DUNIA (Ep 26)

  Рет қаралды 172,325

ASMA FILMS

ASMA FILMS

Күн бұрын

Пікірлер: 2 000
@haluarahma3071
@haluarahma3071 18 сағат бұрын
Manyanya tunatak Kuona mati akibeba mimba Yako,kumbe Cate ni nyoka hivi😂😂😂😂😂
@madhualacedrick4098
@madhualacedrick4098 8 сағат бұрын
na mm naweza furahi, nione jinsi Cate ata angaika😅
@KibweOnlineTv
@KibweOnlineTv 19 сағат бұрын
Manyanya na Matty Penzi Limetaradadi❤! Mwenyezi Mungu Atubariki Sisi Sote Tunao Tazama Hii Series Pendwa ya Dunia, Atufanyie wepesi zaidi kwenye Mihangaiko Yetu ya Kila siku na Atupatie Afya Njema 🙏🙏
@IssaygeradGerad
@IssaygeradGerad 6 сағат бұрын
Ondoa neno mihangaiko weka neno utaftaji.
@IsakaKiyalo-s3v
@IsakaKiyalo-s3v 6 сағат бұрын
Amina
@happybrown3719
@happybrown3719 19 сағат бұрын
Jmn🤣🤣🤣tuko pamoja ambao tunafatilia tujuane 👏👏👏
@PENETRATOR.002
@PENETRATOR.002 13 сағат бұрын
From Mombasa 😊
@andrewlukaku1581
@andrewlukaku1581 9 сағат бұрын
xema wanachelewexha
@Ajay-f8q8i
@Ajay-f8q8i 15 сағат бұрын
Hapa Dunia hapa mission impossible 😂😂😂noma sana
@simonnyemazi5286
@simonnyemazi5286 12 сағат бұрын
Bila Shaka bwana manyanya anahitaji kuagwa vizuli na mke wake lakini yeye hawezi kuaga kama mke wake !!!! 😂😂😂 Bi Feth yeye hasira imepamda 😂😂😂 Jordan yeye kichwche mbaya sana
@RabiaSaid-sh1km
@RabiaSaid-sh1km 18 сағат бұрын
Alhamdulillah Allah azidi kutupa umri mrefu wenye afya uzima na mafanikio 🤲🤲
@mulhathamadomar4451
@mulhathamadomar4451 13 сағат бұрын
Amiin
@hassansempa2298
@hassansempa2298 12 сағат бұрын
Amin❤
@AsiaJabir-o5x
@AsiaJabir-o5x 9 сағат бұрын
Ameen Thuma inshallah
@Jazra-17A
@Jazra-17A 18 сағат бұрын
Mwenyezi mungu awape afya njema wote tuvuke mwaka salama
@RestitutaMpande
@RestitutaMpande 15 сағат бұрын
Aminaa
@goshenaman
@goshenaman 12 сағат бұрын
amina
@JeannetteManirambona-o6m
@JeannetteManirambona-o6m 8 сағат бұрын
Amina
@JosephKalonda-h1c
@JosephKalonda-h1c 7 сағат бұрын
Amina
@Katyega
@Katyega 6 сағат бұрын
Dua nene ♥️
@QweenNickson
@QweenNickson 18 сағат бұрын
Daah kweli kukulacho ki nguoni mwako yani huyu rafiki wa Matty ndiyo adui yake mkubwa mpaka kwenda kwa wagangaaa😢😢😢😢😢
@annaki318
@annaki318 15 сағат бұрын
Loooooh Catherine kumbe maty kuachwa na wanaume weww ndyo ulikua chanzo leo tumeujua ukweli😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@HalimaOmar-c5y
@HalimaOmar-c5y 4 сағат бұрын
Ili funzo 😢tuwe makini na marafiki zetu
@NeyRash
@NeyRash 17 сағат бұрын
Yan muddy ananifanya nacheka kwa sauti na nipo mwenyew 🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣🤣team dunia nawakubali sana
@ericmukabwa4563
@ericmukabwa4563 18 сағат бұрын
😂😂😂😂jamani nafurahi vile Vai anateseka Yani hii ni revenge kwa exe wangu🎉🎉 jamani Vai teseka mnooo
@AishaBeyonce
@AishaBeyonce 18 сағат бұрын
Daaaanh nimejifunza rafiki sio mtu mzurii unaemwamini ndo anaekuangamiza Bora kubaki bila rafiki duniani wallah😢😢
@Linahfedrick-ei1ij
@Linahfedrick-ei1ij 18 сағат бұрын
ni kweli rafiki hawa ni kuwa nao makin sana
@AishaBeyonce
@AishaBeyonce 17 сағат бұрын
@@Linahfedrick-ei1ij hakika pia ata mtu wa karibu ndo anae kuua
@hadijamohd6028
@hadijamohd6028 17 сағат бұрын
Daaah siamini
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 17 сағат бұрын
Ni kweli😢😢
@FatumaKibaranga
@FatumaKibaranga 17 сағат бұрын
Rafiki sio mtu mzuri
@christinekadzobaha9491
@christinekadzobaha9491 18 сағат бұрын
Vizuri sana manyanya uko na hekima ya mungu ndani yako mungu akubariki sana na kipaji chako
@zahraabdul9652
@zahraabdul9652 17 сағат бұрын
Kweli kabisa ❤❤❤🎉🎉🎉🎉
@abelsospeter-x8r
@abelsospeter-x8r 17 сағат бұрын
Hyo hekima kwiyo?
