Ep 23)

  Рет қаралды 27,807

ASMA FILMS

ASMA FILMS

Күн бұрын

#dunia

Пікірлер: 704
@MichaelMosesmg
@MichaelMosesmg 3 сағат бұрын
Mungu ndo kila kitu kwenye hii dunia Mshukuru mungu hapa wakati unaelekea kumaliza mwaka
@Thakur9187
@Thakur9187 2 сағат бұрын
Nawakubari sana.Leo nimekua wa kwanza naomba ata like 5 from 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@bazungudaniel1872
@bazungudaniel1872 3 сағат бұрын
Maty nakuja kwa jili yako na ndugu manyanya weye nakukubali sanaaa
@zawadgunza2093
@zawadgunza2093 3 сағат бұрын
Jamanii timu matrida & manyanya tujuane 🙌
@DeeDan-sj1mr
@DeeDan-sj1mr 3 сағат бұрын
Jaman nyinyi mkoje mbn mnawahi xana mnalala. Online au 😂😂😂 aya bhn team maty and manyanya gonga like apa twende xaw❤
@LucyYatoli-c8p
@LucyYatoli-c8p 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂😂
@mosesgatarakwa2018
@mosesgatarakwa2018 2 сағат бұрын
Maty awesi kubali tulale
@MaryMahaza
@MaryMahaza 2 сағат бұрын
mngejua nnavokuaga naisubiri hii series mngetoa kila siku😂
@ShaziraOmary
@ShaziraOmary 2 сағат бұрын
Watu wanakesha😂😂
@AlexMureh
@AlexMureh 2 сағат бұрын
Siezi lala kabla sjamuona maty aki❤ 😅😅😂
@RehemajumaaPambo
@RehemajumaaPambo 3 сағат бұрын
Wa kwanza jmn leo😢😢😢.. Tunaomkubali MANYANYA tujuane jmn😅😅😅😅
@abdikarin2981
@abdikarin2981 2 сағат бұрын
Manyanya ako na hekima kwelii dada wa kaziii anafaa kuheshimiwa
@iwacuboy
@iwacuboy 34 минут бұрын
kzbin.info/www/bejne/nKmWin1oi9yca7csi=8yEBqQmvd-ttT-X2
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 2 сағат бұрын
Habari za Muda Huu Ndugu zangu, Wanafamilia wa Dunia Series, Leo Nimechelewa Jamani Lakini nimefurahi kuitazama hii Episode ni ya moto, Kama Umenogewa na Hii Series Gonga like hapa❤❤🎉🎉😊
@JohnsonThomas-g6x
@JohnsonThomas-g6x 3 сағат бұрын
Wale funns wa manyanya konga ❤❤❤
@KulwaStephano-s6p
@KulwaStephano-s6p 2 сағат бұрын
Hongereni sana kazinzuri sana manyanya.
@Nasrahmsiagi-xxv
@Nasrahmsiagi-xxv Сағат бұрын
Jamani nataka mnipe like nitoke jera😂😂😂😂😂 Team manyanya na mati bila kumsahau Jordan Mzee wa mishaangaziii😂😂😂
@OswardMgala
@OswardMgala 2 сағат бұрын
Mungu ndo kila kitu hapa dunianii ahsante mungu kwa pumzii🎉
@AkexLamek-vv1cv
@AkexLamek-vv1cv 2 сағат бұрын
From Congo Kinshasa 🎉🎉🎉❤ na mipenda sana 🎉🎉🇨🇩🇨🇩🤳
@PendoSamweli-g6k
@PendoSamweli-g6k 3 сағат бұрын
Wakwanza kulike nakuja comment tim manyanya gonga like apa...ila wanawake kuweni wapole kwa waume zenu msije mka taftiwa nyumba ndogo Tim nyumba ndogo mko wapi🎉
@iwacuboy
@iwacuboy 34 минут бұрын
kzbin.info/www/bejne/nKmWin1oi9yca7csi=8yEBqQmvd-ttT-X2
@zatchardzknestor
@zatchardzknestor 3 сағат бұрын
Mambo mazuri sasa,,, huko tunakoeleya kuna mtu ataachwa
@eunicejefwa1935
@eunicejefwa1935 2 сағат бұрын
😂😂😂😂😂umeona?