@rapha255.
@rapha255. 16 сағат бұрын
Hekima gani Malaya tu huyo
@NasibuYonah
@NasibuYonah 15 сағат бұрын
hekima ya kimalaya labda
@RizikiZiki
@RizikiZiki 13 сағат бұрын
😂😂😂😂mmesha mugeuka namwe lulitaka awe na Mati😂😂​@@NasibuYonah
@sadikihalfani
@sadikihalfani 16 сағат бұрын
Mganga mwenyew Kumbe afisa 😅😅😅😅😅😂😂😂akuna Chochote ni hovyohovyo na akuna Cha kunifanya wewe ni kenge kama kenge wengine na ukibisha nakukata vibao live Bila chenga
@JamilaRajabu-g8p
@JamilaRajabu-g8p 15 сағат бұрын
Manyanya kazni saakumiii😂😂😂😂😂😂 kweli mapenz uchizii
@Jameskellyofficial-qd7mw
@Jameskellyofficial-qd7mw 19 сағат бұрын
Wakwanza ktoka Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🥰 nawapenda sana ❤❤
@AbedSada-s5h
@AbedSada-s5h 18 сағат бұрын
Kumbe cathe ndo chanzo duuuh marafiki bwana mmmmh mungu amlinde mati na manyanya
@toryazimio3429
@toryazimio3429 11 сағат бұрын
Kabisaa
@MakwanaJr
@MakwanaJr 19 сағат бұрын
Yani ukimtazama manyanya utamani mtazame Kila siku kutokana na ujumbe anaotuletea Kila episode.... kaka anajua sana Yani adi anajua Tena... Gonga like 👍 tujuane rafik👉👉
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 19 сағат бұрын
😂😂😂😂nimecheka alivyoulizwa anaenda wapi
@erastopascal
@erastopascal 13 сағат бұрын
Mda wa kumchukiaaa cathe Umefika sasa😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@maimunamwinyi5830
@maimunamwinyi5830 12 сағат бұрын
Duh😢 hii muvi imenifumbuwa macho kwakwel marafiki sio wtu wazuri mungu ninusuru kwa ili asanteni sn nyotea ❤mungu awajalie tuna wapenda❤❤
@HaleluyaMlaya
@HaleluyaMlaya 18 сағат бұрын
Mbona mdi mzungu hammuoneshi sana mi ndoninayemuelewa ananifulahisha mdi kubwaaa😂😂❤
@RamadhaniMasaninga
@RamadhaniMasaninga 10 сағат бұрын
😂😂😂😂😂,, unyama sana tuko pa1 kwa mud mnyama
@HAKIZIMANAFares-k1l
@HAKIZIMANAFares-k1l 19 сағат бұрын
Kama umeamuka Salama na kuona dunia gonga like hapo na useme asante YESU KRISTO kwa kunipa uhai tena
@LovenessMwakatobe
@LovenessMwakatobe 19 сағат бұрын
Asante yesu kristo
@MohamedMkayo
@MohamedMkayo 19 сағат бұрын
Asante Mungu sio yesu bhan Yesu hatoi uhai bali Mungu ndy anatupa uhai
@latifaTsuma
@latifaTsuma 19 сағат бұрын
Thanks dear God 🙏🙏
@FeisalIbrahim-kt4cw
@FeisalIbrahim-kt4cw 19 сағат бұрын
Yesu au Mungu?? Mnafeli wapi lkn
@Sabrinajuma-nx3pk
@Sabrinajuma-nx3pk 18 сағат бұрын
Ameeni
@SimoniFeresian
@SimoniFeresian 19 сағат бұрын
Jaman mungu amsaidie matrida lismtokee hilo jambo namuonea huruma mm Ubaya umrudie cathe so mtu mzr
@JamilaRajabu-g8p
@JamilaRajabu-g8p 15 сағат бұрын
Ila jaman mume kama mudi ningempata angenifanya niende jela kwa kesii ya kuuwa😢😢😢😢😢
@ZariaRamadhani
@ZariaRamadhani 15 сағат бұрын
😂😂😂😂
@ireneKiposa
@ireneKiposa 13 сағат бұрын
😂😂uyo ndy mudi mzungu
@nestorkingjohnqueen8265
@nestorkingjohnqueen8265 6 сағат бұрын
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
@mche653
@mche653 4 сағат бұрын
😂😂😂😂
@FrankKalenga-k6b
@FrankKalenga-k6b 14 сағат бұрын
Kweli hii dunia jaman binadam wabaya sana hakuna ulichokosea unachukiwa daaaa inauma
@FredrickNdyamkama
@FredrickNdyamkama 18 сағат бұрын
Jordan anajua kubembeleza mishangazi mibibi ana mwambia anyonye maisha wkt jordan mwenyew hana maisha😃😃
@AggreyHamisi-og2fm
@AggreyHamisi-og2fm 17 сағат бұрын
😂😂 et Nyonya maisha mama
@MaulidUbaya-d7v
@MaulidUbaya-d7v 17 сағат бұрын
Apo angesema nyonya utamu mama😂😂😂
@MaulidUbaya-d7v
@MaulidUbaya-d7v 17 сағат бұрын
Apo angesema nyonya utamu mama😂😂😂
@abubakaliyahaya2968
@abubakaliyahaya2968 16 сағат бұрын
Mwamba anajua sn
@JamilaRajabu-g8p
@JamilaRajabu-g8p 15 сағат бұрын
😂😂😂​@@abubakaliyahaya2968
@SmilingBiscuits-qo8fj
@SmilingBiscuits-qo8fj 19 сағат бұрын
Wakwanza kukomenti. Hongeren Kwa kazi nzuri. Ila maty nakupenda dada yangu
@PrettyMarie81
@PrettyMarie81 19 сағат бұрын
Wakwanza kbsa kutoka mkoani Tabora 🎉😍❤️
@AbimelickSadock-g6h
@AbimelickSadock-g6h 18 сағат бұрын
Mamb
@agnesraymond7894
@agnesraymond7894 16 сағат бұрын
Jordan anaroho ngumu jamani😂😂😂 Mahibiri yameanza kwa maty😂
@UmmalHusssin
@UmmalHusssin 9 сағат бұрын
Jmn marafiki ni watu wabaya sana 🥹, kumbe siku zote hiz rafiki yake ndio anamla 🤨
@NaomiDaniel-t9x
@NaomiDaniel-t9x 19 сағат бұрын
Mudi mzunguuuuu, mud paka la bar🤗🤗❤️ out now karbn mashabk wenzangu
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 18 сағат бұрын
Ila anakera jamn 😂😂😂 daaaaa mwanamke anaumia anateseka yy anafrahia
@PacchaYassin
@PacchaYassin 18 сағат бұрын
MwAnamke gani kayasikia maneno ya jodan kwa fety. Kama unaamini hakuna mkate mgumu mbele ya chai , andika nimekubar,✅
@evelnjuma1834
@evelnjuma1834 18 сағат бұрын
Mr manyanya hongela sna na wasanii wako wote wako vizul Sana tumejifunza sana 😍🛍️🇹🇿
@BeatriceMussa-y4b
@BeatriceMussa-y4b 17 сағат бұрын
Malaya sikuzote anamjua malaya mwenzie😂
@nestorkingjohnqueen8265
@nestorkingjohnqueen8265 6 сағат бұрын
Good love
@Ezekielngar
@Ezekielngar 6 сағат бұрын
Duuuh mpaka ripota wa mchongo respect sana asma film
@BashengeziByamungu