@ErickMalack
@ErickMalack 2 сағат бұрын
Mungu awape maisha marefu kwa kazi nzuli mnazofanya ❤❤ inafundisha sana sana
@BeatriceMussa-y4b
@BeatriceMussa-y4b Сағат бұрын
Kwani mudi ana nini lakini?? Nimeanza kumchukia sasa khaaa Ata tuseme ndy pombe 😢😢... Wanaoungana na mm like apa
@kibz004
@kibz004 3 сағат бұрын
Team Kenya ndio wa kwanza kucomment🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💕💕💕💕💕tunawapenda
@gracewangai2725
@gracewangai2725 Сағат бұрын
Aisee umewahi ❤❤❤❤❤
@DamarisDammie
@DamarisDammie 3 сағат бұрын
Wale tunawatçh tukiwa kitandani halloo ❤❤
@ErastoNgerangera
@ErastoNgerangera 2 сағат бұрын
👋👋 hello
@AdveraElias
@AdveraElias 2 сағат бұрын
Hello to 🤝
@marthesifa-5803
@marthesifa-5803 2 сағат бұрын
😂😂✋✋✋
@JamesJank-r7p
@JamesJank-r7p Сағат бұрын
😅😅 namtaka math
@ChristopherMilinga
@ChristopherMilinga Сағат бұрын
Hallow
@FarajiJackson
@FarajiJackson 3 сағат бұрын
Saf sana nakubar ii kaz manyanya
@joselynenizi9475
@joselynenizi9475 2 сағат бұрын
❤❤❤hatimae imefika❤❤ nimesimamisha jua kali😂😂nitaiendeleza badae😅😅
@LaxAbely
@LaxAbely 3 сағат бұрын
Mmejipanga Sana kikosi KAZI Kila idara big up Sana asma comedy
@leopoldwilliam2128
@leopoldwilliam2128 2 сағат бұрын
Aisee hii movie ni moto mwinggine kabisa❤❤😂
@dabrathkhatibu8758
@dabrathkhatibu8758 2 сағат бұрын
mambo ni motooooo🤝
@Elisingham
@Elisingham 2 сағат бұрын
Watu wa Bujumbura nakuja wa pili🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@WastaraShabani
@WastaraShabani 41 минут бұрын
Hay ss kazi iyoo jamn mpewe mauwa🎉 yeni wana dunia wotee❤
@AbdallaSaidi-cl5if
@AbdallaSaidi-cl5if 3 сағат бұрын
Wakwanza🎉 leo ❤❤❤
@TidesShakila-li8tz
@TidesShakila-li8tz 2 сағат бұрын
Awee timu manyanya and matiridaaa come here 😂😂😂❤❤❤❤❤
@TigerKingazi
@TigerKingazi 2 сағат бұрын
Haa jamn me ndo nimechelewa ivo😮😮😮
@FayjNahodha
@FayjNahodha 2 сағат бұрын
Jaman sijachelewa sana😂😂 nipewe maua yangu🎉🎉
@zamudafamilychiwa6173
@zamudafamilychiwa6173 3 сағат бұрын
Mambo ni motooo🔥🔥🔥🔥🔥Leo wakwanza jamani mtakuwa wachoyo wa like 🎉
@zamudafamilychiwa6173
@zamudafamilychiwa6173 2 сағат бұрын
Good
@mash02canada
@mash02canada 3 сағат бұрын
Wa Kwanza ❤❤
@MarathonMuziki
@MarathonMuziki Сағат бұрын
Vijana punguzeni mishangazi mikungu sio kwa wazee hao mtakufa nyie 😂😂😂 ila vijana wa Dar wakishapata ndevu na vitambi wanajiona ndo fursa Kubabake 😂😂
@magogokarim5220
@magogokarim5220 39 минут бұрын
Leo naona ngoma umetumwa usiku sana😊😊
@DainesWilliam
@DainesWilliam 2 сағат бұрын
Sijachelewa sana jmn 🎉🎉🎉
@hafidhabdallah6292
@hafidhabdallah6292 3 сағат бұрын
Wa kwnza kk kutoka zanzibar/mwera
@Scolayusuph558
@Scolayusuph558 Сағат бұрын
Afu #jordan unauelewa sana uu mshangaz mweusi kuliko uyo #pakome 😅
@shazilimohamedi4762
@shazilimohamedi4762 3 сағат бұрын
Wooow niwewah nile like zng manyanya noma sn yn🔥🔥