@BashengeziByamungu 19 сағат бұрын
Mimi wa kwanza KUTOKA kuzimu laitaji kafara zangu😂😂
@DenisMataula
@DenisMataula 18 сағат бұрын
Chapombe big up nakubali Sana mwambaaaa
@ebubu-bf1oy
@ebubu-bf1oy 19 сағат бұрын
Dua kwa maty asipatwe na baya lolote
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 19 сағат бұрын
Mm sina uhakika nahilo nahivyo Cath kajua😂😂 kingine ngoja Vay ajue ingawa jeuri kwamumewe anampenda sana
@ndogolofadhila6203
@ndogolofadhila6203 17 сағат бұрын
Nimaombi yangu
@NasibuYonah
@NasibuYonah 16 сағат бұрын
Malaya tu uyo litamkuta jambo
@Aisha-f2g
@Aisha-f2g 15 сағат бұрын
Niko gotini kwa hilo tuzidi na maombi😂😂
@BenedictoFussi-y2l
@BenedictoFussi-y2l 15 сағат бұрын
Munachelewa kutoa vipande ivoooooo
@SalmaMganga-gu6ly
@SalmaMganga-gu6ly 12 сағат бұрын
Yan ni nzuri kuliko hata jua kali
@BintiMzamilo
@BintiMzamilo 14 сағат бұрын
Kumbe kathe ndy alimroga mwenzake daaah kumbe kikulacho kiko kinguoni mwako😢😢😢nmekoma urafiki mm
@MinaahOmary-wd8ls
@MinaahOmary-wd8ls 12 сағат бұрын
😂
@hamso69
@hamso69 9 сағат бұрын
😂
@Realme-xm3sh
@Realme-xm3sh 7 сағат бұрын
Yan mtihan sn 😢
@subbyraibrahimu250
@subbyraibrahimu250 5 сағат бұрын
Ssa wanatufundisha nn hawaa
@jastinjoram6864
@jastinjoram6864 2 сағат бұрын
Chunga rafiki yako kwenye harakati zako hayo mambo ni kweli mtupu.​@@subbyraibrahimu250
@musaenocy
@musaenocy 18 сағат бұрын
jaman humu hakuna mtu ka play part ngumu kama jordan apewe maua yake jamani
@mdouharoon66
@mdouharoon66 19 сағат бұрын
Leo wa kwanza milikes km buku hiviii😂😂
@tuyisengefidia6650
@tuyisengefidia6650 19 сағат бұрын
Wow❤ila jamani mmekawiya saan😢 Tulosubiri kwa hamu tujuwane kw like apa❤❤😂😂
@mariethajoseph6538
@mariethajoseph6538 15 сағат бұрын
🎉🎉🎉 hama kweli kikulacho kinguoni mwako 😢 tusiaminiane san ata kwamambo private hiki ndo nahc maty akukifnya maybe alifnya kwakukujionesh ndo cathe kumfanyia hv ndo maan alimwambia wewe ni mtoto mdog thre reason behnd😢 TUWE MAKIN SIRI IKIKUSHINDA WW NANI ATAWEZA ❤❤❤ maua yenu wote
@ReginaEvarist
@ReginaEvarist 3 сағат бұрын
Tuwe makin na marafiki usimuamin Kila mtu jaman Caty ndo unaroho mbaya hivyo
@naseershiner6738
@naseershiner6738 17 сағат бұрын
Duuh ama kwel kumeanza kuchangamka ndo maana Marty alikuwa hatak ajue mambo yake😢😢Ona sasa kumbe Lidada lichawii hili limeenda kwa lupyana 🙆🏻mungu msimamie Marty wetu 🤲🏻
@sniper_Tz
@sniper_Tz 19 сағат бұрын
Wakwanza leo kutoka MBEYA🎉🎉 Kazi ya manyanya iko bomba sana, 🔥🔥 Keep Going Broh.