@NazpherMunyu
@NazpherMunyu 2 сағат бұрын
😢tuliyoolewa na walevi ndo tunajua tunapitia yapi na hii move inatufundisha vp, nakupenda mume wangu japo chapombe Ismail kandanga❤
@ashamrisho1322
@ashamrisho1322 3 сағат бұрын
Ila Jordan na wabibi wake jmn mmb ya kuzaa na mtoto Tena hehehe 😂😂😂
@ErastoNgerangera
@ErastoNgerangera 2 сағат бұрын
😂😂😂
@mariammohamed8499
@mariammohamed8499 2 сағат бұрын
😂😂
@Upendosimbeye
@Upendosimbeye 2 сағат бұрын
Ananyonyaa maishaa😅
@JolynerSam
@JolynerSam 2 сағат бұрын
😂😂
@GraceTegemea
@GraceTegemea 2 сағат бұрын
Wanazaa tyuu
@DEBROOneson
@DEBROOneson 3 сағат бұрын
Wakwanza Kaka manyanya❤
@JescaFelix-e4x
@JescaFelix-e4x Сағат бұрын
Jamani mbona usiku ivii ila Mr sharo analamba kote kote mtu na shoga yake 😢😢
@FranciscaManga-j4c
@FranciscaManga-j4c Сағат бұрын
Bibi ya mdi ,, jameni pole unayapata pata ,, ati mapenzi shenzii
@Mclupy44
@Mclupy44 34 минут бұрын
Sema mngekuwaa na muda maalum wa kuitoaa kama ni sa 6 usiku ingekua ivooh kila siku au kam afta two days iwe ivyo kwelii
@kidatokassim7616
@kidatokassim7616 2 сағат бұрын
Uzuri mshangazi mmjoja unqjua kama na wenyewe ni mwizi😂😂
@neemamabena-xx5er
@neemamabena-xx5er Сағат бұрын
Duuu aibu tupu
@mazruikea6682
@mazruikea6682 2 сағат бұрын
Kazi nzuri na mapema kwa kuwayi, like zenu from 254. kma unakubali asma film
@declarkodour3872
@declarkodour3872 3 сағат бұрын
All the way from Kenya I have been waiting for this episode likes zangu zikuje 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@YOUNGAMBELE
@YOUNGAMBELE Сағат бұрын
Ongela sana kwakuwaisha move
@PurieMakena
@PurieMakena 2 сағат бұрын
Ety matii jamani unamwambia mwenzako akalilie kwake 😂😂😂😂😂
@EdwardMweru
@EdwardMweru 3 сағат бұрын
Jaman mm namukubar sana manyanya sana
@Bradleycarlostawai
@Bradleycarlostawai 3 сағат бұрын
Wakwanza kutoka kenya, wapi likes zangu na manyanya❤❤❤
@EvaliusNgoy
@EvaliusNgoy 2 сағат бұрын
Nawakubali sana wanangu mimi ni evalius Niko apa kongo Lubumbashi 🇨🇩🇨🇩
@FarasiMeshack-c4q
@FarasiMeshack-c4q Сағат бұрын
Duuuuuu kipengere kutongoza mishangazi akikwangari usoni kamamfu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@dinatito-e1y
@dinatito-e1y 43 минут бұрын
😆
@everlynekhaemba5525
@everlynekhaemba5525 2 сағат бұрын
Kama unakubali hii dunia inamafunzo mazuri gonga like tukisonga🎉🎉🎉🎉🎉
@LeganNtambi
@LeganNtambi 2 сағат бұрын
Wee mati siumwambie shoga ako u kweli mbn anateseka Sana sio vzr
@MemoryKamutandi
@MemoryKamutandi 2 сағат бұрын
Jaman na mm leo niombe like nipen bas from south Africa tunapemda kazi zenu ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@ElyséNtacobazireguza
@ElyséNtacobazireguza 3 сағат бұрын
Very nice Mr manyanya Na vaileth
@doristuppa
@doristuppa Сағат бұрын
Huyu Marti nidhamu yake ya uwoga itamponza Leo manyanya wetu kachukia hakiamungu 😢