@johndemunga2903
@johndemunga2903 19 сағат бұрын
Jamani mna lala huku😂😂 basi nipeni like basi mimi natokea congo ndugu zetu wa tanzania tupo hapa kwa ajili ya kusapoti dunia😂❤
@PalukuChirac
@PalukuChirac 19 сағат бұрын
❤❤❤❤ asante sana kwa muendelezo 🎉🎉🎉🎉 KAZI njema kabisa
@fransiscobakari5462
@fransiscobakari5462 17 сағат бұрын
One of the best film i like that kila character ame play part yake ✊
@giftkyando602
@giftkyando602 15 сағат бұрын
MARA PAAAH DAWA INAMGEUKIA CATHER ILA MUNGU YUPO😂😂😂😂😂
@JanethJoseph-tq2ns
@JanethJoseph-tq2ns 12 сағат бұрын
Apo sasa
@giftkyando602
@giftkyando602 11 сағат бұрын
@JanethJoseph-tq2ns patam apoo
@kingcicero1708
@kingcicero1708 18 сағат бұрын
Kweli adui wa mwanamke ni mwanamke mwenzie, kumbe mikosi yote ya mwanzo kumbe chanzo ni Catherine 😂😂😂😂😂
@mustaphamores7806
@mustaphamores7806 15 сағат бұрын
😂
@FetSure
@FetSure 19 сағат бұрын
Marafiki mnatuumiza sana bila sababu daaah kipande cha kwamganga kimeniumiza sana Mungu atusimamie binadamu hatupendani
@MissTrisha-v3b
@MissTrisha-v3b 18 сағат бұрын
Kabisa kipenzi anae kuangaminza ni mtu wa karibu yako
@EliufooMassawe
@EliufooMassawe 18 сағат бұрын
Yan sijapenda kabisaa tabia ya kathe
@zulfaOchu
@zulfaOchu 18 сағат бұрын
Ohooo 😢😢😢kumbe kikulacho kinguoni mwako uyu dada kumbe mshenzi kweli
@hassansempa2298
@hassansempa2298 12 сағат бұрын
Kathe ni mshirikina kumbe 😢😢😢
@JiddaSaid
@JiddaSaid 14 сағат бұрын
Kumbe wa kas simtu ni mbwa...ni mnyama .. kiasi icho faida ipi wapata hapo ww . Baada ya dhambi na jjkumu na malipo yako utayapata inshaallah dua nakuombea io dam ikutoke ww mwenyew looooo pooo yako
@AgnessEmmanuel-c5r
@AgnessEmmanuel-c5r 18 сағат бұрын
kwel hii ndo dunia bana......yan kumbe cathe ndo tabia zake hzo jaman.....tumuombee Maty jaman asipatwe na baya lolote🙏coz its pain😭
@SakinaHassani-xm7ti
@SakinaHassani-xm7ti 18 сағат бұрын
Mungu atamlinda na yatamrudia mwenyewe uyo cathe
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 18 сағат бұрын
Kanichosha kwakweli loooooo sasa mwenzie amwage damu bila kupumnziaka?uuwaji huo
@Ogaobina-gb8
@Ogaobina-gb8 18 сағат бұрын
Iii meiniuma iii
@DeborahKawawa
@DeborahKawawa 17 сағат бұрын
Cathe jamn sio rafk kaah amuache maty
@AgnessEmmanuel-c5r
@AgnessEmmanuel-c5r 17 сағат бұрын
@@DeborahKawawa kabsa yan atuachie maty wetu aendelee kumtunza manyanya vzr
@AureliaNyaumba-i4q
@AureliaNyaumba-i4q 18 сағат бұрын
Daaaah kwel jaman wabaya ni watu wahenga walikuwa sahihi kwamba kikulacho kinguoni mwako ila tukimwamwini Mungu na kuwa wavumilivu mambo haya ni madogo sana kwake namuonyea manyanya aushinde huo mtihani Mungu amtie nguvu manyanya asimuache maty kwenye kipindi kigumu atakachopitia
@aminahhuawei1133
@aminahhuawei1133 19 сағат бұрын
Manynyaa anaenda dodoma hukuu jamaniii hahahahaa😂😂😂😂😂😂😂😂 wanaume shikamoo ilaa haya vai imeyataka mwenyewe hayaaa ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
@DiviahDhemarley
@DiviahDhemarley 10 сағат бұрын
Kwely Dunia ni gori daaaaaa😢nimeruia
@isayamwanjoka3958
@isayamwanjoka3958 8 сағат бұрын
Dunia mnabamba mpaka mtaani naoña watu wanaijaza kwenye hizi library gonga like kwa hawa waandaaji wameweza kugonga mioyo ya watanzania.
@ViolahMsangi
@ViolahMsangi 18 сағат бұрын
Jamn kaka manyanya kachachuka sasa😂😂
@LydiaKagiye
@LydiaKagiye 18 сағат бұрын
hongereni sana tim nzima ya esma film yan mnajua paka mnajua tn aiseee maua yenu🎉🎉🎉🎉
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu 18 сағат бұрын
Mungu wangu kumbe mbayaa wa mati atoki mbalii daaah izi tamthiria zinatufunza sanaa kwenye hii Dunia daaah 🙌🙌🙌🙌
@SylvieKombe-yj9rf
@SylvieKombe-yj9rf 16 сағат бұрын
Nakwambiya adui wa mtu ni wa karibu naye
@soniahaule6039
@soniahaule6039 16 сағат бұрын
Oooh rafiki rafiki rafiki,CNA hamu Mimi na rafiki
@masanjarehema7722
@masanjarehema7722 14 сағат бұрын
Siku zote m baya wako ni wakaribu yako
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu 10 сағат бұрын
@@soniahaule6039 polee sana my
@MwanahamisSeifu
@MwanahamisSeifu 10 сағат бұрын
@@SylvieKombe-yj9rf sanaa yani mpaka nimeogopa
@JoyceWazir
@JoyceWazir 6 сағат бұрын
Case ww noma sn kumbe ndio uliy mfany vil kisa nn jmn
@mulhathamadomar4451
@mulhathamadomar4451 13 сағат бұрын
Haaa jmn cath una roho mby ww😢
@vivien-valeurndirahisha763
@vivien-valeurndirahisha763 19 сағат бұрын
Nipeni ata like 10 jameni! I m from Burundi..🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@MohammedShabani-h6p
@MohammedShabani-h6p 18 сағат бұрын
Sasa hii Move ya DUNIA utaifananisha na move gani move ni 1 tu DUNIA🎉🎉🎉 MANYANYA🙏🙏🙏
@AllyMkola-u7e
@AllyMkola-u7e 15 сағат бұрын
Kweli kaka
@SamweliJacob-bm2ij
@SamweliJacob-bm2ij 14 сағат бұрын
Haizidi penzi la mtoto wa bosi na dada wakazi yakelvin
@MohammedShabani-h6p
@MohammedShabani-h6p 8 сағат бұрын
Akuna kitu apo DUNIA tu🎉🎉🎉​@@SamweliJacob-bm2ij
@BarakahJoseph-i8f
@BarakahJoseph-i8f 18 сағат бұрын
Tumejifunza vingi sana kwenye dunia❤❤❤
@KwibeKawasi
@KwibeKawasi 5 сағат бұрын
Kyiiih, kumbe uyu Kase ni mchawi.
@lovelyakvee
@lovelyakvee 14 сағат бұрын
Daah adui w mtu wa karibu nae kwel😢😢😢 kwan mati alimfanyia nini cathe adi astaili hivyo jomon😢😢
@whonetozze
@whonetozze 19 сағат бұрын
Kumbe Cathe Ndo Chanzo Mpuuzi kabisa huyu Binti acha anyooshwe
@m.mmarckus6298
@m.mmarckus6298 18 сағат бұрын
😢😢😢Cath jamniiiiii tulikua tunakuonea huruma kumbeee
@OmanBd-s7z
@OmanBd-s7z 19 сағат бұрын
Duuh mtihan kumbe mbaya wa mat ni Kath 😢😢😢😢😢😢😢
@hamisahamisa5896
@hamisahamisa5896 17 сағат бұрын
Hapana
@OmanBd-s7z
@OmanBd-s7z 17 сағат бұрын
@hamisahamisa5896 ndio sio hapana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@angelmollel2002
@angelmollel2002 18 сағат бұрын
Mh kumbe rafiki yake jamani ndo alimfanyia Matty jamani😢mmmmh hili limeniuma sana 🥺😭
@AshuraFaymah
@AshuraFaymah 10 сағат бұрын
Jmn eeeeh marafiki wabaya
@angelmollel2002
@angelmollel2002 6 сағат бұрын