@KassimKhalaid
@KassimKhalaid 2 сағат бұрын
mailda bna ati pole kalilie kwako amchora mwenzie tu
@AmosSikuzani
@AmosSikuzani 2 сағат бұрын
Leo nimewahi San nime kuwa wamia nne na kitu juu naombeni like hat one bas
@MarieOlepa
@MarieOlepa 3 сағат бұрын
leo nimetoka wa kwanza kutoka Burundi jamani nipe like zangu❤❤
@UGFIREMUSIC
@UGFIREMUSIC 3 сағат бұрын
Mimi NDO wakwanza munipe zawadi yangu
@kevintuchi8027
@kevintuchi8027 2 сағат бұрын
Sijui kama Tanzania mnajua kama wakenya tunawapenda 💯✅🙏
@declarkodour3872
@declarkodour3872 2 сағат бұрын
Yamemkuta Jordan 😂😂😂😂😂 huyu anacheza Na kifo tu
@ashamrisho1322
@ashamrisho1322 3 сағат бұрын
Congratulations kwangu nawafatilia sana had Sasa nimekuwa wa kwanza hongeren Kwa Kaz nzur
@peterKasonso-l8x
@peterKasonso-l8x 2 сағат бұрын
ata like Moja tu yatosha maana Toka nianze kuangalia hizi epsodi sijawai pewa
@joanbwahama-rx3tc
@joanbwahama-rx3tc 2 сағат бұрын
Hongereni sana wote mlioshiriki🎉🎉🎉
@FloraWarioba
@FloraWarioba 2 сағат бұрын
Hivi jaman mke wa Muddy anavumilia nn kutafuta uwife material au mm napata hasira
@mirajidrissa9139
@mirajidrissa9139 2 сағат бұрын
Safi manyanya wasichana wanao nyoa wanakuwa waovyooo sjui wanpendelea nini😢😢😂😂😂
@HamisBakar-j1k
@HamisBakar-j1k 3 сағат бұрын
Jaman n mm Leo wa kwnz nipeni bx like 👍
@FlavianaMenald-sk3ff
@FlavianaMenald-sk3ff 2 сағат бұрын
Kumbe jordan ukivua kofia nawewe ni mhenga tu😂😂
@Mapenzisafari-lj1mo
@Mapenzisafari-lj1mo Сағат бұрын
😂😂😂 😂😂😂😂
@JasminMuhq
@JasminMuhq Сағат бұрын
😂😂😂😂
@TalimLanspe
@TalimLanspe Сағат бұрын
Waliokimbilia comments na simu ipo charge gonga like apa😂
@Collinsgwehona66
@Collinsgwehona66 2 сағат бұрын
Wa tatu leo naomba likes
@KelvinMgaza
@KelvinMgaza 3 сағат бұрын
Waooo wakwanza leo😮😮😮😮
@peterlove4g869
@peterlove4g869 3 сағат бұрын
Leooooo wa kwanza nipe like zanguuuù❤❤❤😂😂
@MauFundiElectronics
@MauFundiElectronics 2 сағат бұрын
Kazi njema kazi mzuri sana 🎉🎉🎉🎉 pongezi kwenu
@sharifamahamudu182
@sharifamahamudu182 2 сағат бұрын
Awa mashangazi sipati picha wakifumaniana 😂😂😂😂naisubili sana hyo siku kwa hamu
@ErastoNgerangera
@ErastoNgerangera 2 сағат бұрын
Hahaha kma naona ivii 😅😅
@kephasonsongoomwangeomwang5371
@kephasonsongoomwangeomwang5371 2 сағат бұрын
Wewe muddy wewe ufanyi poa haki🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@digidigi816
@digidigi816 2 сағат бұрын
Jamn kila cku mi inachelewa kwangu
@EMMANUEL-jw4kt
@EMMANUEL-jw4kt 2 сағат бұрын
Nataman Sana maisha ya Jordan ndo ningekuwa mm na hiyo mi Bibi inilee ningekula maisha balaa
@سلطانالدوسري-ل1ذ
@سلطانالدوسري-ل1ذ 2 сағат бұрын
😂😂😂jaman wanaume wababa kamamudi sisi wamama tuwambie nini😂walanie au mungu awatembereye😂😂😂😂😂
@felixmutuma6866
@felixmutuma6866 2 сағат бұрын
Ni na wazo Kwamba Cathay atampata Manyanya siku moja.
@KasuluArtsgroupfilms
@KasuluArtsgroupfilms Сағат бұрын
WE BRO SIKIA UTAKOSA WASHABIKI KISA KINGEREZA CHAKO, PUNGUZA AU UACHE KABISAAAA AMA UONGEE KINGEREZA MOVIE NZIMA TUJUE WE MZUNGU BASI🙏
@FailaKisubi-h3l
@FailaKisubi-h3l 2 сағат бұрын
Tukumbukeni kuhogeza hata dakika 2pluiz, kazi yenu nzuri sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@barackagerald9610
@barackagerald9610 2 сағат бұрын
Leo nimekua wa 400 naomben like yako tafadharii 🎉
@SteveAmbassadeur
@SteveAmbassadeur 2 сағат бұрын
Hawa washangazi wawili wana vipaji vikubwa sana❤
@NaftaneyWihala
@NaftaneyWihala 3 сағат бұрын
Wakwanza Leo nipen like zangu 🎉
@IbrahimGunguti
@IbrahimGunguti 2 сағат бұрын
Mshangaz umefungiwa ndani😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nipen like jmn kwa moto
@ErastoNgerangera
@ErastoNgerangera 2 сағат бұрын
Dakika tuu watu mmejaa hivi aisee haya tuendelee na muvi
@IddyMabula-e5m
@IddyMabula-e5m Сағат бұрын
Mov kali sna namba one kwa mwaka 2024 nakubali sama brooo manyanya broooooo unaweza salud , jondan mzee wa kulelewA unakosa nyumba aliyenunua nyumba unamfungia umetisha blooooo😢😢😢😢
@IreneIsambi
@IreneIsambi 2 сағат бұрын
Timu Dunia mpo vizur mnatutolea vitu Kwa wakati saiz
@shafiahmadi-ls8nq
@shafiahmadi-ls8nq 3 сағат бұрын
wa kwanza leo
@JoyeuxJoel
@JoyeuxJoel 2 сағат бұрын
Wauoo nimewahi ku like kutoka uganda
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 Сағат бұрын
Leo Kp wa mchongo hajajitokeza maan huwa anawahigi sa .... Maisha na mishangazi ni hatari, trick na mbinu za kivita za mudy kurud kwa mkewe ni hatari gonga like kwa huyu mwamba
@JacklineCharles-r1x
@JacklineCharles-r1x 2 сағат бұрын
Nilikua nasubiri kwa hamu jmn natamani kila sku iwe inapostiwa❤❤❤❤
@cristianofabiao537
@cristianofabiao537 3 сағат бұрын
Wakwanza nipe like
@ZedekiaSisso-b9q
@ZedekiaSisso-b9q 2 сағат бұрын
Mi naomba manyanya endelea kutowa mwendelezo ufike ata ep 100 na uvunje record
@SabinaKioko-i1f
@SabinaKioko-i1f Сағат бұрын
Kaka manyanya make sure umemwambia ukweli ..wote uyu wakunyoa ... nawapenda sana ❤❤❤❤❤ from Kenya
@manbubabubaraja5075
@manbubabubaraja5075 2 сағат бұрын
Noma sana
@Hgd-jk6lh
@Hgd-jk6lh 2 сағат бұрын
Hamlali jamani 😅😅twende nalo sasa tumpe manyanya like zake
WATOTO WANGU PART 6 (FINAL) #love
30:46
BabaJoan
Рет қаралды 64 М.
MISSION IMPOSSIBLE [10] SEASON 2
22:09
CHADO MASTA FILMS
Рет қаралды 146 М.
Don't underestimate anyone
00:47
奇軒Tricking
Рет қаралды 15 МЛН
風船をキャッチしろ!🎈 Balloon catch Challenges
00:57
はじめしゃちょー(hajime)
Рет қаралды 92 МЛН
When u fight over the armrest
00:41
Adam W
Рет қаралды 31 МЛН
DUNIA (Ep 16)
24:14
ASMA FILMS
Рет қаралды 284 М.
JUA KALI YA LEO JUMAMOSI 23/11/2024 FULL VIDEO HD
18:27
Yanga Sc Tv • 40K views • 2 hours ago
Рет қаралды 8 М.
MAJI YA SHINGO S01 EP 9 / Hemedy  bado hali tete na mama yake
23:59
lokoma series
Рет қаралды 4,6 М.
SECTION E SERIES EPISODE 4 With English subtitles
23:51
Benroyal Movies 🎬
Рет қаралды 8 М.
ROBOTI SUZANA:|Episode 33|
9:03
MPEMBA COMEDIAN
Рет қаралды 32 М.
DUNIA (Ep 11)
23:09
ASMA FILMS
Рет қаралды 290 М.
SINDANO EPISODE 3
20:46
KIM VEVO
Рет қаралды 7 М.