@@AshuraFaymah hili ni somo kabisa duuuh 🙌🙌
@RukiaDzombo-uf7wp
@RukiaDzombo-uf7wp 14 сағат бұрын
Kumbe Cathe ndio mbaya kumbe alimuendea Maty Kwa mganga kiparangoto ili aachwe na Kila mwanamme, walai kikulacho kinguoni mwako
@TobikoMahelela
@TobikoMahelela 12 сағат бұрын
Niage ety baai kenge wee ndoo maan unachitiwa 😢😂😂
@aishajuma7128
@aishajuma7128 6 сағат бұрын
Amesahau yeye alivokuwa anamfanyia manyanya alikuwa anampa taarifa 2
@evelynoscar5104
@evelynoscar5104 17 сағат бұрын
Ila ktk hii tamthilia nampenda sana jordan😝😝😝mkaka anajua kubembeleza mishangazi yan akiita ile fety 😂😂😂😂😂uwiiii aahhh fety wewe😂😂😂😂
@George-x9f1x
@George-x9f1x 12 минут бұрын
Nyokoro😂
@Maty-q7k
@Maty-q7k 19 сағат бұрын
Asante kwa wote mnao tusubir na kutusapoti 🎉🎉🎉 tunawapenda sana
@OLOLUFEMITz
@OLOLUFEMITz 19 сағат бұрын
Vp Maty ❤❤
@Apnana-gb2gq
@Apnana-gb2gq 19 сағат бұрын
Maty ongela sana
@annieerick3831
@annieerick3831 19 сағат бұрын
❤🎉
@Sabinaemmanuel-s6h
@Sabinaemmanuel-s6h 19 сағат бұрын
Shida mnatucheleweshea sana hadi tunasahau
@Paulkessy-j8n
@Paulkessy-j8n 19 сағат бұрын
Maty nakupenda sana we kamdada alafu wewe ni mzuri sana maty
@augustinesombi6285
@augustinesombi6285 18 сағат бұрын
Kate pumbavu zako kumbe ww ni panya, una mmaliza mwenzako Maty kinyama hivo, na ukishindwe kutimiza dawa hyo
@ConstanciaFidelis
@ConstanciaFidelis 9 сағат бұрын
Daaaah mnatucheleweshea sana jamn
@patriciachangawa1754
@patriciachangawa1754 17 сағат бұрын
Kathe acha masiriko..maty mama hongera japo mume wamutu blakini mkewe kajitakia mwenyewe kula enjoy kipenzi❤❤❤❤❤❤
@ROSEKABUE-s1b
@ROSEKABUE-s1b 19 сағат бұрын
Dunia ipo hewan jamani mauwa 🎉🎉🎉 Yao tuwape
@omaryrashidy337
@omaryrashidy337 19 сағат бұрын
Daahhh jaman mnakuwaga online mda wote Aya chapa ata kalike kamoja bas😂😂😂
@joyceernest8506
@joyceernest8506 18 сағат бұрын
Hongera Mati Kwa kumtapeli hakili Manyanya ila huyo n Mme wa mtu
@RestitutaMpande
@RestitutaMpande 15 сағат бұрын
Mke anabaki kuwa mke Kuna siku atarud kwa mkewe
@RubazaReuben
@RubazaReuben 15 сағат бұрын
Kumbe ndio maana watu wame angaika ulimwengu mzima😢😢😢watu wana loga usiku kutwa
@MoTalentTz
@MoTalentTz 7 сағат бұрын
Sema hii movie kali sana💪🏻💪🏻
@PresenterbilnetOGtv
@PresenterbilnetOGtv 19 сағат бұрын
Napenda maty sana 😅😅😅❤❤❤ team Kenya mko😂
@ImanSal-z7i
@ImanSal-z7i 19 сағат бұрын
Tupo😂😂😂😂
@AishaJafari-sh4pe
@AishaJafari-sh4pe 19 сағат бұрын
WAO TULOKUA TUNASUBRI KWA HAMU TUJUANE KWA LIKE APA ❤❤❤❤😂😂
@mwashiuyayoshuatv9829
@mwashiuyayoshuatv9829 19 сағат бұрын
nipo hapa
@KhadijahKidundai
@KhadijahKidundai 18 сағат бұрын
Mm ap
@SalamaTaura
@SalamaTaura 17 сағат бұрын
🎉
@morismwambegu2563
@morismwambegu2563 16 сағат бұрын
27 tunasubri sana......
@HildaJoseph-u8u
@HildaJoseph-u8u 16 сағат бұрын
Sanaaa
@rosejuliuc
@rosejuliuc 18 сағат бұрын
Daah kigagura cathe uraniwe😢😢😢 sijapenda
@chonechone
@chonechone 57 минут бұрын
Napenda sana scenes anazocheza mat yani anavaa uhusika kama inavyotakiwa,nakupenda sana dadaangu Mungu akuzidishie♥️🌹🌹🌹🌹
@simonnyemazi5286
@simonnyemazi5286 12 сағат бұрын
Ila nawapa hongela nyie wachezaji na wale wote waliyo andaaaa hii filam mungu awajalie Kwa sababu mnawafundisha vizuli watu wote waliyo owa NDIYO DUNIA TURIYOMO hongeleni waandaaji
@barakajoackim-xu3hi
@barakajoackim-xu3hi 18 сағат бұрын
Ndo maana vai umechukuliwa mume haujui kumtunza mwanaume wako
@DeboraCharles-l7g
@DeboraCharles-l7g 19 сағат бұрын
Matty nakupenda ❤❤🎉🎉🎉
@NetworkNetwork-w3v
@NetworkNetwork-w3v 18 сағат бұрын
Manyanya naye itakuwaje😂😂😂😂
@SadaRamadhani-q7s
@SadaRamadhani-q7s 18 сағат бұрын
Mhhhhhhhhh! kwa kweli, kumbe nd tunavyofanyiwa n watu wetu w karibu!??? Nimekoma mim kuamin mtu😢😢😢😢😢
@witnessmaturege2944
@witnessmaturege2944 6 сағат бұрын
Khaaa kumbe cathe ni mwanga Jamani duuuuuuuuh kweli kikulacho kinguoni mwako, Mungu akulaani ujiroge mwenyewe mbwa wewe sikupendi Tena hovyooooooo Mungu mrinde matty wetu🤲🤲🤲🙏🙏
@Faustinalves
@Faustinalves 15 сағат бұрын
Tafafhali mati usinywe chochote 😂😂😂😂😂 Nakuibia Siri.
@saidiramadhani2232
@saidiramadhani2232 19 сағат бұрын
😂 mimi ndowakwanza like kwangu jomon
@NeemaJumanne-h5d
@NeemaJumanne-h5d 19 сағат бұрын
Duh, jamani marafiki nyoka 😢 naomba MUNGU malt asiinywe hyo dawa
@HamisiMsumari
@HamisiMsumari 18 сағат бұрын
Mishangazi Haina tabu kabisa kutok kuaa Hadi kulainik mamae mishangazi nitaijengea sanamu 😃😃😛😛
@Didaahsaid005
@Didaahsaid005 17 сағат бұрын
😂😂
@HamisiMsumari
@HamisiMsumari 17 сағат бұрын
@Didaahsaid005 😛😛🙌
@AdelinaSothery
@AdelinaSothery 7 сағат бұрын
Kumbe na we n Jordan 😂😂😂
@RamadhaniJumanne-h2b
@RamadhaniJumanne-h2b 15 сағат бұрын
Joldani mzee wa swaga pamoja sana
@MussaVyombo
@MussaVyombo 7 сағат бұрын
Mashallaa mambo ni bulbul jmn msitucheleweeshee basi mnatukata stimuuu❤❤❤❤😢😢
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 96 МЛН
One day.. 🙌
00:33
Celine Dept
Рет қаралды 65 МЛН
Love story kali
1:37
MBALA MEDIA
Рет қаралды 7 М.
SIRI YA HUBA { 34 }
14:49
Rk Movies
Рет қаралды 98 М.
🔴TAARIFA YA HABARI YA ASUBUHI, DESEMBA 04, 2024
ITV Tanzania
Рет қаралды 174
DUNIA (Ep 07)
24:28
ASMA FILMS
Рет қаралды 294 М.
MKE MWENZA
24:27
MPAYU FILM
Рет қаралды 144 М.
KING WA MADEM |11|
15:53
BHAILAM
Рет қаралды 15 М.